Askofu Ruwaich avunja ukimwa wimbi kubwa la MANABII wa Uongo/ni Mazingaumbwe/wanawavuta/Mnadanganywa

  Рет қаралды 13,406

Breez Online Tv

Breez Online Tv

Жыл бұрын

Kwa uso wa upole na unyenyekevu wa Baba kwa watoto wake Askofu mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Dar Es Salaam Mhasham Yuda Thaddeus Ruwai'ch amewataka waumini kuilinda na kuitetea imani ya kanisa katoliki huku wakiachana na manabii wa Uongo ambao wanatumia ushawishi mwingi pamoja na kuhubiri injili nyepesi za uponyaji na miujiza, ambazo kwa kiwango kikubwa ni upotoshaji na kamwe kanisa katoliki haliwezi kufanya mazingaumbwe kwani linaamini kupitia Msalaba.
#kanisakatoliki #breezonlinetv #daressalaam

Пікірлер: 23
@williamchami2207
@williamchami2207 3 ай бұрын
Baba Askofu mkuu uko vizuri sana na umemakinika kuchunga kondoo uliokabidhiwa. Mungu akulinde na kukutunza mpaka umalize kusudi lake la kukufanya Kuhani Mkuu
@ConfusedDarts-yv4pr
@ConfusedDarts-yv4pr 3 күн бұрын
Sanamu Kwenye msalaba ni kielelezo tu! Haiabudiwi na haichukui nafasi ya Mungu! Sanamu anazochukiza nazo Mwenyezi Mungu ni zile zinazofanywa kuwa Mungu na zinaabudiwa kama Mungu mbona ninyi wazushi hamuelewe? Acheni kuhukumu kwa mambo msiyoyaelewa! Udumifu wa Imani hudhihirika, Imani potofu hugawanyika na haidumu! Kama unadhani ww ni mtakatifu tuombee na cc na sio kutuhukumu Mungu atusaidie.
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 Ай бұрын
Asanteee San kwa ukwel wako baba
@restitutanjau2585
@restitutanjau2585 11 ай бұрын
Asante sana Baba Askofu kwa somo
@restcyprian1598
@restcyprian1598 11 ай бұрын
Umenena ukweli Baba Askofu
@alphaexaud5279
@alphaexaud5279 11 ай бұрын
Amina Baba Askofu
@davidlelo6192
@davidlelo6192 11 ай бұрын
Amina bb
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 11 ай бұрын
Imeandikwa hawatasonga sana ndio ma'ana wanainuka wanazima.lakini yesu anaendelea kuhubiriwa
@Expedito2512
@Expedito2512 11 ай бұрын
Aaah!
@MichaelGabriel-by1wh
@MichaelGabriel-by1wh 11 ай бұрын
Kweli baba
@dosteajoseph7939
@dosteajoseph7939 11 ай бұрын
Amina
@LoishiyeMollel-ck9bx
@LoishiyeMollel-ck9bx 11 ай бұрын
Amina
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 11 ай бұрын
Hakuna nabii wa ukweli sahivi wote waongo nyie
@victormbaga5772
@victormbaga5772 11 ай бұрын
Mnajidanganya had kichefuchef .inamaana wewe unajitoa acha uongo thioloji zitawaua .ndomaana mlimchagua baraba
@michaelmshighati8432
@michaelmshighati8432 11 ай бұрын
Askofu Manabii wauongo wapi Hata Katoliki unapoabudu Masanamu ya Bikira maria na Masanamu ya Yesu ninyi ndiyo Manabii wauongo, kuliko Hata Hawa wanaoganga njaa, Misa za wafu, Kunywa pombe kanisani ,kula mkate wa Roundness ( mviringo) Mkatwawaabudu Mizimu huko misiri nyie ndiyo Manabii wauongo mmelevia Dunia nzima Kwa Mafundisho ptofu
@restitutanjau2585
@restitutanjau2585 11 ай бұрын
Amewaasa wakatoliki povu linakutoka,pole umeguswa pabaya.Manabii wa uwongo Ni wengi sanaaaaaaaa
@michaelmshighati8432
@michaelmshighati8432 11 ай бұрын
Waumini wamekuwa Masikini wanaambulia Mishumaa Mikubwa TU wakati wa Mazishi ndiyo tabia za Manabii wote wauongo kufilisi waumini na kuwazika Kwa Misa ndefu na Mishumaa Mikubwa na kuondoka na Sadaka misibani hakuna Tofauti ya Manabii wauongo wakatoliki na Hawa Waganga njaa kumbuka Papa wa 14 Kitubio Cha kumtoa Mtu Tohorani na Kumpeleka Peponi Hawa ndiyo Manabii wauongo wakatoliki
@pharm.kayombo
@pharm.kayombo 11 ай бұрын
Kama ni wewe tulia utafakari na ubadilike kumfuata Kristo.
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 11 ай бұрын
Hawa hajui walitendalo wapo wapo tu
@benedictkihombo348
@benedictkihombo348 11 ай бұрын
Jambo usilolijua ni sawa na Usiku wa Giza uliza ueleweshwe.
@bahomehussein8289
@bahomehussein8289 11 ай бұрын
Manabii wa uongo wanaoabudu sanamu
"MAVUNO NI MENGI ILA WAFANYAKAZI NI WACHACHE"-ASKOFU RUWA'ICHI
12:31
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 13 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,6 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 24 МЛН
"MAGUFULI HAKUNIELEWA KUHUSU COVID 19" ASKOFU RUWA'ICHI AFUNGUKA MSIMAMO WAKE WA COVID 19
4:25
ASKOFU MSIMBE AFAFANUA ZAIDI TAMKO LA PAPA KUHUSU USHOGA LINAVYOPOTOSHWA
5:19
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 7 М.