"MJASIRIAMALI NI LAZIMA UWE NA UWEZO WA KUZIBADILISHA CHANGAMOTO KUWA FURSA"-Prof. Ngowi

  Рет қаралды 17,477

Ngowi TV

Ngowi TV

5 жыл бұрын

Ngowi TV yafanya ziara ya ghafla katika shamba darasa la Prof Ngowi na kushuhudia jinsi Mjasiriamali huyo anavyozibadilisha changamoto kuwa fursa. Tazama makala hii kwa utaratibu na uongeze kiwango cha maharifa

Пікірлер: 25
@isikesamike
@isikesamike 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mwamba Prof Ngowi 🙏
@goodluckmachangu5941
@goodluckmachangu5941 5 жыл бұрын
Hawa ndio ma professa tunaowataka sasa. Wanaishi wanachokiongea thumb up Professor👏👏👏👏👏👏👏👏
@gregorychogelo2013
@gregorychogelo2013 5 жыл бұрын
Tunahitaji ma professor watekelezaji kama ww...! God Bless u Prof!!
@joshuambwile2938
@joshuambwile2938 5 жыл бұрын
Prof. Ngowi, hata vitabu vyako sasa naweza kusoma! Maana najua ninacho gain ni practically sio nadharia tu! Hongera sana kwa kazi nzuri. Najipanga nami siku moja niweze kuwekeza katika bwawa kama hilo, eneo langu linashabihiiana sana na lako, hasa kwa mkondo wa maji unaokatiza pembezoni mwa shamba.
@jesusnetworkministry
@jesusnetworkministry 5 жыл бұрын
Daah namkubali sana Professor Ngowi
@jonathanmnyone4003
@jonathanmnyone4003 2 жыл бұрын
R.I.P. Prof. Ngowi
@aggy_cakeandbites
@aggy_cakeandbites 5 жыл бұрын
safi Sana. tunajifunza mengi zaidi.
@anafisuleimani7083
@anafisuleimani7083 5 жыл бұрын
Safi profesa ngowi
@lucydamson4240
@lucydamson4240 2 жыл бұрын
Dah pumzika kwa aman professor
@goodluckmachangu5941
@goodluckmachangu5941 5 жыл бұрын
Asante sana kwa makala nzuri kama hizi
@edwardmwampaka8320
@edwardmwampaka8320 5 жыл бұрын
saafi sana professor
@agustinokagoroba6116
@agustinokagoroba6116 5 жыл бұрын
Wanaokaa na elimu bila kuweka kwenye matendo ni mizigo watatembea na vyeti wakitafuta kazi mungu usiwape nimizigo.
@mrsmartfarm1313
@mrsmartfarm1313 5 жыл бұрын
Nafurah sana baada yakumwona my professor akiwa field
@gabrielngowi7511
@gabrielngowi7511 2 жыл бұрын
You have gone prof..but your legacy remains.
@malalezengo4405
@malalezengo4405 5 жыл бұрын
Dah safi sana
@edinamutakyawa6872
@edinamutakyawa6872 5 жыл бұрын
hongera prof
@meddygregory9038
@meddygregory9038 5 жыл бұрын
Inspirational
@babalois7240
@babalois7240 5 жыл бұрын
Fantastic
@mcluciana4554
@mcluciana4554 4 жыл бұрын
Hongera sana pf Ngowi hakika Darasa tosha
@philipomrutu2022
@philipomrutu2022 4 жыл бұрын
Hongera sana Prof. H.Ngowi kwa kutufundisha kwa vitendo zaidi. Ahsante sana, bado najifunza.
@lemameasi1723
@lemameasi1723 4 жыл бұрын
na naweza kupataje vitabu vyko kwa hapa arusha?
@lemameasi1723
@lemameasi1723 4 жыл бұрын
kaka ngowi naomba kupata namba yako ili nikupigie kwa ushauri
@almachiusrweyongeza5159
@almachiusrweyongeza5159 2 жыл бұрын
Daah pumzka kwa Aman ,nimekumbuka mjomba wa Dr Justinian bamanyisa nae marehmu lakn ndoto Kama zako
@pilimsangeni8668
@pilimsangeni8668 4 жыл бұрын
Naomba namba ya cm ili kujifunza zaid
@yudaphillip7523
@yudaphillip7523 2 жыл бұрын
Rest in peace Prof Prospa Honest Ngowi mafunndisho yako ya ujasiliamali yataishi ingawa wewe haupo tena katika hii dunia
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 61 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 84 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 123 МЛН
JINSI YA KUJITOFAUTISHA  KIBISHARA
15:30
Ngowi TV
Рет қаралды 18 М.
Namna sahihi ya Upandaji wa Mapapai
4:53
TAHA ONLINE TV
Рет қаралды 14 М.
Economic Survey 2023-24: Press Conference by Chief Economic Advisor
1:19:14
MPANGO WA BIASHARA(BUSINESS PLAN)
30:18
Ngowi TV
Рет қаралды 38 М.
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 61 МЛН