SIKIA MIJITU ILIYOTEMBEA NA UPAKO, REV:MOSES MAGEMBE

  Рет қаралды 62,473

NY TV

NY TV

3 ай бұрын

NYTV COMPANY.
Ni channel ya habari za Injili ,Mahubiri,Miziki ya Gospel na Mahojiano na watu maarufui kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani na nje ya Tanzania kupitia TWITTER, FACEBOOK, INSTAGRAM KZfaq (@NYTV) na kwenye NYTV.CO.TZ

Пікірлер: 162
@IsakaKiyalo-s3v
@IsakaKiyalo-s3v 7 күн бұрын
Amina Amina napokea baraka kwa jina la yesu kupitia mahibiri haya in the mighty of the Jesus name
@ema4968
@ema4968 2 ай бұрын
Karibu sana MWANZA mchungaji Magembe baraka kubwa sana kwa kizazi hiki
@enossimon6803
@enossimon6803 3 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe Mchungaji.fanya ziala uje kigoma maeneo ya Mnanila tunabarikiwa na huduma yako.uje baba tutapendezwa sana
@mutabirwakashasha5428
@mutabirwakashasha5428 2 ай бұрын
Mchungaji Magembe Mungu akubariki sana hii nchi ingekuwa na hawa watu 33 tu pangechimbika
@johnmanase2874
@johnmanase2874 2 ай бұрын
Amen . Mchungaji anaongea kwa mamlaka hata vibwengo lazma viufyante... Barikiwa mtumishi wa Mungu , chapa kazi ya Mungu ulimwengu uokoke ktk Jina la Yesu
@anethphilbert229
@anethphilbert229 14 күн бұрын
Amina pastor.
@tesnamwamwezi
@tesnamwamwezi Ай бұрын
Amin
@user-ok4ng8st7g
@user-ok4ng8st7g 3 ай бұрын
Hallelujah,haka ka bibi Yesu akatunze kwa ajili ya ushuhuda
@JohnJoel-ro7lc
@JohnJoel-ro7lc 3 ай бұрын
Ahsante YESU Kwa zawadi hiii katika kuujenga mwili wa krsto
@apostleemmanuelmabuga8148
@apostleemmanuelmabuga8148 3 ай бұрын
Hii sio tu kwa TAG hii ni UAMSHO kwa Mwili wa Kristo Tanzania nzima
@stevenhaule6786
@stevenhaule6786 2 ай бұрын
Nafuta naandika ubarikiwe sana mzee wangu kilichopo ndani Yako ni Cha Mungu wa kweli kabisa nakupenda sana mzee nakipenda kilichopo ndani Yako niombee baba ukisoma comment yangu nakupenda😭😭
@ollestedickson8966
@ollestedickson8966 Ай бұрын
Barikiwa sana man of God Pastor Maghembe🙌
@essamwaitulo6339
@essamwaitulo6339 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana baba yetu kwa injili na neno lenye nguvu za Mungu. Mungu akupe afya na siku tele ili kusudi la Mungu lifike kila mahali.
@dillisalum2384
@dillisalum2384 3 ай бұрын
Halleluya! Ninaomba mtusaidie kuya-share mafundisho kamili! Shalom
@smartmwakipesile3842
@smartmwakipesile3842 3 ай бұрын
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu
@janembanga1607
@janembanga1607 3 ай бұрын
Mungu atusaidie hii injili Moto kweli kweli turudi kwenye viwango
@eliajohn6249
@eliajohn6249 4 күн бұрын
Amen
@JumaMwangombe
@JumaMwangombe 3 ай бұрын
Amina mtumishi magembe Mungu akupe siku nyingi za kuishi
@matokeomwakibinga3344
@matokeomwakibinga3344 3 ай бұрын
Oooh my Load nisaidie mimi niwe hodari na moyo wa ushujaa 😢😢
@mosesmbeke6137
@mosesmbeke6137 3 ай бұрын
HIZI NDO INJILI THABITI,BARIKIWA SN
@mboneamalaki5674
@mboneamalaki5674 3 ай бұрын
Mungu nisaidie
@janemuthui6130
@janemuthui6130 3 ай бұрын
Mchunganji tunahitaji hilo neno la kweli tufunguliwe na neno la Mungu Tafathali njo kwetu Kenya,Nakuru city
@user-yl8ht7pt6d
@user-yl8ht7pt6d 3 ай бұрын
Mungu wa mbingu atusaidie mm na familia yangu mume na watoto wangu tudirudi nyuma
@noelmasere1400
@noelmasere1400 3 ай бұрын
ubarikiwe sana baba mchungaji natamani sana nijuwe unapatikana wapi ili nije uniwekee mikono juu ya kichwa changu nahisi kuokoka
@willsontigiti8363
@willsontigiti8363 2 ай бұрын
Njoo ndg yangu heri wamutumainio bwana
@kidainvestment7132
@kidainvestment7132 3 ай бұрын
Absolutely you Yes man of God 💯%
@RachelMkumbo
@RachelMkumbo 2 ай бұрын
Barikiwa baba
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 2 ай бұрын
Injili isiyogushiwa ni tamu sanaaa.Amen Siogopi sirudi nyuma nakaza mwendo niifikie ile mede
@sijapendamatikiti3448
@sijapendamatikiti3448 3 ай бұрын
Ee Mungu nisaidie niwe muijilist nifanye watu wanafunzi wake.huu ujumbe umenitisha. Ee Mungu nifundishe.
@rashidmtafya9075
@rashidmtafya9075 2 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu magembe mungu akutunze uziponye dini
@AbayumbebaRubavu
@AbayumbebaRubavu Ай бұрын
Naomba Namba ya Rev: Moss
@BETISHEBA-ln3db
@BETISHEBA-ln3db 3 ай бұрын
Yesu tusaidie
@LucasBundala-uw6cw
@LucasBundala-uw6cw 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana Baba nakuelewa msukuma mwezangu
@CosmasSimon-bp9nu
@CosmasSimon-bp9nu 3 ай бұрын
Naguswa sana na neno lake Mungu nisaidie niokoke kwerikweri
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 2 ай бұрын
HAPO KWA KUMULETA WAKALA NIMEGoNGA ukiokoka na mchungaji akiwa na Nguvu za Mungu wakala wa shetani atakimbia,
@user-ol4zx7xd5q
@user-ol4zx7xd5q 3 ай бұрын
Amina Sana barikiwa Sana Sana mtumishi Mungu akutunze Baba
@LajoiePascaline
@LajoiePascaline 2 ай бұрын
Amen, Mubarikiwe sana. Tume barikiwa kweli
@SaimonTweve
@SaimonTweve 2 ай бұрын
Mungu na akubariki sana baba Magembe sema tupone
@jasperjackson8871
@jasperjackson8871 3 ай бұрын
Baba yangu na Mungu wangu utusaidie tuweze kuelewa maneno haya mazito kutoka kwa baba yetu wa imani mchungaji Moses Magembe. Naomba tusaidie kuelewa eee Bwana wetu hili neno ambalo Roho Mtakatifu asema na kanisa lake.
@shedracklesudai95
@shedracklesudai95 3 ай бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho
@YohnaDanieli
@YohnaDanieli 3 ай бұрын
Amina ubarikiwe sana
@YaeliJoseph
@YaeliJoseph Ай бұрын
Amen 🙏 Pastor 🙏
@johnsebastian-bx6qn
@johnsebastian-bx6qn 3 ай бұрын
Napokea baba amina
@user-px7zz3nq2p
@user-px7zz3nq2p 3 ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji kiongozi wetu YESU KRISTO azidi kkuinua
@obedstaford8562
@obedstaford8562 3 ай бұрын
Amina baba hakika ijili ya kiwango sana hadi inaogopesha Mungu akubariki sana mchungaji turudi igale
@AdolphMarenge-jd6vw
@AdolphMarenge-jd6vw 2 ай бұрын
amina mtumishi wa Mungu ni kweli ndio maana makanisa yamekufa
@ZauloMalolage-tv7vb
@ZauloMalolage-tv7vb 2 ай бұрын
My pastor nakuelewa sana
@davidbenson661
@davidbenson661 3 ай бұрын
Mungu akutunze Pastor, unasaidia wengi.
@user-fz1qz3fz3q
@user-fz1qz3fz3q 2 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@emmanuelmwiturubani
@emmanuelmwiturubani 2 ай бұрын
hongera baba kwakukumbusha njia ipaswayo kufuatwa
@parakuchiemma3673
@parakuchiemma3673 2 ай бұрын
Nimebarikiwa na kuinuiwa kwa maneno yako ,Mungu atujalie kuinuka tena na kuihubiri injiri yenye nguvu
@MushagalusaLeonard-zw8rr
@MushagalusaLeonard-zw8rr 3 ай бұрын
Amina Amina Amina, Mungu yuko hapa
@EuniceBukokhe
@EuniceBukokhe 2 ай бұрын
God bless you Amen
@EmmanuelKasike
@EmmanuelKasike 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana Baba Amina kubwaababa
@michaelsamwelmmari9087
@michaelsamwelmmari9087 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@jescacharles2274
@jescacharles2274 2 ай бұрын
Amina Mungu atusadie tunamuomba
@pascaldomel1551
@pascaldomel1551 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba yetu
@Nelltuoge
@Nelltuoge Ай бұрын
Amen, kumkabiri shetani hakuna kudekadeka!!,
@alex_vincent
@alex_vincent 3 ай бұрын
Hallelujah
@adelajoseph127
@adelajoseph127 2 ай бұрын
Amina
@fidemikaeli8145
@fidemikaeli8145 3 ай бұрын
Amina baba
@user-un9ds6kq1p
@user-un9ds6kq1p 2 ай бұрын
Mungu akutunze
@apostleemmanuelmabuga8148
@apostleemmanuelmabuga8148 3 ай бұрын
Barikiwa Saaana Magembe Rafiki yangu acha TAG wa kudharau sisi wa madhehebu mengine tunachukua mafundisho yako na tuna jaza makanisa TAG acheni uoga
@musaanthony8889
@musaanthony8889 3 ай бұрын
Mbona hapo ni kama yupo TAG au sijaona vizuri
@EdwinMbwilo-fj6bf
@EdwinMbwilo-fj6bf 3 ай бұрын
Tafiti kama hizi inatakiwa afanye askofu mkuu ili ajue pakuanzia, maana yule bibi anasema aliyeingia amevaa hereni, mikufu, shanga na bangili alikutana na Roho Mt na hawakuvaa tena, kanisa la leo hivyo vitu tumehalalisha na wachungaji hawaoni kama ni uovu. Watu wasuka, wanajikilimu, wanavaa mawigi na kujinakisha. Ninachomshukuru Bwana Yesu amemsaza ili ashuhudie japo wachungaji wetu hawana mpango naye bali wanaiamini thiolojia Sana.
@user-ic8od4el4c
@user-ic8od4el4c 3 ай бұрын
Mkuu mbona kama una muhemko hapo anafanya kazi ya TAG sasa wamemdharau vpi na yuko kamati kuu
@apostleemmanuelmabuga8148
@apostleemmanuelmabuga8148 3 ай бұрын
@@user-ic8od4el4c hii kauli ya kudharauliwa kailudia mwenyewe mala nyingi tu hatumuwekei maneno mdomoni
@juniorkamafa3391
@juniorkamafa3391 3 ай бұрын
Unatukosea
@MlebingeZabibu
@MlebingeZabibu Ай бұрын
Jambo baba Muchungaji naomba na mamba ya simu
@ambonisyefungo4853
@ambonisyefungo4853 3 ай бұрын
Mungu tusaidie
@israelisponsor8755
@israelisponsor8755 Ай бұрын
Ee Mungu nisaidie nikupokee rohoni mwangu 😢😢😢
@marthamaembemaembe
@marthamaembemaembe 2 ай бұрын
ubarikiwe baba
@stunningtv8426
@stunningtv8426 2 ай бұрын
Sahihi kbsa nimefika igale na mazingira nineyaona na history hii nimeipata Barbara!
@GraceDui
@GraceDui 3 ай бұрын
Aminababa
@user-zd6tt2dq3k
@user-zd6tt2dq3k 2 ай бұрын
Bwana akutunze pastor nimeinuliwa upya
@mariakalama3014
@mariakalama3014 2 ай бұрын
Kuna watu wanatumia neno la mungu lakini hawana upako wa mungu
@johnsebastian-bx6qn
@johnsebastian-bx6qn 3 ай бұрын
Amina baba wewe ni hazina
@jacobshirima4860
@jacobshirima4860 3 ай бұрын
Amen
@NeemaVanvitaliskallaghe
@NeemaVanvitaliskallaghe 11 күн бұрын
Mchungaji wetu hatujawahi kumdharau .yuko nae pamoja na anachokisema ndicho kanisa la leo linahitaji fanta kazi ya Mungu Baba Mungu hatakuacha wala kukupungukia popote
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 3 ай бұрын
Ameeeen
@kidainvestment7132
@kidainvestment7132 3 ай бұрын
❤❤
@ayoubmwangonji2357
@ayoubmwangonji2357 2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏amen
@ambonisyefungo4853
@ambonisyefungo4853 3 ай бұрын
Yeeeesuuu njooo nisaidie
@marionoti5760
@marionoti5760 2 ай бұрын
Najua mazombi yatang'aka, kwakuwa ni mashabiki ya Dini badala ya kweli
@BavonSunday
@BavonSunday 2 ай бұрын
utukufu ni kwa Mungu
@berthamkamba6758
@berthamkamba6758 3 ай бұрын
Mungu atusaidie kutoipenda Dunia Wala kuifuatisha Ili Roho Mtakatifu adumu ndani yetu Halleluya!
@christermapunda503
@christermapunda503 3 ай бұрын
Kweli tunaomba Yesu akusaidie maana kizazi ni kigumu sana kinatisha mno. Hakielewi somo!
@reganerasto5161
@reganerasto5161 2 ай бұрын
amina Mchungaji Magembe nakuelewa sana baba.
@NDISA1
@NDISA1 3 ай бұрын
Hii historia ya Igale inabidi irekodiwe NYTV nendeni Rungwe please
@neemamsomba5946
@neemamsomba5946 2 ай бұрын
❤❤❤
@JaneMichael-sj3qb
@JaneMichael-sj3qb 2 ай бұрын
Balikiwe sana mtumishi wamungu hakika injili hii itatafutwa sana mama ulimwengu nakanisa limehalibika lakin huyu Baba hakika anamjua Mungu
@JaneMichael-sj3qb
@JaneMichael-sj3qb 2 ай бұрын
Hakika Ubarikiwe zaidi
@barakamwale7190
@barakamwale7190 3 ай бұрын
Tupate wapi Watumishi wa Mungu kama wewe, MUNGU AZIDI KUKUTUMIA SANA MCH , WATU TUPONE
@SynphorienZamukul
@SynphorienZamukul Ай бұрын
tuandae vema
@mmungajieanpirre4655
@mmungajieanpirre4655 2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🤝
@JoyceMlelwa
@JoyceMlelwa 2 ай бұрын
Napokea
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 Ай бұрын
Ujue kuwa wakristo tumeishia huoni hata mlipuko wa nguvu ya Mungu ndani yao, kwa injili hiyo lazima pangechimbika hapo
@pastorheri715
@pastorheri715 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana Baba
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Anasema ukweli huyu baba
@jorgitolucasbaluth8903
@jorgitolucasbaluth8903 10 күн бұрын
Uyu anatari
@GOSHENCENTREKASARANI
@GOSHENCENTREKASARANI 3 күн бұрын
Mnaweza nisaidia number ya Mchungaji huu Rev Moses Magembe?
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Mimi ninamkubali huyu baba
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 2 ай бұрын
Watumishi kama hawa wamebaki wachache ktk Dunia hii,
@yohanaswalo4716
@yohanaswalo4716 3 ай бұрын
😭😭😭
@leonardkajuna1213
@leonardkajuna1213 3 ай бұрын
Hasante baba Mchungaji!
@EmmanuelKasike
@EmmanuelKasike 3 ай бұрын
Mimi kama vile Elisha mtarajiwa naitaja roho yake mara dufu
@PeterMgimba
@PeterMgimba 2 ай бұрын
Naomba namba yako mchungaji tuwasiliano napenda tuzungumze napenda kazi na mahubiri yako.
@user-ft6fc8fy9f
@user-ft6fc8fy9f 3 ай бұрын
Upako kama huu ni muhimu kwangu
@DavidIsaya-zn1gp
@DavidIsaya-zn1gp 3 ай бұрын
Mzee we ni Paul yani umebeba kundi kubwa sana, wachungaji wengi wanahubili injili ya mjini ya ubisho nakumbuka uliwahi kuja sehemu majo kuhubili ukahubili kuhusu kusifu kwa kunengua mauno lakini mpaka leo hawajaacha kunengua hiyo inasanabishwa na wachungaji ambao wanaona wakikazia washilika watakimbia kitu hicho kimeangamiza kanisa sehemu nyingi sana ukengeufu umetawala
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 22 М.
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 81 МЛН
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 18 МЛН
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,7 МЛН
UPONYAJI KUPITIA KUSIFU NA KUABUDU DAY 3 //Dr  Ipyana Kibona
59:12
#KIPIMO CHETU HIKI HAPA#DR.REV.MOSES MAGEMBE
38:13
NY TV
Рет қаралды 60 М.
MAVAZI YA MTU ALIYEOKOKA | With Mch.  Abihud Misholi | SEMINA
5:41
Bishop Michael Kilasi
Рет қаралды 74 М.
Mch Moses Magembe - JINA LA YESU ( Jina lipitalo kila jina ) | USHETU 03
2:15:02
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 4,6 МЛН
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 81 МЛН