RC HAPI KANYANYUA MIKONO JUU ''MAMA AOMBA ASAFISHWE HADHARANI''

  Рет қаралды 327,614

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Пікірлер: 219
@yelamasele5888
@yelamasele5888 5 жыл бұрын
Pole sana mkuu ndo kazi zenyewe nakukubali sana
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 4 жыл бұрын
Hongera sana mkuu wa mkoa Iringa tunakupenda unafanya kazi nzuri Mungu akukinge na mabaya yote
@gregorychogelo2013
@gregorychogelo2013 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 huyu dada ni shida yaani..! Mume wake ana kazi
@yusuphmbago3664
@yusuphmbago3664 5 жыл бұрын
Hapo ndio naelewa vizuri ule usemi "kukopa harusi, kulipa matanga".
@bintysayd1763
@bintysayd1763 5 жыл бұрын
Hahahaaa
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@williammollel7963
@williammollel7963 4 жыл бұрын
@@rehemaibrahim8475 a
@samueljr9105
@samueljr9105 5 жыл бұрын
Mama ulikopa pesa ukafanyia nn? Hata sasa wapiga kelele hapa usaidiwe kuweni makini mnapo kopa maana ukijua utarudisha sasa ww unakopa pesa nyinge utumie kwa njia chafua hata biashara hutaanzisha alafu hutaki kudaiwa ama KWELI washwahili walinena KUKOPA HARUSI KULIPA MATANGA
@f.a6043
@f.a6043 5 жыл бұрын
Kweli hasira ni hasara! Kiburi si muungwana! sasa huyu Mama angeongea hata kwa busara nzuri Mh. Mkuu wa mkoa angeweza kumsaidia pengine amesha mvunja moyo hata RC kwa namna yake hio anayoonyesha! sasa yeye anaongea kwa jazba hivyo sijui kama ataweza kusaidiwa masikini pole mama!
@stellasanga8106
@stellasanga8106 5 жыл бұрын
Amvunje moyo mara ngapi ameshaharibu hyu mama mhehe mgaya sida hasira hasara, pole we kwanza hana adabu huyo mama.
@geofreykasebele9244
@geofreykasebele9244 5 жыл бұрын
Huenda gari la bosi litaenda mtaroni kulingana na jasba za mwana mama. Ile kwa ujumla ni Iringa aisee!!!!! HASIRA!!!!
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 4 жыл бұрын
Vahehe Nye mmmh
@priscasiame9179
@priscasiame9179 5 жыл бұрын
Kujitoa muwanga sio tu kujivesha mabomu..hata kupaza saut pia ..mama safi sana waajir wengi washenzi mungu anaona mama wa wawatu kateseka lumande moyo wake umejaa hasira
@fainnamvungi4364
@fainnamvungi4364 5 жыл бұрын
nimeweka earphone masikio yote yananiuma we mama wewe unaniumiza masikio...😂😂
@allykiwembo9553
@allykiwembo9553 5 жыл бұрын
Pole muheshimiwa mkuu wa mkoa irnga kwel unapambana na changamoto nyingi
@aminarashid6286
@aminarashid6286 5 жыл бұрын
Huy mkuu wamkoa nampenda sana
@venamlowe3556
@venamlowe3556 5 жыл бұрын
Africans we can never be better, we don't feel for each other. When one got good life they don't care about another brother or sister, look at the way they are treating their home helpers. You reap what you sow for real.
@asteriambwei95
@asteriambwei95 5 жыл бұрын
Hapana mama sheria za benki haziingiliani na mkuu wa mkoa unamwonea happy iko nje ya uwezo wake lipa mama deni hakuna njia
@venamlowe3556
@venamlowe3556 5 жыл бұрын
@@asteriambwei95 Riba zenu za bongo are not realistic, na sikuwa ninamlaumu mkuu wa mkoa bali the banking system in Africa as a whole. Nchi ziliziendelea bank zao zinaelewa wakati upo kazini na wakati hupo kazini. In the end the debt ends up being written off. Mtauwa watu kwa pressure bure.
@upendohalisi80
@upendohalisi80 5 жыл бұрын
Chezea mhehe wewe atakula sahani moja na huyo mama uwii
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Ally Hapi pole Sana baba kazi sana
@robathzingu1650
@robathzingu1650 5 жыл бұрын
Kwa kweli inaumiza sana. Na kwa mtazamo wangu ni kuwa tatizo siyo la mwajiri ama hawa waajiriwa waliopunguzwa kazini na haya yote wanayolalamikia kuwakuta. Tatizo ni sera mbovu za kiuchumi za nchi yetu na hata kushindwa kuilea sekta binafsi ambayo ndiyo inaajiri watu wengi kuliko sekta ya umma. Hawa kina mama huko Mafinga ni mfano tu, lakini kuna watu wengi sana wameathirika na wengine kupambana kivyao na wengine wametangulia mbele ya haki kwa sbb hii...!
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Hapo chachaaaaa!!!!😁😁😁😁
@wazirisukari5178
@wazirisukari5178 4 жыл бұрын
Alieskia rc kasema anadaiwa na bank laki tatu tunyooshe mikono juu
@tonkimaro2495
@tonkimaro2495 5 жыл бұрын
Gonga like twende pamoja
@benedictmgaya7300
@benedictmgaya7300 5 жыл бұрын
Mama lipa pesa za watu mdomo mrefu wa nn
@tatuhamisi4838
@tatuhamisi4838 4 жыл бұрын
Watu bwana wanakopa kulipa shida....
@juliaslengai3323
@juliaslengai3323 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂ww dada punguza mdomo dawa ya deni ni kulipa
@lucky9285
@lucky9285 5 жыл бұрын
Dawa ya deni ni kulipa dada Nyodo haisaidiiii
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂nmecheka sanaaaa
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 5 жыл бұрын
Mama yamemkuta tayari. Ni kawaida katika maisha kupanda na kushuka. Alipoomba mkopo fomu zake mwajiri alimdhamini vizuri tu. Lakini mwajiri HR sio mmiliki wa mwenendo wa biashara. Hali imebadilika mazingira ya biashara yamekua magumu kampuni ikaamua kubana matumizi!. Ikageukia kuratibu uzalishaji wake ili kuongeza tija na kupunguza gharama. Kutekeleza hilo ikabidi ipunguze uzalishaji ikiambatana na kupunguza ajira. Mama likamkumba fagio akatoka kwenye ajira. Anatika akiwa na mkopo! Benki ili nayo isiyumbe inahitaji huo mkopo na riba virudi ili nayo isipate hasara ikafunga biashara. Wanatanyaje zaidi ya kumdai huyo mama? Tukisema tudai sheria kwamba mtu akipunguzwa kazi mwajiri alipe pesa je ikitokea mwajiri akala njama na wafanyakazi wake kisha akawadhamini baadae wakapunguzwa na kutokomea na pesa je si tutaua sekta ya fedha nchini? Liangalieni kwa pande zote sio tu mnamuonea huruma huyo mama au kumlaumu mwajiri au kuibeza benki
@twahashearer8302
@twahashearer8302 5 жыл бұрын
Pole mkuu kwa majukumu endelea kupigania wananchi wako
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 жыл бұрын
Nilichobaini hapa tanzania wenyewe wenyewe tunaekeena roho mbaya makazini
@omarkhamis9514
@omarkhamis9514 4 жыл бұрын
Sio Tanzania pekee Da Radhia, ni ulimwenguni kote, imani zimedhoofika. Naona kama jua limetukaribia zaidi.
@enosupertv2205
@enosupertv2205 5 жыл бұрын
*kama umesikia mheshimiwa mkoa like twende sawa*
@joachimxavier5030
@joachimxavier5030 2 жыл бұрын
Huyu mama ajitahidi kulipa tu maana kuondolewa kazini sio kinga ya deni lakini ajifunze kujishusha tu mh mkuu wa mkoa alikua na Nia thabiti kabisa ya kutatua tatizo lakini Kwa namna ya uongeaji wake inakatisha tamaa kabisa ya kumsaidia Sheria hua Haina huruma so bank wakisimamia Sheria naona mama anaweza akapoteza ajifunze kuzungumza na watu sio kujiaminisha una msimamo wakati umesimamia pabovu.
@teddymeela2791
@teddymeela2791 5 жыл бұрын
Huyu mama kakosa hekima tii mamlaka ikiyokuzid wew
@florachrist9602
@florachrist9602 4 жыл бұрын
Nyie mi kam namuelewa vile😂😂😁😁😀jmn nyie deni linachosha mjue😁😁😀
@nyembogwazibaka8655
@nyembogwazibaka8655 4 жыл бұрын
Unakopea nn? uwe na.kiswahili kizuri walla c baya haswa ukikopa kidogo, kidogo huyo mama anaonekana fedhuri
@rahjah5882
@rahjah5882 5 жыл бұрын
Chadema mnamuacha huyu mama kweli, huyu akisimama CCM lazima wakimbie
@reachthegoal7624
@reachthegoal7624 5 жыл бұрын
Wamweke kuwa msaidizi wa Tundu Lisu
@denistarange5580
@denistarange5580 5 жыл бұрын
Mama ni atm machine
@hillwilltv6781
@hillwilltv6781 5 жыл бұрын
Chadema haipo kushindana na ccm, ipo kwa nafasi yake
@hillwilltv6781
@hillwilltv6781 5 жыл бұрын
Chadema haipo kushindana na ccm, ipo kwa nafasi yake
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 5 жыл бұрын
Mkuu waa mkoa hapo kına kitu Mwajili n mwanamke na mqajiliwa n mqanamke Lazma ufikirie kidogo kuna undan ulijificha Huyu mwajili anaonekana kujiona na kukomesha Soo kutoa soluu unatakiwa kuwaza kidogo mheaimiw Ally
@dennismalima5365
@dennismalima5365 4 жыл бұрын
Ally Hapi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@joemartin8246
@joemartin8246 5 жыл бұрын
sasa hapo ndo nimeelewa kwanini yule Mzee alikuwa akidaiwa kiwanja anajitoa ufahamu mkiondoka anakuwa mzima😂😂😂😂
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
Duuh huyu Mama anafaa ila Kimbelembele ka mfuko wa shati,Muheshimiwa Uko Sawa Barikiwa.
@marygaspar6429
@marygaspar6429 5 жыл бұрын
Maisha magumu!! ndo maana watu wanashindwa kulipa madeni, kwenye kuhangaika kuna changamoto zake na hasa kama unakopa! kwa sasa ni presha tuu!
@fatimamohammed2332
@fatimamohammed2332 5 жыл бұрын
mama na ww wenge knoma hahahaha unaombewa kaz una mbwera hap kwakuwa mm tayar nna kaz nngekuwa cna ngekutafuta hahahah
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 2 жыл бұрын
Huyu Dada atapata msaada kweli duh alipe tu deni😂😂😂
@ibrahimkambi9288
@ibrahimkambi9288 5 жыл бұрын
DUUH...Uongozi kweli kazi yeye ndo mwenye makosa na yeye ndo anabwata hatari sana...
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 5 жыл бұрын
Dawa ya deni kulipa
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 5 жыл бұрын
Kazi IPO mwana Wa Elizabeth
@maryamthomas3425
@maryamthomas3425 4 жыл бұрын
hongera mweshimiwa mkuu wa mkoa wa iringa uko vizr nakuomba tembelea na kijjn kwetu isman ukawaskilze wazee wetu kero zao
@denisdaniel1839
@denisdaniel1839 5 жыл бұрын
Hahahahahahaaaaaaa uuuuuuwiiiii elimu elimu elimu elimuuuuuu kuongoza hao watu ni kazi sana
@jerumayamwasomola1065
@jerumayamwasomola1065 4 жыл бұрын
Huyo mama mwenye vitenge hana hekima tena fala
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 4 жыл бұрын
Huyu mama vp ulipochukua mkopo ulisherehekea sasa vp unakuwa mkali lipa deni la watu
@ymusic803
@ymusic803 5 жыл бұрын
Huyo mama kidomo domo sanaa hawezi rudishwa kazini vinginevyo atawavuruga ofisin
@reachthegoal7624
@reachthegoal7624 5 жыл бұрын
Wakati mwingine mtu anashindwa hata kulielewa tatizo linalomsu bua. Mkopo alioshindwa kulipa, chuki ya mwajiri, polisi kumsumbua, msimamo wa mumewe kutolikubali na kulibeba deni, dalali anaemtishia inawezekana yapo matatizo mara mbili ya hayo. Mtatua tatizo asipotambua kiini cha tatizo na kukiondoa itakuwa ni tatizo juu ya tatizo yani unatatua hili linazuka hili. Ingekuwa mimi ndiye mshauri wake, ningemshauri apeleke yote hayo kwa mbeba mizigo asiye na nyodo, YESU!!!!!!!!!
@norafrowin1748
@norafrowin1748 4 жыл бұрын
Team Ally Hapi nipo hapaaa
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 5 жыл бұрын
huyu mama anaongea jmn ahahahaha duh
@irinemacha2951
@irinemacha2951 5 жыл бұрын
Kandongolo
@irinemacha2951
@irinemacha2951 5 жыл бұрын
Ha ha ha ha.. Naweza nikafa apa
@enosupertv2205
@enosupertv2205 5 жыл бұрын
*huyu mama anaongea huku anamrembulia mkuu wa mkoa* *HATARIIIIIIIIIIIIIIIII* *NASEMA HAPO SITAK*
@irenebenezeth3411
@irenebenezeth3411 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mama analembua uyu
@enosupertv2205
@enosupertv2205 5 жыл бұрын
@@irenebenezeth3411 *anavo uvuta mdomo*
@margarethsaramaki1100
@margarethsaramaki1100 5 жыл бұрын
Makazini baadhi ya Boss wanapenda kunyanyasa mfanyakazi kwa njia fulani hasa baadhi ya wanawake ma boss na hasa akiwa na gari kujiona anaendesha ndege###
@seddamwaipungu6566
@seddamwaipungu6566 5 жыл бұрын
mama lipa mkopo
@tariqmussa8099
@tariqmussa8099 4 жыл бұрын
Pole mkuu wa mkoa unakutana na watu waainabalimbali ndio kazi
@zicomgravity4897
@zicomgravity4897 5 жыл бұрын
Hiyo Inaitwa "Sindila Shida! Hahahah!
@giannajoji7944
@giannajoji7944 5 жыл бұрын
Huyu mama dishi limeyumba!
@thedeo472
@thedeo472 4 жыл бұрын
Pole sana dadangu, naamini ulikopa kwa nia njema Kabisa, tatizo ni kupoteza kazi na Mkuu wa mkoa alitakiwa aelewe hivyo.
@godasanga3819
@godasanga3819 5 жыл бұрын
mh Rc sijui sheria ya Tz ikoje mtu anakopeshwa kutokana na kazi (employment status) kama amepewa redundancy bima ina bidi ilipe au wawe-suspend malipo until further notice on changes of employment status mh angaalien sheria upya
@gm7045
@gm7045 5 жыл бұрын
Mama kuwa mpole!
@joramnunu1449
@joramnunu1449 5 жыл бұрын
😁😁 Kazi kweli kweli
@mwanamutemi
@mwanamutemi 5 жыл бұрын
deni hilo muajiri ndie afaakua guarantor pamoja na insurance
@kirobotonzuusi3246
@kirobotonzuusi3246 5 жыл бұрын
Kandogolo😂😂😂😂
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Watu wa elimishwe kabla ya ku kopa
@colethacharles548
@colethacharles548 5 жыл бұрын
Kaka yangu Ally happi kazi unayo daaaah,tunakuombea heri wasikilize tu hata kama watatukana huo ndio uongozi
@yusuphmbago3664
@yusuphmbago3664 5 жыл бұрын
Kesi ngumu sana hii!
@NeemaMedia
@NeemaMedia 5 жыл бұрын
Duuuh huyu dada kibini kweli Unaongea mpaka unakosa msaada
@agathamwashimaha7012
@agathamwashimaha7012 5 жыл бұрын
Kwa kweli mkuu wa mkoa hongera,ila tunasema kwa kihehe kangalage,vahehe uwiiii Dada ,vakali uhulo
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 4 жыл бұрын
Tena twina fidada nyee
@mwitamalwa2773
@mwitamalwa2773 2 жыл бұрын
Hutu mama mwehu unakopaje bila kujua pesa unarudishaje
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 5 жыл бұрын
Kamama kakiwa ndani haka ni changamoto
@bintysayd1763
@bintysayd1763 5 жыл бұрын
We wakopa kwa kazi yakuajiriwa 😆😆😆 hujui wakat wowote waeza simamishwa
@nchamosishaffi500
@nchamosishaffi500 5 жыл бұрын
hyo ni matamshi machafu
@benngideon9317
@benngideon9317 5 жыл бұрын
Hapa mkuu wa mkoa atasaidia nini..... Waoo ndioo waliochukua mkopo. Na wamechukua wakijua wanafanyia nini. Nadhani ni wakati wa watanzania kupewa elimu juu ya mikopo. Kabla hajapewa mkopo apewe elimuu.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
Umetoa duku duku mama lakini hata Mimi kwa hicho kiburi siwezi kukurudisha kazini! Lol una uchungu mno utakuharibia bahati nyingine.
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 5 жыл бұрын
Haaahaaaa 😁😁😁
@israelmeshack2518
@israelmeshack2518 5 жыл бұрын
Napenda sana unavo fanya kaziyako mkuu wamkowa ila apa Arusha sijasikiya mkuu wamkowa akitisha kero za wananchi
@severinemabirika2249
@severinemabirika2249 5 жыл бұрын
Huyu Dada nusu brain
@mbiyugobo1031
@mbiyugobo1031 4 жыл бұрын
Watu wa iringa wabishi
@theresiakaruhanga9502
@theresiakaruhanga9502 5 жыл бұрын
mama kulipa mkopo ni lazima ujipange utakavyolilipa. halafu dada unakislani. kutembelea gari kumeingilianaje na kukopa kwako???
@alexkabeho5609
@alexkabeho5609 5 жыл бұрын
Eti jamani mtu mwenyewe anajaa ukorofi
@stellasanga8106
@stellasanga8106 5 жыл бұрын
Nashangaa watu tumetofautina kwa kweli wivu tu unamsumbua tatizo wanawake hatupendani gar inahusiana na nn? Na mkopo?
@saidimpako5186
@saidimpako5186 4 жыл бұрын
ELIMU IKIKOSEKANA NI SHIDA
@seragefernandofernando6487
@seragefernandofernando6487 5 жыл бұрын
Sisi tunantaka huko moçambique huyo ndo anajuwa cheria.
@rahelgika3870
@rahelgika3870 5 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa nyamaza tu baba, haka ka mama hapana kwa kweli.
@mtanzaniahalisimungunimwem673
@mtanzaniahalisimungunimwem673 4 жыл бұрын
Badala anyenyekee ahurumiwe, mama ananyosha kamdomo. Hapo ndio kashalikoroga na Deni atalipa. Hekima na utulivu ni kitu muhimu
@ellyjacob9897
@ellyjacob9897 5 жыл бұрын
Huyo mama analazimishwa kurudishwa kazi kwa lazima
@luluzonlinetv7443
@luluzonlinetv7443 5 жыл бұрын
hahaaaa we mama kiboko
@theresiakaruhanga9502
@theresiakaruhanga9502 5 жыл бұрын
Luluz online Tv na aliye muoa ana mzigo usiobebeka. na inawezekana ni kweli aipunguzwa kwa utovu wa nidhamu😁😁😁
@tatuomar4164
@tatuomar4164 5 жыл бұрын
Duuh huyu baba mkuu wamkoa nampenda jmn
@florabaruti8032
@florabaruti8032 5 жыл бұрын
mwisho wa ibada
@superchadema2417
@superchadema2417 5 жыл бұрын
Sasa polisi unamtoa kwa lip,,hutaki kuona mtu mjasir au,,,,mama nmempenda bure
@oyay2821
@oyay2821 4 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa ana kazi kisha ika zaa kazi
@salmathequeen6140
@salmathequeen6140 5 жыл бұрын
Lipa mkopo ila ungesaidiwa nyodo zako hazisaidii Mama angu
@kindandakudingwa7514
@kindandakudingwa7514 5 жыл бұрын
Daaaah hasira za kihehe hizi
@jacquelinosmond221
@jacquelinosmond221 4 жыл бұрын
nashindwa kuelewa kwa nini huyu mama anayeongea sana alilala hapo kumsubiri mkuu wakati uwezo wa kutatua mwenyewe alikuwa nao? mama mdomo umekuponza
@raymondkaswaga8334
@raymondkaswaga8334 5 жыл бұрын
Kazi ipo kweli.....hapa...wewe ulikopa lipa deni tu
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 4 жыл бұрын
Wanawake wana maneno sana anadaiwa haelewewi
@monicaelias2743
@monicaelias2743 5 жыл бұрын
ahahaaa mama noma
@joharymussa6318
@joharymussa6318 4 жыл бұрын
Duh! huyu mama ni noma aise
@nwntz
@nwntz 5 жыл бұрын
mama ni rapa
@salehosama1163
@salehosama1163 2 жыл бұрын
Namkubaki sana ally hapi
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 5 жыл бұрын
Sasa apo suluhu akuna ni ugomvi unaendelea, mkuu tatua kero Izo
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 4 жыл бұрын
Huyo mama wa kilemba nampa pole mmewe
@jeromendetaulwa3466
@jeromendetaulwa3466 5 жыл бұрын
Duh huyo mama hatari kweli pole RC mchukulie hivyo hivyo
@sophiashayo1996
@sophiashayo1996 5 жыл бұрын
Huyu mama kalewa
@xuleykhanmarcus6344
@xuleykhanmarcus6344 5 жыл бұрын
Kwl uongozi ni karama
@petrosanga1366
@petrosanga1366 5 жыл бұрын
Jamani da! Kaz ipo
@raymondjimmy2712
@raymondjimmy2712 5 жыл бұрын
Huyu Mama Ni Haki Asitafishwe so kwa Jeuri Hii
@fredrickonchokanimrods9631
@fredrickonchokanimrods9631 5 жыл бұрын
Huyu mama n Tabu kweli
@MohdMohd-nf1wz
@MohdMohd-nf1wz 5 жыл бұрын
Matatizo sana mkono wa serikalini
@nchamosishaffi500
@nchamosishaffi500 5 жыл бұрын
it's true mheshimiwa
RC HAPI KAMVAA HAKIMU ALIODAIWA KUCHUKUA RUSHWA YA MIL 2
8:48
Millard Ayo
Рет қаралды 395 М.
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 23 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 20 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 9 МЛН
MAMA BILA UWOGA ATOA KARATASI MBELE RC HAPI ''WATU HOI''
11:10
Millard Ayo
Рет қаралды 139 М.
MENGI KIBARABARA AZUA NOMA IRINGA/ MWANAMKE ANA WANAUME WATATU
12:29
Kasheshe Mkoani Iringa, Mama anadai Jeshi la Polisi
10:39
Millard Ayo
Рет қаралды 193 М.
NDUGU WALIONUNIANA WARUDI KWAO NA MSHIKO WA RC ALLY HAPI
12:55
Millard Ayo
Рет қаралды 147 М.
Mzee Anena MAZITO kwa RC HAPI kwa Kubomolewa NYUMBA
53:22
Global TV Online
Рет қаралды 81 М.
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 23 МЛН