Mbunge wa Bukombe Doto Biteko amehoji ndani ya Bunge sababu ya Serikali kuendelea kukaa kimya baada ya kubainika kuwa kuna baadhi ya vitabu vilivyotolewa kwenye shule nchini wakati vikiwa na mapungufu ya kitaaluma.
Пікірлер: 3
@peterherman42797 жыл бұрын
mh umenena kwel
@kechbowkech91385 жыл бұрын
Mh. Dotto Biteko.. Nimesoma nae Chuo cha walim morogoro ( morogoro Teacher's College) MOTCO.... Alikuwa Rais wangu na Mimi nilikuwa ni waziri wake wa Habari kweli kipaji ni kipaji Mheshimiwa nitafute facebook nimeweka picha yangu na picha yako
@athonyfrancis88897 жыл бұрын
KWELI JAMANI HATA KITAALUMA SIYO,MF KITABU CHA ENGLISH DRS LA TATU,MTOTO WA ELIMU BURE HAJAANZA KITABU CHA KWANZA KWA SABABU DRS LA KWANZA NA LA PILI HAWAFUNDISHWI KIINGEREZA,SASA MTOTO ANAANZA KIINGEREZA DRS LA TATU NA BOOK 3 AMBAPO 1 NA 2 HAJASOMA,NDO MAANA WANAONA MARUERUE ,HILI NALO LIANGALIWE MPANGILIO WA UWEZO WA KITAALUMA MAANA HII JAMANI KICHEKESHO KWA KUFIKIRIA UTUNZI WA VITABU VYA KIADA