MCHUNGAJI HANANJA amtoa kasoro GEOR DAVIE hauna uwezo wa kuongea na mungu ,huo ni uongo

  Рет қаралды 124,011

Bongo Touch

Bongo Touch

6 ай бұрын

Пікірлер: 431
@nofaboy8624
@nofaboy8624 5 ай бұрын
Nakuombea kwa Mungu akujaalie uijue haki ili uifuate Inshallah 🙏🏻🙏🏻 kwa ndugu zangu ktk iman tuitikie amin
@bakarisaidi3022
@bakarisaidi3022 6 ай бұрын
uzuri wa mchungaji hananja anaongea facts,Mimi ni Muislamu lakini napenda sana kumskiza Hananja,
@KanalIdrissah-dh5hj
@KanalIdrissah-dh5hj 20 күн бұрын
Even me broo
@Chery_cherryy
@Chery_cherryy 6 ай бұрын
Safi sana, a good pastor who understands the scriptures, tunazungumza na Mungu kupitia maandiko yake matakatifu
@wamisangi2801
@wamisangi2801 6 ай бұрын
Kupitia Roho Mtakatifu aka Roho wa Mungu anaye ishi ndani yetu ambaye anatuwezesha kudadavua hayo masndiko. Mchungaji wako mpaka hapo ni muongo tayari. Kwa umri wake amedanganya wangapi? Atubu na aache huu usanii utampleka jehanamu ya ziwa liwakalo moto milele.. Yohana 14:16-18.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 5 ай бұрын
​@@wamisangi2801yohana 17:3
@user-ve3wu5jn1l
@user-ve3wu5jn1l 5 ай бұрын
Hananja Mungu amuweke upo wazi Sana . Naomba Mwenyezi Mungu akuongoe
@salmoncelestine6840
@salmoncelestine6840 5 ай бұрын
Kristo aendelee kukutunza baba,, nakupenda..God bless you
@bugybuster5788
@bugybuster5788 6 ай бұрын
Ananja na magufuli baba 1 mama 1 maana wate wanasimamia kwenye haki
@namangabruno-xh3kp
@namangabruno-xh3kp 4 ай бұрын
Kheeee
@assaandrew2411
@assaandrew2411 2 ай бұрын
Weeee nawe umelewa hawafanani hata kidogo
@mremagoodluck9401
@mremagoodluck9401 8 күн бұрын
Mchungaji kweli, hachoshi hakinaishi kusikilizwa mafundisho na vionjo vyake, na tunapata kitu kwake faida yetu ya kiroho na kimwili. Sio hao wanaojiita,mh,dr,nabii, mtukufu sijui ujinga na sifa. Mungu pekee apewe sifa na si mtu
@LeahKaboza-vb4ih
@LeahKaboza-vb4ih 6 ай бұрын
Hongera mchungaji Mungu akubariki sana kwakweli hilo la michango watu wamefirisika
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 6 ай бұрын
Mchungaji Mungu akutie nguvu
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 5 ай бұрын
Kwakweli hananja na baadhi ya wenzako nawakubali, mungu awabariki mnooo mnasema ukweli tu
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 6 ай бұрын
😂 Ukizungumza na mkuu wa wilaya tu hatulali... je Mungu tutakuwepo kweli😅
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 ай бұрын
Duu haponimekukubali. Mzee wachungajiwengi waongo. Etiwanajitia wameongeana Mungu. Kaniambia hivi.hivi watuwanakubali. .mtihani. Allhamdulillah kwakua mwiislam
@bakarisaidi3022
@bakarisaidi3022 6 ай бұрын
Juzi Namuona Geo Davy anahubiri kavaa Suruali inafanana na sketi😆😆😆 na waumini wapo wapo tu kama wamerogwa vile😆😆😆😆😆
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 6 ай бұрын
Illuminati Geordavie
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 ай бұрын
Fillmasson yule shweitwani anaabudu nawengi wataingizwa bilayakujijua alafu watajuta
@magrethmkira6250
@magrethmkira6250 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@meekman1805
@meekman1805 5 ай бұрын
Hahaaa😁😁😁
@user-oh5iu6jx2j
@user-oh5iu6jx2j 5 ай бұрын
Shetan yule
@KadabraGadna-xu5ez
@KadabraGadna-xu5ez 6 ай бұрын
Mchungaji wewe unajielewa sanaaaa mungu akubariki.hakuna mwanaadamu wakuongea na mungu wanakanisa laa Arusha pale kwa devi wahajielewi
@vickytorry100
@vickytorry100 6 ай бұрын
Ukweli mtupu Dina za mchongo hizo, Mungu akuzidishie HEKIMA Mchungaji Hananja 🙏🏾
@wamisangi2801
@wamisangi2801 6 ай бұрын
Manabii wa uongo watawapata wanaweke wajinga.
@user-io8hn1jb4d
@user-io8hn1jb4d 4 ай бұрын
We nawe mjinga mwingine​@@wamisangi2801
@jamesnzinga5354
@jamesnzinga5354 5 ай бұрын
Uyu jamaa ni mwalimu, mzuri muhubiri mkweli na mwana falsafa katika elimu ya dini kenya tunamkubaliii
@MichaelMagige
@MichaelMagige 6 ай бұрын
Majambazi yameingia makanisani,watu hawana hofu wanajiita manabii wa mchongo,stukeni watanzania! Musa mwenyewe hakumuona Mungu,hakuna mwanadamu anayeweza kumuona Mungu akaishi!
@trophywilson7211
@trophywilson7211 6 ай бұрын
Kweli Kweli
@januarysungura8119
@januarysungura8119 5 ай бұрын
Neno la Mungu ni taa ya miguu yangu ,tatizo ni watu kufikiri utajiri kwa maombi na miujiza bila kuwekeza na ndipo wanapoibuka manabii wa uongo kutumia fursa ,Hongera sana hananja kwa kuhubiri vyema
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 6 ай бұрын
Huyu mchungaji angekua uraya naamini angekua mbali sana maana kwanza unafiki hataki na uongo hataki amesimama katika bibilia
@mohamedyahya6268
@mohamedyahya6268 6 ай бұрын
Sio uraya ni ulaya😂
@wamisangi2801
@wamisangi2801 6 ай бұрын
Ulaya kazi ya ulaghai inalipa? Joel 2:28.
@vickytorry100
@vickytorry100 6 ай бұрын
Kweli kabisa huyu ni tunu ya Tz ila hatuthamini watu kama yeye. Ni Mungu atamlipa
@yjoo9807
@yjoo9807 6 ай бұрын
Kwanini sasa unaamini mpaka awe ulaya??
@wamisangi2801
@wamisangi2801 6 ай бұрын
@@vickytorry100 Acha kujitoa ufahamu wewe, Mungu yupi amtumikiaye anaye mruhusu kukejeli kwa rejareja hivi. Hii ni tabia ya Goliati.
@felistermarco
@felistermarco 5 ай бұрын
Kabisaaa🤣🤣 tanzania sihami mimi.uko sawa mchungaji
@CLAUDIPHILIPO
@CLAUDIPHILIPO 4 ай бұрын
Pastor upo sahihi sana
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 6 ай бұрын
Manabii jamii ya akina Geordavie wa mungu wao aitwaye mungu wa dunia ni kweli huwa wanaongea naye hata kukaa naye.
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 6 ай бұрын
Maranyingi ananifurahisha na ananiimarisha sana kiimani
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 5 ай бұрын
Ukizungumza na mkuu wawilaya hatulali.. Uzungumze na Mungu tutakuwepo kweli hahaha.!!!
@StevenCharles-d2o
@StevenCharles-d2o 11 күн бұрын
Halafu ndo wale Wanaodanganya Wanamwona mwongo ila hananja Mungu akupe maisha marefu maana Milano pia ipo
@ThomasLucas-rh7wf
@ThomasLucas-rh7wf 5 ай бұрын
okey Hananja Mungu atusaidie
@righitkileo
@righitkileo 5 ай бұрын
Jaman dunia imechafuka watu wanasaka hela mpaka hawamuoqop Munqu.jaman mtu anaamka toka huko ni nabii.Aisee Munqu❤❤ Mkubwa❤❤❤pia mvumilivu.dunia inatisha
@SamwelSilvester-sp5ow
@SamwelSilvester-sp5ow Ай бұрын
Nakukubali sana, mungu akubariki
@estherdeborahsabuni9835
@estherdeborahsabuni9835 5 ай бұрын
Aliyemchagua Mungu amemchagua. Mungu turehemu.
@paschaljackson2584
@paschaljackson2584 5 ай бұрын
Ni kweli wachungaji wengi wanaanzisha makanisa ili wapate pesa. Wanafanys makanisa kuwa ndiyo biashara zao. Watu wanato sadaka kwa wachungaji wao bila kujua kuwa wanawaaminisha uongo tu. Soma biblia upate masrifa.
@CJ-vd9wn
@CJ-vd9wn 6 ай бұрын
Ila huyu mzee ni mwanafasihi mzuri sana😂😂😂
@vickytorry100
@vickytorry100 6 ай бұрын
Mungu amemuumba wa pekee sana
@jeremiajacksonlupora6731
@jeremiajacksonlupora6731 5 ай бұрын
Namkubali sana Huyu mchungaji
@saimonmizingo7485
@saimonmizingo7485 5 ай бұрын
Mzee Mungu atusamehe sote tuione mbingu ubarikiwe sana
@trophywilson7211
@trophywilson7211 6 ай бұрын
Mwandishi hata Kuandika hujui,mungu ni mzimu na MUNGU ndiye wa kweli
@hanskidd2290
@hanskidd2290 5 ай бұрын
Acha ushamba bn tfsri ni ile ile
@timotheojackson3021
@timotheojackson3021 5 ай бұрын
Barikiwa Sana ❤hii ni kweli
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 5 ай бұрын
WAJUA KUANDIKA ILA KUFUNDISHA HUJUI.Sema MUNGU anaandikwa kwa Herufi kubwa Hususani Herufi ya Kuanzia.Ukiandika jina Mungu kwa kuanza na herufi ndogo kwa mfano kwa kimombo ukiandika gods itamaanisha miungu.
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 6 ай бұрын
Huyu anamjua Mungu na Imani pia. Huu ndio werevu Kila mmoja afikie hapa walau kwanza
@RamiasadikiGjanGjan
@RamiasadikiGjanGjan 3 ай бұрын
Safi sana mzee wangu
@sandrauwase9521
@sandrauwase9521 6 ай бұрын
WoW nakupenda sana mchungajii ❤
@abisalomwasike8280
@abisalomwasike8280 5 ай бұрын
Man of god really man
@SaidKidundo-b7c
@SaidKidundo-b7c 14 күн бұрын
Nampenda sana huy mchungaji
@bahatilaizer8706
@bahatilaizer8706 6 ай бұрын
Mimi ni Muslim Lakini nampenda Sanaa mchungaji Hananja anasema Ukweli uliopo Mungu akujalie miaka mingi wachungaji wengine wakuige Wewe
@AndreTadeuAlberto
@AndreTadeuAlberto 3 күн бұрын
Peço ajuda família, nataka kujiunga mwezenu na uyu mchungaji
@meekman1805
@meekman1805 5 ай бұрын
Hongera kwa kusema Ukweli.
@patientfazili4067
@patientfazili4067 5 ай бұрын
Ndio Kuna watu waiwojaliwa neema hapa Dunia wanasikiya sauti ya Mungu kimono ao kupitiya mjumbe (Malaika)
@mustavic7750
@mustavic7750 5 ай бұрын
Hayo ndo matatizo ya afya ya akili, 😂😂, yani usikie sauti ya mungu kupitia malaika.
@pascojm6816
@pascojm6816 4 ай бұрын
😂😂
@user-fw8wm2xd8x
@user-fw8wm2xd8x 4 ай бұрын
Asnt mtumish wangu kiki imezidi manabii wanatishia
@johnmbitiyaza1254
@johnmbitiyaza1254 6 ай бұрын
😂😂😂😂Leo nmejikuta nacheka peke yangu.
@elialawi4382
@elialawi4382 6 ай бұрын
Upo sawa
@EzzyEddy-il3ce
@EzzyEddy-il3ce 6 ай бұрын
😂😂😂anatembea tembea utafikili nzengeli max😂😂😂
@simonswila7604
@simonswila7604 5 ай бұрын
Hongera mchungani wasema ukweli.
@user-vx6lb5ig7d
@user-vx6lb5ig7d 5 ай бұрын
Mungu utusamehe
@rashid3562
@rashid3562 3 ай бұрын
Mungu akujalie akuonyeshe dini ya haki kbla ya kufa
@KennethChambilo-oh8pw
@KennethChambilo-oh8pw 6 ай бұрын
Waisilam acheni kukosoa msiyo yajua wote tumekaliliswa tu hizi dini kwa madiko ukweli anao yule aliye kuwepo kwenye tukio
@hassanachunis1166
@hassanachunis1166 6 ай бұрын
Tatizo lenu mnafanywa sana ngombe hilo ndio tatizo sasa mtu anakwambia ameongea na mungu na wamekaaa pale wanacheka 😊😅😅 sasa waislam ushawahi kuskiaa shekh kasema upuuzi kama huo
@Abcdefghijjjjjjjj
@Abcdefghijjjjjjjj 6 ай бұрын
​​Hassan usisahau waislam mnapenda kufanya kinyume Cha maumbile Halafu makundi mengi ya kigaidi ni yenu Halafu mna chuki za hali ya juu sana na ubinafsi umejaa sana kwenu Ila ni nyinyi sio msaafu wenu Hata sisi bible haijasema Geodav huyu nabii wa uongo eti ndio ukristo Kua kiimani sio unakua kwa chuki ya kidini​@@hassanachunis1166
@farajansekela5763
@farajansekela5763 5 ай бұрын
Hata we dini umerithi unaijua vizuri ,,,,,Dini zote Ni biashara tuu,,,@hassanachunis116
@KassimuAhamadi06
@KassimuAhamadi06 Ай бұрын
Waislamu wanajutambua,huwez kuona upumbav huo msikitin
@josephmushi7097
@josephmushi7097 5 ай бұрын
Huyu mch ni mkweli kwa yeye Mungu hajawahi kuzungumza nae ila Mungu huzungumza na watu .Ni kwa njia gani kila mmoja kulingana na mahusiano yake aliyoyajenga mwenyewe.Mungu sio bubu .
@meekman1805
@meekman1805 5 ай бұрын
Safi sana Mchungaji!
@AlexMkwama
@AlexMkwama 6 ай бұрын
Wokovu ni Wa Mtu Binafsi na MUNGU, kupangiwa sadaka ni ubakaji wa kiroho. Toa kwa kadri ulivyo barikiwa.
@IbrahimShan-qu3um
@IbrahimShan-qu3um 6 ай бұрын
Uko sahihi sana mzee wangu
@SophiaAmani-zu3ey
@SophiaAmani-zu3ey Ай бұрын
Hongera baba waebrania 1:1-4
@twaibujuma5023
@twaibujuma5023 Ай бұрын
Nakukubali sanaaaa
@surveyor_dk
@surveyor_dk 6 ай бұрын
Fact! 😂 Huyo Davie sijawahigi muelewa kabisa😂
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 5 ай бұрын
KWASABABU HAUPO KIROHO BALI UPO KIMWILI .
@user-oh5iu6jx2j
@user-oh5iu6jx2j 5 ай бұрын
​@@YOSHUAMWAMPETAmwabudu shetan mwenzio ushafungwa akili hujielewi
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 5 ай бұрын
@@user-oh5iu6jx2j 2YOHANA :20"Nasi twajua ya kuwa Mwana wa Mungu amekwisha kuja,naye ametupa akili kwamba tumjue yeye aliye wa kweli, nasi tumo ndani yake yeye aliye wa kweli, yaani ndani ya Mwana wake YESU KRISTO.HUYU (YESU) ndiye MUNGU wa kweli , na UZIMA WA MILELE." Ninajijua mimi ni NANI ndani ya YESU KRISTO WA NAZARETI MUNGU WA KWELI ,wewe Je?
@user-iw3kr9km6j
@user-iw3kr9km6j 5 ай бұрын
Mungu ajalie kizazi
@RolensiaKija
@RolensiaKija 12 күн бұрын
Big up mch hananja
@francofrederick972
@francofrederick972 4 ай бұрын
Unasifiwa na wengi sawa, lkn unategwa kwa maneo yako uikane imani, kumbuka Mungu ni yeye yule habadiriki, unamaanisha Mungu ameacha kusema?, Wakati unamkosoa mwenzio sawa hata akiwa hayuko sawa ,wewe ndo unakosea zaidi😂😂😂😂😂😂
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 6 ай бұрын
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hilo kweli kabisa ,
@hezronsanga5197
@hezronsanga5197 6 ай бұрын
True
@breymbasa3451
@breymbasa3451 6 ай бұрын
Wanaongea na kingereza kidogo aleluhja oooo haleluhja😂😂
@pommenuh5413
@pommenuh5413 5 ай бұрын
My mcungaji
@chrisbee7876
@chrisbee7876 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂nimecheka sanaaa
@lusekelowilliam2068
@lusekelowilliam2068 9 күн бұрын
😂😂😂😂 dah nimecheka kweli
@AbelTweve-yq8xe
@AbelTweve-yq8xe 6 ай бұрын
Ati utafkirii striker😂😂
@noahnsubc1666
@noahnsubc1666 6 ай бұрын
😂😂😂 nakubal Hananja
@dilludillu2747
@dilludillu2747 5 ай бұрын
The big brain
@estherdeborahsabuni9835
@estherdeborahsabuni9835 5 ай бұрын
Hananja sijawahi kukuelewa. Rehema ya Mungu iwe nasi. Mungu turehemu.
@wakwanza1832
@wakwanza1832 5 ай бұрын
Sio mzima
@MasamaJanuary-ej1zz
@MasamaJanuary-ej1zz 7 сағат бұрын
Ananja ni mfano wa kila kiongozi wa dini
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 4 ай бұрын
Huyu mchungaji angekua muislam bas ndo angekua shehe mkubwa tz mchungaji nakuombea Dua islimu kabla hujafa maana unaongea ukweli
@MS.independent8934
@MS.independent8934 5 ай бұрын
😂😂😂 iiiiiiingweeeee 🙌🏼
@user-bi2hl9pw3v
@user-bi2hl9pw3v 5 ай бұрын
Mimi nimwislm ila huyu jamaa namkubali cn
@joseaugust2805
@joseaugust2805 5 ай бұрын
kwahiyo lile andiko linalosema siku za mwisho wazee na vijana , wataota ndoto na wataona maono , je nalo hilo andiko mbona hananja halisemi, hananja ni mzuri sana kwenye mambo ya kimwili , ila kwenye mambo ya kiroho naona hayupo viuri , maana encounter za KiMUNGU naona haziamini yeye anaona wote wanaotokewa na malaika au Yesu kuwa ni wanasema uongo , yaani wanajitungia story tuu, ila all in all maono na ndoto za kiMUNGU zipo, mtu asije akakudanganya , Mungu anaabudiwa katika mwili na pia katika roho na kweli
@didasmajor9288
@didasmajor9288 5 ай бұрын
Jamani ukristo unaelekea wapi? Ee Yesu mwana wa Mariam plz rudi, angalau utunyakue wachache tuliobaki kukuamini ktk kweli ya neno lako, usikawie maana hata walio wateule wanaanguka, ushoga kanisani, Kamari kanisani, Vikoba kanisani, Ulawiti kanisani, Ufiraji kanisani, Utapeli kanisani, U-miss kanisani, Biashara kanisani, Ulevi kanisani na kila aina ya uchafu, waliobaki na msimamo wa dini ni watoto wa mama mdogo tu! Kumbuka ee Yesu ulisema, wema wetu usipozidi wema wa mafarisayo na masadukayo, hatufai kitu, siku hizi watt wa Ishmael wanalea watoto yatima, wanasaidia wagonjwa mahospitalini, wahi maana wateule nao wataisha, kazi yako pia itakuwa bure? Kufa kwako msalabani kutafaa nini? Njoo masiya njoo tunakungoja njoo uje uweke wazi mafumbo haya.
@user-zh4bu2mo9j
@user-zh4bu2mo9j 5 ай бұрын
Mchungaji hananja lekebisha kauli yako mamuma mahanayake mtu anaeswali nyuma ya imaimu iyo ndio mahana ya mamuma usibadilishe mahana unasema mamuma mtu asiejua sikweli nakuomba mchungaji waone walimu update mahana sahii
@henrysizya239
@henrysizya239 5 ай бұрын
Yaani mahojiano ambayo mchungaji Hananja amekuwa akifanya mara kwa mara yanawaponya wengi kuliko baadhi ya watumishi.
@user-mf5vn2kw4d
@user-mf5vn2kw4d 5 ай бұрын
NI KWELI amezungumza na mungu lkn hajazungumza na MUNGU
@ErnestagustKweka
@ErnestagustKweka 2 ай бұрын
Kuna watu WA rohoni na WA mwilini ndicho kinchoonekana hap
@YohanaCharles-ow4kp
@YohanaCharles-ow4kp 4 ай бұрын
Huyo mchungaj wa Arusha smwamin nahuyu hananja simwamin nnae mwamin n mungu2
@mako331
@mako331 5 ай бұрын
Mimi ni mkristo lakini kweli ukristo umeingiliwa na ujinga saana, yani tunaamini tu kila ujinga eti Yesu aliniambia uso uso upuzi mtupu
@SAMWELCLEMENTtz4
@SAMWELCLEMENTtz4 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 kalisanahii
@BIGSTONE-lb9po
@BIGSTONE-lb9po 5 ай бұрын
NIHATARI SANA.
@musicheals1545
@musicheals1545 5 ай бұрын
hapo kwnye Sadaka na michango michango mingine, inabdi uende kwa viongozi dheheb flan ivi ukatoe somo kule maana.
@ubunifulifestyle3492
@ubunifulifestyle3492 6 ай бұрын
Eti we mkaanga chipsi utaongea na mungu wwww😂😂😂😂
@wamisangi2801
@wamisangi2801 6 ай бұрын
Unachekelea kama mazuri vile? Mkaanga chips aliye mpokea Bwana Yesu kwa taratibu zilizo elekezwa na Neno. Si tu kuwa anaongea kupitia ndoto/maono na Mungu lakini Roho wa Mungu anaishi ndani yake. Mawakala wa shetani katika ubora wao kupotosha wwtu wa Mungu ili wawaunganishe waende nao moto. Joel 2:28.
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 6 ай бұрын
​@@wamisangi2801Mungu anaweza kusema na mtu yeyote kwa lengo la kutimiza kusudi lake, ila Mungu anayesema na mtu mmoja tu wengine hataki na tuchunguze hilo alilolisema linalenga nini?
@yuzotv458
@yuzotv458 6 ай бұрын
​@wamisangi2801 mzee unaamini geordevi kaongea na Mungu live sio???!,
@wamisangi2801
@wamisangi2801 6 ай бұрын
@@yuzotv458 Jiongeze wewe, hujui hawa manabii wa uongo wanavyo lindana na kusaidiani. Kwa akili zako unafikiri huyu mchungaji anampinga Geodavi. Juzi tu katoka kusifia nabii wa uongo TB Joshua ndio leo ampinge Geodavi.??? Hii ni scheme ambayo imepangwa ikapangika ya shetani na mawakala wake. Iko hivi,Wiseman Daniel mmoja wa wasaidizi wa karibu na kuaminika sana wa nabiibwa uongo TB Joshua, alitoa ushuhuda kuwa nabii wa uongo TB Joshua alikuwa anafanya Ubatizo wa uchi wa mnyama kwenye mlima wa maombezi hapo scoan. Huyu mchungaji alimtetea leo ndio apinge huyo wa Arusha. Kutoka 20:26 na Yohana 21:7. Hawa manabii wa uongo wanafanya hivi. Wanatoa tuhuma dhaifu kwa mwenzao wakiwa wameandaa hoja zenye nguvu kutetewa na wengine hapo baadaye kuendea kudanganya watu wa Mungu. Tuhuma zote anazopewa TB Joshua ni dhaifu na zinazo hoja zenye nguvu zitaendelea kutolewa kadiri muda unavyo enda kuzipinga hii ni kwa madhumuni ya kuendeleza umaarufu. Unajua kwa nini. Nabii wa uongo TB Joshua alishadanganya kuwa yeye ni masihi baada ya Bwana Yesu Kristo kwani Mungu huleta mwokozi duniani kila baada ya miaka 2000 yeye ndiye wa kizazi hiki. Huu ni mpango aliacha hata baadhi ya mikakati ya huu uongo akiwa karekodi matukio ya kupigia propoganda.
@wamisangi2801
@wamisangi2801 6 ай бұрын
@@yuzotv458 Geodavi na mchungaji wote manabii wa uongo.
@aizzyashery5564
@aizzyashery5564 6 ай бұрын
We ni zaidi ya mchungaji mkuu
@stevenialbert5033
@stevenialbert5033 4 ай бұрын
Tatzo unapenda sofa kwa wanadamu but God took with us,
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 6 ай бұрын
Huju mchungaji angekua mwislam angekua safi sana mana hata wachungaji wengine namini Wana mchukipa ila anawambia UKWELI ubalikiwe sana HANANJA
@user-io8hn1jb4d
@user-io8hn1jb4d 4 ай бұрын
Geor Davie mwizi tu kama wezi wengine
@MelaNakuja
@MelaNakuja 5 ай бұрын
Naitwa Rejina kashinde na watafuta ndugu zangu maiko kashinde kanyala ni namiaka kumi16 sijawaona
@OteshaTime_Services
@OteshaTime_Services 5 ай бұрын
Tatizo hatusomi NENO na kuomba, na hatwendi kanisani.
@hekimajohn3070
@hekimajohn3070 6 ай бұрын
Huyu ndo muchungaji wa kweli aliyebaki duniani wengine wote wapigaji
@yudatv4911
@yudatv4911 6 ай бұрын
Mungu akuzidishie maarifa hananja
@NasaniaMartin
@NasaniaMartin 3 ай бұрын
Hivi kumwona mchungaji ni pesa hivi kulikon
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 5 ай бұрын
huyu ndo mchungaji naemkubali ktk wachungaji wote
@VascoKasambala
@VascoKasambala 2 ай бұрын
Iiichi watu wake wengi ni ziro brn
@oscarjohn477
@oscarjohn477 6 ай бұрын
St Francis mbeya
@user-yl8td2om2y
@user-yl8td2om2y 6 ай бұрын
Baba ubalikiwe sana Yan tujifunz kitu wakrsto jaman Tanzania sio kwako kichwa iki kingekua malekan wagejivunia San mama Samia nakuomb ananj awemshaul waikul jaman
@HaroldEliud
@HaroldEliud 5 ай бұрын
Mungu yupo anaongea na watu wachache, sio manabii tu, kuna watu walikuwa washirikina , wameonana na Mungu na waliacha, wapo waliokuwa icu wamezungumA na Mungu live wamepona
@FlorenceOttaru-jv4fi
@FlorenceOttaru-jv4fi 4 ай бұрын
Sio kweli acha utapeli
MCHUNGAJI HANANJA ATOA TAMKO CHRISTON BOYS
13:46
JN Media.24
Рет қаралды 208 М.
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 23 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 6 МЛН