Well said Mkuu, ambao hawajapata changamoto hawawezi kukuelewa na kama wanakuelewa na wanapinga basi hao pia ni mawakala wa kizimu. Na utakuta mwingine akipata changamoto anaona heri aende kwa mganga wa kienyeji na sio kukimbilia madhabahu. Kama hujapitia changamoto mwambie Mungu Asante.
@KessyRiziki16 сағат бұрын
❤❤umeongea leo Mungu atusaidie sana na Amtunze Mtume mwamposa
@user-sn9yp3sc2f5 күн бұрын
Mkuu wamkoa MUNGU akubariki sana,unakarama ya utumishi ndani yako
@allyanthony34894 күн бұрын
Mkuu wa mkoa barkiwa sana maneno haya niya baraka kabisa na mtumishi wetu Baba Mwamposa Mungu amzidishie maisha malefu
@H3s4d4 күн бұрын
Hongera mkuu wa. Mkoakwahotuba. Yako🎉😅
@AnethJohn-t4q4 күн бұрын
Ni kweli muheshimiwa umeongea point
@luciasteven33144 күн бұрын
😂😂😂 unafiki na usaliti ndio kitu kilichopo kwenye damu yake 😅
@designdesign44265 күн бұрын
Huyu jamaa kapagawa baada ya kumsema vibaya JPM eti kipindichake watu walisaga meno naona laana ishaanza kumkolea hivi jamani ushawahi kuona mtu anamcheka kichaa? au anajiongeleshatu
@wilfredlukowo94764 күн бұрын
Wewe ni kati ya wanao wacheka vichaa
@mohamedkimbwembwe-oi1rm4 күн бұрын
Mimi namkubali magufuli sana ila maisha yalikuwa magumu ni kweli au mmesahau neno vyuma vimekaza ila huyu nae nimkosa anawajibu kijeuri na kizarau raia nihilo kosa,na kuenda kanisani pia kosa maana hamna pahali YESU ametenda kazi ndani ya mikanisa
@user-fy3cy5fe6q4 күн бұрын
sasa chalamila aisee we ni muhubiri
@beatricesamwel81614 күн бұрын
😢😢😢kumbe wanao enda kumtafuta MUNGU mpaka upate majanga hii mpya aisee
@AwaziRajab4 күн бұрын
Ukweli Aupingwi Mtu Mwingine Nyumbani Kwao2 Wenye Kumpenda Awafiki Wan4 Kati Ya Watu20 Tena Mnasoma Biblia Au Quruwan Lakini Angalia Wingi Uo Mwenye Nacho Ataongezewa Kweli Mwamposa Akisema Naombeni Milioni Moja Wengi Watatoa Kumuongezea
@aminattai26764 күн бұрын
Kweli kazi anaifanya mpaka anaweza kuwauzia watu mchanga na watu wakanunua,kazi anaiweza.
@daudimlamka12394 күн бұрын
acha uongo katika vitu usivyojua, kama vip pita tuu sio lazima ukoment, coz hapana wahi tokea ameuza mchanga ila anaombea
@chimpayejohn61574 күн бұрын
Barikiwa saaana
@KaburuKimath-eu5nf4 күн бұрын
Mzee we dini ganii
@gervasmichael61245 күн бұрын
Mungu azidi kukuinua
@benjaminmiselya26224 күн бұрын
Mmmh sioni usitawi wa watu wetu kwa mkesha kama hii🤣🤣😂
@AwaziRajab4 күн бұрын
Mkuu Wa Mkoa Anasema Kweli Jana Madangulo Yote Yamebaki Wazi Kwenda Kwa Mwamposa Kwaivo Mkuu Wa Wilaya Fulani Akutakuwa Kukamata Madada Poa Alitakiwa Aseme Na Viongozi Wa Dini Kazi Yake Yeye Kusaidia Mikopo2
@DenisRukangula4 күн бұрын
Watu wanamatatizo ndiyo maana unawaona wanakimbilia panapo na uhitaji
@woah.africa995 күн бұрын
Mfatilie huyo mwamposa kaja mjini kutafuta pesa za watu tu ataziacha kwa anayo yaganya mmungu anamwangalia tu ipo siku akaponeshe hospitali basi
@janehenry17304 күн бұрын
Yesu aliwaponya wenye haja ya kuponywa si Kila mtu anataka kuombewa kwa Jina la Yesu.
@Nick166974 күн бұрын
Pole sana
@user-ym6hd7xh3g4 күн бұрын
Kwa kweli poleni sana Dunia hii ina mambo ya ajabu
@woah.africa995 күн бұрын
Uongo mtupu mungu kaja kwa mwamposa wakati mambo anayo yanfanya sio ambavyo na bee yesu kafanya leo kuna mana bee wa tofauti mara huyu kaja kwa ufunguo kapewa mara kakutana na mungu mara jua mara wanachapwa mara mtu anatoka juu kwa kama mara wanaogeshwa wanawake makanisani jamani msiewe wajinga wenzenu wanapata pesa ili wajitajirishe madili ya wazungu hayo yote
@emmanueljoseph38154 күн бұрын
na wewe nenda kafanye ili utupije pesa
@benjaminmiselya26224 күн бұрын
Wewe majanga ni moja ya maisha acha uongo😂🤣🤣😂
@DenisRukangula4 күн бұрын
Wewe ni mpuuzi saana
@StartSmall4 күн бұрын
Nyie nanyi hili li Chanel lenu mmezidi matangazo Mwanzo wa habari tangazo mwisho wa habari tangazo mnadhani watu hawakereki, bora hayo matangazo ya google yenyewe yanajulikana
@msafiriomary8935 күн бұрын
Amekuja kuomba kura huyo 2025 tuonane
@sebastiansalamba3135 күн бұрын
Msanii
@user-fy3cy5fe6q4 күн бұрын
Chalamila tangia nimekufahamu leo ndio umeongea
@DenisRukangula4 күн бұрын
Chalamila uwa anaongea
@abuuqamar584 күн бұрын
Eti mtume😂😂😂
@rewardyesse73144 күн бұрын
Ajenge kanisa sasa
@Mydearyasin4 күн бұрын
NAPENDA UISLAM
@IsmailMjesh4 күн бұрын
Uislam raha sana.......
@fredducaunt2 күн бұрын
Nyoko
@IsmailMjesh2 күн бұрын
@@Mydearyasin Allah atuhifazi sote...... Atupe mwisho mwemaa