Mbunge ashusha NONDO nzito kuhusu USH0GA atunzwa PESA, Spika aguswa na kumuongeza muda

  Рет қаралды 79,769

Habari Digital

Habari Digital

Жыл бұрын

Пікірлер: 127
@sionlemajoel72
@sionlemajoel72 Жыл бұрын
Huyu mama ana hekima ya kiMungu. mama tunashukuru Mungu alikuweka bungeni kwa wakati kama huu. Mungu aendelee kukupa neema sana wewe na uzao wako. ubarikiwe sana. hawa ndio viongozi tunaowataka kwa dunia ya sasa
@izabofficial
@izabofficial Жыл бұрын
Greetings from Rwanda! I'm Jonas IZABAYO. Nashukuru wabunge wa tz na Nina Imani kuwa Rais wa nchi nzuri tz hataacha ushoga ushamiri nchini. Tumfuate Mungu kwa kusikiliza msimamo wa hayati Magufuri.
@salomeobeid2507
@salomeobeid2507 Жыл бұрын
Huyu mheshimiwa alicheleweshwa sana kuwepo bungeni barikiwa sana Umeongea point tena kwa uchungu Mungu akutunze mh Jesca msambatavangu ❤❤❤
@AgnesThobiasi-hu7sd
@AgnesThobiasi-hu7sd Жыл бұрын
Nimependa speech Yako mama yangu atamimi nitawaeleza hayo na wengine mungu atusaidie.🙏
@selemanmoses1310
@selemanmoses1310 Жыл бұрын
Daah nimejikuta machozi yananitokaa...ubarikiwe sana we mwanamke .
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 Жыл бұрын
Mungu akubaliki mama akulinde sana wewe na uzao wako dhidi ya hao mashetani hatuwapendi tupo tayali kufa kuliko Haya mambo vijana kulawitiwa badala ya kutuuwa kwa makombola wameamuwa kutuangamiza kwa maangamizi makuu ya kuuwa nguvu kazi yetu kwa madawa ya kulevya ushoga usagaji nimeumia kupita maelezo
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 Жыл бұрын
Safi Sana mama wamarekani ni mavi mavi na limakamu lao limekuja juzi hapa
@christinamsoka
@christinamsoka Жыл бұрын
Mh Waziri Dorothy Gwajima chukuwa kitu hapo na Mungu akusimamie ktk mambo yote.Nampenda Mh Waziri Dorothy Gwajima
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Жыл бұрын
Wazungu wapuuzi sana wanataka kupunguza idadi ya watu duniani ili waje kwenye bara letu la Africa watutawale vizuri na kutuibia mali asili zetu. Mungu yuko nasi.. Tanzania tuko imara sana. Watashindwa kwa uwezo wake yeye bwana🙏🏽 🇹🇿
@hyasintasilayo2588
@hyasintasilayo2588 Жыл бұрын
q
@hassinaalharthi5984
@hassinaalharthi5984 Жыл бұрын
ameen
@hellenmarandu1787
@hellenmarandu1787 Жыл бұрын
Nimekupenda mamy thanks for raising your voice
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Жыл бұрын
Mama uko vizuri mnooo!!! Una uchungu na Taifa letu. Mungu akubariki sana 👋🏽
@augustkisaka5107
@augustkisaka5107 Жыл бұрын
Asante mama nimekuelewa tena sana ,wanataka kufanya afrika isiwe na zizazi nasema aiwezekani
@crillarlawcmo2366
@crillarlawcmo2366 Жыл бұрын
No more words than thanking u abundantly..GOD BE WITH YOU
@juliusmartin1839
@juliusmartin1839 Жыл бұрын
Well done the excellence MSAVATAVANGU.
@adamamin8148
@adamamin8148 Жыл бұрын
Kweli mhshimiwa ongea ukweli inatuumiza vichwa usiku na mchana wazazi kuusu vijana wetu Sasa ivi tunawachunga kama mbuzi jamani tusaidien mawazir wabunge tunaumia Sana wazazi tufanye maombi Kwa Iman zetu.mashekhe na wachungaji mola wetu atuondolee tendo ili BAYA atuondolee laana inayotunyemelea
@josephmasonga8714
@josephmasonga8714 Жыл бұрын
Mambo aliyoyasema huyu Mbunge Kila mwenye akili timamu hawezi kuyapinga na Hana uwezo wa kuyapinga maana ni hekima ya Kimungu tu. Barikiwa
@johnmanyema6008
@johnmanyema6008 Жыл бұрын
Ushonga Tanzania haukubaliki 😭😭😭😭😭
@fredyjaphet5645
@fredyjaphet5645 Жыл бұрын
Nilikuwa sijui kama CCM wanaweza kuwa na vichwa vya namna hii, nilishazoea kusikia wakisifiana tuu, bigup kwako madam
@lilianchuwa455
@lilianchuwa455 Жыл бұрын
Mama ubarikiwe sana ,Mungu aendelee kukupa ujasiri wa kupigania vizazi vyetu
@tracymasangula213
@tracymasangula213 Жыл бұрын
Be blessed mama Mungu akulindeeee sanaaaaa maana ukweli wote umeusema🙏
@emanuelipatrick5297
@emanuelipatrick5297 Жыл бұрын
Pelekeni hoja bungeni, iwe kama Uganda itungwe sheria ya kupinga ushoga, apo ndio tutaona nia ya dhati ya kukabiliana na uovu huu, vinginevyo hayo maneno hayana tija sana ukilinganisha na uhalisia wa tatizo lenyewe
@nevermwambela3719
@nevermwambela3719 Жыл бұрын
Hongera Mh.umewakilisha vizuri sana watanzania wengi hawapendi hili jambo
@syabuslutangilomtwasamuelk2108
@syabuslutangilomtwasamuelk2108 Жыл бұрын
Hongera sana classmet wangu Jesca msambatangu siwezi kuhama dhehebu kisa hawanitaki. Ila kama kuna kazi tu naweza kufanya gu mkwawa Product 1990s
@user-uq6uv7mb4o
@user-uq6uv7mb4o Жыл бұрын
Asante Sana mama yang kulifumbua serikali maana hawaoni kipi wafanye ila chakwanza kupunguza tamaa za misada
@GabrielWarioba-co8qg
@GabrielWarioba-co8qg Жыл бұрын
jesca msambatavangu thank you mumy for your powerful message
@richardhosea8827
@richardhosea8827 Жыл бұрын
Jessca asante mama
@niceruyembe2488
@niceruyembe2488 Жыл бұрын
Barikiwa sana mama.ww ni jembe kweli kweli.unacho kibali kwa kweli.waliojiingiza huko waombe Toba.Mungu tunakuomba ibariki Tanzania.ikalete matumaini Duniani.
@brianabangi3365
@brianabangi3365 Жыл бұрын
Well said....can feel voice of the people right's
@lovesallu5292
@lovesallu5292 Жыл бұрын
Mungu akutunze Mama... Machozi Hadi yamenitoka
@shakilamselo-fz8td
@shakilamselo-fz8td Жыл бұрын
Watu wa dizain hii wawekewe ulinzi maono yako yatimie mama mungu akupe hekima na busara
@HopnessNgunda-tt4ms
@HopnessNgunda-tt4ms Жыл бұрын
Asante Mungu kwasababu badao wapo watu uliowaweka kwaajili yako kila sekta
@mariammmbaga976
@mariammmbaga976 Жыл бұрын
Ubarikuwe sana kwa kutusemea. Ningefanya hivyo hivyo. Yaani umenifurahisha ...
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 Жыл бұрын
Mama ubarikiwe sana kwa uinjilishaji huu mzuri Kwa kweli umeibjilisha
@janemwakikagile5458
@janemwakikagile5458 Жыл бұрын
Nondo zimeshushwa. Tumezipokea
@adoniasjohn8010
@adoniasjohn8010 Жыл бұрын
Mpaka ukamilifu WA dahari thanks good sound
@Jaffararyan080
@Jaffararyan080 Жыл бұрын
Kweli kabisa dada umeongea point sana
@mussaananiasmyonga727
@mussaananiasmyonga727 Жыл бұрын
Hongera sana mama mh.wa Iringa mjini...Kabisa kabisa.....huko Iringa.......
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Hao wanoiba wakemeeni kama mnavyo kemea ndoa ya jinsia moja maana zote zina madhara kwa taifa la kesho
@lucasalarubare4913
@lucasalarubare4913 Жыл бұрын
Mama ubarikiwe sana mungu akulinde
@DianaShayo-io1pz
@DianaShayo-io1pz Жыл бұрын
Mungu akupe Manisha marefu mama
@jubliq381
@jubliq381 Жыл бұрын
Hongera sana kwa kulizungumzia hilo
@peterfania1005
@peterfania1005 Жыл бұрын
👍👍❤️❤️❤️ Tanzania yesu
@simonlaizer6261
@simonlaizer6261 Жыл бұрын
Jaman mama mungu akulinde sana Kwa namna unavotetea vizazi vyetu
@havilabujeje3256
@havilabujeje3256 Жыл бұрын
Hongera mama umesema kwelii kabisa
@Obedvjoseph
@Obedvjoseph Жыл бұрын
Mungu akulinde mama. Huku watu wanalia
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 Жыл бұрын
Yoote tisa kumi solution ni nii adhabu ni nini itolewe
@jazzykanye4862
@jazzykanye4862 Жыл бұрын
Maneno mengi lakini hamna kitu. Ukitaka kusitisha hili Jambo kwa kuunda sheria. Lkn manen matupu ni siasa( kiini macho).
@xhabaniadiriani2508
@xhabaniadiriani2508 Жыл бұрын
Asante sana Mheshimiwa
@hassinaalharthi5984
@hassinaalharthi5984 Жыл бұрын
mama umesema ukweli mungu atakulipa na anae shabikia mambo ya shettan mungu atamshinda.
@nedmonad1175
@nedmonad1175 Жыл бұрын
Safi Sana mama MUNGU aendelee kukutunza😍
@toftin1eliah527
@toftin1eliah527 Жыл бұрын
Madam: umeongea Neno jema Sina Cha kukudai.
@ziadamtebwa3712
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Kwa kweli mungu awe nawe umeongea ukweli mtupu
@denisshow522
@denisshow522 Жыл бұрын
Pitisheni sheria mtu akigundulika ni shoga apigwe risasi
@BIZOZAMEDIATZ
@BIZOZAMEDIATZ Жыл бұрын
Namtafuna mashoga je?
@denisshow522
@denisshow522 Жыл бұрын
@@BIZOZAMEDIATZ wote piga risasi mlaji na mlwaji
@rindenimwanga6355
@rindenimwanga6355 Жыл бұрын
Huyu mbunge apewe ulinzi,ni kweli mila na desturi zetu zilindwe,yaandaliwe majarida toka Tz yapelekwe kwa hao wanaofadhili wajifunze mila zetu sio sisi tu tuletewe kila kitu.
@denisshow522
@denisshow522 Жыл бұрын
Nakuunga mkono 150%
@ShannyBrowntz
@ShannyBrowntz 26 күн бұрын
Mzee wachatto Upumzike kwa Amanii ukoo ulipo mafaily yanachaganywa ukuu,,
@geofreysolomon3728
@geofreysolomon3728 Жыл бұрын
hata wakigrow hatuwaruhusu wawe mashoga....tutawalazimisha wanaume wawe wanaume na wakike wawe wakike
@joshuajosephat2711
@joshuajosephat2711 Жыл бұрын
Amina sana mama
@kimilasayi2626
@kimilasayi2626 Жыл бұрын
Mimi cjaona umuhimu wa Royal toure kwa maana huwezi ukaanza kuonyesha siri ya nchi yako , Na ndo maana mwanamke siku zote ni mpshi , mzaaji watoto na kulima basi , upande wa uraisi ni mwanaume.
@MASHALALUGIMBANA-lf8qd
@MASHALALUGIMBANA-lf8qd Жыл бұрын
Hongera mama
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 Жыл бұрын
SEMENI, FOKENI, WAKOME NA MVUNJE TAASISI ZAO, SISI HUKU WA KIROHO TUNAFANYA WAJIBU WETU...
@xwabiesabasi4414
@xwabiesabasi4414 Жыл бұрын
On point
@mustaphampandi137
@mustaphampandi137 Жыл бұрын
mbunge huyu anae Pinga ushoga namuunga mkono nasisi tutategkeleza ushoga ni hatar nilaana
@EmmanuelMagwaya-qu2rz
@EmmanuelMagwaya-qu2rz Жыл бұрын
Ilo swala aliliweza marehem tuu nyi wengine mnpiga kelele tuu bhnaa
@mosesbarnaba7851
@mosesbarnaba7851 Жыл бұрын
Safi sana mama
@revocatusmahatane2955
@revocatusmahatane2955 Жыл бұрын
Safi sana,umeongea vizuri
@LuluMwambene-bo9bo
@LuluMwambene-bo9bo Жыл бұрын
Mungu akasema nipate wapi wanawake wakuomboleza kwakwel kamwinuwa uyu mama ubalikiwe na akupe ulinzi
@lilianijoseph4695
@lilianijoseph4695 Жыл бұрын
Wanunuzi nao waache hilo ndio tatizo kubwaaa jamani Loh
@veronicamoringe2210
@veronicamoringe2210 Жыл бұрын
Well Said.
@jumaungando6582
@jumaungando6582 Жыл бұрын
Mbunge makin... kaz nzur
@naomimbise5521
@naomimbise5521 Жыл бұрын
Apa siyo yeye ameongea BWANA YESU kristo ameingilia kati kuhusu swala hili la jinsi Moja,
@priscarsway6933
@priscarsway6933 Жыл бұрын
Mama ubarikiwe
@alexramadhani6660
@alexramadhani6660 Жыл бұрын
NATANGAZA LASIMI LEO MASHOGA WAUWAWE HALAKA IWEZEKANAVYO🙄 POPOTE WALIPO
@cynthiamcguire1495
@cynthiamcguire1495 Жыл бұрын
On point kweli.
@mwakisukuli2124
@mwakisukuli2124 Жыл бұрын
Barikiwa sana mama
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 Жыл бұрын
Mama kaonge ukweli kabisa ❤❤
@sigfridprotas5695
@sigfridprotas5695 Жыл бұрын
Mh Mbunge hongera kwa umethubutu kukemea
@samwelinyaku3810
@samwelinyaku3810 Жыл бұрын
Fact
@laukhanpaulo4996
@laukhanpaulo4996 Жыл бұрын
Daaah dada nimefrahi Sana jaman Tanzania hatupendi ushoga kabisa unafika wakati ukikutana na lishoga nijiani nywele usisimka utafikiri umekutana na simba mwisho wao waja wakufe peke yaoo
@chongelwadaud4912
@chongelwadaud4912 Жыл бұрын
Asante kwahilo❤
@aidaikahimbi7056
@aidaikahimbi7056 Жыл бұрын
Mama upo vizuri sana
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 Жыл бұрын
Hili la ushoga ni kaa la moto inauma jamani hakuna ndoa ya jinsia moja ni ukatili ni unyanyasaji ninachukizwa kabisa na yoyote anaesababisha ushoga nausagaji ccm naomba mtafakali sana mnajitia kitanzi wenyewe
@rukiabakari3946
@rukiabakari3946 Жыл бұрын
Safi Sana mama
@Tatu-fg6sg
@Tatu-fg6sg Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@davidcheyo5160
@davidcheyo5160 Жыл бұрын
Viongozi wa nchi za kiafrika lazima wajifunze nn maana ya kusimami a lasirimali za taifa , Ni pamoja kulinda mila na desturi za taifa, kama huwezi kubuni vyanzo vya mapato ya taifa, unataka misaada kutoka nje yenye ajenda zake tuachie nchi yetu ondoa vurugu. Waachie wenye uwezo. Tunahitaji kujitegemea sio kuomba msaada yenye ajenda mbaya kwetu
@fellistermillinga1653
@fellistermillinga1653 Жыл бұрын
Uku gairo watoto mtaa mmoja watoto tumewagungua kumi tumewapeleka polisi tumewapima wameasiliwa wote akuna Alie pona je?tukiwapima mtaa mzima siatali iyo nawatu wanaofanya vitu ivyo wapo nawanatamba mitaani
@EdisonGodwin-lb7il
@EdisonGodwin-lb7il Жыл бұрын
Madam sema yes
@salmonnashon
@salmonnashon Жыл бұрын
Ushoga Tanzania hatuwezi
@user-jk7tq7xq2f
@user-jk7tq7xq2f Ай бұрын
Serekali tunaomba msikie Sasa mtaani Hali Ni mbaya jamani
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Жыл бұрын
Maneno mazito sana
@pendosailo1989
@pendosailo1989 Жыл бұрын
It's true they're confused
@ManMwananzungu-oj9xu
@ManMwananzungu-oj9xu Жыл бұрын
Nakupenda mama umeongea hekima tupu
@mariosigala8760
@mariosigala8760 Жыл бұрын
Mheshimiwa mwakyembe alitusaidia vzur Ktk utafit je tumechikua hatua yeyote....
@chongelwadaud4912
@chongelwadaud4912 Жыл бұрын
Hongera sana hakika za binadamu lazima ziwepo
@costarbatonimwandusa4721
@costarbatonimwandusa4721 Жыл бұрын
Yesu kutunze mama yetu
@costarbatonimwandusa4721
@costarbatonimwandusa4721 Жыл бұрын
Sawaaa mama
@mmungamasengo1859
@mmungamasengo1859 Жыл бұрын
Mm nimesoma mwakizega ila .
@denispaulo1295
@denispaulo1295 Жыл бұрын
Ila Bunge bila Lema Lisu Sugu Heche Mbowe Zito ni Bule
@Jamie-zp7bb
@Jamie-zp7bb Жыл бұрын
@Denis Paulo,☹😡😠Hiyo Timu yooote uliyoitaja ina support USHOGA.
@avand4237
@avand4237 Жыл бұрын
Hao unaowasifia umesikia wapi wakikemea ushoga
@midumbiojijo8126
@midumbiojijo8126 Жыл бұрын
Nipeni na mimi namba ya huyu Mbunge na mimi nimtunze kwa M-Pesa ameongea vitu vya maana Taifa linangamia kwa kasi
@bongostorytz
@bongostorytz Жыл бұрын
Mama kama mama
@eizerbitz6715
@eizerbitz6715 Жыл бұрын
BASHIRU KWA NYUMA YAKE KAMA HAYAINGII AKILINI..
@mohamedmatei
@mohamedmatei Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@avand4237
@avand4237 Жыл бұрын
Mama umenena....!??
@YusuphRajabu-pd9gk
@YusuphRajabu-pd9gk Жыл бұрын
Wewe mama royo tua inatusaidia nini wewe mnasifia tu mama mama mnaogopa nn mtukufa tu wabunge mtaenda mitoni nyinyi ushoga mgetoa tamko lamoja kwamoja ushoga hatuutaki tuache kuangalia muvi za Rambo tuangalie royo tua toeni tamko lamoja kwamoja hatuutaki ushoga polis ingieni mtaani kuwatafuta mashoga bas mnajizungusha tu
Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”
13:54
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 95 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 25 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 67 МЛН
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
Lasalo Comedian
Рет қаралды 362 М.
ASKOFU ASHINDWA KUJIZUIA WAKATI MASISTA WAKIPELEKA VIPAJI
10:30
Dada Wadogo Media
Рет қаралды 1,3 МЛН
BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU
12:23
Millard Ayo
Рет қаралды 300 М.
Оказался НЕНУЖНЫМ и Его БРОСИЛИ🐶💀
0:38
ИССЛЕДОВАТЕЛЬ
Рет қаралды 4,6 МЛН
Эксперимент вышел из под контроля😱😢
0:57
Следы времени
Рет қаралды 4,8 МЛН
当小孩上学后,路飞太开心了#海贼王#路飞
0:25
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 16 МЛН
ТГК: ЛОГОВО FRIENDS #россия #чатрулетка
0:21
АлексДан
Рет қаралды 8 МЛН