MCH HANANJA ATOBOA SIRI ZA MITUME NA MANABII, LEO NAONGEA UKWELI

  Рет қаралды 122,126

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Жыл бұрын

Пікірлер: 246
@stephanomakala3984
@stephanomakala3984 12 күн бұрын
Nami nampenda Sanaaa Mchungaji Hananja kwa ukweli uliotukuka kwa Dizi zote mbili ya Uislamu na Ukristo. Mungu amuweke zaidi atufunze zaidi.
@kenanimwakanemela483
@kenanimwakanemela483 Жыл бұрын
"Huduma ya kinabii ipo ila ofis ya kinabii haipo". It takes maturity in God's word to understand this, Hongera pastor
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
😁 Mchungaji Ananja anatikisa kichwa kwa kusikitika 😁 Huyu mchungaji anaongeaga ukweli bhana
@hastatz
@hastatz Жыл бұрын
Huyu mzee akamatwe apimwe akili asije kua ni YESU amerejea😂😂 mbona anasema ukweli sana
@PreciousMwajombo
@PreciousMwajombo 10 ай бұрын
Hey you spare my ribs
@VeronicaEugen
@VeronicaEugen 10 ай бұрын
For sure 😂😂😂😂
@paulinamariki3371
@paulinamariki3371 10 ай бұрын
Keel ndgu yang
@nellyhortensia2407
@nellyhortensia2407 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@ibrahimcharles9842
@ibrahimcharles9842 7 ай бұрын
😂😂😂😂 nimefurah sana comment ako😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hermanfrank6727
@hermanfrank6727 Жыл бұрын
Mchungaji Hananja ninakupenda kutoka moyoni Kwa sababu ya ukweli wako kuhusu Biblia na umejitahidi kumeza maandiko,unatema nono la Mungu sio maneno.Wewe ni mfano wa kuigwa aisee❤
@user-nl8hs2nx9p
@user-nl8hs2nx9p 6 ай бұрын
Mungu akubariki Mchungaji kwa ukweli wa Mungu unaoleza.
@amonsekajingo6996
@amonsekajingo6996 3 ай бұрын
Gifted man of God . Keep it up! Such 'minds' should at times be teaching in bible colleges.
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 Жыл бұрын
Yupo vizuri sana na anaujuwa ukiristo karibu katika uislamu
@matunzojr4862
@matunzojr4862 Жыл бұрын
huyu jamaa geneous sana mchungaj pekee aliyebaki kusimama kwenye ukweli
@phelisterswamalwa3295
@phelisterswamalwa3295 8 ай бұрын
Yote yatapita Neno la Mungu litasimama litangaze muchungaji,I like it
@user-zz4wg1kv1b
@user-zz4wg1kv1b 5 ай бұрын
Mzee una madini mengi Sana God bless you
@samweljumanne-wo2pu
@samweljumanne-wo2pu Жыл бұрын
Mchungaji Hananja Ni Proffesor akili mingi kichwa kimejaa mistari mitakatifu iliyojaa ukweli ndani yake hongera baba
@user-ef8py8bt6r
@user-ef8py8bt6r 7 ай бұрын
Mimi ni muislam,ila nampenda Sana huyu baba🎉
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 Жыл бұрын
Mchungaji hananja upo sahihi Mungu akutunze sana!🙏🤝
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 Жыл бұрын
Mchungaji Hananja, nakupenda sana kwa maelekezo.
@ElipendoElias-no6ki
@ElipendoElias-no6ki Жыл бұрын
😅😅😅😅nimefurahishwa sana na maelezo ya mtumish huyu wa Mungu ana hekima yakimungu kwakwel..
@mathiasswai7006
@mathiasswai7006 Жыл бұрын
Nice baba mchungaji,anabidi apewe PhD, ya heshima, na chuo kikuku
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 Жыл бұрын
😂😂😂😂 dah uyu mchungaji comedian sana 😅 water skukuu
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 Жыл бұрын
😂 sipingi hata kitu kimoja hapa father umemaliza kila kitu God bless you
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 Жыл бұрын
Kwl kila mtu anawakati wake saiv n wakati wa Hananja Kutrend hakika anatrend kwa ukwl wake,....Mungu akubarik ❤️ mtumishi AMINA...
@lionking3015
@lionking3015 Жыл бұрын
Napenda swagga ya huyu mzee yani anaongea kama wimbo yani anapiga verse Kisha anaweka chorus Enheeee Enheeeee😂😂
@PreciousMwajombo
@PreciousMwajombo 10 ай бұрын
😂😂😂 akh eeeeh
@ibrahimumtera7943
@ibrahimumtera7943 6 ай бұрын
Safi saana mchungaji sana apo uko sawa mimi ni mwadventista
@NemesiYustina-ye2vs
@NemesiYustina-ye2vs 5 ай бұрын
❤❤❤nimefarijika na ujumbe wako muadventista
@bonnymwajombe779
@bonnymwajombe779 Жыл бұрын
👍very nice Hananja
@yolbul1616
@yolbul1616 Жыл бұрын
Daah unapendeza sana dada love from south sudaness 🇸🇸🇸🇸🇸🇸
@rajabamis1135
@rajabamis1135 6 ай бұрын
Huyu mzee mwenzangu Hananja ni real. Ni pastor wa kweli❤
@meshackkazimil6837
@meshackkazimil6837 Жыл бұрын
Hongera sana baba! Mimi nakuelewa sana sana
@lucasprochesi
@lucasprochesi 8 ай бұрын
Huyu mtu ana akili kuliko kawaida.. jinsi ya kushika hayo maandiko tu inatosha kuwa umefunuliwa
@deekibonga
@deekibonga Жыл бұрын
Huyu baba apewe TV tuelimishwe zaidi
@bainolatino3412
@bainolatino3412 Жыл бұрын
Sawa Sawa ilibidi waliona hilo japo wasafi au clouds au eatv au yeyote tuu a pate na masponsor
@gertrudenyandwi8218
@gertrudenyandwi8218 4 ай бұрын
Asante sana mtumishi waMungu barikiwa sana
@user-lm3xb9xy6z
@user-lm3xb9xy6z 5 ай бұрын
Nice teaching always mchungaji
@RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny
@RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny 7 ай бұрын
Shukrani sana mzee wetu nakukubali pia❤❤❤❤
@georgemlonda4174
@georgemlonda4174 Жыл бұрын
Mungu akubariki ! Cjapoteza bando langu bure
@rosendanshau2674
@rosendanshau2674 Жыл бұрын
Uko vizuri baba unajua neno songa mbele
@amissitundula8568
@amissitundula8568 Жыл бұрын
Namuelewa sana mzee wangu
@jacquelinebaitani8370
@jacquelinebaitani8370 Жыл бұрын
Mungu unaye mbona kwenda kuchukua maji? Omba Mungu wako akuponye huwezi chukua vifaa vya kiroho hata upewe kinyesi chukua upone.Maana wewe hiamini Mungu uliyenaye kama ni muweza wa yote.
@catherinenicander7468
@catherinenicander7468 Жыл бұрын
Naye kanisa lake mbona anataka sadaka kwani,kanisa litaendeshwaje.hakuna nabii anayewalazimisha watu kutoa sadaka ni unavyoona wewe mwenyewe.kama anafunga wakati anaandama wenzake,si awaache Tu .kila MTU si atabeba mizigo wake,waache watumishi wa bwana.
@sostentulian9462
@sostentulian9462 Жыл бұрын
Namkubali sana mzee hananja
@florencemwanansao834
@florencemwanansao834 Жыл бұрын
Mungu akubariki mchungji
@gracesanga6489
@gracesanga6489 4 ай бұрын
amina mchungaji napenda sana mafundisho yako yananitoa hatua kwenda hatua nyingine
@oscarngata5672
@oscarngata5672 9 ай бұрын
Mungu akubarki mchungaji❤❤❤❤❤❤❤❤
@fredybanda2861
@fredybanda2861 Жыл бұрын
Kkkkkkkkkkkk moto kimbunga moto kkkkkkkk niubunifu kkkkkkkk you are the best
@user-yk3yr2yt6o
@user-yk3yr2yt6o 6 ай бұрын
Agabo ni nabii agano jipya, ,huduma, ministry na ofisi , office, hapo ni lugha imekuchega mzee, manabii wapo na mitume wapo , isaya alienda kwa hezekia, elisha kumfufua mtoto wa mshunami, yesu aliitwa nabii, yohana 9:1___, paulo hata leso wagonjwa waliponywa , mafuta ya upako ,marko ,6:13, kwa nini musa anakabidhiwa fimbo na alitumia zaidi ya mara moja , kwanini eliya alitumia vazi zaidi ya mara moja, manabii ninachokiona wataurithi ufalme ,wachungaji wamejaa kujihesabia haki ,
@salmoncelestine6840
@salmoncelestine6840 Жыл бұрын
Live long baba,,unasema ukweli siku zote.I love you
@engelbertkiondo4014
@engelbertkiondo4014 8 ай бұрын
mwalimu Hananja asante. watu hawasomi Biblia kabisa. wanakariri vimistari vichache
@tojotv6414
@tojotv6414 Жыл бұрын
Mwandishi Leo umependeza tofauti na unavyovaaga
@kassianwilliam8257
@kassianwilliam8257 Жыл бұрын
Hapa nimeondoka na kitu chema na kikubwa sn, asnt Baba Mchungaji.
@fadhilichristine7734
@fadhilichristine7734 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@heronimomsefya3190
@heronimomsefya3190 8 ай бұрын
Safi sana barikiwa daima
@charlesmuyabi-nu9sv
@charlesmuyabi-nu9sv 4 ай бұрын
hongera mchunguji kwa elimu nzur
@damasjoachim4451
@damasjoachim4451 Жыл бұрын
Mchungaji umekosea sana, matendo ya Mitume inasema,imani yetu imejengwa juu ya mwamba wake Kristo mitume n'a manabii, hapo mchungaji hajatajwa, Petro aligawa vitambaa n'a kupelekwa kwa wagonjwa n'a kipona, Mchungaji unakosea sana unapokosoa maono ya watumishi wa Mungu, Yesu alitumia udongo kuweka jichoni n'a kupona n'a mengi sana, hayo ni maono unakosea sana
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 7 ай бұрын
Acha kutuhumu mtu..ww ni ndugu yake Mungu hadi ufikie huko na kujua sana et.....
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Huyu ndugu anaongea ukweli Siyo mnafiki❤
@gertrudenyandwi8218
@gertrudenyandwi8218 4 ай бұрын
Uko vizuri sana mtumishi
@JaphetPeter-sc3pe
@JaphetPeter-sc3pe Жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeen mzeeeee wang,
@user-ny7vl2jr8s
@user-ny7vl2jr8s 4 ай бұрын
Nakubali sana mzee wangu
@khalid6264
@khalid6264 10 ай бұрын
ubarike sana ,mungu akuongoze
@user-qc7ih4yi8p
@user-qc7ih4yi8p 10 ай бұрын
god bless u
@dausonedius4100
@dausonedius4100 Жыл бұрын
kweli kuna ukwel ndan yake baba amen
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Mimi ninafuatilia sana maongezi yake Hananja.Anaongea logic na mantic.Siyo mnafiki
@obotelaurent1359
@obotelaurent1359 4 ай бұрын
Mashallah...
@user-nf5zo5nm7p
@user-nf5zo5nm7p 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Ahsante sa n a baba
@sirpleasureb
@sirpleasureb 6 ай бұрын
binti hongera kwa kujistiri kwako
@dankhany3385
@dankhany3385 Жыл бұрын
maisha marefu hananja ♡♡♡
@servantofalmightygoddranth2511
@servantofalmightygoddranth2511 Жыл бұрын
Na kuhusu mwisho wa nabii, nabii wa mwisho aliyemtabiri YESU ALIE HAI na kunyosha mapito na kitengeneza njia nabii wa mwisho ni YOHANA Mbatizaji
@athumanmbaraka5192
@athumanmbaraka5192 4 ай бұрын
Nampendagasana uyu dingiii❤❤❤
@AnneSampegete
@AnneSampegete Жыл бұрын
Hii ni kweli kabisa jamani tufunguke
@chiaseeds6919
@chiaseeds6919 Жыл бұрын
Nakukubali sana mpendwa
@JonathanJustin-qu4pz
@JonathanJustin-qu4pz 9 ай бұрын
Ahsante sana
@princessprecious6995
@princessprecious6995 Жыл бұрын
Upo sahihi kabisa na Mungu akutunze kabisa hujaongopa wakorinto 8.8. chakula kwaajili ya tumbo na tumbo kwaajili ya chakula tusipokula hatupungukiwi kitu tukila hatupungukiwi kitu
@joycejackson2320
@joycejackson2320 Жыл бұрын
Kufunga ni kati ya mimi na Mungu wangu!! na wala sio kubadilisha muda wa kula! Mungu aliumba mchana na usiku kwa maana kubwa! usiku viungo vinapumzika ukivifanyisha kazi havifanyi kwa sababu ndio maumbile bure utaamka umechoka kwa mzigo uliobeba!! Majivu Hananja ni ukumbusho tu wa kwamba mimi ni majivu na mavumbini nitarudi! kama wewe unavyovaa mavazi ya rangi mbalimbali ukiwa kwenye lbada kama mchungaji yana maana mbalimbali! ni ishara flan so kila mtu ana theolojia yake hatuwezi kufanana kwa kila kitu! cha msingi ni kutenda matendo mema yale Mungu anapenda
@FrorianiMlandali-zi5vd
@FrorianiMlandali-zi5vd Жыл бұрын
Kweli mchungaji hananja anajua sana ukimsikilza kam wew ni kiongoz wa din unaweza ukazan anakutusi ila huo ndo ukweli na hajitungii coz vyote vipo kwnye bible
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 6 ай бұрын
Safi sana mtumishi
@mosesmtomo4311
@mosesmtomo4311 3 ай бұрын
Upo vizur sana aisee
@Kobe_254
@Kobe_254 Жыл бұрын
Huo ni ukweli mtupu kuhusu dini 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏
@user-ss1bj4yj2q
@user-ss1bj4yj2q 8 ай бұрын
Bigup Mchungaji
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 Жыл бұрын
Mm nilishudia mke wa boss wangu kontena lilishika moto akatoa mafuta kila akimwaga moto unazidi zimamoto wakamwambia mama moto hauzimwi kwa mafuta
@Cianadvd1
@Cianadvd1 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@salomedarema304
@salomedarema304 4 ай бұрын
Eti kweli mtume anamikiki prado na kiyoyozi wakati paulo alijichimbia mahandaki akakaa huko yaani mmh hii mitume na manabii hewa Mungu awashughulikie
@frankmushi8892
@frankmushi8892 Жыл бұрын
Nikweli kabisaaa
@GeorgeMkumbe
@GeorgeMkumbe 4 ай бұрын
Amen
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
KZfaq zenu bila kumhoji huyo baba biashara hampati huyo baba mchungaji ni kiboko
@angeldejoice3202
@angeldejoice3202 Жыл бұрын
Sasa Sasa unapinga asihojiwe ?
@manjaruu1575
@manjaruu1575 Жыл бұрын
Mzee we nomaa
@estonmnthali3719
@estonmnthali3719 6 ай бұрын
Amina kweri kabisa
@AaziziMkambi-qf5mj
@AaziziMkambi-qf5mj 6 ай бұрын
Mchungaji umenifundisha jambo kubwa sana natamani nipate ata namba yako niwe nakutumia chochote kitu
@user-sy8dc6yx4h
@user-sy8dc6yx4h 7 ай бұрын
🙏 🙏
@NelsonNorman-hm9vi
@NelsonNorman-hm9vi Жыл бұрын
Hawatotokea mitume wala manabii bali kutazaliwa watoto wenye vipawa
@godwingodwin2564
@godwingodwin2564 Жыл бұрын
Kanisa la Ukweli karibu BCIC mbezi beach jogoo
@haroldtarimo-wj9lw
@haroldtarimo-wj9lw Жыл бұрын
La kweli kwa lipi unataka sadaka tu Kanisa la kweli ni wewe na Mungu wako na tena uwe imani pasi na shaka
@bujugoinvest8562
@bujugoinvest8562 Жыл бұрын
Anasema ukweli ila anafika mahala anaji contradict mwenyewe
@ashtray1512
@ashtray1512 Жыл бұрын
Siwezi kwa kweli😂😂
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 7 ай бұрын
Eti uwatemi mate😅😅😂hawawatemi mate kumtemea mate mchezo hananja bn uyo mstari wabibilia wakuwatemea mate wanajifanya hawaouni wawatemee mate
@joycekalembo2225
@joycekalembo2225 Жыл бұрын
Dah nimefarijika sana..unajitahd sana kuwaeleza wakristo ukweli,tatizo letu ckuhzi hatusomi biblia,jamani WAKRISTO BIBLIA ndio nguzo yetu sehem ya majibu yetu..jaman tusidanganyike na haya manabii wa uongo wanaotumia shetani.jaman jaman?!!
@juliusroko3051
@juliusroko3051 Жыл бұрын
Ubarikiwe kwa ufafanuzi mzuri kuhusu mfungo Mchungani.
@jesuspower2390
@jesuspower2390 Жыл бұрын
Yesu hakuwa na kanisa. alikuwa akihubiri katika makutano.
@jeanmuzaliwa9023
@jeanmuzaliwa9023 Жыл бұрын
kanisa manake nini?
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 6 ай бұрын
Wewe nawe uliza uelewe Nini maana ya neno Kanisa labda nukusaidie Kanisa Ni watu sio jengo
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 Жыл бұрын
Ila kweli mchungaji hananja,Yani Imani za Sasa hivi ushirikina,njoo na udongo tuuombee,
@lucasprochesi
@lucasprochesi 8 ай бұрын
@user-xj5ro3ze2x
@user-xj5ro3ze2x 6 ай бұрын
,kweli baba
@sophiamhando7281
@sophiamhando7281 6 ай бұрын
Manabii wa siku hizi wanakukula hela alafu wanasema tunapeleka kwa baba ,watu wanavua hadi nguo eti nabii apite akanyage,eti na maaskari wanamlinda jamani .. Nachekaga mm😅😅😅😂😂😂😂
@mehboobdosa3719
@mehboobdosa3719 Жыл бұрын
Safi sana
@brendamontego6059
@brendamontego6059 Жыл бұрын
I love his teachings
@Peacemollel
@Peacemollel 6 ай бұрын
Jaman!!!
@geofreymkwelele3588
@geofreymkwelele3588 Жыл бұрын
Msema kweli
@SafariMsafi-um1pz
@SafariMsafi-um1pz 4 ай бұрын
Na wala haikatai ting tang tingtang
@salmoncelestine6840
@salmoncelestine6840 Жыл бұрын
Na mm siyataki haya mambo ya maji,,keki,,mafuta.Neno latosha.
@princes6045
@princes6045 Жыл бұрын
Manabii wengi ni tamaa tu zimewazidi na kujilimbikizia mali
@teniswai9689
@teniswai9689 6 ай бұрын
Huyo ni konki masta mi mwenyew namkubal
@simongwandu7392
@simongwandu7392 Жыл бұрын
Mchngaji Hananja fungua kanisa lako waumini tuko
@DOABIGKAY
@DOABIGKAY Жыл бұрын
Huyu mzee si mnafki kama wanadini waongo.
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 82 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 43 МЛН
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,3 МЛН
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 27 МЛН
UTOTO UTUMWA, UJANA MASWALI, UZEE MASWALI
46:42
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 255 М.
WANAWAKE SIKU HIZI KAMA GARI LA MKAA / YESU HATUJUI
36:45
Mjini FM
Рет қаралды 36 М.
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 82 МЛН