MBWEMBWE ZA PROF. KABUDI MBELE YA RAIS MAGUFULI

  Рет қаралды 48,999

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Пікірлер: 55
@gidionseleman7318
@gidionseleman7318 5 жыл бұрын
Pale unapotumia elimu yako vizuri kwa ajili ya nchi yako...🤗🤗🤗🤗 Prof.Kabudi Hongera saaaaana..
@makarangaj6844
@makarangaj6844 5 жыл бұрын
Sio mbwembwe huyu jamaa ni mashine. Bravo Hon. Kabudi nakukubali sana mimi.
@federicamgeni590
@federicamgeni590 5 жыл бұрын
Mungu akubariki Raisi wetu kwani unatupenda Sana Watanzania
@marcelinokayombo3575
@marcelinokayombo3575 5 жыл бұрын
Prof.Kabudi one of the most inspiring ministers with good speech in east Africa
@davidnyambuche352
@davidnyambuche352 5 жыл бұрын
Aisee Prof Kabudi unajua mpaka umepitiliza
@jahabdallah1829
@jahabdallah1829 5 жыл бұрын
Duu mjomba kabudi tunakuangaria uku mabaria south Africa live wagee maneno mazuri waelewe uko vizuri kwa kualimisha jamii hasante sana makufuli unatukosha sana yahani hakuna kuvichakitu duu mabaria mmeona makufuli anafofanya big up good your best president aweeee yeeebo baba tumekubari tuna kuelewa sana mabaria wote uku pritoria south Africa jah m south Africa
@nancyj3234
@nancyj3234 5 жыл бұрын
KABUDI KICHWA!!!!!
@godfreybigeyo9105
@godfreybigeyo9105 5 жыл бұрын
Haya mambo hatujawai kuyaona ,mungu akubariki rais wetu
@suratfrank6282
@suratfrank6282 5 жыл бұрын
Kumbe kabudi ni noma sana sana mjanja huyoo naipenda Africa yetu
@sillasmsenga1414
@sillasmsenga1414 5 жыл бұрын
Mbona hizi historia ni nzuri sana kwanini hivyo vitabu visifundishie historia mashuleni? Bg up Kabudi Mheshimiwa.
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Walim waku fafanua ndio hakuna
@robertmwaipaja4794
@robertmwaipaja4794 Жыл бұрын
Munguakubariki
@sirjoel4228
@sirjoel4228 5 жыл бұрын
yan TBC cjui hawaon hayomazaifu pcha hazionekan vzur pia mara nyng huwa ha2ckii habari vzur mara igande mara saut ikate lekbshen bhana #KABUDI il2mckie vzr.
@charleshaule4008
@charleshaule4008 4 жыл бұрын
Somebody has to write something about Prof. Palamagamba Kabudi. The book shall be enshrined with prosperous life achievement in the academic sphere and evolution to political destiny. I am suggesting this because we all remain to be his great audience with minor positive comments on him but he never had listened to us or read on his legacy. In fact, he is the walking archive and thinking machine I ever experienced.
@abdulshaabani3406
@abdulshaabani3406 5 жыл бұрын
Rais john pombe magufuri ni shujaa wa Tanzania haijawahi kutokea.
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Engineer of course maths ime lala kuchwani
@adammakoye4198
@adammakoye4198 5 жыл бұрын
Waliobahatikaga kusoma comment zangu miaka ya nyuma nilikuwa naandika kwa jazba za chuki sana juu ya utendaji kazi wa Raisi wetu lkn namuomba anisamehe sana japo hanijui na pengine hajawahi kuziona comment zangu hakika Magufuri ni kiongozi mwenye sifa zote za kuifikisha nchi hii pale tulipopaota miaka yote.
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 5 жыл бұрын
Ndo maana tunashauriwa kuweka akiba ya maneno!
@faza4023
@faza4023 4 жыл бұрын
Safii
@patricklembeli8523
@patricklembeli8523 3 жыл бұрын
Alishakusamehe zamani
@mussajuma1736
@mussajuma1736 5 жыл бұрын
xafi xana mwanasheria kabuni jpm hajakosea kukuchagua upo pouw pigeni kazi mshahara wenu kula nyingi kwa jpm.2020.
@ndeshukurwakaaya4385
@ndeshukurwakaaya4385 3 жыл бұрын
Hobgera Pro kabudi. Ama kweli umelishibisha mataifa yote mawili kihustoria. Vizazi vinahitaji kusoma historia hizi. DIVIDE AND RULE IMEKOMA. BALI SHERIA ITUONGOZE KATIKA KUIMARISHA MAHUSIANO YA ASILI ILI IWE GIA YA KUONDOA DIVIDE AND RULE.. UMOJA WA MWAFRIKA NI NGUVU YA BARA ZIMA LA AFRIKA. GOD BLESS TANZANIA 🇹🇿 AFRIKA.
@adammakoye4198
@adammakoye4198 5 жыл бұрын
Wakenya wako bright hadi Nyerere ni wao du
@jahabdallah1829
@jahabdallah1829 5 жыл бұрын
Mabaria mmeona uyu raisi wetu tuna taka nini to support sasa hivi habaki huyu huyu bora chama cha cmm wachanguwe,pm, minister bora mumuache uyo uyo andeshe inchi
@yohanabillges6131
@yohanabillges6131 5 жыл бұрын
Tz viva prof kabudi
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Kuna watu wame meza history. Jamani mi history ili nishindwa hadi nilikua na choka akili kufuatilia. Ila nadhani ninge fundishwa na huyu prof ninge shika. Tanzania ina wasomi sana wakenya ni english tu
@mbarikiwalazarowatisa2086
@mbarikiwalazarowatisa2086 5 жыл бұрын
kuna watu wanafurahi . yan wao wnaona kama vituko...kabud anawapa elimu
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 5 жыл бұрын
Prof Kabudi, ni hazina
@yakobomaganga6557
@yakobomaganga6557 Жыл бұрын
ASANTE SANA MZEE WETU 🙏🌹🌹 ANAEKUPINGA!!",, BASI TENA AKAOMBEWE
@charleshaule4008
@charleshaule4008 4 жыл бұрын
having said more, his domestic life is humble than you can't even pronounce and he dedicate himself to faith as a great believer in Anglicanism. Every single thing he is in has drastic and detail knowledge of.
@yogopenmaster2607
@yogopenmaster2607 5 жыл бұрын
Huyu mwamba huwa namkubali kinoma
@aggreymsemwa1249
@aggreymsemwa1249 5 жыл бұрын
TBC kuwen Makin bana Kamera zenu hazipo vizur kabisa
@jacklinepoul373
@jacklinepoul373 5 жыл бұрын
Good people must act the same, education and life
@kirwaisa8772
@kirwaisa8772 Жыл бұрын
Hazina ya Afrika huyu. Pongezi sana Prof. Kabudi
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Wa barabaig naona ni kama Wa turkana coz mila zao zina fanana za kuvaa shanga badala ya nguo hadi karne hii. Ila ktk ufugaji wa kale wamefanana ktk suala la ufugaji na ku keketa wasichana na jasiri wa kutumia mikuki
@jovinekatwale8785
@jovinekatwale8785 3 жыл бұрын
Namkubali sana huyu jamaaa, hakika upo vzr sana, kabudi
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 3 жыл бұрын
Aisee inabidi kupiga shule tu hapa, maana sasa hapa kama shule ni ndogo hapa unaonekana kama umesahaulika mahali hapo, naona genge la wapiga shule tu hapo!.
@elisantente2518
@elisantente2518 5 жыл бұрын
Kenya yatoa msaada Tanzania Magold na mapesa.
@zegelibilishanga6047
@zegelibilishanga6047 4 ай бұрын
😂mh,Raisi unahazina umeacha kutumia unakubali kuingiza majizi kwenye baraza lako ndiyo maana unapwaya
@nsengiyumvaemmanuel3089
@nsengiyumvaemmanuel3089 3 жыл бұрын
Nkurunziza Francois
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 5 жыл бұрын
TBC HOVYO KABISAAA
@mussalengine2287
@mussalengine2287 Жыл бұрын
God xn musomi wetuuuu
@mohammednassor3081
@mohammednassor3081 3 жыл бұрын
Huyu mtu kichwa tunao wasomi tanzania
@omanmamulove9878
@omanmamulove9878 3 жыл бұрын
maramb kwetu jamani😁😁
@adamomary2144
@adamomary2144 3 жыл бұрын
Namwona rais baada ya jembe mh JPM
@davidnyambuche352
@davidnyambuche352 5 жыл бұрын
TBC mnayumba, mawasiliano ovyo kabisa
@omanmamulove9878
@omanmamulove9878 3 жыл бұрын
jamani.mi.mtaita wamaramba😅😅😅
@dominicantweve1588
@dominicantweve1588 4 жыл бұрын
TBC Takataka kweli
@faustinsirili3480
@faustinsirili3480 3 жыл бұрын
Profesa kabudi Ni matatizo
@josephkafumu3006
@josephkafumu3006 Жыл бұрын
Kabudi ni jembe na musomi anatumia usomi wake kwa ajili ya tanzania
@selesaid4367
@selesaid4367 3 жыл бұрын
I LOVE U BROTHER
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 4 жыл бұрын
WEWE WACHAUJINGAWAKO WA P H D TULIKUPA WAZANZIBARI UNAZUNGUMZA UWONGO TUMESHA KUCHOKA UNAZUNGUMZA GUMZO YA UWONGO NA KUZUBAISHA WATU TU MUONGO NDUGU WA DAMU NYINYI WATANGANYIKA NA UKRISTOWENU 🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹
@michaelmichael9934
@michaelmichael9934 4 жыл бұрын
Huwa napenda sana kumsikiliza sana huyu msomi hakika ni hazina ya historia huwa anapenda sana kufundisha kwenye hotuba zake.. biup sana mzee wetu
@andreamajjar8256
@andreamajjar8256 4 жыл бұрын
Hatuna Nchi inayoitwa Tanganyika wala Zanzibar tuna Tanzania,kama hujui acha udin Zanzibar dini zote zinakubaliwa maana watu wa Tz wanadin bt Tz haina dini
@robertmwaipaja4794
@robertmwaipaja4794 Жыл бұрын
Hogelaxana.mheshimiwa
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 105 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 12 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 24 МЛН
Waziri KABUDI Amvunja Mbavu MAGUFULI - "NYERERE Asingekuwa MTANZANIA"
17:33
Palamagamba Kabudi: A united Kenya means a united East Africa
24:11
KTN News Kenya
Рет қаралды 1,2 МЛН
Azam TV - Historia ya kusisimua jaji mkuu mpya wa Tanzania
7:41
"RAIS WAMEKAMATA NDEGE TENA, YULE YULE" KABUDI AMVAA CAG MSTAAFU
13:58
ODM Leadership in Kenya Kwanza Government.
43:38
SpiceFM
Рет қаралды 56 М.
Waziri wa mashauri ya kigeni Palamagamba Kabudi ashauri wakenya
3:03
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 6 М.
DAKIKA 20 ZA PROF KABUDI, WABUNGE WAKIKOSOA KAMPENI YA MAKONDA
21:40
Mwananchi Digital
Рет қаралды 182 М.
URAIA PACHA TANZANIA
1:29:43
Clarence Msuka
Рет қаралды 28 М.
КАЧЕЛИ ИЗ АРБУЗА #юмор#cat  #топ
0:24
Лайки Like
Рет қаралды 1,3 МЛН
Утонуть НЕВОЗМОЖНО 😱 #Shorts
0:19
ФАКТОГРАФ
Рет қаралды 3,3 МЛН
Горилла Показала Малыша 😍
0:23
ДоброShorts
Рет қаралды 2,6 МЛН
ToRung short film: the robber pretended to be a statue😬
0:30
Опасный Водяной Мешок! 🤯
0:27
ШОК
Рет қаралды 3,6 МЛН