Kugira ubandanye wironkera amakuru yabaririmvyi bo kwisi yose na cane cane abi wacu +257 nutuntu nutundi dutangaje kwisi , fyonda SUBCRIBE( Sabonnez) hamwe na LIKE ( J'aime) na SHARE (Partage)
Пікірлер: 421
@user-lf5uk6mq4t18 күн бұрын
Wewe uliyeandika mtoto wa ajabu chunga sana kauli Yako mtoto mzuri ivyo mungu amjalie afya njema
@hawaally230813 күн бұрын
Nahisi tu anamaanisha vizuri sio kwa uajabu wa ubaya
@joycekalago5329 күн бұрын
Umenichekesha ulivyomfokea et chunga sana😂😂😂kweli kabisa achunge sana
@July-mi4fg3 күн бұрын
Kabisa akome kabisa
@NdohoAud2 күн бұрын
Nadhani mume muelea vibaya sio jise amemaanisha
@wizerepamella5762Ай бұрын
Maskini toto nzuri Mungu akukuze na Furaha ijae kwenye Moyo wako na Familia yako ishangae na Mambo mazuri Mungu anakwenda kuwatendea🥰🥰🥰🥰
@saeaaa8571Ай бұрын
Ameen... Soon anakwenda kuwa na mikono ya bandia kupitia Joely Lwaga... Tusiache msaport wapendwa
@jessicaishimweАй бұрын
Amina🙏
@user-lx8nl8hh3fАй бұрын
Amina
@rahimaaaaa5682Ай бұрын
Amiin😊
@florabuhendwa97627 күн бұрын
Amen 🙏🏿
@Zuu673Ай бұрын
Ukipewa kilema mungu hawezi kukunyima mwendo mtoto mzuri mungu akujaalie tunakupenda malaika ❤❤❤❤
@PentergonHonesty2 күн бұрын
Eeee mwenyezi mungu kwa neema yako naomba uweze kuwawekea hawa malaika ulinzi siko zote za maisha yao wabariki na kuwaongoza na kuwa katika furaha na amani daima na hata milele: IN JESUSS NAME%
@sadaathumani309928 күн бұрын
Tumuacheni MUNGU aitwe MUNGU mtoto mkubwa mlemavu,anae mfata mlemav wangozi kwel MUNGU kila alitendalo analijua yeye,nimfano mzur kwa wale Jambo dogo wanaqfuru😢
@bayishimemathieu2693Ай бұрын
Eeeeh mwenyezi Mungu mmpe makuzi mazuri na afya njema huyu mtoto 🙄
@FatimaAli-of4gh5 күн бұрын
Aamin
@beckymaria212526 күн бұрын
Hongera kwa babake Gabriella sababu wengine wangetoroka kuona mtoto mlemavu mungu amzidishie
@FatimaAli-of4gh5 күн бұрын
Inshallah
@Kisra-yw3qz7 күн бұрын
Mashaallah muzurii😊❤❤
@rosesilio900827 күн бұрын
Da ni kazuri kweli yani🤦♀️🙏😍❤❤
@witnessosiana417023 күн бұрын
Sanaaaa❤
@ElissaMucowera-uw4vqАй бұрын
Maskini Gabriella mtoto mzuri❤❤ allah amraisishie katik maisha yake
@user-hp6pq9fb2l28 күн бұрын
Amiiin
@JacklineAlistides9 күн бұрын
Maskin unaweka ya nini
@nicaisenduwimana425329 күн бұрын
Njo ivo mungu akuwezesh akupe roho ya uzazi kabisa wapende sana watoto wako mungu anawaona na atawawezesha 🥰🥰🥰
@dorcasassenga2005Ай бұрын
Jamani. Yote ni kumshukuru Mungu. Ila Mtangazaji yupo vizuri na ana upendonna Watoto🇹🇿
@AhumnzaIvan29 күн бұрын
This bby Gabriela😭
@beckymaria212526 күн бұрын
Gabriella mtoto wa kwanza miaka tatu na uko na sengine wawili wakumfuata kivipi unazaa kila mwaka anyway Gabriella ndiye ataleta baraka hapa duniani❤
@user-nf2hl1tx1xАй бұрын
I really loved this baby girl the first day I saw her video on TikTok ❤. God bless you baby girl ❤
@user-hp6pq9fb2l28 күн бұрын
Mashaaaallah kazuri Allah akulinde kipenzi ongera wazazi kwa kuikibali hali yake na kumpa thamani kama watoto wengine
@cynthiapwani138329 күн бұрын
Mungu amjalie gabliela na wadogozake amani na furaha na maisha mazuri kabisa mkono wa Mungu usiwapungukiea kabisa jamni watoto wazuri kweli jmni Mungu awalinde
@kabintmpase154428 күн бұрын
Mama mzuri na watt wake MashaAllah Allah amtunze na ampe hitaji la moyo wake aweze kuwalea watoto wake vizur 🙏
@SallmaXgАй бұрын
Gabriella Mwenyezi Mungu akufanyiye wepesi mtoto mzuri❤❤
@ndayiragijejeanclaude-rh1zlАй бұрын
Kwel Isaac huyu mutoto Na mi alinushangaza kipindi nilimukutapo TikTok.hata machozi alitulilika kbx.kwa ile chalenge alifanya ya fernando.yani Fernando angekua mutu muzuli angemutafuta basi akamupea ka kitu kidogo.mana Alichalenge vizuli.nampenda sana huyu mtoto kbx .🥰🥰😘
@birungideborahАй бұрын
Mimi nililia hadi niliamua kumtafuta yeye na mama yake
@monicapeter90658 күн бұрын
Tktok anatumia jina gan jaman please
@esthermliga487528 күн бұрын
Mungu analo kusudi juu ya hao watoto mum! Endelea kumshkru Mungu tuu Kwa hiyo hali!
@judithkirenga997729 күн бұрын
Mtoto wa ajabu?????? ni mzuri sana sana Mungu amkuze vyema, kuna wasanii walikua wanamtafuta
@user-um6ur9rc6o28 күн бұрын
MUNGU akutunze mtoto mzuri milango Yako ikafunguliwe MUNGU akuinue 🙏🙏