Msukuma alipuka tena Bungeni ashtukia upigaji DILI "Nani yupo nyuma ya huu mchezo"

  Рет қаралды 98,221

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Жыл бұрын

Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Msukuma alipokua akichangia kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kwa mwaka 2023/2024 .

Пікірлер: 66
@saimonilugwila6267
@saimonilugwila6267 Жыл бұрын
Hongera sana king msukuma Kwa kupata u Dk unatusemea vyema wananchi wako wa Kanda ya ziwa , msukuma karibu sana Jimbo la busanda ugombee ubunge 👍
@lubangompyalimi8922
@lubangompyalimi8922 Жыл бұрын
Mh.msukuma unanikosha sana kwa hoja za mashiko na pint natama kukuona usokwq uso tz inahitajo wabunge kama wewe. Na mh.mpina. VIVA msukuma
@lubangompyalimi8922
@lubangompyalimi8922 Жыл бұрын
Tz inahitaji wabunge kama wewe King MSUKUMA
@Kakamkubwa3564
@Kakamkubwa3564 Жыл бұрын
Dah wasukuma watu wa kweli sana aisee
@sifamanyori-kf9vq
@sifamanyori-kf9vq Жыл бұрын
Kunikaka yangu musafu nikambira rawasukuma vijini
@GraceLadc-no2ig
@GraceLadc-no2ig Жыл бұрын
Msukuma congratulations
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Leo nimemuelewa uyu mwamba aje hapa city of gold Johannesburg tukae nae hapa news Cafee tule nae vzr na kunywa nae
@jamilmwinge3695
@jamilmwinge3695 Жыл бұрын
Mbunge mmoja tu.
@dmox8723
@dmox8723 Жыл бұрын
Na shabby
@amanisewando529
@amanisewando529 Жыл бұрын
Nataka nikupe shahada nyingine mzee maana walio soma sio msaada kwetu
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Жыл бұрын
Msukumu unaakili Sana .jimbo la Geita vijini wakupe ubunge maisha yako yote
@amanisewando529
@amanisewando529 Жыл бұрын
Msukuma na mpina pamoja na Shabiby ndio watetezi wa wanyonge wakisaidiwa Dk tulia
@georgedamas7097
@georgedamas7097 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana Dr King Msukuma.
@salumbujjo2320
@salumbujjo2320 Жыл бұрын
Darasa la saba ila inawashinda ma proffesa watu wenye uchungu na nchi hawa ndio ilitakiwa wawe mawaziri.
@serianjamal8254
@serianjamal8254 Жыл бұрын
Mh Msukuma umeongea points bila woga hata kugonga meza wameshindwa, yaani hiyo nchi viongozi ndio wala dili🤔🙄
@georgedamas7097
@georgedamas7097 Жыл бұрын
Very smart.....
@japhetlinus3891
@japhetlinus3891 Жыл бұрын
Wabunge wachache Sana Kama DK MSUKUMA
@aboukibesh8356
@aboukibesh8356 Жыл бұрын
Msukuma Msukuma Msukuma
@user-vd8ku5kk7y
@user-vd8ku5kk7y Жыл бұрын
Upo vizuri sana
@frankbalwetegile5655
@frankbalwetegile5655 11 ай бұрын
Haya maigizo yataendelea mpaka mnaonenaje bunge letu likawa la ccm daima Kama lilivyopitishwa 2020
@sonekasonekatoroka5884
@sonekasonekatoroka5884 Жыл бұрын
Big up king msukuma yupo pamoja na wewe akupe nguvu 🙏
@emanuelsamson-hq2jv
@emanuelsamson-hq2jv Жыл бұрын
Musukumaa bana weninomaa nduguyetuu
@kivuyolalashe4744
@kivuyolalashe4744 Жыл бұрын
Phd original ndio hii
@mdedsm5522
@mdedsm5522 Жыл бұрын
Pale PhD ya heshima inapoishinda PhD ya darasani😂😂😂😂
@shihume256
@shihume256 Жыл бұрын
Huyu mtu ana akiri hana Elimu lakin ana Akiri...ikumbukwe sasahivi mambo mazuri yanatokana na akiri
@user-se7th7xe6e
@user-se7th7xe6e 10 ай бұрын
Musukuma nakukubali sana
@mwinyimatano9497
@mwinyimatano9497 Жыл бұрын
Huyo msukuma ndie mwenye phd ya kweli wengine ni makaratasi 2
@faridubakana6733
@faridubakana6733 Жыл бұрын
Msukuma dua na sala zangu zipo nawe mheshimiwa
@user-hs6zy2de2g
@user-hs6zy2de2g 11 ай бұрын
Namkubali sana huyu muheshimiwa
@user-zv2cn8mx7t
@user-zv2cn8mx7t Жыл бұрын
Dah msukuma
@AndrwMaiko
@AndrwMaiko 11 ай бұрын
Mhushimiwa msukuma nirikupenda sana nimengundua wewe magufuri hujamyendea haki ira mungu yupo naumia sana aisee
@jiweg-unit5408
@jiweg-unit5408 Жыл бұрын
Nchi yetu Yaan dah we Acha unaweza hata ukasema Bora hata kinuke siku moja yaani lnasikitisha sana
@MondeMabele
@MondeMabele Жыл бұрын
huyo dactar wa heshima mjanja sanaaaaaaaaa😀😀😀😀😀😀😀😀🤣🤣
@theonaskalyalya9109
@theonaskalyalya9109 Жыл бұрын
Chanzo ni serikali na Sheria zake
@allynguzo2805
@allynguzo2805 Жыл бұрын
Aaaa usifilisike 🤣🤣🤣🤣
@frenkferecian6215
@frenkferecian6215 Жыл бұрын
Wabunge wa mkoa wote wa geita msukuma2 ndo tunamuona akichangia bungeni wengine mnaogopaga kuongea bungeni? Au walienda vilaza2
@kalamamzee6669
@kalamamzee6669 10 ай бұрын
Waau,bunge la tanzania ni bure bila msukuma, msukuma hoyeee
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 Жыл бұрын
Mtalaam nimekuelewa sana daktari wetu, hawashibi wale jamaa waliozoea kula tangu enzi za upofu
@victorjames3730
@victorjames3730 Жыл бұрын
Musukuma kichwa sana
@johnsimfukwe8511
@johnsimfukwe8511 Жыл бұрын
Du, points
@sonekasonekatoroka5884
@sonekasonekatoroka5884 Жыл бұрын
Tunakupongeza pia mweshimiwa msukuma
@wakembetajaphary6006
@wakembetajaphary6006 Жыл бұрын
Nan kaskia madaktar hatukimbii matatzo weka like twende sawa🎉😅😅😂
@AbrahamSekuza
@AbrahamSekuza Жыл бұрын
Jamani CCM yupo mtu na watu hatosheki na pesa na ni katili sana kama akiondoka huyo nchi itakuwa salama Tanzania IPO mfukoni mwake na sidhani kama alifurahia Raisi kwenda kwenye mualiko wa Chadema wa wakina mama
@TrustSanga-pj1rp
@TrustSanga-pj1rp Жыл бұрын
HUKU SONGWE UFUTA HATULUHUSIWI KUPELEKA MBEYA JAMANI
@user-sq3sh1md6v
@user-sq3sh1md6v 7 ай бұрын
@lubangompyalimi8922
@lubangompyalimi8922 Жыл бұрын
Hoja za mashiko na point uko vizuri saaana.siyo wabunge wasomi wapigaji
@akibasimba9486
@akibasimba9486 Жыл бұрын
Kikao cha wafanya biashara mushsra
@ChidoBoy-pm8pf
@ChidoBoy-pm8pf 11 ай бұрын
mzukuma hatukuelewi
@jaromeedward781
@jaromeedward781 Жыл бұрын
Commando wa ukweli anaongea ukweli
@user-cl2mm4oi1w
@user-cl2mm4oi1w Жыл бұрын
Jamani kakayangu msukuma unaonaje ukigombea urais 025?nakukubalisana
@SalomeSululu-be5wg
@SalomeSululu-be5wg Жыл бұрын
Duu ama kwel serikal wapo wanaoeelewa unyonge wetu lakin hawana namna
@ChidoBoy-pm8pf
@ChidoBoy-pm8pf 11 ай бұрын
sio kwel msukuma ndio wale wale tuuh
@dakihamaluta4159
@dakihamaluta4159 Жыл бұрын
Sio sili msukuma anaongea lugha nyepes Kila mtu anaelew kuzid ata hao wanaojiita ma Dr
@luhanyamipawantobi6888
@luhanyamipawantobi6888 Жыл бұрын
Tarifa zanini c msubiri muda wenu wakuchangia
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 Жыл бұрын
Upumbavu hapo kuna ulaji mkubwa. Nahisi msukuma una akili sana. Ila naamini ulitaka kusema dalasa la saba hatuna complication kuliko kusema hatuko active . You are too active . Wewe ni active sana.
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 11 ай бұрын
MSUKUMA hao jamaa ukiwagusa wanakudandia
@user-jq1nf3ur6f
@user-jq1nf3ur6f Жыл бұрын
😅
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 11 ай бұрын
MSUKUMA uko poa huyo mdandia nyuma asikutishe
@erickabel6201
@erickabel6201 Жыл бұрын
Kafanana na magufuri😢
@davidmkwawi8825
@davidmkwawi8825 Жыл бұрын
Tukipata wabunge kama huyu mtani wngu 10tu ccm itanyooka
@bedykedy3428
@bedykedy3428 Жыл бұрын
Huyu msukuma Mungu amtunze asee
@dmox8723
@dmox8723 Жыл бұрын
Msukuma ana phd ya akili wengne phd za makaratasi
@ReitusNkondo-ud9mb
@ReitusNkondo-ud9mb Жыл бұрын
Hicho kipachi tuu mungu akulinde Dr msukuma
@user-vd8ku5kk7y
@user-vd8ku5kk7y Жыл бұрын
Upo vizuri sana
@georgedamas7097
@georgedamas7097 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana Dr King Msukuma.
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 111 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 120 МЛН
#LIVE🔴 RAIS SAMIA AKIZINDUA KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI
Mwananchi Digital
Рет қаралды 5
MUSUKUMA -  "TUKIWAITA VILAZA MNATUZOMEA, HECHE UNAKIMBIA UNAENDA WAPI"
12:11
FULL SPEECH: Donald Trump speaks before the NABJ in Chicago
36:28
FOX 32 Chicago
Рет қаралды 380 М.
MBUNGE KISHIMBA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE
14:02
Millard Ayo
Рет қаралды 206 М.
MBUNGE WA MBULU VIJIJINI ARUKA SARAKASI BUNGENI, AKIDAI BUNGENI.
10:48