No video

Msigwa Kabla HAJAHAMIA CCM, Ukweli WAVUJAAA!!

  Рет қаралды 6,335

SUPER TAMUTAMU

SUPER TAMUTAMU

Күн бұрын

Пікірлер: 13
@khalidibrahim4579
@khalidibrahim4579 Ай бұрын
Ati mungu kazaliwa na ana mtoto God has no beginning no end of days How was he born and died
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u Ай бұрын
Siasa hazimuzuii mtukuhamiachama..B ilimladi anaona kinamfaa kulikochama A. Mambo yawauminiwake siniwakiriso..wale.
@salomeshongola1697
@salomeshongola1697 Ай бұрын
Bora angeenda wazalendo.
@simonndunguru1629
@simonndunguru1629 Ай бұрын
Mbona kaenda huko huko. Kuna siku Waumini watamwacha Yeye na Familia yake Kumtambulisha Wengine walikuwa wanaguna Anatamaa ya Uongozi sio mkweli ni mzoefu wakuhama Vyama vya Siasa
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Ай бұрын
Ni kweli kwamba mfumo wa kuteua unatengeneza nguvu ya kuwakalia wanaochaguliwa, kinyume cha katiba ya nchi. Rais anaingilia katiba. Maoni na maelezo ya Mchungaji kuhusu utawala wa ccm yanatufikirisha tujiulize amekwenda ccm kuomba darasa afundishe juu ya utawala bora, ama kaenda kuwasisitiza ccm namna ya kupunguza madaraka ya Rais kama mwkt wa chama, au kaenda kulamba matapishi yake?!
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Hamuna vyama vingi wote chawa wa ccm musigwa mbowe msigwa ndio waliuza dr.silaa aende kula makombo ccm Leo anahangaika muache na musigwa muache ale makombo Wana nchi wa nadhani ni wale nyelele aliowaacha tuko makini waache watajuta na kizazi chao
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u Ай бұрын
Wakatijamii ilimuona ni mteteziwa watuwengiwakaeaida wewe unafagiliaduniaituonehuko kwamanyonyajiyetu huko kwaweupe Angaliausije ukawakibaraka wahaowamagharibi CCM wananchi wananchi wanataka keki sawakwasawa hakunasliye borasanakuliko mwingine Thebeautiful one's are not yet born.
@saidchaula1947
@saidchaula1947 Ай бұрын
Peter msingwa ushakula matapishi yako kwenda ccm Bora hata ungeenda Cuf Bora
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv Ай бұрын
Ccm wamempa pesa tena pesa nyingi sana
@zachayojohn7065
@zachayojohn7065 Ай бұрын
Huyu ndiye mchungaji wa Kiroho
@saidchaula1947
@saidchaula1947 Ай бұрын
Edwini odemba ukapime afya maana ndugu yetu kila sku afya ni Ile Ile shida iko wap kapime afya
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Ай бұрын
Mh!Saidchaula ya Odemba yamekujaje kwenye mambo mengine?! Yamekupataje labda kama sio unafiki mtupu! Twende kwenye hoja usiwe na vichwa viwili km tape wom..
@user-es5hj7dj5i
@user-es5hj7dj5i Ай бұрын
Pesa za dpw hazitawaacha salama kamwe!!
Дай лучше сестре 🤗 #aminkavitaminka #aminokka #сестра
00:15
Аминка Витаминка
Рет қаралды 646 М.
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 31 МЛН
MCH HANAJA APIGA NONDO NZITO KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI
28:20
Mbengo Tv
Рет қаралды 55 М.
Дай лучше сестре 🤗 #aminkavitaminka #aminokka #сестра
00:15
Аминка Витаминка
Рет қаралды 646 М.