Mashaallah Tabarakallah sheikh muhammad nassor. Vike wewe umekula basi na mimi naweza kujaribu kula.
@LukmanMohd-kn3iqАй бұрын
Sheikh dumilla hafidhahullaahu. Sheikh muhammad bachu hafidhahullaahu. Ustaadh shee. Ustaadh luqmaan. Allah awahifadhi wote.
@ashachitemo7816Ай бұрын
Bachu anapenda sana Maulidi.Naona Leo ametuwekea kaswida Masha Allah!!
@MdNasr-jm8pj20 күн бұрын
@@ashachitemo7816 Nasheed wanatumia 😂😂😂
@user412Ай бұрын
Nasheed zikiimbwa na wale wanaozipinga hususan ukiziwekea na ala kama hii inakuwa halali. Ila akiimba mwengine anaambiwa ni "khanith". Allah atujaalie wepesi na atupe ufahamu sahihi
@ameirfaki9277Ай бұрын
Hapo awali nlikuwa nina mushkeli kula kenge....sante sheikh muahammad bachu....
Afu nyie waisilamu mna tia Aibu mawahabi mawahabi kwani nyie mpoje jmn yani mwisilamu lkn una mfanya kama so mwisilamu acheni upuuzi hii Dini ya Mungu so yenu
@abuujibriltv5233Ай бұрын
Yuru siyo kenge. Huyo anaitwa yuru nitofauti na kenge
@rajabhamis8272Ай бұрын
@@abuujibriltv5233 Kwan YURU na KENGE sini species za jamii moja !??????????????? au tofaut ikoje hapo !??
@haidarimfinanga975527 күн бұрын
Asalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh KUMRADH SHEIKH MUHAMMAD, NIMEMUONA SHEIKH MMJOJA KATIKA VIDEO CLIP AKISEMA DARSA ALILOKUWA AKILIENDESHA ALMARUHUM SHEIKH NASORO BACHU LIMEPUNGUKIWA SANA NA WANAFUNZI. KAMA NI KWELI, HII SIO PICHA NZURI AIDHA SIO AFYA KWA MAENDELEO YA AKHLUL SUNNA WAL JAMAA. KAMA NI KWELI LABDA KUNA SABABU YA MSINGI, KAMA LA, BASI LIONE HILO. WABILAH TAWFIQ
@sakinasakku8340Ай бұрын
MASHAA ALLAH tabarakalla mmmmmmm kumbe kenga analiwa sijawaikula
@NaadiriTVАй бұрын
Poleni sana mashekh
@OmarAlly-iz8otАй бұрын
Maashaa Allaah
@saadasaleh3177Ай бұрын
Aaamin Yaarabbal A'lamin 😊
@user-gy5en6cy8oАй бұрын
Masha Allah
@HassanKofaАй бұрын
Mbona umeunganisha channel yako na nasheed wakati umewahi kusema kuwa wanaosoma anaashidi wanalegeza sauti mwisho ukawaita makhanithi na mashoga
@ukweli19Ай бұрын
Mashallah
@MuhammadSabuniАй бұрын
Maasha Allah
@user-dl1mg2qf4nАй бұрын
Naona Kaswida kwa mbali leo😅 Mashallah
@Khalid-mf3iuАй бұрын
Bachu ameikalia sufuria ya yuru hataki kuiwata
@balkissMuhammad-sk1icАй бұрын
Bismillah
@AliIbrahim-lv5cqАй бұрын
😂😂😂😂 Sheikh mm siwezi yakh
@mfalmenajjash2128Ай бұрын
Masha Allah, editor wahii kazi ametuwekeya mziki editor wacheni khiyana shekh Muhammad mwenyew anapigavita nasheed za namna hii editor achananeni na mziki mziki siyo dini na hauna dalili yakukubalika ktk dini
@mfalmenajjash2128Ай бұрын
@@abuuabdirrahmaan4132 kama ukomakini chanel ya Muhammad bachu iliungana na Alhajar tv sasa editor wao ndo tunamtupiya lawama kwahili na siyo shekh
@yunusramadhan2546Ай бұрын
Sheikh bachu watu wa bidaa wanavyo kuchukia watakuonyesha kwenye radd zao nahilo sufuriatu Allah awaongoze
@HemedSeriousАй бұрын
Unashobokea kidume mwenzio
@user-rb8ir9co9k20 күн бұрын
@@HemedSeriousvp na ww ni Mtu wa Bidaa maana na ww umeshoboka na comment ya Watu isiyo kuhusu
@YahyaYahya-vp2ppАй бұрын
Haahaaa 😂😂 muhammad.
@yunusramadhan2546Ай бұрын
Fisi pia halali yeye husimamatu
@kombomakame9541Ай бұрын
Ukuweza kula kenge na Mjusi unaweza kula
@CubeedCali28 күн бұрын
Nyinyi mawahabi hatafisi mulihalalisha
@ibnuomar177029 күн бұрын
Mnapinga Nasheed.. lakin katka vipindi vyenu munaeka?? أتأمرون الناس بالبر وتنسون أنفسكم وأنتم تتلون الكتباب أفلا تعقلون؟؟؟
@ABUUBAAZNYUNGUАй бұрын
BACHU WEWE SIO WA KUWEKA MZIKI KWENYE CHANNEL YAKO! ......Ushaanza kutupa wasiwasi juu ya msimamo wako asee!
@ABUUBAAZNYUNGUАй бұрын
Hata kama ndo umecopy hyo video.....ila as long as ni haram haukutakiw kuicopy kweny channel yako
@saba-gv3mjАй бұрын
Hata ww ukiwa na ilimu utajua nashid haina neno
@mohagurey2214Ай бұрын
Kila binadamu huteleza ndugu
@saba-gv3mjАй бұрын
@@mohagurey2214 sio kuteleza kila akipija hatua na ilimu atapata nashid atakubali insha Allah na maulid atasoma ngojea uwone
@mohagurey2214Ай бұрын
@@saba-gv3mj Wewe muislamu kweli? Ama wewe ni shia mwenye niyah ya kupotosha ummah ya kiislamu? Hebu nipe ayah ama Hadith zinahalalisha anasheed? Don't mislead the ummah ya ahlul bid'a
@aziza9093Ай бұрын
Mm siwezi😂😂😂
@aziza9093Ай бұрын
Mm inabiti nilenisikuwa
@HusseinSalimu-cm3vsАй бұрын
Kaeni Bc Ndio Muwe Mnakula
@ALiBAba-zz2tdАй бұрын
naona sheikh wa Sunna unakula uku umesimama
@sultaniiyytv3718Ай бұрын
Sio shambi ila haipendezi wallah aalam
@alisaadmohammedАй бұрын
Mtume asemausinywe maji kama umesimama sio chakula
@user-rb8ir9co9k20 күн бұрын
Kuna katzo kwani kula huku umesimama?
@amirmape6474Ай бұрын
Asalam alaykum shekhe vp tena maana ulisema nasheed ni ubalazuri sasa vipi nawewe umeshakuwa balazuri au vp?
@mohagurey2214Ай бұрын
Ameteleza
@mahmudmugarura2175Ай бұрын
@Amirmape6474 Kua na Adabu
@abdulkarimjuma78Ай бұрын
@@mahmudmugarura2175 mimi?
@abrahmanhamad3253Ай бұрын
Kwan yy kaimba anashed au TV ndio imeweka anashed
@abrahmanhamad3253Ай бұрын
Kuwa na akili TV ndio imeweka anashed sio Mohd bachu kaimba
@MusafirBaba-wy8khАй бұрын
Achen kuweka vinanda
@rashidikibuna8575Ай бұрын
Kenge aliyetajwa navitabu siyo huyo
@AbdulmujibAhmedАй бұрын
Ujehuku znz tukulishe guruguru mana kitu kimoja hao
@CubeedCali28 күн бұрын
Wewe bachu hunahaya
@user-rb8ir9co9k20 күн бұрын
Ww unazo hizo haya?
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui27 күн бұрын
MAWAHABI MWASHINDANA KULA KENGE😂 WAKATI MTUME ALIKATAA KULA KENGE
@user-rb8ir9co9k20 күн бұрын
Hadithi ipo?
@ayoubrashid8392Ай бұрын
Wee bachu acha njaa
@ayoubrashid8392Ай бұрын
Popote pale kama wamfuata mtume watakiwa uwe mstaarab hivo ndo Mtume alivokula........waporoja tu.......half wasmama kifua mbele kupinga maulid
@user-rb8ir9co9k20 күн бұрын
Punguza chuki
@iddmohammed1086Ай бұрын
Anaekula akiwa amesimama huyo ni..........
@suleimanmkangaАй бұрын
Nilipo ifungua hii video nilisikia mashairi bin bachu waimba mashairi ni nani vile
@allythabiti8150Ай бұрын
Siwez kula kenge hata iweje, yan naachaje kuku
@Naw89Ай бұрын
Aisee mie siwezi kula hiyo hata kwa dawa
@rajabmsinzia1715Ай бұрын
SHEHE UMEOMBA KIPANDE CHA NYAMA ,UMEPEWA TU UMEKIWEKA KINYWANI BILA YA HATA BISMILLAHI ILA MARA YA PILI ALHAMDULILLAH UMESEMA 😂😂😂
@hamidaawadh9024Ай бұрын
Kwani lazima aseme bismiLlaah kwa sauti?
@rajabmsinzia1715Ай бұрын
@@hamidaawadh9024 Sio lazima ila irudie tena kuiangalia hiyo video yaani kupewa,kupokea na kuingiza kinywani sidhani kama amewahi kusoma hata hiyo moyoni, labda amesoma akiwa bado hajapokea Allah anajua zaidi
@user-rb8ir9co9k20 күн бұрын
Kusahau ipo kwa mwanaadamu
@rajabmsinzia171520 күн бұрын
@@hamidaawadh9024 Sio lazima ila hata kwa moyoni hajasema maana ni muda mchache baada ya kupokea na kuweka kinywani
@rajabmsinzia171520 күн бұрын
@@user-rb8ir9co9k Yes inawezekana pia
@mirajimsigiti7317Ай бұрын
Sheikh bachu VIPI TENA HIZO NASHEED??
@allybobsaithАй бұрын
hio ni nasheed isiokua na ala za mziki😊
@mohammedlipindula5415Ай бұрын
Ilikua nauliza suala moja je huyo kenge huwa achinjwa baada yakumshika ama hata asipochinjwa yaruhusiws kuliwa
@hajijuma1761Ай бұрын
Vipi kuhusu popo ni halal pia
@youngtomuller-vh2puАй бұрын
Eu não consigo comer esse tipo de animal 😮😮😮😮
@IMRANITV1Ай бұрын
Mtume hakula kenge bali alikula mburu ni kiumbe anaezaa hatagi mayai,lakini kenge anataga someni musifuate tuu jazba
@KassimSalim-fi1meАй бұрын
Angalia usijelishwa nguruwe akhy
@hassanmohdally5217Ай бұрын
Yuri ndio kitu gani jmani bachu unakulaa usichokijuwas
@alisaadmohammedАй бұрын
Ni burukenge unamjua?
@KhalfanMassoudАй бұрын
Assalaamu aleikum
@eastafricaqualitychickenfa9916Ай бұрын
Waalekum Sallam
@user-rb8ir9co9k20 күн бұрын
Waalaykum salaam
@abduljecha7779Ай бұрын
Chakula cha mila. Lakini reptile kumla mushkeli.
@abduljecha7779Ай бұрын
Mtume alimkataa ki desturi lakini chinguzeni vitu anavyokula ndio utajua hafai
@saba-gv3mjАй бұрын
Yuwaliwa hakuna mushkil
@universitylinkАй бұрын
Ukila yuru utaota unashika ma euro ya pesa
@Sidrasidra636Ай бұрын
Mbona kama Bismillah hakuna! Alafu ni nyoka!😅
@fatmasalim7132Ай бұрын
Amesema Bismillah rahmaan rahiim,rudia tena umsikie
@Sidrasidra636Ай бұрын
@@fatmasalim7132 ndio ila waangalie hao wengine
@momsaa08plumbingandelectri7Ай бұрын
Kwaiyo kenge halali kula???
@saidjuma4547Ай бұрын
shekh Muhammad hahahahahah
@abdulbandari1551Ай бұрын
Je ,mamba pia halal?
@user-ow2jv4vn8bАй бұрын
Warohotu nyie
@rajabhamis8272Ай бұрын
Duuuh,,, hivi kwel Kenge analiwa !????
@Khalid-mf3iuАй бұрын
Tena vizuri sana....ila kwa wanawake sio nzuri
@awadhsalim2680Ай бұрын
Sasa kama kenge analiwa na punda karibuni tutaambiwa analiwa. Tutaona mengi kwa vile dini ishakuwa ni ushindani sasa.
@dawud6065Ай бұрын
@@awadhsalim2680 وَعَنْ اِبْنِ عَبَّاسٍ رَضِيَ اَللَّهُ عَنْهُمَا قَالَ: {أَكُلَّ اَلضَّبِّ عَلَى مَائِدَةِ رَسُولُ اَللَّهِ صلى الله عليه وسلم} مُتَّفَقٌ عَلَيْهِ Kutoka kwa Ibn ‘Abbaas (رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا) amesema: “Kenge aliliwa katika meza ya Rasuli wa Allaah (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ). [Al-Bukhaariy, Muslim]
@FatmaAbdulhalimАй бұрын
Mimi simli
@user-rb8ir9co9k20 күн бұрын
Unaogopa nini?
@luqmanomary3558Ай бұрын
Hyo kitu n tam san aloo nimeimis mno since 2000
@MdNasr-jm8pjАй бұрын
😢sijasikia km kenge analiwa haya km si haram kuleni
@user-rb8ir9co9k20 күн бұрын
Fanya na ww umuonje siku Moja
@MdNasr-jm8pj20 күн бұрын
@@user-rb8ir9co9k mhh kitu km hicho mara unadhurika mm siwez Kula kenge
@jabirothman7133Ай бұрын
😂😂
@Albanabdullah1232Ай бұрын
Yuri ndio analiwa kenge haliwi acheni ujinga,halaf nyie ndio mwajitia watu wasunna mbona mnakula haliyakuwa mmesimamah
@FatmaAbdulhalimАй бұрын
Asiekasoro hakuna
@abubakarismail6365Ай бұрын
Kweli lakini wao watu wa suna bwana wangefanya wenziwao ingekuwa KZfaq kama zote
@awadhsalim2680Ай бұрын
@@abubakarismail6365Hawana sunna wala nn ni vibaraka wa esrail na marekani.
@rajabhamis8272Ай бұрын
Sorry, @Albanabdullah1232, YURI ndo viumbe wa jamii gani !?????? Nataka kujua
@user-rs7nd1ob5uАй бұрын
فالنهي عن ذالك للكراهة فافهم يا جاهل مركب "فمن أكل واقفا فلا حرج يا غبي
@ibrahimkhatib2899Ай бұрын
Unakula GURUGURU weweee😂😂😂😂
@shahabdallah9407Ай бұрын
cha homu asaa😂😂
@mudvan2410Ай бұрын
chochote kinacho zuria au kushambulia kupitia kucha ni haramu Kula hebu twambie ushahidi wa Kula kenge bwana radi ili na sie tupate faida
@YahyaYahya-vp2ppАй бұрын
Vip kuku wenye kushambulia kwa kucha na wao ni haramu na kuna ndege wengi tu wanashambulia kutumia kucha.. Hi faqh yako umesoma wapi?
@mudvan2410Ай бұрын
@@YahyaYahya-vp2pp kaka usiwe mjinga kuku hashambulii Kwa kucha wala hakamatii kucha nimesoma na wala sikusomeahwa na malaika wa radi na wanasiasa wa chama cha salafi nitafute nikusomeshe na lazima ujuwe kwamba kuna tofaut baina ya kuzuria kucha na kukamatia kucha kwaiyo kunguru na kipanga halaal kuliwa mana kuku yeye hupekura kupitia kucha illa kuzuria huzuria mdomo
@YahyaYahya-vp2ppАй бұрын
@@mudvan2410 kama hukusomeshwa umejisomea mwenye ndio ujinga wako ilipoanzia.. Saw umesoma kitabu gani hayo uliyo yasema eliimu haina mwish niambie kitabu huenda nikafaidika nacho
@mfalmenajjash2128Ай бұрын
Shekh Muhammad uko Kenya utakula mpaka panya 😂😂
@aliathman7609Ай бұрын
mimi hata kwa bomu simli😂😂😂
@aslamswalah7852Ай бұрын
😂😅asantaa.ustadhi eeeh,nauliza fisi jee halali kumla?manake nliskia mawaidha ya manhaj salafi kuwa muislam anafaa kumlaa.
@CubeedCali28 күн бұрын
Mchafu wewe hoyuru aliliwa khaybara kwa sababu ya dhiki
@maalimahmad5726Ай бұрын
we jahili mtoto wa bachu daah leo umeumbuka kwanza ulianza kusema nashid ni sawa na ukhanithi mbili hao mawahabi wenzio mnakula kibudu kenge kwa sababu enzi za mtume alikula mburu kenge na sio kenge yuru tatu waislam mnakula mmesimama kiujumla tunawaita makafiri hakuna sehem mtume alikula kasimama kenge nyie kama nyama hiyo
@khamisswaleheАй бұрын
kaka acha kuita waislamu makafiri
@saidabdallah5448Ай бұрын
Genge ni halali. Kula kwa kusimama haina shida imeruhusiwa Masufi hamtaki kusoma
@maalimahmad5726Ай бұрын
hao ni makafiri mtume hakufundisha hivyo kama wewe unaona wako sahihi wafuate yeye ni bingwa kwa kukosoa wenzake jahil huyo@@khamisswalehe
@maalimahmad5726Ай бұрын
@@saidabdallah5448wewe ni kibaraka wake nakujua vyema hunipi tabu genge la kikatoliki mnakula vibudu
@sumaisabu9816Ай бұрын
@@maalimahmad5726wanaosoma maulid wao ndo waislam ee