(Ngowi TV)"ROHO SAFI HUKAA KWENYE MWILI IMARA KIUCHUMI". Prof. Ngowi

  Рет қаралды 15,956

Ngowi TV

Ngowi TV

2 жыл бұрын

Mchumi na mjasiriamali Prof.Ngowi kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe, awaaambia watanzania kwamba hakuna njia ya kuweza kuepuka ujasiriamali iwapo wanataka kuondokana na umasikini kwa kutengeneza kipato halali. Ameyasema hayo wakati akifundisha somo la ujasiriamali kwa raidi ya watanzania elf 20 waliohudhuria Warsha ya waumini wote wakatoliki, iliyofanyika tarehe 29 mwezi january 2022 latina uwanja wa Taifa

Пікірлер: 21
@albentinaleonard3679
@albentinaleonard3679 Жыл бұрын
great
@johnngowi2992
@johnngowi2992 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Profesa. Umeondoka katika kipindi ambacho bado unahitajika sana.
@nsubilimwampeta9920
@nsubilimwampeta9920 2 жыл бұрын
"Uwe tayari kupanda mti ambao kivuri chake hautakifaidi...au matunda yake hautayala.." Wise living words from the wise man..You've burnt the world Prof. RIP
@kamtanzania
@kamtanzania 2 жыл бұрын
Kwaheri rafiki yangu R.I.P my Prof. I learnt a lot from you..mtu wa watu. Mwenye roho safi kabisa.
@mutajumarobhe9788
@mutajumarobhe9788 2 жыл бұрын
Somo zuri sana Mungu humsaidia anayefanya bidiii
@rizikitwiga2124
@rizikitwiga2124 2 жыл бұрын
Profesa Bado ni ndoto na ni fumbo kubwa kwa nn Mungu ameruhusu jambo hili....Mungu akupe nafasi ya pekee katika ufalme wake ....Tutaendelea kuyaishi mazuri yako Rafiki Mwalimu..Mtu wa pekee mwenye Roho Safi isiyo na Majivuno.RAHA YA MILELE UMPEE EEH BWANA NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI ...AMINA
@mwanahawarajabu9253
@mwanahawarajabu9253 2 жыл бұрын
Madini ya mbobezi professor honest ngowi
@midlasternsanzugwanko1219
@midlasternsanzugwanko1219 2 жыл бұрын
RIP prof
@wannaproducts
@wannaproducts 2 жыл бұрын
Bwana alotoa na Bwana ametwaa, jina lake lohimidiwe..
@GregoryMlay
@GregoryMlay 2 жыл бұрын
Asante Sana Prof Ngowi. Fay Fashion Tanzania tunakusikiliza.
@MaaneML
@MaaneML 2 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani Kaka yangu Prof. Prosper Honest Ngowi. Ni tunu iliyozimika ghafla. Umetuachia maumivu makubwa mno. Sitakusahau kwa KAZI yako njema hasa zile tulizofanya pamoja . Naona kama Ndoto jamani. Ninakulilia 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@veronicaveronicaariambuya8650
@veronicaveronicaariambuya8650 2 жыл бұрын
Polen
@hubertwilbard8203
@hubertwilbard8203 2 жыл бұрын
Rip prof.
@wilbroadgrarcian1259
@wilbroadgrarcian1259 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani profesor
@zachariajustine873
@zachariajustine873 2 жыл бұрын
RIP PROFESSOR NGOWI ,WE WILL MISS MORE
@brightonshakila6406
@brightonshakila6406 2 жыл бұрын
Oooooh Jamani RIP
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
R.i.p Pro Ngowi!
@jobmaclean5382
@jobmaclean5382 2 жыл бұрын
I speak with last month .it pain a lot
@ibel4lf
@ibel4lf 2 жыл бұрын
May your soul Rest in Peace
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 2 жыл бұрын
Rest in peace Mwalimu
@johnngowi2992
@johnngowi2992 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Profesa. Umeondoka katika kipindi ambacho bado unahitajika sana.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,1 МЛН
PROF. NGOWI AND HIS STUDENT PRESENTATION ON CROWDFUNDING
28:35
NINAPAMBANA NA WANAUME NA NINAWAKALISHA
13:29
Ngowi TV
Рет қаралды 275
JINSI YA KUANDAA MPANGO WA BIASHARA (BUSINESS PLAN)
37:30
Coach Samwel
Рет қаралды 573
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН