Рет қаралды 413
MKALI WENU Atupa Karata YAKE kwa NASSIB RAMADHAN, Anaenda KUSHINDA kesho HATAKI KUDHALILIKA?.....
MABONDIA wote watakaopigana kesho kwenye pambano la 'DAR BOXING DERBY' wamepima uzito na afya leo.
Pambano litachezwa kwenye uwanja wa Posta jijini Dar.