MBONA MUNAFUATA MWEZI WA SAUDIA TU? - Sheikh Salim Barahiyan

  Рет қаралды 1,274

IHSAAN TV

IHSAAN TV

3 ай бұрын

Majibu ya Propaganda zinazosambazwa na Maadui kuwa tunafuata mwezi wa Saudia tu na sio mwezi wa kimataifa.

Пікірлер: 20
@user-wf8eb6nm4s
@user-wf8eb6nm4s 3 ай бұрын
Mtume amesema fungeni Kwa kuona sio watu wafalaki wamesema basi hakuna haha ya kuangalia mwenzi tuwasikilize watu wa falaki
@salumngakonda2182
@salumngakonda2182 3 ай бұрын
Nyinyi hamueleweki
@GSaleh-xr3vn
@GSaleh-xr3vn 3 ай бұрын
Je mtume,maswahaba,wanazuoni na waislam wa kabla ya mwak 1986 waliwezaje kufuat mwezi wa kimataif?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
Muongo BARAHIANI, hukuwahi kufunga isipokuwa na saudia
@user-fu6qu6dd4x
@user-fu6qu6dd4x 3 ай бұрын
Mwezi ni mmoja just ni moja kwanini kukiwa na kasoro kama hizo msifate
@BilalAbubakar-uf1qp
@BilalAbubakar-uf1qp 3 ай бұрын
Achana n yemen n iraq tunataka jibu kwa nn hamkufungua wakati mwezi umeonekana mali n nigeria au nyie kimataifa mnafuata nchi za kiarabu tu ukiandama afrika sio kimataifa em kuwa muwazi ucpindishe maneno bana
@shamsuddin4582
@shamsuddin4582 3 ай бұрын
Umemsikiliza mwanzo mpaka mwisho?
@eshrash2353
@eshrash2353 3 ай бұрын
Naona hapa hakuna ukweli. Hata wakati wa kuingia mwezi wa Ramadhan watu wa Falak walisema mwezi hauwezi onekana Saudia. Lakini ajabu walitangaza kuonekana na hawa jamaa wakafuata.
@xxl5239
@xxl5239 3 ай бұрын
Haswaaaaaaaa❤❤❤❤❤ Unafiki wao umefika kikomo, hana haya huyu wala aibu, na isitoshe sio mara moja wala mbili wala tatu watu wa Falaki wamesema kuwepo Istihala ya kuonekana, ila Saudia wanatangaza na hawa vibushuti vibwengo wanafunga au kufunguwa, wala hawasemi hatufati Saudia kwasababu kuna istihala ya kuonekana mwezi kwa mujibu wa Ulamaa wa Falaki. HUYU USO USHAYOLEWA HAYA.
@shamsuddin4582
@shamsuddin4582 3 ай бұрын
Akhi naomba jina la clip inayodhihirisha kuwa wanachuoni wa falak walisema Saudia mwezi usingeweza kuonekana wakati wa mwanzo wa kufunga
@xxl5239
@xxl5239 3 ай бұрын
@@shamsuddin4582 Je umeomba clip ya Wanazuoni wa Falaki waliosema kwamba hakuna uwezekano wa kuandama ili tuukadhibishe mwandamo wa Niger 🇳🇪? Au unataka ya upande wa pili tu wakati huko umetosheka bila ya kuwepo hiyo clip ambayo sasa unataka kuifanya kuwa ndio dalili?
@xxl5239
@xxl5239 3 ай бұрын
@@shamsuddin4582 kzfaq.info/get/bejne/h62qfK2rvt-9eoE.htmlsi=gRsx82QGkxZ4F5LY
@saidmuhd611
@saidmuhd611 3 ай бұрын
Nimejitahidi kusikiliza sana kujua sababu ya kwa nini Hawakufuata mali ila sijapata chochote, mwezi umeonekana mali hawajafuata wanafuata wanazuoni wa falak😂😂😂
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 3 ай бұрын
BARAHIYAN NAKO UNAOGOPA NINI SEMA NDIO TUNAFUATA SAUDIA SHIDA NINI WAO WAPO MAKINI KWENYE JAMBO LA MWEZI . Pia Tanzania bara mwezi haukuonekana ilikuwaje BAKWATA hamkukamilisha 30
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 3 ай бұрын
Hawa jamaa hawana ukweli wowote Hawa ni watu wakuleta farakano wa umma wa kiislamu kwenye nchi moja kwaadai ya kufuata Sunna za mtume s.a.w na kumsingizia mtume urongo fungeni kwa kuona mwezi nafungueni kwa kuona wala hakuna hadithi iliyo kuja inayosema fungeni kwa mwezi wa arabuni kama ipo tuleteee
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 3 ай бұрын
@@user-qm2of7vd3k Hakuna Uarabu wala Uafrika kwenye suala la dini Jiulize wewe uliposikia kwamba fungeni kwa kuonekana mwezi na fungueni kwa kuonekana eneo hilo lilikuwa linazungumziwa Nchi moja kwa maana ya mipaka ya kikoloni au?.
@abdulimapande4265
@abdulimapande4265 3 ай бұрын
Huna maajabu yoyote wewe ni mpotoshaji tu
@user-fu6qu6dd4x
@user-fu6qu6dd4x 3 ай бұрын
Salim hataki kusema kweli hawa wanafata Soudia na hana cho chose vha kutuambia hawa ni Pro Saudia vinginevo ni uongo na ni Unafiki. Je kama mwezi utapatwa Saudia au po pote isiwe Africa jee Mtasali Sala ya kupatwa kwa mwezi?
NENO LA KWANZA LA NABII NUHU KATIKA KUTOA DAAWA // SHEIKH OTHMAN MAALIM
47:12
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 56 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 193 МЛН
UHARAMU WA NYIMBO NA MUZIKI. SHEIKH KISHK.
56:18
Kishki Online TV
Рет қаралды 32 М.
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 14 М.
MAJIBU YANGU KWA MPOTOSHAJI KASSIM MAFUTA KUHUSU ARAFA _SEHEMU YA PILI
36:03