MIJI 25 MIZURI ZAIDI KATIKA BARA LA AFRIKA 2023 | 25 MOST BEAUTIFUL CITIES IN AFRICA 2023

  Рет қаралды 37,842

FMB TV

FMB TV

Жыл бұрын

Unaweza kuwa miongoni mwa walioweza kutembea nchi mbalimbali barani Afrika na kushuhudia uzuri wa maeneo hayo na ikiwa bado hujatembelea maeneo hayo huu ndio wakati utakaofahamu.
Katika video hii utafahamu miji 25 mizuri zaidi barani Afrika.
#SukaTv #Afrika

Пікірлер: 62
@HassanShabani-sy3ew
@HassanShabani-sy3ew 2 күн бұрын
Tamka vizuri R
@sheikhamansoor3522
@sheikhamansoor3522 13 күн бұрын
Watangazaji jifunzeni kwanza kiswahili mkijua ndio muwe watangazaji Sema Harare sio halale Morocco sio moloco Nzuri sio nzuli Bara sio Bala
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv 3 ай бұрын
Uchambuzi feki yani kampala ni dampo unaacha kinshasa yaan Cairo una mji wa kisasa eti ni wa tatu Nairobi ni kamji kadogo tu kuliko addis Ababa na Dar es alaam eti mji wa sita kwenda huko
@SukaTv_
@SukaTv_ 3 ай бұрын
Ni vizuri ukatoa uchambuzi na takwimu za kwako ili tuelewe vizuri zaidi
@aminumengo2123
@aminumengo2123 Күн бұрын
Ww iko na lala naota au naota na lala veve bado tembea , tebea one banchoti
@Irankundasadiki-yx1vf
@Irankundasadiki-yx1vf 15 сағат бұрын
Wenimuongo
@josephamos6636
@josephamos6636 3 күн бұрын
Umekula mb zangu bule mpangilio wako siyo sahihi
@SukaTv_
@SukaTv_ 3 күн бұрын
Pole
@HassanShabani-sy3ew
@HassanShabani-sy3ew 2 күн бұрын
Shennzi kabisa
@agogomgagagigigogo
@agogomgagagigigogo Күн бұрын
Hivi mnatuona cc mabwege eti😂
@abooaboo-rs4uw
@abooaboo-rs4uw 23 күн бұрын
Dar ni kijiji
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 3 күн бұрын
Sawa bora mwanza siyo.?
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 21 күн бұрын
🤣 yaani nairobi ampite Addis Ababa, mmh😊
@hiseamichael2393
@hiseamichael2393 2 ай бұрын
Durban and pretoria iko wapi umelogwa nenda ukarudi kutembaa bwana
@ByamunguChalom
@ByamunguChalom 13 күн бұрын
Kadanganya, umeacha Kinshasa
@JackM.-mh5cs
@JackM.-mh5cs 28 күн бұрын
Dar tanzania ni mji mbovu duniani kwanza hauna barabara walA umeme maji usiende dar utajuta looh!😊
@RamadanPaul
@RamadanPaul 19 күн бұрын
Chuki binafsi
@MorganMwaipyana-tz9vc
@MorganMwaipyana-tz9vc 3 күн бұрын
Jinga wewe, watu 5million wanaishi vipi bila maji?
@inspirationalquotes7342
@inspirationalquotes7342 Ай бұрын
Good boy
@SukaTv_
@SukaTv_ Ай бұрын
Thanks
@SeifSaid-ld6qj
@SeifSaid-ld6qj 7 күн бұрын
Sio Balani ni Barani sivunze Bro
@abooaboo-rs4uw
@abooaboo-rs4uw 23 күн бұрын
Wewe mgonjwa.katibiww kichaa
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 6 күн бұрын
Hivi kigali unaijua au unasema tu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 21 күн бұрын
Masihara yaani lagos iwe ya 11? Dar hatujaifikia lagos
@abdullahkazungu4025
@abdullahkazungu4025 3 ай бұрын
Rudi ufanye utafiti vizuri
@SukaTv_
@SukaTv_ 3 ай бұрын
Sawa
@SukaTv_
@SukaTv_ 3 ай бұрын
Sawa
@SeifSaid-ld6qj
@SeifSaid-ld6qj 7 күн бұрын
Usisasahau mji wa pemba
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 3 күн бұрын
😅😅
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 10 күн бұрын
Miji mizuli zahidi balani Aflika hapo ndiyo sijakukubali na mbona Morocco uirudie mara 3 nchi inaongoza kwa uchafu hujafika ujionee 😂😂😂😂
@rahmaomar6276
@rahmaomar6276 6 ай бұрын
Kufahanu
@SukaTv_
@SukaTv_ 6 ай бұрын
🤝
@Dismance
@Dismance 3 ай бұрын
Congo muna fanya nini
@SukaTv_
@SukaTv_ 3 ай бұрын
👍
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 21 күн бұрын
Mmh kampala😂😂
@carlytube338
@carlytube338 7 ай бұрын
Hujui chenye unakisema, Fanya utafiti kwanza bro😂😂😂
@SukaTv_
@SukaTv_ 7 ай бұрын
Video inayofuata nitaeleza kwa ufasaha zaidi
@rosepaskali2760
@rosepaskali2760 Ай бұрын
acha uongo wewe nenda kalime mbwa wewe ujui chochote mwongo wewe eti dar ni kuzuri kuliko lagos
@smallkiller255
@smallkiller255 6 ай бұрын
Mbongo tztupo
@SukaTv_
@SukaTv_ 6 ай бұрын
Ndio
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw Күн бұрын
Suka TV mme tembea miji yote hiyo au uzinguaji tu.
@abnassirkarriem-ko5pw
@abnassirkarriem-ko5pw 2 ай бұрын
Why Lagos no
@SukaTv_
@SukaTv_ 2 ай бұрын
Look at the statistics for 2024, that was for 2023
@StephenKabalisa
@StephenKabalisa 3 ай бұрын
😅😅
@SukaTv_
@SukaTv_ 3 ай бұрын
👍
@ameenaameena4907
@ameenaameena4907 6 ай бұрын
Kampala hapan uzur wowote haujatembea unaamua to kusema sema😅
@SukaTv_
@SukaTv_ 6 ай бұрын
Hii ni kwa mujibu wa jarida la Forbes mimi nimekuwasilishia
@HEKIMAFILM
@HEKIMAFILM 6 ай бұрын
Ndio maana umekuwa nafasi ya chini
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 21 күн бұрын
Kwakweli japo sijatembea sn ila Kampala hapana aise
@yusuphahmed-yt5gg
@yusuphahmed-yt5gg 3 күн бұрын
¹¹¹q¹¹¹1​@@SukaTv_
@FrenkJohanes
@FrenkJohanes 19 күн бұрын
Muongo ww
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 2 ай бұрын
Muongo Dubai ikwapi
@zenasalum2231
@zenasalum2231 Ай бұрын
Sasa Dubai ipo Africa we wa wapi
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Ай бұрын
@@zenasalum2231 🤣🤣🤣🤣🤣
@SeifSaid-ld6qj
@SeifSaid-ld6qj 7 күн бұрын
😂
@happnesskatandula4189
@happnesskatandula4189 8 ай бұрын
Research yako imezingatia nn?
@SukaTv_
@SukaTv_ 7 ай бұрын
Video inayofuata nitaelezea kwa ufasaha zaidi tuweze kuelewana.
@user-uv8gp4co9i
@user-uv8gp4co9i 5 ай бұрын
Mbona kinchasa haipo
@SukaTv_
@SukaTv_ 5 ай бұрын
Huenda ikawa katika toleo lijalo la Forbes
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 3 ай бұрын
Congo imechoka bwana tembea uone muache vita ndyo mtakua vizuri
@SukaTv_
@SukaTv_ 3 ай бұрын
Unalolisema linaweza kuwa ni kweli
PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
31:59
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 15 МЛН
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 23 МЛН
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 220 М.
🇹🇿Tanzania & 🇷🇼Rwanda - 10 Biggest Differences
18:05
ConnectsLogTvplus
Рет қаралды 817
God Is Not A Christian _ Shocking Revelation From Plo Lumumba
47:46
AFRICA OBSERVERS
Рет қаралды 691 М.
Ijue mikoa kumi tajiri zaidi tanzania na vitega uchumi vyake
12:28
Kasibante Media
Рет қаралды 51 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 15 МЛН