Mchungaji adai kuwasiliana na Kanumba, Mama yake atoa ushuhuda

  Рет қаралды 267,926

Millard Ayo

Millard Ayo

6 жыл бұрын

Katika hali ya kustaajabisha yupo Mchungaji mmoja ambaye anajiita Mfalume Zumaridi wa Kanisa la Redemption International Ministry lililopo Nyegezi, Mwanza ameibuka na kusema yupo na Marehemu Stephen Kanumba na huwa anawasiliana naye moja kwa moja na, ni mmoja kati ya waumi wake kwenye hilo Kanisa.

Пікірлер: 838
@jaliakamote5485
@jaliakamote5485 4 жыл бұрын
Hiki nini?jamani mbna mwadanganyika wazi wazi?Allah ninusuru na kizazi changu. Nijaalie mwisho mwema nijaalie nife ktk uislamu mola wangu.Hasbunallah waniimal wakil.
@fatmaharuon5351
@fatmaharuon5351 4 жыл бұрын
Allahumma aamin
@edoell
@edoell 4 жыл бұрын
Allah ndio nani?
@abdallahantony9524
@abdallahantony9524 3 жыл бұрын
@@edoell ni MUNGU mmoja asiezaa wala kuzaliwa
@sostensanga1833
@sostensanga1833 3 жыл бұрын
Allah ndo nani? Ushawai muona? Acha kudisi dini za watu mshamba wewe
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba yesukristo ndo njia ya kweli
@yasinishekallahakusaidi8766
@yasinishekallahakusaidi8766 4 жыл бұрын
Alokufa na akazikwa hawezi kuonekana popote kwenye ulimwengu huu mama kanumba acha kusaka hasira za mungu kwenye haya mauzauza mama yangu
@japhtv9858
@japhtv9858 2 жыл бұрын
Yaah ni kwer bro
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
😹😹😹😹😹
@shafiirajabu5207
@shafiirajabu5207 2 жыл бұрын
Mama tosha acha sasa mwache apumzike Salam Steven kanumba
@fanuelburra7318
@fanuelburra7318 6 жыл бұрын
YESU alisema wengi watadanganywa wakisema KRİSTO yupo hapa kumbe sivyo lakin kuhusu video hii YESU KRİSTO hayupo tusidanganyane uwepo wa MUNGU aliyehai unajulikana anayeamini ujumbe huu aseme haleluya!!!!!
@sarahwanjala6601
@sarahwanjala6601 5 жыл бұрын
Kweli kabisa dunia nimefika mwisho kabisa YESU TUSAIDIE
@anithamuttassa5691
@anithamuttassa5691 4 жыл бұрын
Haleluyaa
@mukeragabilodiana9391
@mukeragabilodiana9391 4 жыл бұрын
fanuel burra wengi wanatafuta heshima
@sarajoseph7516
@sarajoseph7516 4 жыл бұрын
fanuel burra haleluyaaaaaaa
@molaizer992
@molaizer992 4 жыл бұрын
halleyaaa !!! ama kweli kwenye bibilia kuna kila kitu maana bibilia Ina sema jiepusheni na manabii wa uongo maana watatkuja kwa kila namna hata kwa kulitaja jina lake yesu lakin kupitia hii video na zingine mingi huyuu ashabeba roho za watu wengi kwa kuwadamganya na kujiinua kuwa yeye na mfalme wa wafalme...wapendwa kwa katika bwana wa majeshi mungu wa ibrahimu,issaka,na yakobo tuzidishe maombi ili mungu azidi kuwafunua Hawa watu wa dizain hii
@zainaluoga1666
@zainaluoga1666 4 жыл бұрын
mungu unatuvumilia mengi
@aibonkinya2817
@aibonkinya2817 5 жыл бұрын
Mm sitaongea kwa mtu yeyote anaesema ametumwa na mungu.ila naapa nitasoma neno na kumwamini mungu pekeyake ee mwenyezi mungu nisaidie
@joycemmbaga8182
@joycemmbaga8182 4 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@heavensent2526
@heavensent2526 5 жыл бұрын
This is a Yezebel spirit. .WAKRISTO kuweni macho..
@kassimualli1600
@kassimualli1600 2 жыл бұрын
Tatizo lenu huwa mnadanganywa na hilo neno roho mtakatifu kanitokea basi hapo mkiambiwa hivyo na hao manabii wenu feki basi hata akikwambia yeye mungu mnamkubali,wakristo zindukeni
@alexmpanda2524
@alexmpanda2524 6 жыл бұрын
Njia ya kumuona Mungu ni moja tuu,najua watu wanajivuna dini,lakini,wakristo bandia,na mashirika mengine kwanjia ya imani,dini zote hauzi kumuona Mungu wakati ni kipofu usiyeiona njia.
@ireneyohana1651
@ireneyohana1651 4 жыл бұрын
Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa,, Bwana Yesu Kristo tujaalie watu wako tuijue kweli yako na sio nguvu za giza... Wapendwa hao ndio manabii wa uwongo walionenwa kwenye Bible, Tuwe makini sana ndugu zangu hizi ndizo nyakati za mwishoo
@stellamartin3719
@stellamartin3719 2 жыл бұрын
Hakika mungu atuhulumie
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
😿😹
@matridamichaely8168
@matridamichaely8168 6 жыл бұрын
sku zmefika ndungu zangu huyo muombaji huyo mwongo anatafuta. kk ya iman hana lolote kawateka kimawazo tusome neno la mungu tutajua mengi wapendwa bila hivo tuta yumba na iman zetu
@tatut3889
@tatut3889 6 жыл бұрын
Mmh aya nayo Mapya sasa uyo kanumba yupo wp 😁😂dunia simama mm nishuke 🚶🚶🚶🚶
@rahapaulina1451
@rahapaulina1451 6 жыл бұрын
Tatu T 😂😂😂😂😂😂
@patriciamuendi9490
@patriciamuendi9490 6 жыл бұрын
Tatu hii imeshakua taabu nayo siku yenye atayatoa haya mambo rohoni dio maarehemu atapata pumzika bado ameizuia roho ya mwanae yuangaika
@platnumtanya2880
@platnumtanya2880 6 жыл бұрын
yakaisari tumuachie kaisari🤗🤗🤗
@jacksonwambura1982
@jacksonwambura1982 4 жыл бұрын
Humu kuna mataahira eti! Mama kanumba nae anaugua cku hizi jmn!
@roseamos2812
@roseamos2812 4 жыл бұрын
Maskini mama wasikusumbue siku nyingine sababu wanajua ulimpenda mwanao usiwaamini mama muombe Mungu ndiye kila kitu binadamu wanakusumbua tu amini Mungu
@maryfelesh9181
@maryfelesh9181 6 жыл бұрын
Siku hizi dini imegeuka kuwa biashara hakuna lolote hapo
@papiasigrevazi70
@papiasigrevazi70 4 жыл бұрын
Nakuchoma moto kwa jina la Yesu kristo alie hai unguwa naufe
@healthchoicewithluciebern8741
@healthchoicewithluciebern8741 6 жыл бұрын
Mungu sio Mungu wawafu, luke 20:38 Watuwangu wana angamizwa kwakukosa maharifa Hosea:4-6 Mapepo mtupu, nakutafuta pesa. Ole kwa manabihi wauwongo Mungu anakuja kwaukali wake. Ezekiel 13:2-23 Mjiepushe na asira ya Mungu. Mungu ni Mungu wawivu na utukufu wake atachangiya na yeyote ule, tumurudiliye Mungu bado angaliko naketi kwenye kiti chake cha rehema please🙏🏽 sikutamwisho niyakutusha sana. Unafaidagani mwana damu ku wina vyadunia yote kisha kupoteza roho yako siku ya mwisho??? Ebu jiulize wewe mama Jizabel, aunaata boga ya Mungu.
@joycedaniel4643
@joycedaniel4643 5 жыл бұрын
Lucie Penielle Bernard ubarikiwe dada umeongeya ukweli .MUNGU SIO MUNGU wa mapepo
@helenjonsob5718
@helenjonsob5718 5 жыл бұрын
Lucie Penielle Bernard Hawa wote wanapotezwa maskini
@gladykabage4998
@gladykabage4998 4 жыл бұрын
Amen my
@gladykabage4998
@gladykabage4998 4 жыл бұрын
Uyu ni pepo mchafu kabisa
@rhinaregina5806
@rhinaregina5806 6 жыл бұрын
Lord forgive her, she doesn't know what she is talking about. Wewe Mungu akuhurimia kwa kuuchafuwa Yesu haw njoo wanatumia kuvu za mapepo
@manyamawarioba4998
@manyamawarioba4998 6 жыл бұрын
if God with us who can against us I loveJesus majuto
@manyamawarioba4998
@manyamawarioba4998 6 жыл бұрын
Mazishiyamajuto
@lykamlaki7120
@lykamlaki7120 4 жыл бұрын
Yaani watu wana weweseseka kama wana degedege, haifai Kwa kweli
@kakakakabeka624
@kakakakabeka624 2 жыл бұрын
Bala ya kushukuru mungu munashukiru binadamu😀😀😀Dunia imefka mwisho kweli muabuduashindwe pepo. binadamu gy🤔🤔
@alexmpanda2524
@alexmpanda2524 6 жыл бұрын
Tukumbukeni jamani,kanisa likikosa sifa za kanisa la Yesu,linakua limejifuta lenyewe, kinachobaki ni shirika kwa nembo ya imani
@patiencerizikimulei8942
@patiencerizikimulei8942 5 жыл бұрын
Huyo mwanamke anaongozwa na pepo wachafu. Atubu haraka amrudie Mungu
@jeniferabass968
@jeniferabass968 4 жыл бұрын
patience riziki mulei kweliii kabx mchawi mkubwa huyoooo
@fatakikalerama6351
@fatakikalerama6351 2 жыл бұрын
Kwakweli ni huzuni kumbwa kwahawa watu umendaganyika, machozi yamenitoka kabisa 😭😭Eee mungu tusaidie baba
@ernestchachakirencheri1318
@ernestchachakirencheri1318 6 жыл бұрын
Haipendezi Mtumishi wa Mungu kujiita Mfalme.
@alexmpanda2524
@alexmpanda2524 6 жыл бұрын
Ernest Chacha Kirencheri Amen
@faizahsalmah6111
@faizahsalmah6111 5 жыл бұрын
Nakubaliana nawe au kumsifu mungu pekee ndo wakusifiwa this is wrong
@meckytushabe2525
@meckytushabe2525 5 жыл бұрын
Acha Tu mim sijawah kuona Mtumish wa kama uyu Jaman du Mungu atusaidie Tuokoke fahamu zetu
@hawasaid6024
@hawasaid6024 4 жыл бұрын
Majanga
@marthamilaji9385
@marthamilaji9385 2 жыл бұрын
Waongo wakubwa mleteni hapo mbele tumuone
@tumaininzunda7206
@tumaininzunda7206 2 жыл бұрын
Mungu ameruhusu mama unaumia kweli, pia wengiwetu tunaumia, lakini jikaze tu usipingane na Mungu.
@judithakoth1834
@judithakoth1834 4 жыл бұрын
Huyu mama anazeeka vibaya jamani anamwita mwanamke mwenzake mfalme? na wazee wenye mvi zao nao wamekaa heti wanamsikiliza duu poleni.
@kinggwaky4421
@kinggwaky4421 2 жыл бұрын
Mmeigiza vizuri. Tatizo jina la movie ndio mmelikosa 😂
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
😂😂😂
@rayrayroblox5663
@rayrayroblox5663 6 жыл бұрын
Nihatari siku zamwisho izi acha kupoteza watu sijawayi kuona mfaleme zaidi ya Mungu
@alexmpanda2524
@alexmpanda2524 6 жыл бұрын
Vestine Malungano Wameamua na imekua ibada
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
huyu mchungaji mkongo??ndo maana nawaona wakongo wahuni tu pumbavu
@naomimwasomola4211
@naomimwasomola4211 4 жыл бұрын
yn jmn wat Wang wanaangmia kwa kukosa maarifa na nkweli
@noelaemanuela6100
@noelaemanuela6100 4 жыл бұрын
Mjinga huyu kabisa et mfalme mjinga mfalme ni mungu tuu
@hapakazi7907
@hapakazi7907 6 жыл бұрын
Bangi sio nzuri
@tatut3889
@tatut3889 6 жыл бұрын
Hapa Kazi 😁😁😁😁😁😁😁😁😁kweli
@christinearela5657
@christinearela5657 6 жыл бұрын
hahaaaaa
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 6 жыл бұрын
Hapa Kazi 😂😂😂😂😂😂 HERI YA KUKAUSHWA HIYO HAIJAONA JUA MBICHI KABISA😂😂😂😂😂😂😂
@nancyauma9338
@nancyauma9338 6 жыл бұрын
Hapa Kazi 😂😂😂😂😂😂😂
@ahazimzena8427
@ahazimzena8427 5 жыл бұрын
Hakika ni bangi
@aminayasni9031
@aminayasni9031 6 жыл бұрын
Mama kanumba embu tulia na kumuombea mwanao amin mungu kafanya Kaz yake unavyozid kuletewa habar zisizokua na matriki zinazid kukuumiza sikashifu madhebu ila huku sio mama unapotea unajikuta unamkufulu mungu sana
@prettygrl2793
@prettygrl2793 6 жыл бұрын
sanaaaa
@dhahabuathuman1388
@dhahabuathuman1388 6 жыл бұрын
Sasa wanamuabudu huyu mama si amletee basii basi kama alimfufuaa sheteni ashindweeee Mungu wetu siwakuchezea jaman
@dovicochristopher5388
@dovicochristopher5388 6 жыл бұрын
Amina Yasni kweli kaka!
@alexmpanda2524
@alexmpanda2524 6 жыл бұрын
Amina Yasni Ushauli wako mama kanumba aende wapi?
@aminayasni9031
@aminayasni9031 6 жыл бұрын
Alex Mpanda kwahiyo ww unachomshaur n nn Au unaamin kupitia hayo makanisa anayoenda kanumba ndio atarud kushukur kwa kilichotokea inampa alietangulia mbele ya haki aman na vilevile anavyozid kuangaika hivyo anakua anaiman 2 tofauti aamin Kua Mungu kafanya mapenzi yake na amin mwanae yupo sehem salama azid kumshukuru Mungu na kumuombea kadri ya uwezo wake hata biblia inasema amini ktk roho na kweli sasa yy kiroho haami na ndio maana anataka kutekwaa na manabii wa uongo
@agustinokavishe7783
@agustinokavishe7783 4 жыл бұрын
Ivi watu hawaoni kuwa izi ni nyakati za mwisho? Daah Yesu tufungue macho watu wanadanganywa izinyakati
@crecensianyangoma5736
@crecensianyangoma5736 4 жыл бұрын
Twaipeleka wp dunia sisi walimwengu mungu nisulu mm pamoja na family yangu
@bintimohamed2041
@bintimohamed2041 6 жыл бұрын
kanumba may ur soul rest in peace we loved you but God loved you most. Binti from germany
@theewheelchairbabygirl
@theewheelchairbabygirl 6 жыл бұрын
Binti Mohamed God doesn't kill..he wishes us all the very best ..dhambi ndo huuwa mtu.
@bellatvonline
@bellatvonline 2 жыл бұрын
MAMA KANUMBA AFUNGUKA: ZUMARIDI NA WASTARA WANATAFUTA KIKI TU HAKUNA AWEZAE KUMFUFUA MWANANGU KANUMBA FULL INTERVIEW kzfaq.info/get/bejne/kLyVlsh4uMC-aHU.html
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 6 жыл бұрын
Nyinyi ni nyumbu kweli. Huyu mkongo anapepo kama zote. Na hawa mbulula wanaosikiliza fyuuuu. Mfalme ni Yesu nyinyi nyumbu.
@alexmpanda2524
@alexmpanda2524 6 жыл бұрын
Damaris Zuckschwert Ahahahaha, sawa umeeleweka kaka,ila punguza jazba na ukumbuke Mungu aliyaona hayo yote akayahubiri kua yatatokea,na huu ndiyo wakati wake.
@aishawapalila8622
@aishawapalila8622 Жыл бұрын
da nimeshangaaa sana
@aishawapalila8622
@aishawapalila8622 Жыл бұрын
mama apo alipewa kitu
@furahaema6000
@furahaema6000 6 жыл бұрын
Jamani mumuombeye arudi ila kupinga magoti mbele ya mutu kama ww wakuangukia ni Mungu pekeyake
@alexmpanda2524
@alexmpanda2524 6 жыл бұрын
Soleil Neema Soleil neema hongera sana,nimeiona busara kwako,hongera ujumbe mzur sn
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 6 жыл бұрын
Pole muheshimiwa mma kanumba kaa utulie uzipingane na amri ya mungu utakufuru ina uma lkn una bundi walikwenda wengi watakatifu kwake kwani kwake tumetoka na ndiko tutakapo rundi wacha kutiwa uchungu kkumbuswa majeraha yalio pita be strong mma muombe mtto awe pema mtakutana mbingu inshaallah
@jacklinekimario6639
@jacklinekimario6639 6 жыл бұрын
Haha we mama una laana mawigi kichwan suruali et mchungaji upuuzi mtupu una haya kudanganya shetani tena ushindwe
@christopherchavala5636
@christopherchavala5636 4 жыл бұрын
Aise mbona jina la YESU KRISTO HALITIUMIKII AU NASHINDWA KUSIKIA?
@amanjoseph8358
@amanjoseph8358 5 жыл бұрын
Naomba Mungu awafungue macho ya rohoni watu waijue injili ya kweli Ya TOBA NA KUTENDA MEMA INJILI YA MMMOJA TU ALIE MFALME PEKEE DUNIANI NA MBINGUNI YESU KRISTO MASIHI YUPO NJIANI ANARUDI.
@roseamos2812
@roseamos2812 4 жыл бұрын
Yaani cku hizi utabili umehamia kanisani na wanaotabiliwa wengi ni wanawake Mungu wangu tusamehe
@keziasospeter8240
@keziasospeter8240 2 жыл бұрын
Ee mwenyez Mungu turehem Xie wanao. Tazama wa2 wako wanavyodanganyika na uxhetan wa huyo mama. Mungu ximama mwenyewe katika kuokoa wa2 wako maana tutateketea uki2acha peke ye2
@hadijajohn7434
@hadijajohn7434 2 жыл бұрын
Mama kanumba unajidhalilliza kwa nini yani unapata dhambi kumbe kamtoa. Mbona hakkupa ukarudi nae nyumbani dada usipo mwamini mungu utapataa tabuu sana kumsujudia MFALUME ZUMALID. Hayaa unakiri kwa kinywa chako umefika mpaka naijeriya hutosheki tuu bado unajizalilisha kwa miungu watuu ni aibuu sana mama kanumba kumsujudia binadamu mwenzako basi ndio alikuwa rafiki yako mnataniana mume wako muombee mungu mtoto dada
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 2 жыл бұрын
Duuuuuh 😳 jmn Sasa kumbe hili limeanza kitambo hivi
@ilovejesus666
@ilovejesus666 2 жыл бұрын
Makafiri wanajambo bas
@helenajackson1554
@helenajackson1554 4 жыл бұрын
Wanadamu tuna ubongo dhaifu yaani tunaona tofauti na bado tumo tu,Mungu fungua fahamu zetu
@maidamwaipopo7645
@maidamwaipopo7645 4 жыл бұрын
Kanisa linawafanya watu wawe ndondocha😂
@mapendoimani2462
@mapendoimani2462 5 жыл бұрын
Hii bangi kidogo sasa au wamechanganya n ugoro na unga honestly this pure madness.mfalme !!!!!
@rosehaule220
@rosehaule220 2 жыл бұрын
Yaan uongo wa wazi🤣🤣🤣🤣🤣
@jamesmaleo3407
@jamesmaleo3407 6 жыл бұрын
nimekwazika sana na hii video aisee na hao waumin wrote wameshikwa masikio
@sheimaaabdallahsheimaaabda8200
@sheimaaabdallahsheimaaabda8200 6 жыл бұрын
james maleo Mimi pia dr
@josephgadau8913
@josephgadau8913 6 жыл бұрын
Mmi nizaid ya kukwazika.wanahitaji elimu ya kumjua Mungu
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Nimeshakumbuka na Gwajima alisema atamleta Amina Chifupa juzi kati kaibuka tena kadanganya kumleta Magufuli kumbe ndo wale wale tunapigwaaaa🤣🤣🤣🤣
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 жыл бұрын
Wewe mamakanumba unabwebwa nawatu wa kuzimu wakihita wakanisa daaaaaah 🤔 amba mungu mama akulinde nahawowatu
@erickkagisa3470
@erickkagisa3470 4 жыл бұрын
kamata wote hao sweka ndani wote,,,,,
@mariamngari7888
@mariamngari7888 Жыл бұрын
Jameni Dunia imeisha wavutaji bangi nao n wengi zaidi ya mfalme mungu gañ huyo mungu waenda sku zako Kila baada ya mwez wewe wachafua dhahabu
@peterkihongosipeterkihongo1154
@peterkihongosipeterkihongo1154 2 жыл бұрын
Poleni..sana kwakudanganywa
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 2 жыл бұрын
Kumbe Story Ya Zumaridi Inaanzia Hapa?😂🤣
@janethmayengo6679
@janethmayengo6679 6 жыл бұрын
heeee! mungu wangu tusaidiye binadamu siye
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 жыл бұрын
Mungu atawatupa wanabiii wauwongo mutoni daaaaaah mutalungula namoto
@zaitunmwakaje174
@zaitunmwakaje174 6 жыл бұрын
Mungu turehemu watu wako
@fauziawilifred6229
@fauziawilifred6229 6 жыл бұрын
Mm minaona km upo kwa mganga wakienyej. Mana yy anasema. Arafu anakuliza je Nikweli na ww unasema Nikweli. Ss yote hayo uyo kanumba yupo
@alexmpanda2524
@alexmpanda2524 6 жыл бұрын
Fauzia Wilifred Ahahahaha,umenifurahisha jinsi unavyojiuliza, lakini usiyashangae hayo japo ni mageni kwako,ila Mungu aliyaona akayahubiri kua yatatokea wakati huu,na tuyaonapo hayo tujue kua ule mwisho umekaribia.
@alexmpanda2524
@alexmpanda2524 6 жыл бұрын
Fauzia Wilifred ila kumbuka kila feki ina original yake,na feki isikufumbe macho ya kutoiona original.sawa dada fauzia?
@gracemazuye9663
@gracemazuye9663 6 жыл бұрын
Fauzia Wilifred
@daudjohn2054
@daudjohn2054 5 жыл бұрын
Sijui
@hamidakondo7915
@hamidakondo7915 4 жыл бұрын
Ww unaejiita mungu utakufa vibaya ww unajifananisha na mungu
@nurumdola3954
@nurumdola3954 5 жыл бұрын
Yesu atasema ondoka kwangu sikujui zumaridi we ni mganga kristo wa Nazareth hakutambui na mapepo uliyonayo ya utambuzi ole wako unaedanganya watu hasira ya kristo yesu IPO juu yako na chako
@azzaali7780
@azzaali7780 6 жыл бұрын
Huyu dada ni mwanga tu hao kawachukua misukule au mfuasi wa free mason ivi mnamchezea mwenyezi mungu nyinyi kama anaweza kufufua si afufue kwenye family yake mama kanumba unaibiwa hela zako kwa mazingaombwe mwachie muumba ndio anauwa na kuhuwisha sio huyo alovaa suruwali iko chini ya matako aache kabisa kudanganya namna hii
@serbash4212
@serbash4212 5 жыл бұрын
Jamani acheni kufuru zenu hakuna anaeweza kutowa roho ila mungu na sote tutakufa na hata majini hawana uwezowakutowa roho ila nikazi yake mwenyezimungu huyu kafa kwa amri ya mungu hizi ni fitna na kufur mungu atawaongoza
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Kweli analiwa pesa
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 жыл бұрын
Looooo!!! 1 kweli chiz achagui jalala MnAaminishwa unafk mbona Sasa atumuon au atak Kuja Dar tena kanumba 😂😂😂mweee poleni
@japhtv9858
@japhtv9858 2 жыл бұрын
Huyu mama kanumba sidhan kama yupo sawa ....ndo maana anagombana na lulu kila siku
@carrenkapia7841
@carrenkapia7841 4 жыл бұрын
Ushetani huu, hapa sion uwepo wa Mungu
@Official83640
@Official83640 2 жыл бұрын
Nimekuja kumuangalia huyu mama aliyetoa ushuhuda lkn sasa hivi baada yakukamatwa mfalme wake anafanya interview kumkana km alilazimishwa mama atafika mbinguni amechoka sana
@shosemanjira9015
@shosemanjira9015 2 жыл бұрын
Akyamung kamkana
@aminanyaonge3023
@aminanyaonge3023 4 жыл бұрын
Mama kanumba mrudie mungu unakoenda utamkwaza
@moureenmartin4125
@moureenmartin4125 4 жыл бұрын
Mimi nacheka tu maana kanisa kama centre ya milembe🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na huyo kichaa mkubwa katinga miwani kama mchomelea mageti🤣🤣😂😂🤣😂 Watu wamevurugwa kweli si bora ulale nyumbani kupotezeana mda tu...
@fatakikalerama6351
@fatakikalerama6351 2 жыл бұрын
Mama kanuba muombe mungu wa kweli acha kundaganyika mama Ebu muombe mungu wa kweli
@mcsimonmzungutv2084
@mcsimonmzungutv2084 4 жыл бұрын
Mama Kanumba Nimekuvua vyeo yaani unatumika hivyo,ajabu Kanumba mwenyewe ameshasahaulika kwa Kizazi hiki
@melangongo2829
@melangongo2829 6 жыл бұрын
Jamani hii sasa kanisa gani Mungu Atusaidiye sana kupoteza watu
@msafiriaugustino2957
@msafiriaugustino2957 5 жыл бұрын
Nashindwa nicomment nini yaani maana umepoteza watu umewapa mapepo wapo kwenye himaya ya kishetani na hawajijui unawafanya vyovyote utakavyo, come out of her my people, dunia imekaribia mwisho yachunguzeni maandiko matakatifu mbona vya kweli hamtaki mnataka uongo tu
@ahmedhareb1318
@ahmedhareb1318 6 жыл бұрын
Ww mama umuogope mungu acheni uongo
@benadethafrancis5223
@benadethafrancis5223 4 жыл бұрын
sasa nimeamini kuwa Yesu yu karibu, tuone ishara gani tena zaidi ya hii? asiyemkiri YESU kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake amkiri sasa. nimetafakari sana, tuishi utakatifu majira na nyakati yametimia, Tuache dhambi, tuishi utakatifu, YESU ANARUDI KUCHUKUA KANISA LAKE.
@omanjg5257
@omanjg5257 6 жыл бұрын
nihatari mungu atusaidiye
@hamzayusuf2999
@hamzayusuf2999 2 жыл бұрын
kweli watanzniya ni wajinga wakubwa
@hamzayusuf2999
@hamzayusuf2999 2 жыл бұрын
wanaume wamo ndani akili zenu ziko wapi
@sejmaleonard554
@sejmaleonard554 4 жыл бұрын
Sio mshangilie mungu daaaa mshangilie mfalme zumaridi
@rusiadionis8395
@rusiadionis8395 6 жыл бұрын
Hiz ni cku za mwisho mungu tuhurumie hivi anachokisema huyu dada ni sahihi kwel
@danizopper4188
@danizopper4188 6 жыл бұрын
Watapeli wana njia nyingi na wanaangalai ni nn watu wanapenda ili wawavutie watu katika sehemu zao
@nurungangise9840
@nurungangise9840 6 жыл бұрын
Mmmmmh jamani mungu wangu, hakika ikosiku mtahukumiwa kwahayo
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 6 жыл бұрын
jaman achen uongo ili kujitangaza hii ni aina ya uchawi mwingine yaan kama mmemwona mlishindwa kumrudisha
@fbhj443
@fbhj443 6 жыл бұрын
watu wangu wanaangamia kwakukosa maarifa
@alexmpanda2524
@alexmpanda2524 6 жыл бұрын
Fb Hj Amen
@anneemmanuel7363
@anneemmanuel7363 6 жыл бұрын
Fb Hj hapo sasa
@abelbaraka263
@abelbaraka263 5 жыл бұрын
Kweli maana mtu akisha kufa hata kama kwa mazinga obwe au mazingira tatanishi harudi tena
@davidpetro1637
@davidpetro1637 4 жыл бұрын
mama kanumba jamni kaa utulie .kila nafsi itaonja umahuti kifo ni lazima kwa mwanadamu jamni ..pole sana tangia umempoteza kanumba unaishi maisha ya shida ..ashakufa uyo hatorudi tena duniani ...ur cycological affected!!
@abelbaraka263
@abelbaraka263 5 жыл бұрын
Ukisikia dalili za mwisho ni hizi tulizomo... Kwa maana Yesu mwenyewe alisema "WATATOKEA MANABII WA UONGO NA WATANDANGANYA WENGI" matayo 24:5 na kwa kosa maarifa watu wanapotea we MUNGU okoa watu wako
@saidyhasshim2373
@saidyhasshim2373 6 жыл бұрын
Muogopeni mungu
@alexmpanda2524
@alexmpanda2524 6 жыл бұрын
Saidy Hasshim Ujumbe wako upo safi
@teresiahmwikali4227
@teresiahmwikali4227 6 жыл бұрын
kabisa kaka Mungu yupo na anajidhihirisha kupitia kwa wanao mwamini...kanumba kusema mamake aje na baadhi ya vitu alivyovitaja hao wachungaji hawakujua kama mna vitu ka izo...so believe God is there
@angelntandu661
@angelntandu661 4 жыл бұрын
Kumbe mama kanumba ni mwanachama wa huyu mamaaa hahaaaa
@jojomageta7261
@jojomageta7261 4 жыл бұрын
Mama kanumba nae c bora angeenda kwa mwamposa tu
@yasintaisaya7526
@yasintaisaya7526 4 жыл бұрын
Mara mia
@sejmaleonard554
@sejmaleonard554 4 жыл бұрын
Bila huluma watu wanaondolewa mungu alivyowapa na mwanamke mwenye uzazi
@hawasaid6024
@hawasaid6024 4 жыл бұрын
Sutwa mkubwa
@danieljosephdanieljoseph9982
@danieljosephdanieljoseph9982 6 жыл бұрын
Mwana mke aruhusiwi Kuubiri sasa wana ni mashetani kabisaa, na moto unawasubiri
@shakirakrishna9106
@shakirakrishna9106 2 жыл бұрын
Innalilahi wa ina ileyhi rajuuni_ Uyu mama kasha changanyikiwa eti alikua adi mmewake mmghu
@estermahenge5972
@estermahenge5972 2 жыл бұрын
Alipata pigo uyu mama mpka leo ana amini mwanae bado yupo
@alexmpanda2524
@alexmpanda2524 6 жыл бұрын
Fuatilia ibada zingine za huyu mama, utaona watu wanavyomsujudia, anasema yeye ni mfalme wa dunia na watu wanaomba kwa Jina lake, anasema vitabu vya Mungu anasema ni historia zisizo na uhusiano na watu wanaoishi, anasema pia jina la Yesu haliwezi kufanya kazi kwasababu limechafuliwa ila ukitaka kuona miujiza omba kwa jina lake yaani Kwa jina la mfalme zumaridi nguvu ya mungu duniani, Je, kimaandiko mmemjua yeye ajaye kwa Jina lake ni nani?
@gracemushi1283
@gracemushi1283 6 жыл бұрын
Huyo mfalme muongo anadanganya watu kama kweli c angemleta hapo kanumba tumuone? We mama shukuru mungu tu,acha kudanganywa na makanisa ya mapepo hayo,
@fadhililomo7075
@fadhililomo7075 6 жыл бұрын
Tafadhali sana msimlinganishe huyo Mama na wakristo .....Yeye mwenyewe hamwamini Yesu ukifuatilia mafundisho take na wala haombei watu kwa jina la Yesu.....Kwa hio sio kanisa la Kikristo.
@rehemamohamedy4007
@rehemamohamedy4007 2 жыл бұрын
Kumbe uzombi wanao siku nyingi
@ilhamswaleh3428
@ilhamswaleh3428 2 жыл бұрын
😁
@gracepeter1707
@gracepeter1707 4 жыл бұрын
Yaan kama mazombi
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 жыл бұрын
Grace Peter kweli daaaaaah 🤔 😂
@erickkagisa3470
@erickkagisa3470 4 жыл бұрын
duh yahan we mama umeamua kuwatafutia watu umaarufu kupitia mwanao!
@ahmedmwembo99
@ahmedmwembo99 4 жыл бұрын
Shubamit , wajinga ndio waliwao , ama kweli mtoto mjinga ni mzigo wa mama yake 😂😂😂
@hildpaul7823
@hildpaul7823 2 жыл бұрын
Mh mwisho wa dunia
@janetkahada5206
@janetkahada5206 4 жыл бұрын
Na uliza ni movie ama ni church na kama ni kanisani je Asha wakiwa hivyo nani atatunza wingine. Hata mwanaume kweli unainama mbele ya mwanamuke akili zako ziko sawa. Mwanaume huruhusiwi kuinamia mwanamuke ni mwanamuke ndiyo anatakikana akuinamia. Kama wanaume munafanya hivyo munapeleka wapi Dunia. Pole sana, MUNGU aliwapa utukufu lakini nyinyi munatupa sisi pole pole baadye musiningunike juu munatupa wanyewe.
@marthasilas4304
@marthasilas4304 6 жыл бұрын
Dah! Mm ni mkristo ila thehebu hilo silitaki kabisaaaaa!
@alexmpanda2524
@alexmpanda2524 6 жыл бұрын
Martha Silas Vizuri sana Martha neno linasema tumtake Mungu na nguvu zake lengu tuishinde dhambi matokeo twende mbinguni full stop.
@florajacob5771
@florajacob5771 6 жыл бұрын
tumevamiwaaaa wakristo
@petywoiso4639
@petywoiso4639 6 жыл бұрын
Me kwakweli najua kuna karama tano 5 tu zilizoachwa .kuna manabii, wachungaji, waichilisti, waalimu, na mitume. Sijaona mahali pameandikwa kumeachiwa ufalme
@mariamsaid5655
@mariamsaid5655 4 жыл бұрын
Bado nawaza kwa nguvu kwa hio hawa watu wote umebebewa akili na huyu nwanamke KWELI WATU WANGU WAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
😹😹😹😹zumalidi
@munnawwaryaqub8524
@munnawwaryaqub8524 4 жыл бұрын
Kua mwehu sio lazima uokote makopo😂😂😂jmn mbona fujo
@whalesantana7458
@whalesantana7458 4 жыл бұрын
Bada yakuzungumza mambo ymungu unaeleza Kanumba anausiano ganitena nakuzungumziwa kanixani
@hiridasamwer7929
@hiridasamwer7929 2 жыл бұрын
Muongop mungu mm
@irenemhoya7120
@irenemhoya7120 3 жыл бұрын
Eeee mungu hizi ninyakati za mwisho
@whalesantana7458
@whalesantana7458 4 жыл бұрын
Madhabahu imegeuka jukwaa LA jarus au siasa
@winniepius6206
@winniepius6206 4 жыл бұрын
Mungu ametenda makuu, ibada zimefungwa na Maghufuli.Uongo kwishaa.
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 60 МЛН
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 36 МЛН
Ramsey Nouah alivyofanya ibada kwenye kaburi la Kanumba
7:47
Bongo5
Рет қаралды 1,8 МЛН
MAANDAMANO TUESDAY!! P0LICE ARR3STED IN PARLIAMENT WHILE PROT3STlNG
8:16
FEI TOTO AKICHAFUA KATIKA SOKA
3:28
AZBEEN TV
Рет қаралды 40 М.
HII NDIYO HABARI YA MJINI, ZUMARIDI AELEZA
35:40
ZumaridiNews Tv
Рет қаралды 11 М.
🤣МАЛО КУПИТЬ ЛОШАДЬ
0:18
Бутылочка
Рет қаралды 6 МЛН
Robber Got Robbed By Former Marine Officer #trending #heros #superman
0:13
У Тебя Есть 3 Желания! 😌 @NutshellAnimations
0:46
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 3,7 МЛН
Ужасное свидание🤯 #стальноймужик #жиза #еда
0:50
SteelMan XXL | Стальной мужик
Рет қаралды 3 МЛН
Поймал редкий кадр🤨
0:22
FERMACHI
Рет қаралды 3,3 МЛН