Niboraa muongee nyiee wachungjii,,wendaa watawasikiaa,,sioo kusemaa vijanaa hawataki kazii isipokuaa watu wahari yachini wanafanya kazii miaka mingi hata pakulala anakua hana ,,anachokaa ,,uchumi kila kikuchaa unapandaa ,,anashindwaa kujibajetii,,,tatizoo mfumoo wa waafrikaa ni wakilonii,,wa kimyaa kimyaa ,,,
@jenifferwanjira6124Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MaryMatereadvicer011Ай бұрын
Ukweli mchungaji kusikiliza watu is very important, kiburi ya ruto inatisha but alie juu mngojee chini tumempea muda 😢
@lenniefei6710Ай бұрын
waKenya hatungoji mwanasiasa chini, tunamfuata alipo ! WaTZ mbona mumezembea sana kuchezwa shere na wanasiasa kila uchao ! Munauiziwa Amani, wao wakipakua mali !
@MaryMatereadvicer011Ай бұрын
@@lenniefei6710 tunaumia wote pia mimi n Mkenya lakini wamwache afanye kazi mpaka 2027 ndio tumtoe huko coz vijana wetu wanakufa sana tena wanajapwa na mapolisi aki 😭😭😭na ruto anaongeza wabunge mshahara wewe uoni hiyo madharau yake na uongo
@lenniefei6710Ай бұрын
@@MaryMatereadvicer011 nakupata sana ila kama miaka 2 imekua hivi what about three more years ?! Let the people of Kenya decide on that
@nabiimgongolwa8728Ай бұрын
MWALIMU NYERERE ABARIKIWE UBEPARI NASISI UNGETUFIKISHA KAMA KENYA.....LAKINI SISI ARDHI KUIPATA KILA MTU ANA UHURU.
@alexandermulilison5844Ай бұрын
nikama mwenzangu haujaelewa kwa nini wanandamana. Kwanza ni uabikaji pili ni kuwa na mkono wa chuma tatu ni kuchukua mkopo unaotajirisha watu wachache