Mch Mbarikiwa Mwakipesile "Nahoji huyu ni Nabii mkuu au ni Muhuni mkuu..kwa jambo hili..?

  Рет қаралды 113,078

Kikosi kazi cha injili Dodoma 🎖

Kikosi kazi cha injili Dodoma 🎖

Жыл бұрын

Пікірлер: 501
@davidmwasonya2718
@davidmwasonya2718 Ай бұрын
Uko vzr sana Mch Mbarikiwa ipo ck huko mbele nitakutafuta ili kazi ya injili iende mbele.haleluyaa
@KennedyZabron
@KennedyZabron 5 ай бұрын
Ubarikiwe pastor Uko sahihi Tanzania imeingiliwa tumulilie YESU KRISTO WA NAZARETI ATUSAIDIE SHETANI AMEJIFUNUA TANZANIA
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 3 ай бұрын
Nawe mtumishi unavo muongelea adui unazidi kumpa umaharufu yani unazidi kumporomoti.mtumishi muhubiri yesu acha kiki mungu kamuumba mbaya kwa siku ya ubaya isaya 54.
@methodjuma7727
@methodjuma7727 Жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu kwa kila anaye penda kuihubili kweli, ubarikiwe kwa kuipenda kweli, kazi kwetu sisi vjana tunayependa kuhubilin pia , Mungu mwenyezi atujalie tusivutwe kwenye mapungufu
@amossambe2838
@amossambe2838 6 ай бұрын
Amen
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Жыл бұрын
Mbarikiwa me nakuelewaga sana.. Asante sana kwa kweli yako..
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 31 минут бұрын
Joe Davie, mimi ni mdhambi sana sana sana. Lakini, umelaaniwa wewe katika wanaume wote! Mshenzi mpuuzi mwizi tapeli mkuu wewe.
@bugybuster5788
@bugybuster5788 Жыл бұрын
Masikini wanatoa sadaka yy ana honga unampaje pesa mke wa mtu bila mwenye mke kulizia, unaisifia tatoo wkt dini imekataza ww ni nabii wa michongo shita watanzania awataki kusoma vitabu vya mungu wanataka kusomewa tu na miujiza
@davidmwasonya2718
@davidmwasonya2718 Ай бұрын
Mch nimecheka sanaaa hapo kwenye nyota ukubwa wake halaf mtu anataka apewe nyeta eti😂😂😂😂😂😂😂❤
@christer-elnkini5684
@christer-elnkini5684 Жыл бұрын
Asante mbarikiwaa umetafsiri vizuri kbs kipengele cha bibilia inasema nn juu ya kuchoraa miili yetu
@medsonsanga4813
@medsonsanga4813 Жыл бұрын
Shida ya mwaumini wa Leo wanapenda mibaraka Na mafanikio lakin sio kutengeneza njia zao sahih
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Sahivi ukristo ni biashara tu hakuna jengine
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Жыл бұрын
Baba GeorDavie anaweza kukuajiri Uwe malinzi wake wewe Pole kwa depression anayokupa Baba yetu GeorDavie😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@beatricekerubo2963
@beatricekerubo2963 7 ай бұрын
Tunaye baba mmoja dada aliye juu mbinguni na anakuja hivi karibuni, Revelation 1vz7
@jamescornel5391
@jamescornel5391 Жыл бұрын
Naona umeacha kumhubiri Yesu umeanza kumhubiri nabii mkuu, nihivi ndugu yangu kama hukuchaguliwa na Mungu hukuchaguliwa tu acha wivu
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 Жыл бұрын
Sio wivu ndugu anaanika uchafu
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 Жыл бұрын
Sawa lakini kila mtuu anaamini imani ario nayo ,lakini pia na wewe unaimani yako usivuruge imani yawenzio kama unaona wamepotea kazana kuwaombea kuliko kutaja majina ya watu siku tutakuwa na vita ya madhehebu
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala Жыл бұрын
Acheni kutumia biblia
@YonaNjowela-dp2cr
@YonaNjowela-dp2cr Жыл бұрын
Barikiwa mtu wa Mungu
@annamushi5702
@annamushi5702 2 ай бұрын
Nchi yetu ni nzuri sana, Ina uhuru wa kuabudu, sasa wewe hubiri injili, watu wamjue Mungu, achana na mambo ya watu, itaingia kwenye matatizo.
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Isaya 1 18 Haya, njoni, tusemezane, asema Bwana. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.
@happymushi2219
@happymushi2219 Жыл бұрын
Mimi najua nabii mkuu Ni Yesu Kristo tuu.
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Hapa kidogo umezungumza kuwa yesu ni nabii sio mungu wala si mtoto wa mungu hapa nimekuelewa
@jamescornel5391
@jamescornel5391 Жыл бұрын
Yesu sio nabii bali ni Mungu acha kumshusha cheo
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@jamescornel5391 Yohana 17 3 Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. Yesu nabi aliye tumwa Kwa waisraeli peke yake soma andiko hilo kwenye biblia yako
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@jamescornel5391 1 Timotheo 2 5 Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu; Hilo andiko linasema mwanadamu Kristo yesu
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@jamescornel5391 Mathayo 4 10 Ndipo Yesu alipomwambia Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 11 ай бұрын
@angela. Soma biblia kwa bidii. Mjue Kristo kwa undani zaidi. Hatutafuti ya mwilini. Aipendaye dunia na mambo yake ni wa mwili. Wewe unachokiona ni ajira ya dunia tu!? Funguka Dear muda unayoyoma Yesu Anarudi upesi.
@yakoubhashim6518
@yakoubhashim6518 Жыл бұрын
Aisee mungu atusaidie sana Ila kumbe watumishi wa mungu saizi ni wachache sana mungu akubariki sanaa mtumishi
@AmosiEmmanuel-ns9qp
@AmosiEmmanuel-ns9qp Жыл бұрын
Mtu wa Mungu nakuelewaga Sana wachache waliobaki na Iman ya kweli.
@PonsSalimu
@PonsSalimu Күн бұрын
Amen
@user-cm2io9vz3v
@user-cm2io9vz3v 5 ай бұрын
Mbarikiwa mm umenitoa gizani. Watanzania waelewe huyu nabii mkuu kwanza nani alimuweka juu yetu?
@eliebasimisemwandu207
@eliebasimisemwandu207 Жыл бұрын
Asante sana mwalimu
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Жыл бұрын
Nabii Ana mke wake hapohapo madhabauni usimchukulie poa hata Famillia yake wako hapohapo ulimuona akidhini Acheni Mennonite ya kiswahili😭😭😭😭😭😭🙏mtaumwa sana
@ruthsima8152
@ruthsima8152 10 ай бұрын
Tuliye lala naye na akatutambulisha hata kwenye familia yake tuko tu tumetulia. Yule baba anauchafu wake wa ovyo sana basi tu kunyamaza
@henrymatebe
@henrymatebe Ай бұрын
Unajua swala la kumponda mtu ambaye nafsi za watu zinamtegemea kuiona mbingu ukimsema hadharani ni hatari sana unakuwa hujui unachokisema ukizingatia kila mmoja ana wito wake kwa Bwana na kila mmoja ana namna vile watu humpenda tusihukumiane tuifanye kazi ya Mungu
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Mwakipesile uko vizuri majina wanajipa.wenyewe aisee ila jamani siku za mwisho ni.hatari nabii mkuu ilitakiwa wapewe na.umoja.wa.wachungaji wasikutishie kama Mungu yupo upande wako hayupo.ikiwa ni Mungu sema mwakipesile alitakiwa akemewe afundishwe.kuwa tatuu Mungu hataki
@barikimollel7890
@barikimollel7890 Жыл бұрын
Mwisho wenu utakuja kuwa Mbaya Sana Nabii Sio MTU Wa kushindana nae Acheni wivu nyie ndio wahuni kupotosha Watu
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala Жыл бұрын
Hilo jina la nabii ndo limemharirisha kufanya ushetani..? Na wewe ni mhuni kutetea wahuni je kuchora tatu siyo uhuni.?
@emilyrissling9703
@emilyrissling9703 Жыл бұрын
Niwakati wa kukemea dhambi kabisa,kukemea wanao potosha watu.wengi wanapinga bila hata kussoma bibilia kujua Ni haki yetu kurekebisha na kukashifu anaye poteza watu,Au anayefundisha watu kinyume na neno la mungu. Someni maandiko ndio msije mkapendelea ghambi
@davidwatson6821
@davidwatson6821 Жыл бұрын
Njia ya uzimani ni nyembamba na imesonga, lakini njia ya upotevuni ni pana na wengi wanaipita hiyo, mwenye masikio na asikie
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Жыл бұрын
Muacheni GeorDavie wetu Kwani alikuchukulia mke wako wengine tushasaidiwa wahrnimmt nanyinyi wenye roho mbaya hatutamuacha Nabii wetu GeorDavie fanya yako
@estermgoma7451
@estermgoma7451 10 ай бұрын
Mjue sana Mungu ili upate maarifa
@aivanalexander
@aivanalexander 11 ай бұрын
Ezra 10:4 [4]Arise; for this matter belongeth unto thee: we also will be with thee: be of good courage, and do it. Inuka; maana shughuli hii yakuhusu wewe; na sisi tu pamoja nawe; uwe na moyo mkuu, ukaitende.
@FlauraceNako-lm3pw
@FlauraceNako-lm3pw Жыл бұрын
Asante Sana mungu akulinde
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 11 ай бұрын
KWA ANAYEJUA MAANA YA NDOA HAWEZI KUUKUBALI HUU UPUMBAVU KULINGANA NA NENO LA MUNGU..BIBLIA TAKATIFU
@bonabonala5559
@bonabonala5559 5 ай бұрын
mbarikiwa uwa auchii uovu undere mungu ukutumia kweli
@Nabatabita6873
@Nabatabita6873 Жыл бұрын
Haiwezekani kumupongeza mtu ambaye amemukataa mume wake kwajiliyako nakusema eti ni mahaba kwani wewe ulikuwa boy friend wake?. Nijambo lakushangaza kwa watumishi . Hadi unafuraiya nakumupa hela umefikiria nini kuhusu watoto wake uta washika wewe hacheni ujinga wa mama wakitanzania kwa nini hamutafuti kwenda mbinguni munakimbilia hela tu hela zitakupeleka ahela maana hautafuti mungu au kudika mbinguni
@maryupendo8706
@maryupendo8706 Жыл бұрын
Wooi Yesu nisaidie,nipe macho nione.
@kantonankwera768
@kantonankwera768 Жыл бұрын
Mtumishi ninaneno ,hongeraaa kwakumtumikia mungu.
@greysonmalila1296
@greysonmalila1296 Жыл бұрын
Tokeni hapa wanafiki wakubwa si wewe pia umpende Mungu
@user-li8rp3dd7w
@user-li8rp3dd7w Жыл бұрын
Amen mbalikiwa
@user-uq7kk4dw2o
@user-uq7kk4dw2o 2 ай бұрын
Eeheeeee mara nyingine ukiwa kweri wetu hawakutaki, MUNGU, anakupenda...
@user-uq7kk4dw2o
@user-uq7kk4dw2o 2 ай бұрын
Haaaa, Yesu wangu uuuuuuu
@user-zy4ij1pz4g
@user-zy4ij1pz4g Жыл бұрын
Tusiwe wanafiki tuseme kweli, hiyo anayejiita nabii mkuu Huku akimsifia mwanamke mjinga ni mjinga pamoja Naye, ni wahuni TU, mbarikiwa Mungu akubariki Kwa kumkemea muhini huyo
@rabiministry2389
@rabiministry2389 Жыл бұрын
Unaujinga wa hali ya juu sana. Naamini wewe ndiye mtumishi wa Mungu pekee hapa duniani wengine wote ni wahuni kama unvyosema wewe.
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala Жыл бұрын
Mpaka umesema hivyo kuwa mimi ni wapekee "nadhani ndivyo ulivyoona"
@apostlefanuellukuwi3224
@apostlefanuellukuwi3224 Жыл бұрын
Rabin ministry na wewe ni muhuni tuu watu washachoka na ujinga wanataka ukweli acha mwakipesile apiga kazi ya Mungu wa kweli tatizo mnapenda pesa unamtetea huyo nabi wenu mkuu kwaajili ya kupenda kupewa vijisent mtaangamia aisee
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Tatizo ndugi zetu wakristo hamsomi biblia mnaenda kanisani kuhubiriwa mkifika huko mnaimba na kupigiwa kelele lakini hamsomi biblia wala hamtasomeshwa
@user-uq7kk4dw2o
@user-uq7kk4dw2o 2 ай бұрын
Jamanii, eeeeeeeh!!!!!! Kweri tumefika huko??????
@joshuakimario5764
@joshuakimario5764 7 ай бұрын
Uko sahihi kabisa mbarikiwa songa mbele usiogope chochote
@MuhammedShaff-fw5ps
@MuhammedShaff-fw5ps Жыл бұрын
Ukiristo ni diniyabiashara ndiomana mnkuawqkqli nyinyi wqhubir mtu akielezea diniyahaki uislamu pekee💚💚💚💚
@evodiaaloyce3670
@evodiaaloyce3670 9 ай бұрын
Sio kweli
@Stayawayfromislam2
@Stayawayfromislam2 Жыл бұрын
Nabii mkuu ni YESU(Mungu) PEKEYAKE
@josephandrew3444
@josephandrew3444 Жыл бұрын
Tupe andiko yesu ni nabii mkuu
@NduwimanaNoella-rj7tm
@NduwimanaNoella-rj7tm 3 ай бұрын
Baba sema usiogopi semeya mungu wewe nimutumishi wake mutumikiye Bwana nakufata Kigali Rwanda
@ipyanapaulo4774
@ipyanapaulo4774 Жыл бұрын
Hapo nimekuelewa sana katika hili ubarikiwe sana
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 Жыл бұрын
MBARIKIWA unapenda magomvi na mizozo sana
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala Жыл бұрын
Isaya_58:1
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Жыл бұрын
Mchungaji Kimaro karudi kazini umesikia?
@davidmwasonya2718
@davidmwasonya2718 Ай бұрын
Pia unaona hapo huyo mama anasema mume wake wa ndoa ameamua kumuacha kwa ability ya tattoo aliyochora mgongoni na Mtumishi Jo Davie halisemei hilo kuwa mume amekimbia labda atatuftwe ili amrudishe nyumbani ndoa iendelee hasemi chochote maana yake anafurahia kuachana ili hali Bible inasema Mungu anachukia kuachana(ndoa kuvunjika)hapo sasa unaona Joe Davie yuko sahihi????hapana palipopinda lazima tupanyooshe na Neno la Mungu halisi.Ameeen.
@tumaini_nkinda
@tumaini_nkinda Жыл бұрын
Kitendo cha Jodevi kujiita nabii mkuu ni wazi huyu si mtumishi wa Mungu! Nabii mkuu maana yake ni Mungu maana Mungu ndie anaetoa manabii na ndie alie juu ya manabii wote! Biblia inatutaka tumuinue Yesukristo peke yake! nakumuabudu yeye peke yake. Yohana 12:32. Mathayo 4:8-11. Kakifupi ngurumo ya mapaka ni mtumishi wa ibilisi! aache kudanganya watu. 2Thesalok 2:11-12.
@bettyhabakaramo2996
@bettyhabakaramo2996 Жыл бұрын
Bwana yesu atulinde
@africatoeuropechurchtv8856
@africatoeuropechurchtv8856 Ай бұрын
Hii haikueleweka. Nahadi sasa haieleweki. Nadhan haitaeleweka kabisaa tukidhan ni shetan inagoma tukidhan ni YESU nayo inagoma.
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 Жыл бұрын
Ndg yangu achana na vitu visitors na maana malumbano yako na huyu kiongozi ww sio mtskatifu na kujua mtu ni mhuni au siyo mhuni ni Mungu tu binadamu Hana uwezo huo ni vyema utulie ktk Imani yako na kuombea na kuomba Mungu afanye mapenzi yake tatizo unabase Sana ktk mitandao Mungu akusamehe na atusamehe sote na nfpenda nikuambie mama yule hakuvua nguo kama unavyosema acha Hilo fanya mambo yako kwani hata ukisema vyovyote jambo limeshatokea nasi sote ni wakosefu cha msingi ww kama mtumishi unatakiwa kuwaombea rehema ya Mungu mwisho wa siku mtasababisha watu waingie uislam maana mnarumbana mno badala ya kuhubiri wote pamoja na ww hamfai kuitwa watumishi wa Mungu
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala Жыл бұрын
Mwehu wewe, sema wewe ndo mkosefu, mimi ninaabudu ili nisiwe mkosefu
@nancychuwa4870
@nancychuwa4870 Жыл бұрын
Ukisoma komenti zako utagundua huyo nae ni mhuni mwingine........ Angalia umemwandika message nzuri lakini kakutukana......... Eti mbarikiwa duuuuuu!!!!!!!
@rahelstanley
@rahelstanley Жыл бұрын
@@nancychuwa4870 huyu jamaa kichwa yake sio nzuri
@oscarngowi4750
@oscarngowi4750 Жыл бұрын
Nawewe ni muhunu mwingine
@GabriellaWiseman
@GabriellaWiseman Жыл бұрын
Kwa kweli muhukumu WA Haki ni mungu
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 Жыл бұрын
Mtumishi wa Bwana Yesu Mbarikiwa. Hakika wewe ni Sauti ya Mtu aliaye mikani. Endelea kuwaanika hao matapeli wanaojiita ni watumishi wa Mungu kumbe ni wezi.
@JacklineWiston-lf1zy
@JacklineWiston-lf1zy Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@ElshadaiHuruma-pr7vr
@ElshadaiHuruma-pr7vr Жыл бұрын
Mathayo 7:15 (jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali)
@servantmosesmunuve2687
@servantmosesmunuve2687 Жыл бұрын
Kwa mujibu wa hio vilamu imechezwa na huyo mwanamke kuchora tattoo na kutoa nguo,huo ni ukahaba na wanaomsifia wamepotoka.Hii ni roho ya mpiga kristo inaendelea kutawala.
@CecileNgendapasi
@CecileNgendapasi 5 ай бұрын
Nakupenda Sana baba ,nakufata kutoka RDC Congo
@samuelirung7020
@samuelirung7020 Жыл бұрын
Pascal cassian a raison
@davidmwasonya2718
@davidmwasonya2718 Ай бұрын
Rafiki yangu Shukuru Kihwelo unajua hapo umesema kila mtu ana imani yake na asitaje marina ya hao watu wenye imagine mbovu ,,,niseme tu ni kweli kila mtu ana imani yake lkn imani inapotendewa ndivyo sivyo na tunaona hadharani kuwa hili ktk Bible halipo lazima tupinge kwa nguvu zoooote
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Жыл бұрын
Ahaa Sasa Ni meelewa shida yako Ni pesa acha kumkashifu Nabii nenda kamuombe msaada hakusaidie
@nashonjoel20
@nashonjoel20 Жыл бұрын
HAWA WAUZA MAFUTA YA UPAKO/MAJI YA UPAKO NI WAHUNI TU NA WANAPOTOSHA KANISA LA MUNGU. NABII wa Mungu hapaswi Kujiinua Wala kujipa vyeo Kama hao. Hawa Kuna mahali pengine wanakopata hizo Nguvu na si kwa JEHOVAH.
@user-kz4pv8er6b
@user-kz4pv8er6b 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu wewe ni mboni ya jicho la Mungu
@justinefaida4526
@justinefaida4526 Жыл бұрын
Ukweli kabisa barikiwa sana.
@kashindisimon5265
@kashindisimon5265 Жыл бұрын
Mungu atakulinda mtumishi mbarikiwa hawa ni mbwa mwitu katikati ya kondoo
@furahamwatwinza9560
@furahamwatwinza9560 2 ай бұрын
Ila kitengo cha kujiamini kina mnyakyusa bhana😂
@user-zz1vv2qw2t
@user-zz1vv2qw2t Жыл бұрын
Kaka uo mdomo wako mrefu sana punguza yani umezidi mdomo mrefu sana we Kuw na hekima
@user-ms1ew1fj5o
@user-ms1ew1fj5o Жыл бұрын
Umesema kweli
@Victorina-wi1dl5py3s
@Victorina-wi1dl5py3s 3 ай бұрын
MTU ANAYE JIITA NABII MKUU NI NABII MUHUNI BILA SHAKA MANA NABII MKUU NI YESU MWANA WA MUNGU PEKEE.
@PurityManase-gr1cs
@PurityManase-gr1cs 11 ай бұрын
Wewe ni mshamba tuu.. Huna lolotee umaskini wako na wivu wako utakupeleka jehanamu . Wewe ndio muhuni maskini mwacheni mmbarikiwa wa Beana!! Geo devi hafananishwi hapa tanzania!!
@hansondaniel-nb2jn
@hansondaniel-nb2jn Жыл бұрын
Safi sana mbarikiwa nyie wachngaji tunaowaitaji .
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Badala umchole Mungu na Yesu au uandike jina la Yesu au Mungu
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 Жыл бұрын
Utaalinika wew,
@CecileNgendapasi
@CecileNgendapasi 5 ай бұрын
❤❤❤ ubarikiwe
@paulwanyama4610
@paulwanyama4610 Жыл бұрын
Mimi namhelewa sana huyu mchungaji anacho kisema ni kweli kabisa ukiwa mtu wa mwilini kumwelewa ni ngumu sana
@EliyaMalelemba-rx3mf
@EliyaMalelemba-rx3mf Жыл бұрын
Mtumishi Mungu akutetee umesema ukweli
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 2 ай бұрын
Mungu alisemaa tangaseni muliowana soma mathayo 10-26-27
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 Жыл бұрын
Tulishawatambua hao wahuni miaka nyingi mungu wao ni tumbo tena tumewachoka kweli kweli maana wametumwa kuhalibu neno la mungu
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z Жыл бұрын
Wameshamjua ni mjinga wanamsifu ili awape hela,ni uzezeta,hakuna unabi hapo.
@glaury9938
@glaury9938 Жыл бұрын
Kweli yesu atusafishe watumishi hatuna hekima tunazalilishana sana naomba tue tunafuatana na kumwambia mtu kwa hekima mana yesu atabagua magugu na ngano samahani kwa kusema hivi
@ebenezerchoir
@ebenezerchoir Жыл бұрын
Mimi nimefurahi San kwa huyu mtumishi ambaye amesimama hadharani na kukemea upotoshaji mkubwa unaoendelea
@LucyJMtitu
@LucyJMtitu 10 ай бұрын
Majira ndugu yangu.......
@user-xu5je8hl4o
@user-xu5je8hl4o Жыл бұрын
Ufalme mmoja na unagawanyika,ndio injil ya leo,kristo ni mmoja lakn wahubiri wana mgawanya,lkn bila shaka kila jambo linamwisho.
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala Жыл бұрын
Haijaanza leo, hata nyakati za biblia Yesu aliwahi kuwaita mafarisayo ni wana wa majoka Mathayo_23:33
@Jonathankaghese
@Jonathankaghese Жыл бұрын
Mungu atusaidiye
@johnmsambuzi9094
@johnmsambuzi9094 Жыл бұрын
Kweli Lema Ana maono makubwa ya kimungu tazama anavyo ungwa mkono na wachungaji
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala Жыл бұрын
Kuungwa mkono, na wanaojiita wachungaji siyo ndo kaungwa mkono Mungu,
@aloycemahiza2171
@aloycemahiza2171 Жыл бұрын
Kwaufahamuwangu mimi naona Nabii Mkuu ninabii kama Manabii waliopita ilawewe ndioupo kinyume kwanini usisimamie kanisalako unaingilia Makanisa yawenzako Unakosea sana Mbalikiwa nakama uliona mtumishi mwenzio anapotoka kwanini usimtafute ukaongeanae kuliko kumdharirisha Mtumishi wa Mungu Nabii Mkuu. Mbalikiwa wewe Huenda huujui wokovu Vizuri Toa kwanza boriti kwenye jicholako ndio umtoe mwenzako kibanzi chamti jichonimwako
@aloycemahiza2171
@aloycemahiza2171 Жыл бұрын
Fanya mamboyako Mbalikiwa usiutumie mtandao vibaya kwakumchafua Nabii Mkuu nawewe gawavyakwako kwanini kumchafua mwenzio
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala Жыл бұрын
Kwahiyo kazi ya nabii ni kusifia watu kuwa wana mahaba..?
@medsonsanga4813
@medsonsanga4813 Жыл бұрын
Amen mtumshi 😃
@stephensengo6877
@stephensengo6877 Жыл бұрын
Hongera
@bensonmoris463
@bensonmoris463 Жыл бұрын
Acha kuzungumzia watu fundisho neno la Mungu sio umbeya,jua ulichoitiwa,itaangamia kwa kukosa maarifa,
@UpendoDaudi-iq6hy
@UpendoDaudi-iq6hy Жыл бұрын
YESU Kristo yeye yule Jana na hata milele
@marysangula9974
@marysangula9974 Жыл бұрын
Jamani hubiti neno kwanini mnamwaibisha Yesu mitandandao . Huu sio wito mlioitiwa
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala Жыл бұрын
Si tumeshindwa hubiri wewe, kwani we hauwezi..? Yaani kumwonya mtu asitumie biblia vibaya nako ni kumdharirisha Yesu.?
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 Жыл бұрын
Mbarikiwa kama upo tayari kiasi hicho kufa kwaajili ya Mungu basi Jifunze Ukweli wa Mungu juu ya Sabato na amri 10 za Mungu. MUNGU akubariki
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala Жыл бұрын
Hiyo sabato imekusaidia nini imekunufaisha nini..? Ili nami nijifunze
@RashidMwasiposya-rf6jh
@RashidMwasiposya-rf6jh Жыл бұрын
Mh ubili ijili sio kusema wenzenu huyo sio mungu
@RashidMwasiposya-rf6jh
@RashidMwasiposya-rf6jh Жыл бұрын
Ndo tatizo kujiona bola kuliko wenzako pole
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 Жыл бұрын
@@Yoram_Changala Mungu akujalie heri katika hili. Utunzaji wa Sabato ni moja kati ya amri kumi za Mungu Kutoka 20:8-11 [8]Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. Remember the sabbath day, to keep it holy. [9]Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; Six days shalt thou labour, and do all thy work: [10]lakini siku ya saba ni Sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako. But the seventh day is the sabbath of the LORD thy God: in it thou shalt not do any work, thou, nor thy son, nor thy daughter, thy manservant, nor thy maidservant, nor thy cattle, nor thy stranger that is within thy gates: [11]Maana, kwa siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa. For in six days the LORD made heaven and earth, the sea, and all that in them is, and rested the seventh day: wherefore the LORD blessed the sabbath day, and hallowed it. Vita kuu tuliyonayo ni kati ya wema na uovu, Shetani hayuko tayari kuona mwanadamu anatenda mema, yaani anazishika sheria za Mungu. Kusudi la Mungu kutuumba ni kwaajili ya utukufu wake, kwamba tumtukuze/ tumuabudu. Katika amri kumi za Mungu amri ya nne (ya sabato) imedai ibada ya Mwanadamu kwa Muumba wake kama ishara ya kujidhihiri ya kwa Sisi ni viumbe wa Mungu na yeye ndiye Mungu na Muumbaji Ezekieli 20:20 [20]zitakaseni sabato zangu; zitakuwa ishara kati ya mimi na ninyi, mpate kujua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu. And hallow my sabbaths; and they shall be a sign between me and you, that ye may know that I am the LORD your God. Jambo hili ndilo kiini cha mahusiano yetu na Mungu. Nafasi ya Mungu kwetu inakuja tu pale tunapomtambua kuwa yeye ndiye aliyetuumba. Shetani anapoipiga vita sheria ya Mungu amekazana zaidi hapo kwenye kiini.
@HighzackMichael
@HighzackMichael Жыл бұрын
Baki na sabato zako hapo kwa mbarikiwa tunapewa mboga bila mchuzi yaaani kavu kavu na tunashiba
@myself4128
@myself4128 Жыл бұрын
Biblia Haijawahi kumtambua mtu kamma Nabii mkuu na Mwingine kama Nabii mdogo ni vyeo vya kitapeli vya kujipachika pachika tuu...wanaiga wale wasanii wa Zimbabwe wanajiita Major prophets wahuni tupu
@HeslonRubhibhi-bg9ko
@HeslonRubhibhi-bg9ko 4 ай бұрын
amina sana nimuhuni mkuu
@mapendoumoja800
@mapendoumoja800 Жыл бұрын
Sifa niza Mungu pekee amsifuye mwanadamu ajichukulia laana mwenyewe yapitayo fahamu zetu tumwachie Mungu
@apollokidakule-vg3lz
@apollokidakule-vg3lz Жыл бұрын
Eeh aiseee!?! Tumekwisha
@teddymutani856
@teddymutani856 19 күн бұрын
Mbarikiwa ww ni muhuni pia kama wahuni wengine yani naww niwalewale tu akina kiboko ya wachawi
@adamsambo264
@adamsambo264 Жыл бұрын
Nakushauri mbarikiwa uwe na Adabu kwa watu waliokutangulia utumishi wamekuwa na Mungu miaka mingi wakati huo ww hujulikani!...na sisi tunao kuona na kukusikiliza unatuboa na unauchafua ukristo unaenzi utu na heshima, ww kwanza umetokea wp? " As if u don't have the source" ujue huyu mtu mkuu wa Mungu amefanya Kazi chini ya mkono wa akina Emanuel lazaro,Moses KULOLA na wengineo halafu ww utoke huko utokao uanze kuropoka hivi ww kweli una wazazi wa kiroho? Unatutia aibu Tafadhali uanapaswa kuwa na Adabu kiroho unaropoka hovyo mpaka tunashangaa aina ya wakristo tulio nao...pia unapaswa uende shule upate akili zaidi....
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala Жыл бұрын
Yohana 10:8 [8]Wote walionitangulia ni wevi na wanyang’anyi; lakini kondoo hawakuwasikia. Wewe uliye na peleka akili shule umepata nini..? Cha kunishawishi.!
@user-uq7kk4dw2o
@user-uq7kk4dw2o 2 ай бұрын
Apanaaaaa, Yesu wangu
@davidwatson6821
@davidwatson6821 Жыл бұрын
Nafikiri ni wakati wa hao wanaojiita manabii na watumishi wa bwana kuwahubiria watu waache dhambi na wamjue Yesu, siyo kuwalaghai watu kwa mafanikio
@esterdonald5497
@esterdonald5497 Жыл бұрын
Mungu akulinde Sana mbarikiwa ,huo ndo ukweli
@bugybuster5788
@bugybuster5788 Жыл бұрын
Mwakipesile mimi nakuelewa vijana sasa hv awataki kufanya kazi wanataka kuombewa tuu ili wapate maisha
@trizafrances4304
@trizafrances4304 8 ай бұрын
Mume lazima aondoke maana wewe mama hakuelewi una enda mchora mwana ume mwezako kwa mgongo hapo hakuna roho wa mungu kuna roho mtaka watu
Acha kutukebehi kwanini wewe usionywe.? kwani haujui Mungu hutumia hata punda je sisi wanadamu.?
12:25
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 48 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 7 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 103 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН
MBARIKIWA AKUTANA NA MAMBO MAZITO 27/5/2024 MAHAKAMANI
21:53
Alune Kyusa
Рет қаралды 2,1 М.
SIKIA MIJITU ILIYOTEMBEA NA UPAKO, REV:MOSES MAGEMBE
31:10
Nyota Yako Ina Thamani | Maombi Ya Kuombea Taifa | Pastor Tony Osborn
21:11
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 132 М.
MCH HANANJA ATOBOA SIRI ZA MITUME NA MANABII, LEO NAONGEA UKWELI
31:52
Mch Moses Magembe - KUZALIWA MARA YA PILI | KAHAMA 02
2:49:55
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 5 М.
Механик «от бога»  создал автопропольщик
0:47
🌲ВЕНЁВ Питомник Растений
Рет қаралды 1,1 МЛН
Как открыть машину если нет ключей
0:22
Didn’t Know You Can CHANGE Tesla Car Color?! #asher #shorts
0:30
Asher Lara
Рет қаралды 2,5 МЛН
Doolittle chipseal hwy 101
0:58
Road Maintenance Equipment .
Рет қаралды 25 МЛН
Team BMW or MERCEDES??
0:19
Bin Asif
Рет қаралды 6 МЛН