MCHUNGAJI MZEE WA UPAKO WAISLAMU WAMKALIBISHA

  Рет қаралды 5,753

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

24 күн бұрын

#sheikhmwaipopotv #sheikhmwaipopo #muhubirimwaipopo

Пікірлер: 123
@NassorKhamis-l6r
@NassorKhamis-l6r 16 күн бұрын
Shukran Sheh Mwaipopo Allah akueke uzidi kutupa maarifa ya elimu
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 16 күн бұрын
safi sana mze wa upako karibu kwenye dini yahaki ya uwislam
@cizaiddy7839
@cizaiddy7839 21 күн бұрын
Mzee Mwaipopo kaza mwenye atakutukana tutakulanae sahani moja usichoke mzee pambana Allah akulinde
@SwahibuAthuman-yv2mn
@SwahibuAthuman-yv2mn 21 күн бұрын
Mwenyezi mungu akujalie kwa kutuelimisha katika aki
@AlhajiSaidi-uo8zl
@AlhajiSaidi-uo8zl 16 күн бұрын
mashaallhu kweri
@amilyabdu1563
@amilyabdu1563 15 күн бұрын
Allah Huma Amina
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f 21 күн бұрын
Masha Allah shekh wetu mwaipopo mzuzu umetulia
@abdulnasuma9729
@abdulnasuma9729 20 күн бұрын
Mwaipopo mungu akuweke miaka mingi unasimamia haki mungu akulipe ❤nakupenda kwaajili ya allah
@kamalmukaddam1521
@kamalmukaddam1521 22 күн бұрын
Islam dini pekee ya haki mbele ya Allah
@elgringo8592
@elgringo8592 21 күн бұрын
😂😂😂
@athumanijuma6553
@athumanijuma6553 21 күн бұрын
Sheikh Mwaipopo kaza buti mpaka kieleweke, mi nakukubali sana big up kuna watu hudhani sinagogi sio msikiti kwa kuwa eti vimetofautishwa ktk surat al hajj misikiti leo hii imetofautishwa na masinagogi kwa kuwa tu waingiao masinagogini ni wayahudi wkt waislamu wa sasa huingia ktk misikiti ni tofauti kwa kuwa zama masinagogi yanaelekea jerusalem wkt leo misikiti inaelekea maka alikotoka mtume muhammad saw kifupi mayahudi wanafata uislamu uliopotoshwa wenyewe wakidhani bado wako sahihi , Yesu alipokwenda ili awaweke sawa humo ktk masinagogi yao ndipo walipomtimua akaamua kwenda galilaya walipompokea na kupewa uzima wa milele..sinagogi ni msikiti mayahudi wanatawadha kisha huingia bila viatu humo kwenda kumsujudia mungu...Yesu hajawahi kufundisha ukristo bali huo ukristo wenu umetokana na vile uislamu kuchanganywa na uroma kosa ambalo Paulo alilifanya
@asnalimtv7690
@asnalimtv7690 20 күн бұрын
Mwaipopo wew ni simbo wao
@FadhiliMakasi-vb9dl
@FadhiliMakasi-vb9dl 20 күн бұрын
Mzee waupako anasemakweli
@qudrakhaji6723
@qudrakhaji6723 22 күн бұрын
Uislam ni dini sahihi
@SamsiaKassaKangeta
@SamsiaKassaKangeta 22 күн бұрын
Masha Allah sheikh leo speaker iko sawa!
@elishampoki8751
@elishampoki8751 18 күн бұрын
Mfumo wa Dini ni mfumo wa pepo la uongo , kalibu Dini zote Mungu amebaki na injili kwa mataifa yote ,na mapenzi ya Mungu mataifa yote watu wakabila zote na lugha zote anataka wawe wanafunzi wake,. mitume wa Yesu walitoka kwenda kuhubili injili ya ukombozi kwa mataifa yote, Hawakukaa kwenye kimvuli cha mathehebu na Dini ,tena ishara na miujiza ya kuponya wagonjwa ilifwatana nao , ukichunguza tasisii za kidini waumina wao ndiyo waliojaa kwenye maosipitari ya selikali za watu binasfi wanateseka Hawana wa kuwaponya wanasubiliwa kufa na wakuu wadini wawazike na kuwaombolezea ,na kuwatolea ushuhuda kuwa mumini wetu alikuwa mwaminifu wa kutoa zaka na sadaka wakijua kabisa kuwa ajaenda mbiguni kaenda kuzimu , Jamani mwenye haki mmoja akifa anaenda peponi Wenye thambi elfu moja waliodanganywa na roho ya uongo wanenda kuzimu ,Mungu inamsikitisha sanaaaa
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy 22 күн бұрын
MashaAllah. Endelea na kazi ya kutulingania Allah (s.w) atakulipa ujira wako inshaAllah
@ibraimodinodino828
@ibraimodinodino828 22 күн бұрын
Takbiiiiirrrrrr allah akbar
@hassanrashid3281
@hassanrashid3281 19 күн бұрын
Allah akubaliki sana mwaipopo
@salehothman6144
@salehothman6144 19 күн бұрын
Sheikh Mwaipopo yuko wapi Sharif majini ,mbona amekuacha mkono mlikua mnawakamata sana wanafiki na vibaraka wa mashetani
@yusuphomary7410
@yusuphomary7410 19 күн бұрын
Kweli kabisa Mzee wa upako ameongea kweli kabisa. Yes ni mwanaadamu inawezekana Kuna sehemu anakosea ila ameongea sahihi. Mzee wa upako ni mwanaadamu na sheikh Mwaipopp nae ni mwanaadamu kukosea lazima ila hapa wako sawa kabisa.
@thegreencitytechnicians1452
@thegreencitytechnicians1452 19 күн бұрын
Watu wengi awapendi kujifunza na kumuelewa mungu bali wanakimbilia kukosoana tu. Kibaya zaidi hawatendi mema walio amriwa bali wanatenda dhambi tu , hawajikosoi wao na roho zao kama wanampendeza mungu kwa matendo yao .
@ibraimodinodino828
@ibraimodinodino828 22 күн бұрын
Subhanna allah allah akbar
@user-bp5pq9to9e
@user-bp5pq9to9e 16 күн бұрын
YESU KRISTO akuokoe na uwe miongoni mwa wanaokwenda mbinguni baada ya kufa!Mwamini BWANA YESU KRISTO akuokoe na uwe na uzima tele ktk siku za maisha Yako!ni Mimi Mwl CHRISTOPHER JACKSON SAMBAA kutoka SINGIDA tena Kijiji Cha Merya
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 15 күн бұрын
Mzee wa Upako haleluyaaaa😂😂😂
@RamadhaniRamadhani-yd4hq
@RamadhaniRamadhani-yd4hq 19 күн бұрын
Lusekelo ni kichwa yupo tayali k kuacha ya wazungu akajaali uafrikawake kwanza hataki malumbano
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 16 күн бұрын
Halafu Mzee wa upako na Mwaipopo ni ndugu sasa sijui hapa wana stage show nini?
@CosmasKanyopa
@CosmasKanyopa 20 күн бұрын
Malizia Sinagogi ni msikiti wa Kiyahudi, mbona hufafanui? Unaishia njiani ili ipotoshe
@barakampunga8121
@barakampunga8121 19 күн бұрын
Kama yey ni mzee wa upako na Asikofu kweli Afanye mdaalo na ndacha tuone kama hoja zake zinamashiko
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 22 күн бұрын
Kweli hiyo mzee wa upago wewe upo sawa wewe!!!takbir!!!! Alllah akbar
@JumaKomba-ws4xb
@JumaKomba-ws4xb 22 күн бұрын
Sawa mzee wa upako kipindi wewe unasoma mwaka 1984 ao mitume na manabi bado watoto sana
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 22 күн бұрын
Sheih mwaipopo usijali kila anaye kutukana muombeye duwa atoke uko kwenye uyo ukafiri allah atakulipa mwanetu
@daudluswema-mx3ok
@daudluswema-mx3ok 19 күн бұрын
kafiri ni yule asiemju Mungu,nun sense.
@IsmailJuma-ck3rr
@IsmailJuma-ck3rr 21 күн бұрын
She ACHA watukane Io ndo Sunna wa mtume swalalahu ghalaih wasalam ata kupigwa
@FadhiliMakasi-vb9dl
@FadhiliMakasi-vb9dl 20 күн бұрын
Dini hii ya wazungu inataka ipoteze watu wanaompiga mzee waupako Wanampinga kiongozi mzuri msomi
@joramsengi9123
@joramsengi9123 11 күн бұрын
Halafu Yesu aingie kanisa gani wakati yeye ndiye Mwanzilishi wa Kanisa ?😂😂😂 Waislam kama mnamwamini Mzee wa Upako kwanini msiende kusali kanisani kwake sasa
@khambhai360
@khambhai360 21 күн бұрын
Wakiristo acheni makasiriko na shehe wetu.Someni vizuri bibilia yenu.
@zaydamos874
@zaydamos874 20 күн бұрын
Hata mm nimetokea huko huko baada ya kujua ukiristo sio din ya haki din ya hak mbele ya mwenyezmungu n uisilam
@GODFREYSABAYO-yz4qx
@GODFREYSABAYO-yz4qx 21 күн бұрын
Sawa alisali kwenye sinagogi lakini ilikuwa nimsabato kwani ilikuwa isilamu unapo dai yesu nimwisalamu kwahiyo wewe mwipopo unasali dini alio Sali yesu
@mbalilax162
@mbalilax162 20 күн бұрын
mzee wq upako ni mlevi tu...mwambie akusomee nini maana ya kanisa kama yeye ni msomi kweli.....ni Agent huyu wa waislam hana lolote
@salumsimai642
@salumsimai642 18 күн бұрын
Yani Leo ndio amekua agent mbona zamani ulimpongeza na kumsifu
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd 22 күн бұрын
Wakristo wame sha zoa kumiminwa chini ya mzabibu
@IddySimba-fp2cc
@IddySimba-fp2cc 20 күн бұрын
Wambie ukweli siku zote huwa mnchungu
@papsmicrocreditcompanylimi1443
@papsmicrocreditcompanylimi1443 22 күн бұрын
Shekhe. Mwaipopo usijali wanao kutukana na kukushifu nikawaida wanadamu walivyo ata mitume nao walitukanwa
@charlesunganiunjuu920
@charlesunganiunjuu920 21 күн бұрын
Huyu nilisema ni nabii Tito uliechangamaka mmejionea sasa
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 21 күн бұрын
Wanao kutukana wablock tuu
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 22 күн бұрын
Sheh endeleya kufanya kaziyako zidi kuwabana mbavu mpaka watatowaeukweli
@user-go1rl6bb1z
@user-go1rl6bb1z 22 күн бұрын
Na uache kuchomeka uongo kwa mujibu wa bibilia sinagongi ni nyumba walikua wakiabundia mayahudi zamani.sasa yesu alipokuja akawambiaje ufunuo 2:9, alafu kanisa lake hili hapa 16:18 mathayo. imani ya yesu 12:1 waebrania wakristo wanamfata nani? 1wakorintho 3:21.wamejegwa juu ya mitume na manabii waefeso 2:20.wacha kupotosha
@babazungu3180
@babazungu3180 21 күн бұрын
😂😂 ukiona mtu anatukana ujuwe sindano imemuingia huyo
@ChristianSosella-zo1lt
@ChristianSosella-zo1lt 21 күн бұрын
She wasomee arbadili tuone
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 21 күн бұрын
Utakosaje kumpongeza ikiwa mtaongozana jehanam mvuta cgala huwa anamjua mvuta cgala mwenzie kwaio wewe ukimpongeza lusekelo hujakosea maana ni chama wako
@jamalyathuman9895
@jamalyathuman9895 18 күн бұрын
Sheikh Mwaipopo,swali langu,apo askofu kasema Zaman kulikuwa na sinagogi ambayo ndio msikiti wa wayahudi na wanafunzi walikua wakisoma tourati enzi zake waislam wanasoma Qur'an swali langu wakati yesu yupo Qur'an ilikuwa ishaashushwa?
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 22 күн бұрын
Usijali matusi yao wabane mbavu hawo mapotevu
@elgringo8592
@elgringo8592 21 күн бұрын
Umepiga bla blah kumbe unataka utangaze biashara yako ya uganga😅😅😅😅😅
@cizaiddy7839
@cizaiddy7839 21 күн бұрын
Sio bla bla lazima wakristo mpewe doz
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 21 күн бұрын
Dini ya majini hiyo
@omaar5693
@omaar5693 17 күн бұрын
ukiona jini ni muislamu ujue ameongoka,,,, shetani abaki na balaa lake
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 22 күн бұрын
Wakristu mmemskiya uyoo? Toweni lawama kwa mwaipopo.na matusi mengi
@user-go1rl6bb1z
@user-go1rl6bb1z 22 күн бұрын
Na wewe pia ukae na mazinge aache kuonge utumbo n wewe pia ujiangalie ongea yako.
@GervasSospeter-vt3zi
@GervasSospeter-vt3zi 21 күн бұрын
We pambana na na har yako hiv wewe Huwa unahubir injiri au. Habar njema au nn Huwa unataka au wateja wa mafuta
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 22 күн бұрын
Yesu kristo wafuazi wake wakiristo die njia na usima wa milele
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f 21 күн бұрын
Kushapotea ndugu, pole yako
@elgringo8592
@elgringo8592 21 күн бұрын
Tofautisha mapokeo ya kanisa na biblia inasemaje?huna elimu shehe sakramenti iko sehemu gani kwenye biblia?
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 22 күн бұрын
Sinagongi ni yumba y kusalia wayahudi, usicho kijua wewe mwehu ni kuwa wakati wa kutafsiri injili sehemu hiyo walkuwepo waislaam na walivyo ulizwa Nyumba ya kumsali Mungu wenyewe alijibu ni msikiti na hao waatafsiri wakaandika hivyo yaani neno "Msikiti"
@paulmushi2428
@paulmushi2428 22 күн бұрын
Mwaipopo, YESU KRISTO aliingia kwenye Masinagogi siyo kisali Bali kufundisha na kuihubiri habari njema ya ufalme Soma Biblia MATHAYO 4:23 na MATHAYO 9: 35 Pia Kwa Mujibu Wa Qur'an Sinagogi na msikiti ni vitu viwili tofauti Soma Qur'an Surat Al-Hajj 22: 40; Surat An-Nur 24: 36
@athumanijuma6553
@athumanijuma6553 21 күн бұрын
acha ujinga.....leo nenda na wewe msikitini ukamhubiri Yesu tuone kama utaweza thubutu misikiti leo hii imetofautishwa na masinagogi kwa kuwa tu waingiao masinagogini ni wayahudi wkt waislamu wa sasa huingia ktk misikiti ni tofauti kwa kuwa zama masinagogi yanaelekea jerusalem wkt leo misikiti inaelekea maka alikotoka mtume muhammad saw kifupi mayahu wanafata uislamu uliopotoshwa wenyewe wakidhani bado wako sahihi , Yesu alipokwenda ili awaweke sawa humo ktk masinagogi yao ndipo walipomtimua akaamua kwenda galilaya walipompokea..sinagogi ni msikiti mayahudi wanatawadha kisha huingia bila viatu humo kwenda kumsujudia mungu...Yesu hajawahi kufundisha ukristo bali huo ukristo wenu umetokana na vile uislamu kuchanganywa na uroma kosa ambalo Paulo alilifanya
@joramsengi9123
@joramsengi9123 11 күн бұрын
Hakuna shirika kati ya Nuru na Giza. Yesu aliingia Sinagogi lakini hammalizii aliingia kufanyaje ? Unaweza taja mambo matatu aliyoyafanya ? . Na Kama Usilam ulikuwepo wakati wa Yesu waislam walikuwa wanatumia kitabu gani kujifunza ?
@kaybthepro4094
@kaybthepro4094 22 күн бұрын
Sasa Tuambie wewe na huo mchungaji wako lusokele, hapa kenya kuna sinagogi ya wayahudi mbona waislamu hawaingiii kama sinagoni ni msikitii mbona hata israel kuna masinagogi mbona waislamu hawaigii. Kama hiyo sinagogi yako ni msikiti, pole sana mwaipopo kama si bangi au kilevi kinasababisha haya basi ubongo wako una matatizo
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy 22 күн бұрын
Acha kujifuruga.Nenda kafungue bibilia mwisho wa kurasa utaona nini maana halisi ya "sinagogi"
@kaybthepro4094
@kaybthepro4094 22 күн бұрын
Kama sinagogi ni msikiti, je wewe unaweza ukaingia sinagogi kufanya ibada? Mbona sinagogi zipo na waislamu hawaingii humo kufanya ibada?
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 21 күн бұрын
Hilo la Kenya ni sinagogi la uongo. Nyie wa kenya mtawezekana.Mna Yesu kila kona. Kwani ni wa kikweli?
@njiasalamatv4794
@njiasalamatv4794 20 күн бұрын
KWA HIYO DIPLOMA YAKE AMBAYO HAINA BIBLICAL LANGUAGES .... ANAFANYAJE UCHIMBAJI WA BIBLIA KWENYE LUGHA YA ASILI? , WEWE MTU ANAWEZA KUCHAMBUA QURAN BILA LUGHA YA KIARABU?
@prochesernest5439
@prochesernest5439 22 күн бұрын
Umemtukana huyo allah wenu kawataja wakristo wakiwa kwenye Dini Gani ? Kama wewe ni mjuzi kuliko huyo unayemuamini ni mungu kamuulize huyo
@prochesernest5439
@prochesernest5439 22 күн бұрын
Mwaipopo ujielewi huyo Mzee WA upako anasema Yesu aliacha ukristo wewe unasema Yesu akuanzisha ukristo wewe na Mzee WA upako mnafabana amuelewi chochote wewe mwaipopo basi kama sinagogi ni msikiti basi Allah ni muongo kulingana na hiya Aya 22:40 quruan kataja makanisa masinagogi na misikitini je hiyo ni nyumba Moja ya ibada ?
@kaybthepro4094
@kaybthepro4094 22 күн бұрын
Mwaipopo wewe hakili yako ni ndogo kabisa,unapiga ukristo vita halafu unataka wa kristo wakuhulumie. Kama wewe hutaki kupigwa vita achana na kuhubiri ukatangaze madawa yako tu. sasa huo mtume wako hakupigwa vita, Tena Elimu yako ni ya wakina mazinge, unachekesha sana
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy 22 күн бұрын
Acha ushabiki wa kiimani ndugu nenda kasome utaelewa baadhi ya mambo. Alhamdulillah ☝️🕌🙏🙏🙏
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f 21 күн бұрын
Unajitekenya mwenyewe afu unataka watu wacheke?
@cizaiddy7839
@cizaiddy7839 21 күн бұрын
Wewe hakili yakwako ni kubwa acha chuki wewe
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 22 күн бұрын
Mwaipopo Mana dini ,na njia, hio ni kitu moja Hama 2wewe ni kafiri mukubwa,setani walisilimu wakawa waislamu sura tujini majini
@cizaiddy7839
@cizaiddy7839 21 күн бұрын
Sio kafiri wewe ndo kafiri someni bibiliya muache kutukana
@christianmahagalla2677
@christianmahagalla2677 21 күн бұрын
Si wewe ulie mtukana shehe wa mkoa wa mwanza?
@EmmanuelJulius-vw2dl
@EmmanuelJulius-vw2dl 22 күн бұрын
Dini ya kichawi unamtangazia nan hapa wewee!! Dini ya majin 😂😂😂😂
@kaoretosha6668
@kaoretosha6668 22 күн бұрын
Tatizo...ni waliokulea....hawakukufunza adabu....
@badruseif1318
@badruseif1318 21 күн бұрын
Wacha mipasho ya kishoga iyo
@EmmanuelJulius-vw2dl
@EmmanuelJulius-vw2dl 22 күн бұрын
Dini ya majinn 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kaoretosha6668
@kaoretosha6668 21 күн бұрын
Tatizo.....ni waliokulea hawakukufundisha adabu......
@omaar5693
@omaar5693 17 күн бұрын
waache majini na uislam wao... mbona mnapo waalika mapepo makanisani hatusemi... pepo toka.. akitoka mchungaji atakula wapi? njoo utembee mskitini pepo asogei amani mpaka mbinguni
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd 22 күн бұрын
Nilishasemaga wakristo wengi akili zao hua ni mavi
@paulmushi2428
@paulmushi2428 21 күн бұрын
Ok, hiyo ndiyo busara ya mtu aliye na Jinn na kusujudu kuelekea kwenye Kaaba yenye Jiwe jeusi
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd 21 күн бұрын
@@paulmushi2428 wewe kuelekea ndo point bila ya mwelekeo nothing na hata maisha kama huna mwelekeo you are looser
@prochesernest5439
@prochesernest5439 22 күн бұрын
Yesu ni kristo sio mkristo sisi ndio wakristo usiwe mjinga mwaipopo unamsifia Mzee WA upako mfuate basi ukamwamini Yesu ni mwana WA Mungu huachane na majini mapepo wachafu WA kiislamu ndio wanaokataa Yesu sio mwana WA Mungu
@badruseif1318
@badruseif1318 21 күн бұрын
Nani aje afuate mashoga?
@prochesernest5439
@prochesernest5439 21 күн бұрын
@@badruseif1318 Bora mashoga kuliko mashetani majini mashoga tunaishi nao tunawaona na wanabadilika wanakuwa wema lakini majini au mapepo wachafu mashetani wanatisha Kila mtu anawaogopa Hila nyie waislamu na mtume wenu ni kiboko mekubali majini mapepo wachafu nguruwe walikataa kukaa nao wakaona Bora wafe kuliko kukaa na mashetani ndiomaana mnaroho mbaya ya huuaji magaidi nyie chinjachija nyie hapoulipo unakeleketwa kuua
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 21 күн бұрын
Huyo mzee wa upako anasema yesu c mwana wa mungu Mungu hazaa we vp?
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 21 күн бұрын
Mungu hazaiii
@EmmanuelJulius-vw2dl
@EmmanuelJulius-vw2dl 22 күн бұрын
Kwendaaaa😂😂, mtu mwenyew ukiingia msikitin shetan anawapuliza kwenye makalio yenu, mtatuambia nn wew, kwa haki ipi😂
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f 21 күн бұрын
Chuki2 hamna hoja ndo mana matusi hayaishi midomoni mwenu at afu mmeokoka loooo ajabu ya bunuasi
@cizaiddy7839
@cizaiddy7839 21 күн бұрын
Mmmmmmmh alafu kanisani
@cizaiddy7839
@cizaiddy7839 21 күн бұрын
Achani chuki msome bibiliya kwanza mjuwe ukweli vipi nyinyi wakristo
@EmmanuelJulius-vw2dl
@EmmanuelJulius-vw2dl 22 күн бұрын
😂we mpumbav unaongea nini!!? Nan asiyejua uislam ni dini ya mashetan na mapepo, dini iliyoongozwa na mtume aliyembaka mtoto mdogo, mtume aliyeoa mke wa mtoto wake zayyid, mtume aliyeteka nyara wake za watu vitan, mtume aliyeuamaelf ya watu waliompinga, mtume aliyerogwa na kuongozwa na majini
@qwerqasd8597
@qwerqasd8597 19 күн бұрын
Subhanallah Allah akuongoze 😢
@paulmushi2428
@paulmushi2428 22 күн бұрын
Mwaipopo acha kutulalamikia sisi WAKRISTO eti tunakashifu Uislamu bali majini wenyewe ndiyo wanasema Walisilimu wakawa Waislamu!! kasome Qur'an na khadith, Shetani na majini walisilimu wakawa Waislamu hiyo ndiyo dini yao! soma Qur'an yako Surat Jinn 72: 2-14 hapo majini wanasema siyo sisi WAKRISTO!! Na kuna khadith inayosema "Ni bahati mbaya Adam na kizazi chake walishindwa kumsilimisha Shetani ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha akawa Mwislamu!! Ukiona tunakashifu tupeleke mahakamani tukatoe ushahidi!!
@jacksonmwafongo1917
@jacksonmwafongo1917 21 күн бұрын
Kwani jini lisisilimu haliogopi moto? nikiumbe kama wewe ndio maana yanasilimu hata mashetani nao wanasilimu kama wewe ni shetani Kwa sababu humfuati mungu unafuata miungu mitatu wakati mungu ni mmoja Kwa wewe ni shetani inatakiwa usilimu kama viumbe wengine majini shetani maana ya shetani ni mutu yoyote asie abudu mungu mmoja acheni kutikana jalibuni kuelimisha watu Ili waelewe musikulupuke
@paulmushi2428
@paulmushi2428 21 күн бұрын
​@@jacksonmwafongo1917 Shetani alisilimu akawa Mwislamu tena hapo hapo mnampiga mawe kule Makka mkienda Hijja 😂😂😂😂
@paulmushi2428
@paulmushi2428 22 күн бұрын
Mwaipopo hata sisi WAKRISTO tunaamini Kwa Mujibu Wa Qur'an yenyewe Uislamu siyo dini ya Mwenyezi MUNGU ALIYE ZIUMBA MBINGU NA ARDHI na kama Unabisha basi Tupe Aya ndani ya Qur'an inayosema MIMI MWENYEZI MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI Dini yangu ni Uislamu!! Surat Al- Imran 3:19 hapo hasemi Mwenyezi Mungu Bali Kuna mtu anasema!!
@badruseif1318
@badruseif1318 21 күн бұрын
Tupe andiko ukristo dini wacha kurukaruka
@paulmushi2428
@paulmushi2428 21 күн бұрын
​@@badruseif1318 Dini maana yake nini? Wewe ndiyo unipe Aya ndani ya Qur'an inayosema MIMI MWENYEZI MUNGU DINI yangu ni Uislamu
@badruseif1318
@badruseif1318 21 күн бұрын
@@paulmushi2428 wacha kurukaruka tupe andiko ukristo dini
@cizaiddy7839
@cizaiddy7839 21 күн бұрын
Mtu gani anasema apo?
@paulmushi2428
@paulmushi2428 22 күн бұрын
Kwa hiyo Mwaipopo, unataka kuwakataa ndugu zako katika imani majini kuwa Siyo Waislamu? Kumbuka majini walisilimu na kuwa Waislamu zama za Muhammad itakuwa wewe uliyesilimu zama za leo? Mwaipopo unataka kuwatenga ndugu zako!!😅😅
@sadikiissa7756
@sadikiissa7756 22 күн бұрын
Ni baadhi ya Majini ndo waliosilimu. Hivyo wengine bado ni makafiri.
@paulmushi2428
@paulmushi2428 22 күн бұрын
​@@sadikiissa7756 Ndiyo maana nasema majini na Shetani Walisilimu wakawa Waislamu maana yake dini Yao ni Waislamu Sasa mtu akisema majini na masheyani dini Yao ni Waislamu kosa liko wapi analolalamikia Mwaipopo?
@cizaiddy7839
@cizaiddy7839 21 күн бұрын
Anawatenga aje yani wakristo mkipewa ukweli mnanza zubazuba tuliyeni mpewe dozi Mwaipopo
@CosmasKanyopa
@CosmasKanyopa 20 күн бұрын
Malizia Sinagogi ni msikiti wa Kiyahudi, mbona hufafanui? Unaishia njiani ili ipotoshe
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 21 күн бұрын
Dini ya majini hiyo
@cizaiddy7839
@cizaiddy7839 21 күн бұрын
Nani kakwambia ni dini yamajini wakristo mwaka huu mnapewa doz na Mzee Mwaipopo
@IsmailJuma-ck3rr
@IsmailJuma-ck3rr 21 күн бұрын
Mmeishiwa broo ulimweng na walimwengu vyote vinamwabudu mungu Ambae ni muumba.wew ndo ujui uliza iyo majini kua walisimu ilikuaje
MCHUNGAJI MZEE WA UPAKO AZIDI KULIBOMOA KANISA
19:42
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 2,2 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 37 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 24 МЛН
wasabato sio wakristo
19:22
THE POWER OF CHRIST MINISTRY
Рет қаралды 5 М.
PADRI KUUWA ALBINO KISA MALI WATANZANIA walaani
24:37
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 811
SAFARI YA MTUME PAUL
28:28
Mzee wa upako
Рет қаралды 9 М.
MCHUNGAJI ASHINDWA KUSIBITISHA KUWA YESU NI MUNGU
38:10
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 396
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 37 МЛН