MBUNGE AMTAJA MAKONDA MBUNGENI SAKATA LA USHOGA “Watoto wa Kiume WANAKATA Viuno”

  Рет қаралды 57,656

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Жыл бұрын

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 136
@lilianalex6671
@lilianalex6671 Жыл бұрын
Umeongea sahihi kabisa mbunge , Mungu wa mbinguni akuinue
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 Жыл бұрын
Huyu mbunge amenifurahisha sana, serikali ipeleke muswada , bunge litunge sheria kali juu ya ushoga na mashoga, hatutaki huu ushenzi ndani ya nchi yetu afrika na dunia kwaujumla
@robertabel6984
@robertabel6984 Жыл бұрын
Safi sana kijana mwenzangu na bro wangu ki umri umenena vyema sana mh.
@habityabsa997
@habityabsa997 Жыл бұрын
Ma Shaa Allah! Well spoken! Tumuombe sana Mwenyezi Mungu asije tuangamiza kwa laana za hawa viumbe 😢 Nawa pongeza sana ndg zetu wa Uganda kwa hatua na sheria kali waliyo pitisha dhidi ya Ushoga na usagaji 👏
@michaelwanyanga
@michaelwanyanga Жыл бұрын
Lazima wapatikane watu kama hao ambao watasimama bila hofu wala mashaka kulikemea na kulikataa jambo hili nchi nzima. Hongera, mheshimiwa, kwa kazi nzuri.
@ngwegwenurdin4318
@ngwegwenurdin4318 Жыл бұрын
ANATOSHA KIUTENDAJI KAZI . HAPA KAZI TU. KWELI AMESTAHILI NYADHIFA. HASWAAA!!. MWEZI MTUKUFU SHAHIDI. AMEWAKUMBUSHA WAUMINI. ALHAMDULILAH. IN GOD WE TRUST.
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 Жыл бұрын
Mtamkumbuka Sana makonda
@ngwegwenurdin4318
@ngwegwenurdin4318 Жыл бұрын
Na ndio uzuri wa kusoma na kuelimika. SOME TIME YES SOME TIME NO. SOLUTION DISTINCTIVE..
@GuerschomOmollo-wz9ly
@GuerschomOmollo-wz9ly Жыл бұрын
Mungu akubariki Baba🙏🙏
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Asante mbunge wetu kwa kuongea kwa hisia kubwa sana pia inaumiza sana mwanaume kwa mwanaume kweli
@ngwegwenurdin4318
@ngwegwenurdin4318 Жыл бұрын
MBUNGE NI MWANA HIP-HOP. ''Hip-hop is the positive WAYS OF LIFE''. HIP HOP NDIO MAKAVU. REAL HIP HOP HAIPINGWI. (SIO WABANA PUA). Imeisha kihivyo. ABSOLUTE.
@christophersimwinga6689
@christophersimwinga6689 Жыл бұрын
Safi kabisa Mbunge Mungu akubariki
@allykanju2416
@allykanju2416 Жыл бұрын
Asante mtoto wa fundi cherehani umenena vema tuokoe Taifa letu na hiyo laana
@dr.bonye1
@dr.bonye1 Жыл бұрын
Abubakari Asenga Mwamba wa wilaya ya kilombero🔥🔥🔥🔥🙏
@alexmwalingo5020
@alexmwalingo5020 Жыл бұрын
Safi sana mbunge umeongea bonge la point wakionekana na viashilia vyovyote kamata
@alicerugambage6245
@alicerugambage6245 Жыл бұрын
Hongera kaka umeongea kwa uchungu Mungu atusaidie
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 Жыл бұрын
Mbunge huyu anangea point 100%
@mariosigala8760
@mariosigala8760 Жыл бұрын
Asante Msemaji makonda ni Mmoja ya viongozi mfano wa kuigwa Ktk maamuzi magumu.
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 Жыл бұрын
Wabunge rekebisheni hiyo sheria ya ushoga ilezee banana ushoga sio kuingilia kinyume cha maumbile. Ushoga ni ngono ya mume na mume au mke na mke ,ni ndoa za jinsia moja amukeni wabunge rekebisheni hiyo sheria mara moja muweke bayana makosa haya . Mwenyenzi Mungu atawauliza wabunge na wote wenye mamlaka ya kuzuia ujinga huo . Nyie wenye mamlaka hili jambo Mwenyenzi Mungu atawauliza dhambi hii .
@Nyotaafrikamusic
@Nyotaafrikamusic Жыл бұрын
Allah Azid Kukiweka Mchango wako Adi Utakapo Ishia Unatija Sana Maana Iivita N Kubwa Aiwezekani Bunge Lina Wabunge 300 na et Mamb Kama Haya Wamerilax Tu Mung Akupe afya Na Akushindie
@bilaalmuhammad9499
@bilaalmuhammad9499 Жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania
@mubinaledroos9161
@mubinaledroos9161 Жыл бұрын
Very very true this must stop this is dirty game this must stop cleen our country long live tanzania
@jacksonsimon5020
@jacksonsimon5020 Жыл бұрын
Mungu akubaliki kaka kwa mchongo MZURI kabisa
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
Sahihi kabisa sheria ni nyepesi sana
@sempaysensey6486
@sempaysensey6486 Жыл бұрын
Nisahihi kaka Serikali ifanye kazi yake
@estherfred1071
@estherfred1071 Жыл бұрын
Asante Sana kwa kupaza sauti
@newbrandstudios4700
@newbrandstudios4700 Жыл бұрын
Well said 🔥🔥
@pendomariki6562
@pendomariki6562 Жыл бұрын
Mungu akulinde mbunge umeongea point
@peterbujari5128
@peterbujari5128 Жыл бұрын
Afrika Mashariki tuungane kupinga USHOGA NA USAGAJI.
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 Жыл бұрын
Safi kabisa! Aksante sana
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 11 ай бұрын
Kiongozi wewe ulichaguliwa na watu ongera sana kwa kuwasemea watu wa aina iyo ubalikiwe na mungu kwa maneno ya ekima na busara zako
@anickashasha
@anickashasha Жыл бұрын
Asante sana Mbunge. Hii umepasuka vizuri sana. Wanaume wanavaa heleni na kusuka nywele. Mambo gani jamani Mheshimiwa?
@ankotemba7369
@ankotemba7369 Жыл бұрын
Lakini hizo sio points 😂😂😂
@anickashasha
@anickashasha Жыл бұрын
@@ankotemba7369 kama na wewe unavaa heleni na kusuka nywele basi huna marinda, yalikwishafumuliwa. Dawa yenu ipo jikoni. Hatutaki huo ushetani.
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Asante Kaka
@fokashendry3035
@fokashendry3035 Жыл бұрын
Watanzania inabidi tufunge na kuandamana nchi nzima ndo viongozi wajue tunamanisha....bila maamuzi magumu mambo hayaendi coz haiwezekan viongozi wanaruhusu wapuuzi Kuna kufanya kampeni za kishetani hapa nchini half mzazi unaambiwa mkanye mwanao, hatupo serious for sure!!!
@levitasjohn5861
@levitasjohn5861 Жыл бұрын
Mungu akubaliki Kaka kongoz wetu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Habari tulizonazo ili muendelee kupata mikopo lazima ushoga na usagaji mkubaliane na hilo
@muhsinsalum8009
@muhsinsalum8009 Жыл бұрын
Nikazindugu. Kulisema hilo linawapa watu uzito kwakua kuna..... Mzungu anatifanya watumwa ila tunamuona ndie msitaarabu. Huyu Allah atachoma wengi. Ewe mola wetu onesha nguvu zako dhidi ya wapuuzi wenye kutuletea mambo haya. Allahumma aaamiiin.
@bethinaalphonce8724
@bethinaalphonce8724 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@saidsalum6101
@saidsalum6101 Жыл бұрын
Kweli kabisa umeongea kweli
@rosehinju2330
@rosehinju2330 Жыл бұрын
Amina
@dorotheafrancis2865
@dorotheafrancis2865 Жыл бұрын
Safi wakatwe wote
@ngwegwenurdin4318
@ngwegwenurdin4318 Жыл бұрын
Wamalizwe wote
@scottgeorge5677
@scottgeorge5677 Жыл бұрын
On point kabsa
@ShabanMrisho-im4rh
@ShabanMrisho-im4rh Жыл бұрын
Viongoz mnakula hela za magharibi, mabalaa mnatuachia watoto wa wanyonge,ila kwa uwezo wa mungu na watoto wenu wataingia kwenye hili inshallaah ili na nyiny viongoz muone uchungu wa mambo haya
@fokashendry3035
@fokashendry3035 Жыл бұрын
Malipo ni hapahapa duniani, viongozi wenye dhamana ya kutoa kauli ya mwsho wanazingua Sana Yani,....sijui wanachukuliaje hili taifa...
@zainabsuleiman-8757
@zainabsuleiman-8757 Жыл бұрын
Uko vizuri sana natamani nijue mbunge wa wap mungu akulinde
@msunjigfx8644
@msunjigfx8644 Жыл бұрын
We kiongozi wakuchongeshee sanamu
@peterbujari5128
@peterbujari5128 Жыл бұрын
Tungeni sheria ya ishahidi wa mazingira... Sherehe, kuvaa, kujitangaza n. K
@bichulopaulo2366
@bichulopaulo2366 Жыл бұрын
Asanteeeee simemeni iwekwe sheria
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana
@fahminasser3855
@fahminasser3855 Жыл бұрын
Hao ukiwapeleka magereza ndio watafirana mpaka wakihema mavi yawatoka itungwe sheria ya kuuliwa tu
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 Жыл бұрын
Big up sana
@comedyhanje640
@comedyhanje640 Жыл бұрын
Kama taifa sisi tusimame kupinga huu uovu.😭😭😭 Pia sheria kali zitungwe na kufuatilia kwa undani.😭😭😭 Isitoshe watengwe kabisa na jamii maana watawafundisha na wengine.😭😭😭😭 Daaa Ee mwenyezi Mungu turehemu tunaangamia😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Жыл бұрын
WEWE MBUNGE UPO SAHIHI MAKONDA ALILIWEZEA SANA HILI JAMBO NA DAR ILIKUWA SHWARI SANA SASA HV PANYA RODI WAMAJAA. MAMA SAMIA MRUDISHE MAKONDO ILI NCHI IWE NA AMANI.
@rashidyally8715
@rashidyally8715 Жыл бұрын
Laiti angekuepo anko jp nazani saizi mishoga yote imeshakimbilia marekani
@revocatusmagezi2235
@revocatusmagezi2235 Жыл бұрын
Mmeshindwa Sheria ya mimba kwa wanafunzi, mpo huko mpo wengi, ila inaonekana Sheria imetungwa na mtu mmoja. Eti Binti anaonekana hakufanya kosa lolote lile. Kweli? Kama mmeamua Binti kuwa huru, basi na mtoto wa kiume aachiwe huru automatically. Chunguzeni na nchi za wengine wanafanyaje ktk hili. Mf South Africa, msumbiji, nk.
@lizybagamba2067
@lizybagamba2067 Жыл бұрын
Hacyekuelewa mjinga'iv ndo vichwa kunavovitaka bungeni,c hawa wanaozunguka tu ktk viti..
@williamdeus7348
@williamdeus7348 Жыл бұрын
Nipo Tayar kujitolea kwajili ya nchi yangu
@Frajuu
@Frajuu Жыл бұрын
Safi sana
@MrMwadila
@MrMwadila 28 күн бұрын
Hiyo ya “ wanaume kubinuka binuka “. 😂” imeniacha hoi. Mwanzoni nilifikiri kwamba wanabinuka sarakasi. Mibinuko haramu lazima ikome
@neemakamgisha2951
@neemakamgisha2951 Жыл бұрын
Asante Sana mbunge wasipochukulia hatua selikali tutajua Hawana lolote
@salimliemba3458
@salimliemba3458 Жыл бұрын
100%🔥🔥🔥🔥🔥
@bahaticharles2013
@bahaticharles2013 Жыл бұрын
Mungu akubariki umesema vyema
@hellengwopundo4927
@hellengwopundo4927 Жыл бұрын
Umeonae ,makonda aliongea saaaana wakamwona Kama kichaa , mjinga, mpumbavu,tena viongozi wakawa wanamzushia maneno kila siku ili akamatwe sasa Leo mnamkumbuka,mkiona mtu anakemea Jambo ambalo halifai inatakiwa muwe kitu kimoja ona leo,makonda MUNGU akubariki popote pale yupo
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 Жыл бұрын
Hapo umesema. Kiukweli viongozi wetu wakubwa hawajawa serious na hili jambo. Museven kalikalia koona hana mchezo. That's what we need for TZ, do mtu unaogopa hata kutuma mtoto dukani. Seriously!!!
@afropanorama4730
@afropanorama4730 Жыл бұрын
sheria ya ushoga ipitiwe upya na kuongezwa vipengele na makali kama tunataka kutokomeza huu ushetani
@EricaVenance-uw8kv
@EricaVenance-uw8kv Жыл бұрын
Tuna kushukuru baba kwahoja mungu akutangulie.
@ngwegwenurdin4318
@ngwegwenurdin4318 Жыл бұрын
Huu wakati si wakati wakuleteana makuzi wala upuuzi. TUWAONE SASA! KWANI SISI UJINGA TUNATAKA!!. WANATURUSHIA STIMU. MADEMU SIO HADIMU, MAMENI SIO HADIMU SASA NINI? LAANA?... WANAZINGUA VINAOWAWASHA.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Tumechukia sana kauri ya rais kuhusu ushoga
@meshackmwalongo9798
@meshackmwalongo9798 Жыл бұрын
Wasanii wakiume wanavaa sketi hivyo niviashiria vyaushoga.
@adammmanga1664
@adammmanga1664 Жыл бұрын
good kiongozi
@dykonshazi9104
@dykonshazi9104 Жыл бұрын
Smart brain
@emmanuelmodest7457
@emmanuelmodest7457 Жыл бұрын
Halafu Kuna mtu kiongoz anakuja kusema fanyeni wakubwa tu watoto muwaache,. Kweli? Sijui tunaenda wapi
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 Жыл бұрын
Mungu akulinde sana babaaaaa
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Asante mbunge tunaumia jamani hili swala lipigeni vita jamani
@ngwegwenurdin4318
@ngwegwenurdin4318 Жыл бұрын
Shua , wataumia wasiojielewa. Serikali ya vichwa vyao. SHOBOZ
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
Au wangekamata mashoga 5 tuu then wakawabana wataje mabasha wao kisha wahasiwe na kutangazwa adharani na itangazwe ndio sheria mpya tuone km wataendelea
@marthaanton6967
@marthaanton6967 Жыл бұрын
Asante mno mbunge ulindwe na Mungu ww😭😭😭
@godfreysizya3711
@godfreysizya3711 Жыл бұрын
Makonda arudishwe anyooshe jiji
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Жыл бұрын
yaaan makonda na sabaya ndo walikua jembe kukomesha hayo jaman warud kazin wafanye kaz
@iet_tanzania
@iet_tanzania Жыл бұрын
Well said
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed Жыл бұрын
Kweli kabisa umeongea
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 Жыл бұрын
Mbunge una akili nyingi sana. Hili jambo ni zito mno!! Viongozi/ wakuu wa nchi jueni huko ahera swali mtakalo kutana nalo ni hilo, ushoga ulipotamalaki nchi kwako mlichukua hatua gani kupambana nao! Kwa hili Afrika Mashariki lazima tuungane kuwakomboa vijana wetu na vizazi vijavyo .
@sharifaoctavian6478
@sharifaoctavian6478 Жыл бұрын
SAFI MBUNGE SAFI SANA
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 Жыл бұрын
Amejenga hoja vizuri
@MR_NONAME_TZ
@MR_NONAME_TZ Жыл бұрын
kamata aisee dah!! wakamatwe kwa kweli
@SanareLaizer-en5it
@SanareLaizer-en5it 2 ай бұрын
Kweliiii??
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Pointi mbunge wangu
@manjaruu1575
@manjaruu1575 Жыл бұрын
Umeongea point ila kmmke itasaidia hiii mbona kama nahisi wataku ignore aseeee
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Tundu Lissu alikuwa na mpango wa kujenga hotel ya kitalii huko kusini na hela kapewa na wasenge Amsterdam nk.FUATILIENI SANA.HATARI
@stukiaally4690
@stukiaally4690 Жыл бұрын
Magufuli baba na Makonda kaka mambo yameharibika sasa mtakumbukwa sana
@erickrakitic9113
@erickrakitic9113 Жыл бұрын
Sasa nyie si ndiyo watunga sheria?
@sherallysherally1203
@sherallysherally1203 Жыл бұрын
Nakuunga mkono Mh. Mbunge. Mimi ni kiongozi wa kidini. Nakubaliana nawe. Sheria zetu ziwabane zaidi Mashetani hao. Hukumu ya kunyongwa HADHARANI TU, ndiyo itatokomeza Vitendo vya Kaumu Luut. ( Wafanyao Liwati). Vinginevyo Madhara yake ni makubwa .
@geofreysolomon3728
@geofreysolomon3728 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅tundu la huyu kaka unaweza kuingiza vidole viwili
@neemavenance5524
@neemavenance5524 Жыл бұрын
Safi mbunge konywa soda
@barakakings
@barakakings Жыл бұрын
Anzeni na hawa wanao jipost , hawa wenye followers insta,hawa wanao wanao fanya kazi kwenye Tv na Redio. Wengi wana waiga hao , hii kitu inaonekana ni kawaida
@estermachea3373
@estermachea3373 Жыл бұрын
IPO siku nipo tayari kupinga ushoga
@hallowkij5677
@hallowkij5677 Жыл бұрын
umeiangea vzur
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Жыл бұрын
Mm naona haita saidia kuwafunga sababu wakienda gerezani wataendereza tabia hiii kwahyo Chakufanya jengeni gereza Rao ikishindikana mturuhusu sisi wanainchi TUANZE KUWAUA taratibu wataisha tuuu
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Ай бұрын
Wabunge wenyewe ni mashoga wanatumiwa na mabeberu mm nafikiri ingeundwa kikosi cha mauwaji ambacho kitafanya kazi kimya kimya kuuwa mashoga wote rais wetu mwenyewe huyu hata hatumuerewi erewi nani atasema
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Mnamkumbuka hadi makonda sasa makonda alilianzisha hili sakata la ushoga sijui limezimikaje .ila kiukweli tunaumia sana zaidi ya sana selekali ijitaidi kutokomeza ushoga aise .
@ezekieltemba8145
@ezekieltemba8145 Жыл бұрын
Serikali tungeni Sheria Kali dhidi ya vitendo hivi mbunge ameongea vizur sana chukueni hatua Kama kweli mnachukizwa na vitendo hivi
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 11 ай бұрын
Taifa hili watu kama makonda wame nyimwa uongozi nafasi wazibiti wa ushetani wame chukiwa
@veronicamshubi7146
@veronicamshubi7146 Жыл бұрын
Yale yale mpira unarudi kwa kipa utawala ule wa kina magu na makonda ndio utawala bora
@seifkipwasa1353
@seifkipwasa1353 Жыл бұрын
Jamaa kaongea ukweri
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 Жыл бұрын
Viongozi wote walioko madarakani wamesajiriwa kuzimu
@NadiaNas-yk8ym
@NadiaNas-yk8ym Жыл бұрын
Wengi wao wanogopa kuongelea kwsababu wasije nyimwa viza kwenda marekani
@felisteralex3716
@felisteralex3716 Жыл бұрын
makonda alivokuwa anapingana na hayo Mambo watu wakubwa wenyewe ndo walimzima walimuona Kama anakiherehere mpk bungeni walimjadili wakauliza Kwan yy makonda ni Nani lkn Sasa wanaona umuhimu wa kazi aliekuwa anataka kufanya,, shida ya watanzania hatujui nn tunataka, makonda alifanya hao mashoga waanze kukumbia mji lkn wenyewe mlimkatisha tamaa baba wa watu akakaa kimya
@AlenKinyina
@AlenKinyina Жыл бұрын
Serikali ianze kupiga marufuku kina Joti na wasanii wengine wa kiume wanaoigiza Kama wanawake, hii inasababisha watoto kuiga na mwisho kutamaniwa na kuwafanya mashoga
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 107 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 91 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 110 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Ni kuri na njira njeru cia kweheria Rigathi Gachagua wabici-ini.
27:06
KAMEME OFFICIAL PAGE
Рет қаралды 1,5 М.
HALI ILIVYO Kwa MKAPA, WANANCHI WAANZA KUUJAZA UWANJA...
2:03
Global TV Online
Рет қаралды 53 М.
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 107 МЛН