Ngowi TV-NILIANZA NA KUKU 13 TU, SASA HIVI NINA TENGENEZA MILIONI MBILI KILA WIKI

  Рет қаралды 524,980

Ngowi TV

Ngowi TV

Күн бұрын

Makala ya mjasiriamali inayoonyesha jinsi mjasiriamali alivyotajirika kwa ufugaji wa kuku wa kienyeji. Tafadhali subuscribe chanel hii kwa kubofya kutufye chekundu kama bado haujafanya hivyo ili uendelee kupata elimu na chambuzi za kiuchumi zitakazo kusaidia kupiga hatua

Пікірлер: 365
@patrickkiboma6744
@patrickkiboma6744 5 жыл бұрын
Hii ni Elimu inayohitajika hapa kwetu Tanzania. Asante mtangazaji na mfugaji.
@samwellaiser8421
@samwellaiser8421 2 жыл бұрын
Ngowi Tv tupe namba cm
@ibrahimmungure7493
@ibrahimmungure7493 5 жыл бұрын
Niliwahi kukutana na changamoto ya vifo ila sijakata tamaa nimeanza upya,kaka hongera
@alikiba9960
@alikiba9960 5 жыл бұрын
Tumia dawa Kaka na pia angalia nyumba ulivyozieka
@lucyshedrack7751
@lucyshedrack7751 5 жыл бұрын
@@alikiba9960 nyumba inatakiwa ielekee upande UPI?
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 4 жыл бұрын
@@lucyshedrack7751 ikinzane na upepo isielekee upepo unapotokea
@musomimukama3308
@musomimukama3308 2 жыл бұрын
@@muhammedwakif6216 hapa sawa
@bantuvoicemuchaikinuthia2536
@bantuvoicemuchaikinuthia2536 5 жыл бұрын
My guy.... kweli kabisa.... ajira so kazi....Best quote...Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇹🇿
@liannsambu7264
@liannsambu7264 5 жыл бұрын
Kumbe na wewe umesikia ee
@bantuvoicemuchaikinuthia2536
@bantuvoicemuchaikinuthia2536 5 жыл бұрын
@@liannsambu7264 kabisa
@njeshkaris8957
@njeshkaris8957 5 жыл бұрын
Kabisa bora uheshimu kazi ni kazi
@victormpandula4446
@victormpandula4446 5 жыл бұрын
Kweli ajira sio kazi,ila pia ufahamu kuwa huku changamoto lukuki
@mackjr5291
@mackjr5291 6 күн бұрын
Hahahahaaa inategemea ajira ipi na umeajiriwa wapi???😮😮😮
@givenngoko4528
@givenngoko4528 5 жыл бұрын
Pongezi sana....inspiration za muhimu sana hizi hasa katika zama hizi
@marydaniel9145
@marydaniel9145 4 жыл бұрын
Hii kazi naipenda na sichoki kufuatilia ufungaji wa kuku
@krizofrancisco1287
@krizofrancisco1287 2 жыл бұрын
Usiwe mtu wa kufuatilia tu nawe Fanya Kwa vitento
@evodyalexander7094
@evodyalexander7094 Жыл бұрын
Naomba namba zako
@irenelyamuya5466
@irenelyamuya5466 10 ай бұрын
I think from now we will be motivated kufuga Hawa viumbe .😊
@mwijaakhaleed8080
@mwijaakhaleed8080 5 жыл бұрын
Mashallah. Mungu akuzidishie inshallah. PIA Mimi nilifuga lakini nilikata tamaa kwa sababu ya husda.
@hidayaally6341
@hidayaally6341 4 жыл бұрын
Husda baba husdaaaa
@AdamMohamedi
@AdamMohamedi 3 ай бұрын
Napenda sana kazi ya ufugaji wa kuku ahsante kaka kwa ushauri na elimu nzuri mola akubarik
@dr.godwinmaimu-mchumi8432
@dr.godwinmaimu-mchumi8432 3 жыл бұрын
Kazini nzuri sana Nimefuatilia na kumsikiliza Mr Augustine Shitindi wa Shitindi Poultry farm mfugaji bora wa kuku wa kienyeji nimejifunza sana. Naomba mawasiliano yake tafadhali
@theomakolo7022
@theomakolo7022 2 жыл бұрын
Mambo uliipata no yake unisaidie
@ulimwenguwamitimifupi5113
@ulimwenguwamitimifupi5113 5 жыл бұрын
Hongera sana Kaka! kwa juhudi zako zenye mafanikio.Wewe ni wa mfano mzuri wa kuigwa.Asante brother Daud.Asante NGOWI TV
@mariyamzuheir6255
@mariyamzuheir6255 5 жыл бұрын
Bin Islaam : AGOSTINO SHITINDI hongera sana Mungu akuzidishie
@mariyamzuheir6255
@mariyamzuheir6255 5 жыл бұрын
Ndg.AGOSTINO tunaomba namba yako ya simu ili TUWASILIANE VIZURI brother. sisi tukoZANZIBAR.
@daudiaidani3860
@daudiaidani3860 5 жыл бұрын
Karibu Ulimwengu asante sana
@ahadiaugustino133
@ahadiaugustino133 4 жыл бұрын
Naomba @ngowi tv ubadilishe taarifa, watu wengi sana wanashindwa kufika mahali husika, SIO SUKA, NI KIMARA TEMBONI
@ngowitv2169
@ngowitv2169 2 жыл бұрын
Sawa kiongozi asante kwa marekebisho, tunalifanyia kazi
@joshuambwile2938
@joshuambwile2938 5 жыл бұрын
Aisee Mr. Shitindi wewe ni kiboko Kaka Mkubwa! Hakika umefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Naomba nafasi ya kuja kujifunza kwa vitendo kwenye shamba lako la Kuku.
@abdullahsmtiwe3794
@abdullahsmtiwe3794 5 жыл бұрын
Umeajili watu au unafanya kifamilly?
@abubakariabdallah9347
@abubakariabdallah9347 5 жыл бұрын
Joshua Mbwile 🤔🤔
@mesalimrashid6312
@mesalimrashid6312 5 жыл бұрын
Masha allah .Mola akulinde ukuzidishie na ziada...Akili ni nywele kila mtu ana zake tumieni zenu eti kuku chotara wivu huo .Asante sana kala mm niko mombasa ntaanza kesho kujenga banda nifuge kuku inshaalah.
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 5 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akufanyie wepes
@erastojb865
@erastojb865 5 жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri! viwango vyao ni vya DW
@daudiaidani3860
@daudiaidani3860 5 жыл бұрын
Asante Erasto,
@marthabalakilula2812
@marthabalakilula2812 Жыл бұрын
@@daudiaidani3860 hongera sana!Naomba namba ya mfugaji niwasiliane.
@PrincePaulIowa
@PrincePaulIowa 5 жыл бұрын
hongera kaka.. ubarikiwe na upate Zaidi!
@abdulramlaali9985
@abdulramlaali9985 4 жыл бұрын
Yani we kaka unaweza tena sana kwa maisha hayo utafanikiwa tu omba mungu
@edinamwansyange3742
@edinamwansyange3742 5 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri!ntafuga!
@azamansur7086
@azamansur7086 5 жыл бұрын
Hongera kaka mkubwa me .mwenyewe ndo ndotoyangu iyo
@lamazaniomali6513
@lamazaniomali6513 2 жыл бұрын
Chifu hongera ntumie namba. Yako mi Babu kaju wa tyre bamaga
@josephmkindi4633
@josephmkindi4633 5 жыл бұрын
Saf sana channel zote zingekua kama hii dunia ingebadilika
@michealseleman8013
@michealseleman8013 5 жыл бұрын
Saw bro
@jumaayubu
@jumaayubu 5 жыл бұрын
Sana
@bonge1865
@bonge1865 5 жыл бұрын
Simpa
@getrudauledi2423
@getrudauledi2423 5 жыл бұрын
Joseph Mkindi naomba namba ya hyu mfugaj
@agnesmngazija4568
@agnesmngazija4568 5 жыл бұрын
Asante sanA ngoi tv Nimepata kitu hapa Kwa y huyu jamaa agustino
@rahmaselemani1140
@rahmaselemani1140 3 жыл бұрын
Amin
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 4 жыл бұрын
Nimejifunza kitu hapa mimi nikijana mdogo ambae ninauwezo wakuingiza milioni 1 to milioni 3 kwa mwezi ila nimekosa ubunifu 😭😭😭
@issamuhsin4308
@issamuhsin4308 3 жыл бұрын
Mambo
@deviselisaria5488
@deviselisaria5488 Жыл бұрын
mambo njoo tufanye biashara
@Jumaa553
@Jumaa553 10 ай бұрын
​@@deviselisaria5488 mii naonba namba yako kaka angu ninashida juu yahio biashara 😊
@farryluck9659
@farryluck9659 5 жыл бұрын
Hongera sana kakaang Mwenyez Mungu aendelee kukufungulia milango'
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 5 жыл бұрын
Ngowi TV ahasanteni sana Kwa taarifa hii
@sponsor7882
@sponsor7882 5 жыл бұрын
HONGERA,UR A GUD EXAMPLE TO FOLLOW.
@user-oy3pp1lb4d
@user-oy3pp1lb4d 29 күн бұрын
Ngoja niamke sasa nikaanze kazi saivi nina miaka 22 mpaka nikiwa na 30 tutajua
@violatekituyl1432
@violatekituyl1432 3 жыл бұрын
Thank you so much for good advice
@yahabibiyahayatiyahayuni7339
@yahabibiyahayatiyahayuni7339 5 жыл бұрын
Kazi nzuri hata mimi nataka nianze ufugaji
@samateryussuf5938
@samateryussuf5938 5 жыл бұрын
hongera sana kaka , kweli yako hakuna nchi yenye fursa nyingi kama TZ
@franciscowilliam2575
@franciscowilliam2575 5 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe asilimia mia mimi nimepata bahati ya kuzunguka zunguka nchi tofauti za bara la ulaya , America na Asia ,lakini asikuambie mtu bwana Tanzania zipo fursa nyingi za kupata utajiri, ulaya utakula ,utavaa lakini maendeleo ya kweli hakuna utaishia kufa na madeni tu. Wabongo tupige kazi Mungu ametuweka pahala pazuri sana , ni sisi tu hatujitambui
@corrolesscps
@corrolesscps 5 жыл бұрын
Francisco William . Ni kweli sis Wafrica hawa hatuoni fursa makwetu, ila kukazana kuona fursa kwa manchi ya wenzetu Ulaya. Wakati kwetu kuna fursa nyingi na tena tuko na uhuru mwingi, huko ulaya kwa sasa mpka mama ntirie, baba ntiirie wapo mitaani,
@shidakali5893
@shidakali5893 5 жыл бұрын
Samater Yussuf hongera san
@GILGALI
@GILGALI 5 ай бұрын
what God bless you for this knowledge for Us.
@wambaamwambaje1272
@wambaamwambaje1272 5 жыл бұрын
Masha Allah kwakwel kazi mzur
@manyaramrema6531
@manyaramrema6531 5 жыл бұрын
Hongera kaka sasa ukiwa nyumba ya kupanga ni mtihani
@VictoriaEmmanuel-fy9kr
@VictoriaEmmanuel-fy9kr 8 ай бұрын
Nimependa.somo.nzuri.sana
@wastonmusic4384
@wastonmusic4384 4 жыл бұрын
Daaah anko mungu akusaidie sanaa,naamiji nimejifunzakitu
@martinchawala4471
@martinchawala4471 5 жыл бұрын
I like it... keep it up @mr ngowi
@user-ik4wu5hm8b
@user-ik4wu5hm8b 10 ай бұрын
Hongera sana tupatie mawasiliano
@eliasilwimba187
@eliasilwimba187 Ай бұрын
Hongera bwana kaka,mawasiliano tafadhari.
@evarlynkavaya1604
@evarlynkavaya1604 5 жыл бұрын
Akili ni mali big up bro good job
@ernestwenje2842
@ernestwenje2842 4 жыл бұрын
Brother nimependa sana uvumilivu wako hii ni ya kuigwa......
@Bensonfrank25
@Bensonfrank25 5 жыл бұрын
Dahh nimepata fundisho kubwa sana hapa yan big up mkubwa
@gospelfiretv9667
@gospelfiretv9667 4 жыл бұрын
Ahsante sana Professor
@johnngowi2992
@johnngowi2992 3 жыл бұрын
Kazi nzuri hongera.❤
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 5 жыл бұрын
Asante kaka kwa elimu
@eliudbuberwa7692
@eliudbuberwa7692 5 жыл бұрын
Safi sana..fursa ziko nyingi sana....
@abasiomary9609
@abasiomary9609 5 жыл бұрын
Kweli nakubaliana na mawazo yako pia Tanzania ina fursa nyingi kuliko nchi yoyote
@HumanBeing-pj4hm
@HumanBeing-pj4hm 4 жыл бұрын
I like the narration the narrator is well talentend,calm, with a well scripted story,thick voice and ofcourse well filtered sound...nice content beautiful visuals etc congrats and keep up the good work
@kapendalubowa534
@kapendalubowa534 5 жыл бұрын
Hongera Sana ila hao kuku sio wa kienyeji Ni machotara.
@erastomnyavanu8680
@erastomnyavanu8680 5 жыл бұрын
Tuoneshe wako wa kienyeji
@awadhbakar627
@awadhbakar627 Жыл бұрын
Hongra mzee na mm nahtaj kujip moyo mn na mm pia mfugaji
@lameckmathias1188
@lameckmathias1188 4 жыл бұрын
Elimu nzuri. Tunaomba mtu akitaka kuja kujifunza mlipo mtoe muongozo mlipo jaman
@filamuzetu2841
@filamuzetu2841 4 жыл бұрын
tuko kimara temboni 0713 071 701. piga hiyo namba kufika kwenye semina za bure kila jumamosi
@ahmedstza2900
@ahmedstza2900 5 жыл бұрын
Sawaaa always you win
@kingandreemmanuel7908
@kingandreemmanuel7908 5 жыл бұрын
I will focus you as ma real model to i
@nyanzalakaporo2504
@nyanzalakaporo2504 5 жыл бұрын
Hongera sana kaka, Umenitia moyo sana nilikuwa mfugaji mzuri tuu wa kuku, waliumwa wakafa nika kata tamaa, Sasa kupitia wewe , Naimani ntanyanyuka tena kwenye ufugaji.
@ayuniomary8198
@ayuniomary8198 5 жыл бұрын
kukua anachukua miezi migapi hadi kufikia hatua ya kuuzwa
@nyanzalakaporo2504
@nyanzalakaporo2504 5 жыл бұрын
Atu za kuuzwa mbona sija kuelewa Mpendwa.
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 5 жыл бұрын
Pambana tu utafanikiwa tu
@StephenKalenzi-fg3km
@StephenKalenzi-fg3km 9 ай бұрын
Mungu akwinue zaidi kakaamgu
@yasinikateula6605
@yasinikateula6605 5 жыл бұрын
Thank u
@francismwagu1994
@francismwagu1994 4 жыл бұрын
Brother, nimefurahishwa sana, Kuajiliwa ni utumwa ni "Ukolon mamboleo" Nina miaka 25 baada ya miaka kadhaa mbele nitaajiar mim mwenyewe. Ahsant... Barikiwa.
@saidkamtande837
@saidkamtande837 5 жыл бұрын
Asante sana kaka kwaelimu
@livinndege960
@livinndege960 4 жыл бұрын
Napenda sana ufugaji wa kuku
@egmegm6202
@egmegm6202 2 жыл бұрын
Dah hongera vp io mashine inauzwa shingap ya kutotoresha
@hassanjr5318
@hassanjr5318 5 жыл бұрын
Inashaangaza kuna watu wamegonga dislike kwenye hii video ...kweli tunatofautiana kufikiri
@majalagolli7021
@majalagolli7021 5 жыл бұрын
Kabisa yani binadamu tu wa tofauti sana
@mordekaiswai3044
@mordekaiswai3044 5 жыл бұрын
Hassan Jr Ni Kweli kabisa baadhi ya watu wako wivu
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 5 жыл бұрын
Kaa mbali na hopeless people
@lucyshedrack7751
@lucyshedrack7751 5 жыл бұрын
Kabisa ata me nimeshangàa sana kwakweli
@abuuhamzaalmanyoniyyuh8854
@abuuhamzaalmanyoniyyuh8854 5 жыл бұрын
Walidhani Kuna picha za uchi walivyokosa wakaumia
@sharifamohammad4686
@sharifamohammad4686 4 жыл бұрын
Naomba msaada kuku wangu anainamisha shingo mpaka chini uku anasinsia
@muniraahmed624
@muniraahmed624 2 жыл бұрын
Kideri hichoo 😥😥😥
@margarethmlimwa6627
@margarethmlimwa6627 Ай бұрын
Nimeipenda Sana nitaendelea hadi
@modestamedard8901
@modestamedard8901 2 жыл бұрын
Wonderful
@anafisuleimani7083
@anafisuleimani7083 5 жыл бұрын
Safi sana kaka
@ndarojuma5128
@ndarojuma5128 5 жыл бұрын
Naitaji kuingia Kwenye ufugaji naombeni msaada wenu wa kimawazo
@chumatzchumatz3026
@chumatzchumatz3026 4 жыл бұрын
0712567009 Kama uposerious kweli nichek kwenye namba hiyo
@saudanoah945
@saudanoah945 4 жыл бұрын
No kweli channel zote zingekuwa kama hii dunia ingebadilika
@zizou9959
@zizou9959 5 жыл бұрын
Hello! samahani nataka kujuwa unaweza kuuza mayayi kiyasi ya alfu? To export outside?
@user-ss4lx5en7z
@user-ss4lx5en7z 6 ай бұрын
Jamani kaka mi vifarang wangu nawapa stata ya vifaranga wadogo na wana wk mbili sasa wanalemaa na wanakufa sana sana jaman niwape nini nisaidieni.
@edinamutakyawa6872
@edinamutakyawa6872 5 жыл бұрын
hongera sana
@philipolwena5873
@philipolwena5873 Жыл бұрын
Asante Mr ngowi
@khadijakamus2850
@khadijakamus2850 3 жыл бұрын
Amenihamasisha sana na mimi ni mfugaji ila ndio nimeanza ntampataje huyu mfugaji namba yake ya simu nikamtembelee naomba mawasiliano tafadhali sana
@AmiriMchikirwa
@AmiriMchikirwa 23 күн бұрын
Anza na Ulichonacho 📌
@shemsahafidh3234
@shemsahafidh3234 5 жыл бұрын
Safi sanaaaaa nina moyo kama wako ila ipo siku nitaona mafanikiyo
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 5 жыл бұрын
Keep it up
@phocuskarumuna1140
@phocuskarumuna1140 Жыл бұрын
Aisee asante sana yaana kaka umenihamasisha sana
@veronikahau2935
@veronikahau2935 5 жыл бұрын
Najiuliza n kwann nmekata tamaa ya kufaga ngoja nianze upya,upyaaaaa kbsa
@chambothedon3554
@chambothedon3554 4 жыл бұрын
😂😂😂
@totoa694
@totoa694 Жыл бұрын
Nina tamaa ya kuanza kufuka kuku ningependa nipate number yako unipe mwelekeo nitashukur kazi nzur sana
@ladislaustuma9094
@ladislaustuma9094 5 жыл бұрын
nzuri kweli
@elizabethsanga9184
@elizabethsanga9184 5 жыл бұрын
Safi sana nimependa
@leonardlukongola9013
@leonardlukongola9013 2 жыл бұрын
Hongera Sanaa nimependa Sana
@enockkagomba1261
@enockkagomba1261 5 жыл бұрын
Hongera sana kwa kuthubutu
@joyceraphael207
@joyceraphael207 2 жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri unapatikanaje na wapi?
@alih561
@alih561 2 жыл бұрын
I like it... keep it up
@geja8708
@geja8708 5 жыл бұрын
Dah 2002 nilikuwa darasa la kwanza, sasa ni ni AFO (agricultural field officer) , ila hao ni chotara sio wa kienyeji pure
@brianmasinga
@brianmasinga 5 жыл бұрын
Kwanini unawaita chotara? Hao ni kuku wakienyeji wanapandishwa jogoo kawaida ila wanalishwa saa 24 ili wakue haraka
@alexchungu9505
@alexchungu9505 4 жыл бұрын
Ge Ja , ila bado anakupita kimshahara
@mujunierick4388
@mujunierick4388 2 жыл бұрын
Ila kweli hao sio pure kienyeji hata muonekano wao na mayai Yao sio ya pure kienyeji
@ambwenemwamwimbe153
@ambwenemwamwimbe153 9 ай бұрын
​@@mujunierick4388sio pure lakini kwa wiki anaingiza milioni mbili
@judithsamwel6942
@judithsamwel6942 14 күн бұрын
Hongera sana
@angelinamsemwa5592
@angelinamsemwa5592 5 жыл бұрын
I a m so excited for sure ngoja niamue
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 5 жыл бұрын
Wakat ni sasa dadangu jikomboe
@khamismohammed899
@khamismohammed899 5 жыл бұрын
Hongera kaka mimi naomba namba yako kwa ajili ya mawasiliano.
@sazahassan2353
@sazahassan2353 5 жыл бұрын
Great inspiration.....
@catherinebayo4490
@catherinebayo4490 3 жыл бұрын
Nimefunza jamanj,duuh Mungu anisaidie maana nimeanza na kuku chotara 18
@christsbellpodcast4809
@christsbellpodcast4809 4 жыл бұрын
asante sana nimetiwa Moyo sana
@ramafrica9016
@ramafrica9016 5 жыл бұрын
Hongera ndugu
@peterndaki7905
@peterndaki7905 4 жыл бұрын
Hongera sana Shitindi
@jumaabdala8379
@jumaabdala8379 3 жыл бұрын
umenipa matumaini nimeshukuru MUNGU akubaliki baba Niko njiani
@gwakisaezekiel2576
@gwakisaezekiel2576 5 жыл бұрын
Nice
@joyceishengoma6074
@joyceishengoma6074 5 жыл бұрын
Mimi nataka mitetea ya kienyeji
@jamesakhabuhaya6194
@jamesakhabuhaya6194 5 жыл бұрын
Asante kaka
@magdalenedaniel26
@magdalenedaniel26 5 жыл бұрын
Naishi temboni kaka naweza kukutembelea nipate mafunzo ufugaji
@mwanamisaomar346
@mwanamisaomar346 5 жыл бұрын
Mashaallah mungu akuzidishie zaidi ya hapo...hata mm napenda xana ufugaji
@bizimanaismail809
@bizimanaismail809 4 жыл бұрын
Vizuri sana
@JeniphaAnthony-cw9dm
@JeniphaAnthony-cw9dm Ай бұрын
Nice kaka, hongera sana
@ulimbombonaulindi5088
@ulimbombonaulindi5088 4 жыл бұрын
Ukiosha katika interval ya masaa maane utaosha mara 6 ndani ya masaa24, bila kusahau usiku pia unatakiwa uoshe. Nyoosha maelezo mkuu!
@gastordominic410
@gastordominic410 5 жыл бұрын
Safi sana ngow
@indigenoussurvivor9948
@indigenoussurvivor9948 5 жыл бұрын
Utajiri pia si elimu pekee
USISUBIRI KUAJIRIWA, WAKILI WA MAHAKAMA KUU ATOA DONDOO ZA  UFUGAJI
29:52
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 11 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 26 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 8 МЛН
JIFUNZE KUTENGENEZA KITOTOLESHI KINACHOTUMIA MAFUTA YA TAA   PART 2
17:38
UFUGAJI WA KISASA WA SAMAKI KWENYE MABWAWA
9:36
Mbeyainfo TV
Рет қаралды 9 М.
PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
31:59
Jinsi ya kujiandaa kuwa mjasiriamali kabla ya kuacha kuajiriwa.
59:26
Personal Finance Hub
Рет қаралды 21 М.
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 11 МЛН