Mkuu wa MAJESHI mstaafu Kukutana na Papa FRANCIS pamoja na Maaskofu wote wa Tanzania/sababu ni hizi.

  Рет қаралды 102,820

Breez Online Tv

Breez Online Tv

Жыл бұрын

Hija ya Maaskofu wa Tanzania inaendelela mjini Vatican kwa kutembelea mabaraza ya kipapa na sehemu nyingine muhimu za kichungaji wakati wa ziara hii,ambapo mara baada ya kukutana na Baba Mtakatifu itahitimishwa Dominika tarehe 21 Mei kwa maadhimisho ya Misa Takatifu na Jumuiya ya Watanzania waishio,Roma na Italia kwa Ujumla.
#breezonlinetv #Roma #popefrancis

Пікірлер: 160
@stefanodeus244
@stefanodeus244 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana baba naamini hata katika kazi yako ya jeshi ulimtanguliza Mungu na kumtukuza yeye Mungu akupe maisha marefu tuendelee kujifunza na kuyaishi kama mwanga wetu sisi 🙏🙏🙏🌹💘💐
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@michaelmshighati8432
@michaelmshighati8432 Жыл бұрын
Hongera Mkuu wa Majeshi Muustaafu MchaMungu ni Neema kubwa Sana hii niheshima kwa vyombo vyadola Kumcha Mungu wewe ni Mfano bora Mungu akubariki na Baraza lote la Maaskofu Tanzania
@nellypesashoopesa4973
@nellypesashoopesa4973 Жыл бұрын
Mungu akulinde kiongozi wetu ulitutunza vyema wanao Mungu akupe uzima na afya njema muda wote
@user-tf7ck5kq9o
@user-tf7ck5kq9o 6 ай бұрын
Mungu akubariki venance mabeyo
@user-vs3ut2hd6f
@user-vs3ut2hd6f 7 ай бұрын
Kwa kweli atuwezi kukubali ndoa ya jinzia moja kwa maana mungu alipo umba dunia alimuumba adamu na hawa na akawaambia nendeni mkajaze dunia kwaiyo atuwezi kwenda na amri ya mungu na kufuata ya mwanadamu
@masalumaduhu4029
@masalumaduhu4029 Жыл бұрын
Mungu akubariki na akupe maisha marefu.
@stephenmichael3072
@stephenmichael3072 Жыл бұрын
Hongera sana Mkuu wa Majeshi msitaafu, kwa kutimiza majukumu yako kama mkuu wa Majeshi (T) kwa kumtegemea Mungu. Umeheshimisha Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania. Ubarikiwe sana.
@rodaananias6541
@rodaananias6541 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana, ,. Baba Mabeo ww ni mkatoriki pekee wa kuigwa katika kanisan la katoriki🙏🙏🙏🙏
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@aliceluwumba5330
@aliceluwumba5330 Жыл бұрын
Amina,hongeren sana kwa wote mlokutana na Papa
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@EdsonNatai-et8gp
@EdsonNatai-et8gp Жыл бұрын
Aisee hongera sana venansi
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@user-be2fv3pg9m
@user-be2fv3pg9m Жыл бұрын
Hongereni s ana maaskofu wangu utume wenu huko Vatican
@judithmaziku2703
@judithmaziku2703 Жыл бұрын
Aman.sana.mhrdhimiea
@user-zk3dt7zp5b
@user-zk3dt7zp5b Жыл бұрын
Mungu akubarik xana
@elizaoisso3981
@elizaoisso3981 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde daima Bab Venance Mabeho, kwa ushujaa na uhodari wako.
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@cesiliachristipher-xn1vx
@cesiliachristipher-xn1vx Жыл бұрын
Hongera Sana maaskofu TEC na COLU sisters
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@emmamahengo8213
@emmamahengo8213 Жыл бұрын
Hongera kwake
@anithamkwama5468
@anithamkwama5468 Жыл бұрын
Hongera sana mungu akubarki sana mfano mzry wakuigwa na kujifunza
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@frankkashonde3432
@frankkashonde3432 Жыл бұрын
Brother, uliivyoitaja hiyo hija kwa Lugha ya Kilatini umetisha sana. Nice narration, narration imekwenda shule mzee.
@breezonlinetv
@breezonlinetv Жыл бұрын
😂💯
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
@@breezonlinetv .Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@julianaswai7846
@julianaswai7846 Жыл бұрын
Kaka mabeoo shikamoh. Natamani siku moja uchukue kadi y uanachap ugombee urais. Utapat kwa kushindoo kikubwa.honger kaka kwa ukarim wako w kulijeng kanisalabwana
@haroldtarimo-wj9lw
@haroldtarimo-wj9lw Жыл бұрын
Urais wa nini tena ndugu??'
@khatibabass3106
@khatibabass3106 Жыл бұрын
Aje ajenge makanisa ! So nchi ya makasisi hii
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 Жыл бұрын
@@khatibabass3106 toa ujinga wako huko makanisa yanakuhusu? Kaongelee misikiti yenu.
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
@@haroldtarimo-wj9lw .Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
@@joycenicodemus.2232 .Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@MartinChawangula
@MartinChawangula 9 ай бұрын
Bravo
@user-lq3ew1gz6m
@user-lq3ew1gz6m Жыл бұрын
Hongera kwa kupata nafas
@mecksondeoneclassic8635
@mecksondeoneclassic8635 Жыл бұрын
Kila lililotabiriwa katika unabii litatimia habari ya pembe ndogo yenye macho ya kibinadamu ishara ya hekima iliyonena maneno makuu ya makufuru ule wakati umekaribia Kwa ishara😮hizo mi nashngaa wanao furahia kuona jambo hili si bure katik nchi hii Kuna jambo litaenda ktokea mana hakun Kuna uhusiano gani katibya dini na siasa?
@zesootv6726
@zesootv6726 Жыл бұрын
Vp tena ukiona mzungu anakupenda basi ujue kuna kitu hapo
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu mheshimiwa mabeyo
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@FebroniaYuta-ib8gu
@FebroniaYuta-ib8gu 11 ай бұрын
Aminaaaaaa 🙏💞💞💞
@daudmagayane1556
@daudmagayane1556 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@MichaelPaulo-jt2jy
@MichaelPaulo-jt2jy Жыл бұрын
Nashuru Sana Tena sana
@georgembise7234
@georgembise7234 Жыл бұрын
Ni mkuu wamajeshi ambae alikumbwa na tukio lakutisha na akaonyesha unyenyekevu mkubwa sana sana baada magufuri kufa kama sio kuuawawa!!mabeyo mungu akubariki sana sana sana shetan aliweka mtego kwako lkn mungu akakuepusha nao ,hongera sana!!
@majigedioniz8049
@majigedioniz8049 Жыл бұрын
Makubwa kama iko ivyo basi yampasa kumshukuru mungu
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@mecksondeoneclassic8635
@mecksondeoneclassic8635 Жыл бұрын
Mungu tusaidie hatari inakuja
@mecksondeoneclassic8635
@mecksondeoneclassic8635 Жыл бұрын
​@@iva-ox2qn Truthfully that's what John was revealed about the beast in the end times.
@mosesmwapinga1538
@mosesmwapinga1538 Жыл бұрын
Waongo sana,papa wapi??
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 Жыл бұрын
Mungu awabariki wote Maskofu wetu
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@shabanihassanikabelela2839
@shabanihassanikabelela2839 Жыл бұрын
@@iva-ox2qn hawakuelewa hawa watu nlikuomba neema ya Mungu na roho wa MUNGU awasaidie
@lutigardkomba1215
@lutigardkomba1215 Жыл бұрын
Herii mtu yule amchae Bwana ,aendae katika njia zake
@user-ls1es8sd1s
@user-ls1es8sd1s 7 ай бұрын
Mbona kama sja Elewa? Kam shukur ni n Ao watu wana Amini ushoga selekari vitu kama ivo Aitakiwi kuwa mini wa fanye kwao
@ndingolivin-qy6xk
@ndingolivin-qy6xk Жыл бұрын
Amina
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?".
@SlsProductionTz
@SlsProductionTz Жыл бұрын
❤️❤️❤️
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@stanslausmtilega7279
@stanslausmtilega7279 Жыл бұрын
Ninacho jua Mungu anakitu kwako moyoni una jua okoa tz wewe unaju Uishi miaka mingi mabeo babaangu
@robertedward1992
@robertedward1992 Жыл бұрын
Hongera CDF mabeo,kuzuru vatcani certy.kanisa juu.
@TheGiftedSingers2023
@TheGiftedSingers2023 Жыл бұрын
Glory to God
@PatrickKimaya
@PatrickKimaya Жыл бұрын
Tuzidi kumuombe asimame imara kwa kumutengemea mungu
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@yohanambano872
@yohanambano872 Жыл бұрын
Namkubal mabeho MUNGU akusimamie mpendwa
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@ibutilehyila9146
@ibutilehyila9146 Жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA MSTAAFU GENERAL VENANCE SALVATORY MABEYO NA AKUZIDISHIE KWENYE KILA HATUA UNAYOPIGA UWE NAYEYE AMINA🙏👏
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 Жыл бұрын
Yani nyie mnao sema mungu akubariki mungu akubariki badala ya kufikiria ni nini kinaenda kufanyika hapa mnafurahi?ngojeni mtaona matokeo yake
@dainessgaspar6042
@dainessgaspar6042 Жыл бұрын
Mkuu wa majeshi, mabeho wakumbuke kuwa ww ni kijana uliyesoma seminary, mseminari hasahau alikotoka na kulelewa
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
@@dainessgaspar6042.Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
@@regnaldymambaly9880 .Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Mhistoria ya nchi hiii ngumu kuelewa nchi hii Uhuru wake wengi hawajui ulipatikanaje bila vatcan tusingepata Uhuru..
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 Жыл бұрын
Mh etiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!
@rumanyikajoe7038
@rumanyikajoe7038 Жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania. Ni fahari kuwa mkatoliki
@elizabethkimbi3336
@elizabethkimbi3336 Жыл бұрын
Nikimuona mabeyo namkumbuka maghufuli nabaki nalia
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 Жыл бұрын
Amina
@user-ll3kp3bj5q
@user-ll3kp3bj5q Жыл бұрын
Hhhhh kwanz nicheke at wapo hijjah😂😂
@josephallute7629
@josephallute7629 Жыл бұрын
umetumwa?
@benjaminballali3581
@benjaminballali3581 Жыл бұрын
Mabeo ni mtu,.
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@amiribakari2528
@amiribakari2528 Жыл бұрын
Mtangazaji usipotoshe watu..papa haitwi frasiscko bana alaah
@breezonlinetv
@breezonlinetv Жыл бұрын
Anaitwa nani!?
@chiekhthiam980
@chiekhthiam980 Жыл бұрын
​@@breezonlinetv Francesco.
@user-xi4le1hp4y
@user-xi4le1hp4y Жыл бұрын
Vipi mabeo akiwa kama mkuu wa majeshi katika nchi isiyokuwa na dini alilisaidia kanisa katholiki hata mpaka aitwe na papa? hapa kuna siri kubwa sana
@msamgunda7684
@msamgunda7684 7 ай бұрын
Mkuu wa majeshi ya nchi,maana yake alishughulilika na mambo ya kijeshi zaid.tena ilikuwaje hata akawa amelitumikia kanisa zaid?kama nyerere vilee.
@jumaomari3842
@jumaomari3842 Жыл бұрын
Sisi.twaomba.kheri.tu.mrudi.salama
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 Жыл бұрын
Sisi waja tumetunza siri nyingi moyoni.
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 Жыл бұрын
Inatapisha
@neemataris3273
@neemataris3273 11 ай бұрын
Watu wakimsifu Mungu sio, Mwenyezi Mungu akutapike wewe uone kutapika kulivyo naomba hapa iwe m!m!m!m!m!m!m!m!m
@deusisindwa616
@deusisindwa616 Жыл бұрын
Mh,
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?".
@yustogembege9161
@yustogembege9161 Жыл бұрын
Rais wa 2025 mabeyo
@helentelemla5623
@helentelemla5623 Жыл бұрын
Utukufu kwa amungu aliyeziumba mbingu na nchi
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Жыл бұрын
Waislam sijui mnaelewa kinachoendelea wenzetu wakiingia serikalini wanaingia na dini yao but nyie mnaambiwa msichanganye dini na siasa WALLAHI MNACHOCHAKUJIBU SIKU HIYO YA MALIPO ENDAPO MSIPOBADILIKA
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?".
@ponsianaprotas8990
@ponsianaprotas8990 Жыл бұрын
Asante Mungu, tunakusifu na kutukuzwa kwa ajili ya watu wako hawa, akiwemo mkuu wa majeshi mstaafu. Tunakiri Kwa vinywa vyetu nchi yetu imebarikiwa sana kwa kila kitu na watu wake wacha Mungu kama baba mpendwa Venance Mabeyo. Tunamuombea baraka tele.
@user-ll3kp3bj5q
@user-ll3kp3bj5q Жыл бұрын
Hatar ukafir mtupu
@alexsuleiman3795
@alexsuleiman3795 Жыл бұрын
Azikutoshi
@jamesmasome359
@jamesmasome359 Жыл бұрын
Taahira tasilimu. Umekalilishwa.
@mecksondeoneclassic8635
@mecksondeoneclassic8635 Жыл бұрын
Tena hatari KWELI mwenye akili na ajue
@mecksondeoneclassic8635
@mecksondeoneclassic8635 Жыл бұрын
​@@alexsuleiman3795 Ndugu fungua jicho la tatu uone usije jifariji Kwa lolote yajayo baada ya haya utaja yaona Dunia ndiyo miisho yake hii
@bitecastory2137
@bitecastory2137 Жыл бұрын
Kwani ww una subli nn kuwa kafili mbn unapenda ushauri sana upande wa 2
@ibrahimsuleyman9465
@ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын
Freemason are concerned
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?".
@bitecastory2137
@bitecastory2137 Жыл бұрын
Na ww c uwe freemason unasubl nn tahira ww
@msabahaali758
@msabahaali758 Жыл бұрын
tunajua kua kuna nafasi muislamu hawezi kupewa tz kutokana na mfumo Kristo ukiokuepo
@nicodemugregory6633
@nicodemugregory6633 Жыл бұрын
Ndugu Msabaha, acha maneno ya chuki zisizo na maana. Hivi Kuna nafasi ya juu kuliko uraisi wa nchi? Mbona Rais ni Muisilamu, Waziri mkuu lakini Watanzamia wote wanawaheshimu na kuwaamini? Zika ubaya na dhambi zako. Hii nchi haiongelei tena mambo ya ubaguzi wa kidini na ukabila. Tuwaachie hao wenye nafasi ya kufanya hivyo. Pambana na hali yako, Jenga familia yako, Jenga nchi yako.
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Zika Chuki zako na roho mbaya... uwe na amani kwa nafsi yako..usijetese...
@jacquelinelouis8115
@jacquelinelouis8115 Жыл бұрын
Basi batizwa upewe wewe
@TeamKRX
@TeamKRX Жыл бұрын
Ndio wakristo nafasi nyingi wao tukipewa sisi hawataki wanaroho mbaya sana baazi
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 Жыл бұрын
Wew ni mdini sana na huo ndio ujinga wa baadhi yenu. Basi na wew anzisha mfumo wako kisha kupitia huo mfumo wako ukajipe hizo nafasi unazozitaka.
@aleyysalum2747
@aleyysalum2747 Жыл бұрын
Hupati chochote na ukirudi unapata corona unakufa aminaa
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
makafiri mnamatatizo sana ndio maana marekani huwa inawauwa nguruwe nyinyi.
@josephinekessy1994
@josephinekessy1994 Жыл бұрын
​@@emmapaul1766 na ni manguruwe kweli...Yana kera sana
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?".
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
@@josephinekessy1994 .Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 Жыл бұрын
Wakristo tumieni akili muitafute dini ya mungu acheni dini ya kidunia pope huyo mnae mtukuza alipitisha sheria ya ushoga hamlifikirii hilo yesu kweli anaweza kukubali mambo hayo ndio cku zote tunawaambia yesu ni muislamu mwenzetu endeleeni kupotea
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Unawezaje kuwa Mkristo kabla ya ukristo !! Yaani uwe msukuma au mchaga kabla ya usukuma au uchaga wenyewe!!?!?
@edgarmbegu1974
@edgarmbegu1974 Жыл бұрын
Mbona makasiriko ndugu? Hebu ifuate dini yako, ya wengine, waachie wenyewe.
@josephallute7629
@josephallute7629 Жыл бұрын
haya mtakatifu mohamed
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?".
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
@@richardnganya2311 .Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?"
@rommyshabby3959
@rommyshabby3959 Жыл бұрын
Mdini sn huyo jamaa ata kuna wakati aligawa vyeo kuoholela sn watu wakaenda hadi kanisani kawe kutoa sadaka ili mradi tu wapewe vyeo ikafika wakati hadi nyumbani kwake wanajeshi wakawa wanaenda kuimba kwaya
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Acheni hisia ambazo hazina ushahidi.. alijitahidi kutenda kwa nafasi yake..hasa kipindi kifo cha Magufuli.. ilikuwa ngumu mno kwa akina bashiru, Ndugai, Polepole, and their team
@rommyshabby3959
@rommyshabby3959 Жыл бұрын
Wewe ndo ujui sasa huyo jamaa askari wengi hawamkubali kama ujui, askari wanadai pesa za likizo na waziri alisema pesa zilishatolewa, akawa anagawa vyeo tu
@josephmuchiri3180
@josephmuchiri3180 Жыл бұрын
​@@rommyshabby3959😮
@jacquelinelouis8115
@jacquelinelouis8115 Жыл бұрын
Na wewe kulwa mdini shida iko wapi
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Жыл бұрын
Hawezi kumzidi Samia Kwa udini.
@dosteajoseph7939
@dosteajoseph7939 Жыл бұрын
Amina
@venanceghuliku1861
@venanceghuliku1861 Жыл бұрын
Waooooo! Tunawapenda Sana maaskofu wetu hongereni kwa utume
@theclachabba1226
@theclachabba1226 Жыл бұрын
Asante sana baba mabeho, endelea kumtangaza Kristu, mungu awabariki maaskofu wote
@hamisiramadhani3538
@hamisiramadhani3538 Жыл бұрын
Lazima apewe nafasi sikasimamia ukafiri wake
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 Жыл бұрын
Amina
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?".
@sylvestrengwelu2012
@sylvestrengwelu2012 Жыл бұрын
Amina
@iva-ox2qn
@iva-ox2qn Жыл бұрын
Revelation 13:4 People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?".
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Show Me the World
Рет қаралды 711 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 33 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,6 МЛН
Fr. Mike Reacts to Olympics "Last Supper"
8:22
Ascension Presents
Рет қаралды 61 М.
MAANDAMANO YA MAPADRE ZAIDI YA 300,MAASKOFU MBELE YA MAKAMU WA RAIS JIMBO KATOLIKI IRINGA
15:30
Christina Shusho - Niponye (Official Video)
4:22
Christina Shusho
Рет қаралды 36 М.
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
MUIGIZAJI TAUSI NA PACHA WAKE WAKIIMBA KANISANI
7:28
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 1,5 МЛН