No video

“Mimi sielewi mkisema nchi hii ina amani”-Mbunge BWEGE

  Рет қаралды 118,187

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Busagara maarufu Mbunge BWEGE akiongelea matukio ya Askari Polisi kutuhumiwa kuwakamata na kuwaua baadhi ya watu jimboni kwake.

Пікірлер: 134
@alhabibunjuu715
@alhabibunjuu715 6 жыл бұрын
Kama unatokea masoko, singino, pande, kivinje, songa,...like hapa show lv kW mbunge wetu
@jmm1840
@jmm1840 4 жыл бұрын
Vijiji vyote ulivyo taja sijatoka huko.Mimi ni makazi wa Kibaha ila namkubari sana Mh Suleiman Bungala au Bwege
@experiuscyliro5313
@experiuscyliro5313 6 жыл бұрын
Asanteeee. Ukweli kamwe hauchangaman na uongo. Hongera Mh. Bwege, Hongera Maaskofu na Watumishi wa MUNGU.
@ludewayetutv
@ludewayetutv 4 жыл бұрын
Very nice leader
@mosesmhina9980
@mosesmhina9980 6 жыл бұрын
Nyerere angekuwepo angesemaje...angeonaje ama akipewa nafasi ya kurud Leo atatuonaje......Mungu atulinde watanzania na awape viongozi wetu hekima ya hali ya jaa
@chachajohn6841
@chachajohn6841 6 жыл бұрын
Daah huyu mbunge nmempenda saana kwa kuupasua ukweli
@happinessmwaipopo7426
@happinessmwaipopo7426 6 жыл бұрын
Safi sana Bwege Kwa kutambua kuwa maaskofu ni watu wa Mungu na maneno Yao ni ya Mungu
@zemayeye7403
@zemayeye7403 4 жыл бұрын
😃🤣MIMI nikimuona tu uyu MHESHIMIWA bwege najisika RAHA sana
@muhammedmsagat6833
@muhammedmsagat6833 3 жыл бұрын
Hakika yuko vyema ase
@abujuhaifah7461
@abujuhaifah7461 3 жыл бұрын
Yani jina bwege lkn huyuba zake ni mwanga wa maendeleo
@herefkibus5083
@herefkibus5083 5 жыл бұрын
Hongera kwa ukweli
@dannymtenzi8506
@dannymtenzi8506 4 жыл бұрын
Namkubali sana mbunge bwege yuko vizuli
@fbensony
@fbensony 6 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Bwege, your a man
@muhammedmsagat6833
@muhammedmsagat6833 3 жыл бұрын
Aamiyn
@stephankapwellah8932
@stephankapwellah8932 6 жыл бұрын
nakuelewa sana #bwege big up sana
@musasiame2776
@musasiame2776 6 жыл бұрын
good
@sehemunzuri
@sehemunzuri 6 жыл бұрын
😂😂asee tunacheka kama mazuri.. ebu like twende sawa
@claymond1261
@claymond1261 6 жыл бұрын
sawa kbs
@ibrahimdavid1088
@ibrahimdavid1088 3 жыл бұрын
Ningekuwa rais ningekuteuwa wew kuwa mbunge wew upo vzri
@omakywazamani6696
@omakywazamani6696 4 жыл бұрын
Watu wabara ni wanyama hatumtakini natabia chafu zenu si watu wa Zanzibar msije tuabukiza ukatili wenyu kumwagiana damu hizo tabia zakwenyu metuharibia Zanzibar mnakuja kua watu kila siku mkauane kwenyu kweli mbwa mweusi sana mpe kisu yamuwe mwezake
@edviniedward5767
@edviniedward5767 3 жыл бұрын
Bwege unaakili sana et
@kassimmohammed2175
@kassimmohammed2175 6 жыл бұрын
Allah asimamie amani ya nchi lakini ukweli mwelekeo sio mzuri....allah awe oamoja nasi sote ni ndugu
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 6 жыл бұрын
Duh kazi kweli mungu atulinde
@ndelemwalonde2145
@ndelemwalonde2145 6 жыл бұрын
semeni ukweli tu Hakuna kuogopa kitu,shauli yenu
@alibakar1489
@alibakar1489 5 жыл бұрын
Ukichunguza Ao waliopigwa wote Ni waislamu
@richmwangoc6037
@richmwangoc6037 6 жыл бұрын
Ni bora mmeliona hata wana ccm maana tukiongea wapinzani tunaambiwa wachochezi , big up mh Bwege kwa kuongea hoja zenye ukweli
@Lituli_jr.
@Lituli_jr. 6 жыл бұрын
rich mwangoc we mbuge wa cuf huyu cc hawawez kuongea hivyo
@musasiame2776
@musasiame2776 6 жыл бұрын
good
@mohammedmkoma9288
@mohammedmkoma9288 6 жыл бұрын
Bakwata kimyaaa .....hutakaa usikie ikiongelea hili
@beatricephanuel5101
@beatricephanuel5101 6 жыл бұрын
Aiseeeeee Jamani hii ni hatari Sana
@peterbayo4677
@peterbayo4677 6 жыл бұрын
Jamani mnajisahau?. Tanganyika hii kushaanza kuwa na vituko na vitisho. Mashaka na hofu ishaanza kuwepo kwa muda sasa. Hata hivo sishangai sana!
@josephshao475
@josephshao475 4 жыл бұрын
Kuna clp nikisikiliza naisi kutokwa na machoz daaa jmn
@emmanuelpaul5704
@emmanuelpaul5704 6 жыл бұрын
Kweli ndo tanzania yetu imefikia hapa a mnakaa mnajisifu kweli jamn
@benimagaya7966
@benimagaya7966 6 жыл бұрын
Serikali Ya Ccm Tunaishi Kwa Uoga Dar Kweli Dunia Inabadilika 😀😀
@mosesmhina9980
@mosesmhina9980 6 жыл бұрын
Mfalme Suleiman alipopewa nafasi ya kuomba kitu kutoka kwa mungu...aliweza kuomba hekma tu.......hekima nimuhimu katika uongozi
@issambamba6955
@issambamba6955 5 жыл бұрын
Mh,bwege!!!we ukovizuri!!!
@mudhakirudauda7933
@mudhakirudauda7933 6 жыл бұрын
Inna lillahi wa inna ilaihi raajiuun. Ipo siku hii dhulma italipwa hapa hapa dunian
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 5 жыл бұрын
Kama wewe ni mcha Mungu haya maneno lazima yakulize/yakutoe machozi bila kujali we ni mwana ccm, mpinzani au mpagani kisiasa
@kassimmohammed2175
@kassimmohammed2175 6 жыл бұрын
Subhaana llaaah....
@mokermoxh6313
@mokermoxh6313 4 жыл бұрын
Duh...
@chumakunaniyusuph1201
@chumakunaniyusuph1201 4 жыл бұрын
Serikali hii ya ccm ndo ilivyo miaka yote kosa afanye yusuph ila akifanya joni si kosa sasa mnapiga watu risasi mskitin ili hiweje
@datusonlinetv6099
@datusonlinetv6099 5 жыл бұрын
Naogopa kukoment maana nitapigwa risasi wakinikosa wataniteka!!!!!!!!!!!!!du.
@2pacshakuru520
@2pacshakuru520 5 жыл бұрын
Bg ape bwege tunakukubari kijumba mbish
@ndelemwalonde2145
@ndelemwalonde2145 6 жыл бұрын
jambo linafika mahari linakuwa ukweli mtupu,,mficha maladhi kifo humuumbua.
@mohamedkhamis9587
@mohamedkhamis9587 6 жыл бұрын
watu wanaogopa kuyaongea ya ukweli Kwa kuogopa kutekwa na vitisho vya maisha jamani wapi tunaelekea hivi vita vya watu wasiojulikana?
@chrissenciambwilo3097
@chrissenciambwilo3097 5 жыл бұрын
kweli hii ni Tanzania mpya
@OnlyRuky
@OnlyRuky 6 жыл бұрын
Duuuuu Mungu tusaidie
@stanleymfikwa8237
@stanleymfikwa8237 6 жыл бұрын
Duuh! kumbe kufuga ndevu noma wanachoma moto!!! Ningesimliwa nisingeamini kwakua limeongelewa live bungeni. Naona kama naota Tanzania au kongo!!! Kwa mtazamo tu inaonyesha serikali isipo kua makini Kutakuja tokea matatizo makubwa sana; Ambayo tutakuja kujuta. Nawasihi sana Viongozi mlioko madarakani chukueni hatua mapema sana. Msipuuze jambo hili.
@omakywazamani6696
@omakywazamani6696 4 жыл бұрын
Tena nyie watu bara msije kutufundisha ushenzi wenyu siwapendi siwezi kufanya uaminifu nawatu wabara wote sawa
@mudysharo7156
@mudysharo7156 6 жыл бұрын
lakini mbona Police wanavamia misikiti tu, na kumwaga damu, waislamu wa kweli tuamke hii sio sawa, tusisubiri bakwata kwani si chombo cha waislamu
@kibabumzungu298
@kibabumzungu298 5 жыл бұрын
Kumbe Tanzania ina mambo makubwa lkn yanafichwa
@mashalamazuli3434
@mashalamazuli3434 6 жыл бұрын
Daah aisee
@estermahirane9091
@estermahirane9091 6 жыл бұрын
Mwisho wa ubaya ni Aibu,,wananchi tumesha elewa ubaya ulipo kwa sasa
@jumamwingi6993
@jumamwingi6993 6 жыл бұрын
Movie ya ki TZ hiyo sijui series ya ngapi
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 6 жыл бұрын
Mungu anaona na wasidhani wanaodhulumu kuwa watafanikiwa, kuna wengine kwa chuki zao wanamtukana mbunge huyu mwenye ushahidi WA mtukio kwa kuwa Labda chuki zao kwa waislam ndio zinawafanya wasiopenda haki lakini waelewe kwa mungu jamaa zao hao wanaingia motoni milele na watachomwa na kuwachukia mkaa pamoja na hao wanaowashabikia.
@HassanHassan-si2rt
@HassanHassan-si2rt 6 жыл бұрын
Uhai wenu upo katika kulipa kisasi.
@issakassim8291
@issakassim8291 6 жыл бұрын
Waislam daini uhuru wenu
@topesafi9742
@topesafi9742 6 ай бұрын
Magufuli aniharibu amani na demokrasia saana,mungu aliamua sahihi kama kawaida yake huwa hakosei
@mariamsekalutu8385
@mariamsekalutu8385 6 жыл бұрын
tunapaswa tujitambue
@moslihimhamad5541
@moslihimhamad5541 5 жыл бұрын
Mwenyezimungu atawalani hao no maharamia na sio askar
@sss3s867
@sss3s867 6 жыл бұрын
Tatizo hii nchi imasema haina dini lakini kumbe INA vita hasa na baadhi ya dini.
@abuusufian6506
@abuusufian6506 6 жыл бұрын
sss 3s hakika
@ashaali7154
@ashaali7154 6 жыл бұрын
Lasmi mmh kweli?
@akramsayjr591
@akramsayjr591 6 жыл бұрын
Jamani haya mambo ni mazito
@salumsaid3084
@salumsaid3084 2 жыл бұрын
Tundu lisu sahihi za mkataba wa muungano wa tanganyika na zanzibari
@officialkamdudu
@officialkamdudu 6 жыл бұрын
Ni hatari sana
@sammabula7359
@sammabula7359 6 жыл бұрын
da masikini ndevu za jamaa........
@kaminyogemwachelwa9884
@kaminyogemwachelwa9884 6 жыл бұрын
Waliwahi kusema haya mambo ndugu zetu waislam wakilaani ndugu zao kupigwa msikitinj. .watu walipuuza ..saivi yanatutokea puani. Wananchi kukosa umoja kunatuponza
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 6 жыл бұрын
Nchi hii jamani vijana tunaitaji kuamka
@habibumzimba3022
@habibumzimba3022 6 жыл бұрын
Regnald Rocky à
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 6 жыл бұрын
Haya bana
@prochesilyakurwa815
@prochesilyakurwa815 6 жыл бұрын
Hana akili huyo mpuuzi anaambiwa aje achukue mzigo alikuwa ameuagiza?....
@abasimageta423
@abasimageta423 6 жыл бұрын
sana kaka nakupata vizurii tu
@frankngoroka7982
@frankngoroka7982 6 жыл бұрын
Simama mwenyewe bwana
@abasimageta423
@abasimageta423 6 жыл бұрын
Edwin Mwambula kajifunze kuandika kwanza ndo ubishane na Mimi
@ramadhanihassani256
@ramadhanihassani256 6 жыл бұрын
ina llah maa swabirin hakika ya mwenyezimungu yupamoja na mtu alie kua na subra hakika ya subira ni tunda tuwena subra usifute udugu sababuya kosa Bali futakosa sababu ya udugu mungu ana tosha
@jaydon3361
@jaydon3361 6 жыл бұрын
Nchi mbovu mi sasahiv nipo njian naelekea Zimbabwe
@thadeipeter2592
@thadeipeter2592 6 жыл бұрын
Bwege uko sahihi.
@linahlameck7950
@linahlameck7950 5 жыл бұрын
Dana!!! Kwnn lkn ebu jitafakrini wengekuw ndug zenu au wtto went😭😭😭😭
@moslihimhamad5541
@moslihimhamad5541 5 жыл бұрын
Bwege we we sio bwege Bali no nguzo
@hilalsalum3905
@hilalsalum3905 3 жыл бұрын
Alooo
@vedsonrwamzigu3743
@vedsonrwamzigu3743 6 жыл бұрын
Wapewape mh,
@moslihimhamad5541
@moslihimhamad5541 5 жыл бұрын
Magaidi wakubwa ni makafiri
@erentjohn1303
@erentjohn1303 6 жыл бұрын
Huyo mheshimiwa anayo mambo kuhoji, shida ni hapo anapohusisha uharifu wa mahali fulani na amani ya nchi, tunaomba mjitahidi kufikisha vizuri hoja.
@magembemwanamalundi6386
@magembemwanamalundi6386 6 жыл бұрын
Erent John unayumba sana kwahiyo unataka asemaje sasa
@erentjohn1303
@erentjohn1303 6 жыл бұрын
Magembe Mwanamalundi Wewe toa maoni yako kama huna tulia mimi ni mwananchi tu huna haja kunitumia mimi ujumbe (tafadhari)
@sadikisalumu8668
@sadikisalumu8668 4 жыл бұрын
Mh Bwege Allah atakulipa
@muhammedmsagat6833
@muhammedmsagat6833 3 жыл бұрын
Allaahumma Aamiyn.
@kennethjohny4854
@kennethjohny4854 6 жыл бұрын
itafika mda mtaelewa tu kwann wapinzani wamekua wakiimba kuhusu demokrasia
@davidlissu9099
@davidlissu9099 6 жыл бұрын
ataree cana
@Ishengoma1
@Ishengoma1 6 жыл бұрын
Pumbavu. Mda ulizaliwa nao. Watu wanatetea nchi ili kuondoa majeraha eti mda. Mbona muda wa kuweka risasi kwenye bunduki mnao lakini wakuongea hamtoi kwa wengine. Malipo ni hapa hapa kabla ya kaburi.
@fredyleonardmaths2546
@fredyleonardmaths2546 6 жыл бұрын
waziri wa mambo ya ndani awajibishwe.
@gastordominic410
@gastordominic410 6 жыл бұрын
Hadi nimelia so sad
@kibabumzungu298
@kibabumzungu298 5 жыл бұрын
Wape vdonge vyao mana ccm hawawez kuongea ukweli wakisema tu wanaitwa kwanye kamat ya maadili uko ndo wanako zibwa midomo
@kingbingwa3907
@kingbingwa3907 6 жыл бұрын
Akaulize walichukuliwa kwa kipi?
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 6 жыл бұрын
king Bingwa ndio hata angekuwa ndugu yako atolewe jicho au auawe na wakati kuna mahakama n. K. Wacha ushabiki kudhulumiwa watu uelewa Leo kwao wanaodhulumiwa lakini mungu akikusalitisha nao itakuja jealous. Na sote tutahukumiwa na aliyeumba dunia hii.
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 5 жыл бұрын
Angesoma huyu jamaa ana akiliiii
@yahayaalex6605
@yahayaalex6605 6 жыл бұрын
ndiooooo 😁😁😁 mwambie nashekhe mkuu aache ushabiki wakijinga
@musakituku458
@musakituku458 6 жыл бұрын
Kuna usemi unasema fikiri kabla ya kutenda, maana ya usemi huu ni kwamba usije ukatenda kabla ya kufikiri halafu baadaye ukaja kujilaumu kwann ulitenda hivyo. Ngoja ya mkute ndugu yako wa karibu ujue ladha yake.
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 6 жыл бұрын
😂😂😂😂 nimecheka na kusikitika kwa wkt mmoja. huyu baba anavyoongea jmn dah
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 6 жыл бұрын
Watu wanachomwa ndevu na wengine machongo wengine vifo na jela afu ukipasua ukweli unazimwa!!!!! Napata hasira natamani ropoka nikikumbuka walikopelekwa wenzangu naogopa!!!! Wild noise.
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 6 жыл бұрын
noah nyeusi😂
@gastordominic410
@gastordominic410 6 жыл бұрын
Maneno ya askofu ni Mungu safi sana
@nurukwawote4716
@nurukwawote4716 6 жыл бұрын
Mmm Masikini Tanzania kama TITANIC.
@nurukwawote4716
@nurukwawote4716 6 жыл бұрын
Titanic
@jamesmadeli9814
@jamesmadeli9814 6 жыл бұрын
Typical backbencher 👄😀
@beatricephanuel5101
@beatricephanuel5101 6 жыл бұрын
Madel Jim Hahahahah
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 6 жыл бұрын
Madel Jim ha ha ha backbenchers ni noma
@sandejohn4513
@sandejohn4513 6 жыл бұрын
mhhuu
@kingbingwa3907
@kingbingwa3907 6 жыл бұрын
Bwege kamajina
@coterstar8284
@coterstar8284 6 жыл бұрын
kazi hiyo ndo kazi yenu wabunge na hapo ndo mahali sahihi pa kusemea; ila semeni kweli msilete siasa kwenye maslahi ya taifa
@selemankishema5780
@selemankishema5780 6 жыл бұрын
Allah ndie wakutaka msaada peke yake
@muhammedmsagat6833
@muhammedmsagat6833 3 жыл бұрын
Naam hakika.
@abujuhaifah7461
@abujuhaifah7461 3 жыл бұрын
Wakumtaka sio wakutaka
@muhammedmsagat6833
@muhammedmsagat6833 3 жыл бұрын
@@abujuhaifah7461 Shukran 👍
@janesuma2193
@janesuma2193 6 жыл бұрын
mbunge upo vizuri ila cha kusoma bwana
@shabanimambo9430
@shabanimambo9430 6 жыл бұрын
wabunge wachache San wanaoweza kuongea maneno ya wazi yenye ukweli kam ww ongera san
@user-no9hw3th6p
@user-no9hw3th6p Жыл бұрын
. 😅😮
@directoreydonation9939
@directoreydonation9939 6 жыл бұрын
diiii
@sirgomahojoa969
@sirgomahojoa969 6 жыл бұрын
Lisemwalo lipo msimpuuze mh busagala
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 6 жыл бұрын
aliechomwa ndevuuuu😄😃
@musismahaji4388
@musismahaji4388 6 жыл бұрын
Shukran mbunge
@almasjuma4194
@almasjuma4194 5 жыл бұрын
Wewe Mzee kapumzike achaupu uzi wewe babu
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 жыл бұрын
Kila mtu anajiita eti mwanasiasa, yaani eti kwa kusimama tu na kubwabwaja yasiyokuwa na miguu wala kichwa. na kitu chochote kisicho na kichwa basi we ujue hapa mambo hovyo.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 19 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 87 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 48 МЛН
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO
13:38
Millard Ayo
Рет қаралды 734 М.
Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”
13:54
HECHE BUNGENI: "Mtaua Sana, Waambieni Watanzania Ukweli"
10:40
Global TV Online
Рет қаралды 465 М.
VITUKO vya MBUNGE BWEGE,  AMEANZA UPYAAAA, SPIKA Hoi, Awalipua CCM..
13:52
Global TV Online
Рет қаралды 487 М.
Joho DAZZLES CROWD in Homabay, AFFIRMS support for Ruto come 2027
18:09
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 38 М.
Mbunge Bwege afunguka kuhusu kuhamia ACT
17:25
Dar24 Media
Рет қаралды 62 М.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 19 МЛН