Mbunge wa Kigoma Mjini (CCM), Kirumbe Ngenda akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/2024, Bungeni jijini Dodoma leo.
Пікірлер: 13
@foundationforcommunityhope7327 Жыл бұрын
Duuu uko vizuri Sana Msukuma ..Tz Tz.
@hamzanamahala6201 Жыл бұрын
Uko vizuri msukuma
@wilsonmadaha Жыл бұрын
very intelligent
@jacobmwandenga3364 Жыл бұрын
Haya ni yale yale kutuficha riport ya VAG
@pineapplemelodymaster Жыл бұрын
Hii nchi ya kiwaki sana
@GilbertNhigula8 ай бұрын
Mh Msukuma Karama Yako ya Uongozi ni Kubwa Sana Basi tu ! , Mimi Nakumbuka huko Nyuma Kulikuwa na Waziri Asie kuwa na Wizara Maharumu ingerudi iyo ingekufaa Sana Kusukuma gurudumu la Maendeleo ,.!.
@davidmziray2048 Жыл бұрын
Hapo hakuna mawaziri wapuuzi watupu
@allyfaraji420010 ай бұрын
Ccm imeshindwa kutuongoza siku nyingi sana
@husseinkonz5192 Жыл бұрын
Tanzania bn et ngombe anavaa herin😂😂
@waziriali4155 Жыл бұрын
9
@pendomelkiad5285 Жыл бұрын
Wasukuma oyee
@zesootv6726 Жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿 yangu tutauza nchi nzima tusipo angalia na leo nmegundua Magufuli alikua sahihi kutuongoza kwa kidikteta kama walivokua wanasema wasio mpenda mwenda zake.