MBUNGE ASEMA BILA AIBU Huu ni UONGO wa WAZIRI “Mashoga Wapo HUMU Bungeni, Wachape VIBOKO Hadharani”

  Рет қаралды 198,100

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Жыл бұрын

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 312
@fridageorge2809
@fridageorge2809 Жыл бұрын
Mama wewe Mungu akulinde Uchungu wako Mwenyezi Mungu ameusikia!
@hassanijalala
@hassanijalala Жыл бұрын
Sema mama una ongea bila uwoga uwo ndio uogozi mzuri Asante Sana hongera mama
@viviantarimo7440
@viviantarimo7440 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukutumia kulitetea taifa hili mama yetu 👍👍
@charlesadolf1062
@charlesadolf1062 Жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema akubariki sana sana kwa kusema kweli bila ya woga. Hii ndiyo maana ya kuwakilisha wananchi.
@eunicemaganga4350
@eunicemaganga4350 Жыл бұрын
Hongera mama kwa kuusema ukweli Mungu akubariki na kukuongoza
@abuuluqmaana8444
@abuuluqmaana8444 Жыл бұрын
Hingera sana mama yaani wewe ni mzazi kweli na mungu akuongoze
@rithaurassa
@rithaurassa 4 ай бұрын
Hongera saaaaana mama Mungu atakusaidia USIJALI kabisa,wajitokeze wengine kama wew na wasikae tuu kwenye viti kama hawalielewi hili, mapumbav saanaaa
@peterbujari5128
@peterbujari5128 Жыл бұрын
Mh. Janeth Umesema vema. Leteni sheria kali inayoadhibu hata ushahidi mazingira . Tumuogope Mungu di Mwanadamu
@robertabel6984
@robertabel6984 Жыл бұрын
Big up mama umenena mbunge na wakili mwaminifu
@zakiaramadhan6976
@zakiaramadhan6976 Жыл бұрын
Mmmmmh!!Hii ni noumaa Sana..Huyu mama kaongea point sanaa...Mama ahsante sanaa..Dunian tunapita tuu wakuogopwa ni MUNGU.,Waambie kabisa mama wasijisahaulishe kwamba leo tupo kesho hatupo anayejua hatia yetu ni Mwenyez MUNGU tuu.
@partnersah8802
@partnersah8802 Жыл бұрын
Hakika
@ibrahimmawazo5077
@ibrahimmawazo5077 Жыл бұрын
Wallah, mungu akulipe kheri mama angu! nimeona kiasi gani umechukizwa na hili. Jazakallah kheir
@lyrical5562
@lyrical5562 Жыл бұрын
Huyu mbunge Mungu atamlipa kwa msimamo anaonesha hakuna kuficha katika jambo kama hili 🙏🙏✅️✅️
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Жыл бұрын
Hahahahahah! Watoto wasenge tusiishi nao tusitumie lugha nyepesi tuishi hapo hapo kwenye uwazi…😂😂😂
@camilomassao8971
@camilomassao8971 Жыл бұрын
Mama nakupongeza bure kwa hoja zako nzuri 🫡
@lameckmbise4834
@lameckmbise4834 Жыл бұрын
Mungu akubariki mama, Taji yako imeongezeka kwa Mungu
@barakafredrick9492
@barakafredrick9492 Жыл бұрын
God bless you mama, tunahitaji kusimama thabiti kuhakikisha kuwa tuna tokomeza wimbi lote la ushoga.
@fikirikasuka0001
@fikirikasuka0001 Жыл бұрын
Utawezaje kutokomeza wimbi la Ushoga wakati Dunia inajitafuta katika mwisho wake
@residentidiot9694
@residentidiot9694 Жыл бұрын
Acheni ma uzinzi na uwizi na ulozi pia. Hata hizo ni dhambi mbaya. Mziache
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp Жыл бұрын
Mungu akupe kilala kher kwa ukweli ulio sema mama
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Asante mbunge kweli kabisa lisenge litoto lanini
@aishasuleiman3774
@aishasuleiman3774 Жыл бұрын
Mungu akubariki mama hudaiw tena hata Malaika wanafurah sana kwa hilo
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
siku tegemea mwanamke anaweza kuzungumza hivi hongera sana sana mama unafaaa kua wazili wa mambo ya ndani hongera mama ila juzi mwanamke mwenzio kaaahidiwa madolla 1.b. na chenchi watu tutaishia kukasilika2 ila kupja stop kabx hatuwezi kwasababu ya kuomba omba angaria2 kwa museven moto alio washiwa kwasababu yy kasubutu kweli
@shakilaabdallah7890
@shakilaabdallah7890 Жыл бұрын
Daah inauma sana kwakwel
@AbrahamTwoseven-il3km
@AbrahamTwoseven-il3km Жыл бұрын
Mama mungu akusimamie kila hatua unayo ipitia Asante mama
@yustoerioth2756
@yustoerioth2756 Жыл бұрын
nmekupenda sana mamaangu mungu akubaliki
@estherluvanda1192
@estherluvanda1192 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mheshimiwa Mbunge
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Жыл бұрын
Mama Mheshimiwa na wote kuhusu hilo Mbarikiwe Wapendwa Okoeni Taifa mbaya sana
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 Жыл бұрын
MashaAllaah MashaAllaah umesema kweli mabasha ndio walowaharibu watoto na kuwaogopesha wamesahau duniya watafanya wawatakayoo kaburini ya wangoja wamejisahau kama kunamajoka na Moto,,,na Akherah yawangojaa.
@SilasMollel-mp9ib
@SilasMollel-mp9ib Жыл бұрын
Daaa mama barikiwa sana kwa kweli ni mbaya sana
@denisshow522
@denisshow522 Жыл бұрын
Hongera sana sana Mama ongea Mungu awe nawe
@danJG537
@danJG537 Жыл бұрын
Mamaa hongera👏👏👏 sana Mungu wangu akubariki...I pray to God to change my🇰🇪 country too to have such leaders.
@SaidaMsechu-jg8uo
@SaidaMsechu-jg8uo Жыл бұрын
Safi sana mama. Mungu akubariki sana. Watanzania tuungane kutokomeza hali hii ya usagaji na ushoga.
@pakashume725
@pakashume725 Жыл бұрын
Hongera sana mama!!! Umethubutu!
@kabulukimati
@kabulukimati Жыл бұрын
Zile.nguo.vupi.jamani.na.milegezo.ziondolewe.jamani.bunge.pambaneni.wekeni.sharia.kali
@salumjawadu1520
@salumjawadu1520 Жыл бұрын
Humo ndani ndio kuna wadhamini wakuu wa mashoga, nakupongeza sana na hongera sana maana humo humo mashoga hawatokosa na wanawake wanao tumika kinyume na maumbile wapo upuuzi mtupu... Hili swala lifanyiwe kazi matoto mapuuzi yamejaa mtaani alafu yote mashoga majinga matupu
@mfalmekeffah5049
@mfalmekeffah5049 Жыл бұрын
Mama unaogopa tena c unyooshe hapo mwisho alaaah sasa unataka kuficha tena
@andreauisso3225
@andreauisso3225 Жыл бұрын
Shida ya wabunge wetu wanaongea sana tuleeteeni sheria ya kunyonga mashoga wote kama ya uganda
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Жыл бұрын
Kumbe uganda wananyonga safi sana
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio Жыл бұрын
Kuwanyonga sio dawa; dawa ni kuwatafuta wanaowatengeneza mashoga!
@masterrhymes8046
@masterrhymes8046 Жыл бұрын
​@@moonlight80s kama kweli unaijua dini unavutiwa vipi na matendo machafu ambayo mungu ayataki
@masterrhymes8046
@masterrhymes8046 Жыл бұрын
@@moonlight80s nafikili wewe ndo huna akili ya kutosha kushindwa kufafanua ulicho kimaanisha.. unavutiwa vipi na jinsia moja au na wewe ndo wale wale
@GregoryMnyakasha-yk7zo
@GregoryMnyakasha-yk7zo Жыл бұрын
Umenifurahisha sana kesho useme mbona wanaume unapenda mavi tukiwapikia chakula nendeni mkalie chooni sema hivyo
@jitubovu681
@jitubovu681 Жыл бұрын
Mama umeongea ukweli kabisa wapimwe wabunge
@habibarashdi2250
@habibarashdi2250 Жыл бұрын
Hongera muheshimiwa lakini tunahitaji hatua hatua ichukuliwe,nawabunge pia wapo wanaofanya uchafu huo
@remmyalfred6736
@remmyalfred6736 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mama wewe ni mtumishi wa Mungu na umeonesha utumishi wko wa Mungu hadharani. Mungu akutunze
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 Жыл бұрын
Mama umenena , ubarikiwe Sana ❤
@shakilaabdallah7890
@shakilaabdallah7890 Жыл бұрын
Mama umongea point mungu akulinde na maadui
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 Жыл бұрын
Safi sana mama unaupiga mwingi
@stalinmkumbo8564
@stalinmkumbo8564 Жыл бұрын
Issue sio kusema sana tungeni Sheria ngumu. Mkishindwa hapo mtakuwa mmeisaliti nchi.
@sharfumbarouk6168
@sharfumbarouk6168 Жыл бұрын
Ni hakika kusema Sana Ni Kama kueneza zaidi uovu nauozo huu ila Ni kuchukua hatua stahiki ya kuhakikisha wamepotezwa Kama Ni kunyongwa na sheria isimamiwe na yeyote atakae onyesha viashiria tu basi sheria uchukue nafasi yake HUO UOVU HARAKA SANA UNAISHA NA KUPOTEA sio naneno tu nyinyi wabunge ndio muhimili pekee wa kuodosha uozo huu
@saidabdallah5917
@saidabdallah5917 Жыл бұрын
Thanks mama tunapoteeeza nguvu kaziii
@esthermasonganya2236
@esthermasonganya2236 Жыл бұрын
Mama hongera hongera tena Mungu azidi kukupa ujasili wa kuongea kokote ili taifa hili lisigeuke nguzo ya chumvi Mungu alitunze bunge letu na wale wenye mapenzi mema ma nchi hii
@josephmoyo5617
@josephmoyo5617 Жыл бұрын
Hao wabunge wenzako wamekuelewa kweli? Binafsi nimekuelewa vzr na Mungu akuzidishie hekima na ujasili pia akulinde maana hapo umeshaanzisha vita.
@salmasalim3525
@salmasalim3525 Жыл бұрын
Hongera mama kwa kuweka haki wazi
@zenassylvester125
@zenassylvester125 Жыл бұрын
Dada kunywa bia. ..... Nimependa sana umewakirisha vyema hongera sana.... Mungu akupe baraka
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Mama MUNGU akupe ulinzi. Kauli ya mkuu wa nchi kwamba mijitu zima wana uhuru wa kutumia miili yao. Maana yake ameruhusu mijitu zima. Sasa watoto watalelewaje vizuri Na mijutu inayotumia miili yao vibaya??? MUNGU awabariki sana wabunge wanaotuwakilisha viema kukemea jambo hili.
@izzofaith_lalisa3476
@izzofaith_lalisa3476 Жыл бұрын
Ubarikiwe na Mungu akupe kuwa thabiti zaidi
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Жыл бұрын
Safi sana MAMA❤❤❤❤❤
@jusamamachela468
@jusamamachela468 Жыл бұрын
Mamb vp aish
@MohamedIbrahim-kd5et
@MohamedIbrahim-kd5et Жыл бұрын
Mama umeongea ukweli mtupu.mungu akulinde watu Kama nyinyi hampewi nafasi huenda wanao wanyima hizi frusa ndio mapapai wenyewe ndio mana hampati nafasi.ila mungu atakuongezea point Asante sana
@japhetilamosai6756
@japhetilamosai6756 Жыл бұрын
Mama umeongea kweli serekali waweke sheria watakao bainika wasipe haki ya kuishi
@marcopeter4091
@marcopeter4091 Жыл бұрын
MUNGU Akubariki Mama
@albertadalabert5702
@albertadalabert5702 Жыл бұрын
Akika wewe ni mama Bora sana hivi kwanini Tutawaliwe mpaka Leo🤷🤷 hivi wanatuchukuliaje kwanza
@helonimwelida6227
@helonimwelida6227 Жыл бұрын
Ongea hiyo ndo kazi iliyompeleka bungeni
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Tunataka sheria tu Kama mashoga wauwawe au tuwafunge
@ramsojimmykelly3379
@ramsojimmykelly3379 Жыл бұрын
Mama nimekukubali
@bernardnjau4381
@bernardnjau4381 Жыл бұрын
Hogera mama Mungu akuzidishie maisha marefu ya furaha napenda maongezi yako
@marcorwegasira5845
@marcorwegasira5845 Жыл бұрын
mungu akulinde mama nime kubali mchango wako akuna kumgunya maneno anaye staili kuogopwa ni mungu tu kama Kuna baadh yawa bunge ni mashoga wa pewe sumu wage na Shelia itungwe mala mmoja atutaki ushoga tanzania
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Жыл бұрын
MAMA SAMIA SULUHU PITISHA SHERIA.MUNGU ATAKULINDA MAMA.❤❤❤❤
@ramadonehp18
@ramadonehp18 Жыл бұрын
Awez pitisha hy sheria kwasbb anapenda misaada ya watu wa magharibi
@ClementJacob-sd8lf
@ClementJacob-sd8lf Ай бұрын
Good speech one africa tunajenga sio kupasuwa
@kakubadiana216
@kakubadiana216 Жыл бұрын
Asante sana mama kiongozi kusema ukweli mashoga wachukuliwe hatia
@deokessy6596
@deokessy6596 Жыл бұрын
Nice speech
@dawoudal-arabiybik3747
@dawoudal-arabiybik3747 Жыл бұрын
Mashaallah mama big up
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@samoramussa5336
@samoramussa5336 Жыл бұрын
Kunawabunge mashoga? Au nimesikia vibaya?
@josephgoliama8068
@josephgoliama8068 Жыл бұрын
Daaaahh yaani kuna Viongozi mabasha? Inasikitisha
@wilsonytz6730
@wilsonytz6730 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana umeongea kama mzazi kabisa ila tunataka mtuo hukumu kali kwa yeyote atakayebainika anafanya huo upumbavu najua selikali ina hazina kubwa ya marisasi huu ndiyo mda wa kuyatumia hatuwezi kuwa na taifa la kisenge kwa sabab ya watu wachache wasiojitambua napendekeza hukumu ya shoga na mwezie basha ie ni kuchichinjwa hadi wafe hadharani ili watu wengine wasije wakazubutu kufanya kitendo hicho cha kishetani
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 Жыл бұрын
Hongera mama uko sahii
@khadijasalimu2173
@khadijasalimu2173 Жыл бұрын
Hongela mama Allah akubariki Sana mungu akurinde katika uwongozi wako uko vizuri sana
@diodaud9264
@diodaud9264 Жыл бұрын
Kweli Kuna awamu ilipita ilisajili mashoga nakuwaweka sekta mbalimbali eti leo mwanaume analishwa keki namwanaume mwenzake!!
@stephenmtambo229
@stephenmtambo229 Жыл бұрын
hongera sana mama
@agnesteacher7036
@agnesteacher7036 Жыл бұрын
Yaani huyu mama kaongea kama mzazi aisee
@DenizaChambala-is5hm
@DenizaChambala-is5hm Жыл бұрын
Sawa kabisa lkn hata ugumu wamaisha unachangia vijana wanaona huko ndo kupoteza mawazo kumbe ndo kupoteza,mwenyez mungu atufanyie wepes tunaangamia
@florarog548
@florarog548 Жыл бұрын
Hongera sana mama
@festondimbila
@festondimbila Жыл бұрын
Swala la ushoga pingen hili n pgo la mwisho ambalo Mungu hataangalia ulitenda nn jana atapga taifa kwa mapigo makuu itakuwa kilio na kusaga meno
@mwitajoseph5003
@mwitajoseph5003 Жыл бұрын
Siku zote jasiri huwa ni wachache
@macklindaniel
@macklindaniel Жыл бұрын
Pamoja na kuteteleka ktk malezi lazima tukemee ufidhuli huu kwani hats wanyama hawakosei sembuse binadamu. Huu in uovu unaoweza kusababisha ghadhabu ya Mungu kwetu
@khamisikhamisi2501
@khamisikhamisi2501 11 күн бұрын
Safi mama mungu akuongoze hatutaki ushoga
@yasiniswedi8835
@yasiniswedi8835 Жыл бұрын
Ujanja WA mafsadi wanawapeka kwenyehojazaushoga ilimsijadili ufsadi unaofanyika poleni Sana kwakupgwachengayamwii namafisdi
@shadhily3405
@shadhily3405 Жыл бұрын
Asante sana mama sasa twataka wabunge wa namna hii
@PrudensianaMsofu-ve9ys
@PrudensianaMsofu-ve9ys Жыл бұрын
Safi sana mama
@geeva99
@geeva99 Жыл бұрын
Mi naona hapa sheria ni moja tu, isainiwe mikataba na nchi za ulaya na marekani wakaishi huko kiroho safi huko kuna demand yao kubwa zaidi
@ananiamwigavile5874
@ananiamwigavile5874 Жыл бұрын
Sema mama! wasenge wasenge naabasha lazima wapotezwe
@paulmalagila4152
@paulmalagila4152 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Жыл бұрын
mama jasiri sana safi sana
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 Жыл бұрын
Maneno sahihi dada angu
@directorxaimaco5729
@directorxaimaco5729 Жыл бұрын
Safi sana
@emilylyimo8157
@emilylyimo8157 Жыл бұрын
Waache kweli wwnye tabia hiyo ni ujinga
@suleim505
@suleim505 Жыл бұрын
UMEONGEA point
@user-rq7rz9lq4l
@user-rq7rz9lq4l Жыл бұрын
Nice speach ,2025,nahamia jimboni kwako kukupigia kura
@Anton-yt6eo
@Anton-yt6eo Жыл бұрын
Safi sana mama❤
@EmmaPaulo-rh1kk
@EmmaPaulo-rh1kk Жыл бұрын
Mama umeongeya ukweli akubari na kukutunza na kukulinda amen
@zubedamagambo8139
@zubedamagambo8139 Жыл бұрын
Hongera muheshimiwa, umeongea vzr sn mama.
@peterdoisso2414
@peterdoisso2414 Жыл бұрын
Upo vizuri mama.
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 Жыл бұрын
Hakika sipati picha kwa wa Magharibi na babayao wanavyokunja sura huko,,
@victoriajulius5239
@victoriajulius5239 Жыл бұрын
Mama umemaliza wanataka watu wasizaliane ili tuwe wachache tuwe wadhahifu wanaume wawe dhaifu washindwe kutawala washindwe kuwa mashujaa
@claudiajames2003
@claudiajames2003 2 ай бұрын
Dah mama Mungu akuweke!
@roseyohana3500
@roseyohana3500 Жыл бұрын
Baada ya haya yote kusemwa tunataka hitimisho nini kifanye.
@lulurubby2235
@lulurubby2235 Жыл бұрын
Mama bi kidude atoe tamko
@darusonalkam2034
@darusonalkam2034 Жыл бұрын
Hii nchi ina viongozi waoga kwakuwa kuna viongozi wa senge tena wakubwa wengi ,ila nakwambia km sheria ya ukum ya ushoga aifanyi kazi mashoga awawezi kwisha
@marthabaruani1087
@marthabaruani1087 Жыл бұрын
Amen mama, Mungu akutunze
@joackimmbonde4125
@joackimmbonde4125 Жыл бұрын
Amina
@jasiminjasimin7694
@jasiminjasimin7694 Жыл бұрын
Kweli kabisaa mama wachapwe kabisaa wanatudharirisha
@rabsonchristopher2850
@rabsonchristopher2850 Жыл бұрын
Asant Sana Mama
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 56 МЛН
MWIGULU AMVAA ESTER BULAYA / UNANIANGALIA SANA MIMI / WABUNGE HAMUONI AIBU
9:56
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН