No video

🔴LIVE: MBOWE, LEMA WANAUWASHA MOTO ARUSHA MJINI MUDA HUU/WAFUNGUKA MAZITO MKUTANONI

  Рет қаралды 4,207

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Пікірлер: 12
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 Ай бұрын
Arusha mmetisha Sana hamnaga mbambamba
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 21 күн бұрын
Kabisa
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Ай бұрын
Vijana wakifanya kibarua cha elfu5 anakimbilia kucheza kamari za mchina,kiroba cha elfu,anabaki na elfu1 ya kula chips dume na miguu 2 ya kuku,anakwenda kulala, asubuhi mchina anapita kwenye mabaa asubuhi na sanduku kukusanya faida ya kubet anaondoka anaondoka zake,kijana anazunguka kutafuta kibarua! Serikali inachukua kodi yake kwa mchina mchezo wa kuwafilisi vijana unaendelea...
@MichaelMwasese
@MichaelMwasese Ай бұрын
Si ndio wanchana nywele ha wa upande wa chawa tutabet mpaka m,,,,
@LubasiKashamba-ek9fz
@LubasiKashamba-ek9fz Ай бұрын
Lema hoyeeee
@MichaelMwasese
@MichaelMwasese Ай бұрын
Huwa nsikiaga cham cha kaskazini mbona ccm mnaongoza kaskazn sibwageni tuone penye mshono
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 21 күн бұрын
Hizi pesa wangikuja kutuwekea ata barabara ya kata yetu inamashimo makubwa wao wanaangalia barabara kuutu wamesitisha barabara za mitaa na vitongoji vyote nchi nzima zile pesa wanatengeza barabara za mwendokasi ili watu waone serikali imefanya
@richardhosea8827
@richardhosea8827 Ай бұрын
Hizi nyumbo kikora
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Ай бұрын
Hizo fedha za kuagiza hayo magari,na fedha za hayo mafuta ya magari mia150 yanayotumika kwenye misafara yao mirefu kl.mt5 zikiishatumika,baada ya uchaguzi tunakutana na tozo, ongezeko la kodi ktk bidhaa zote,mazao,nafaka,ujenzi nk. mpaka tuzirudishe zote tuendelee na kulipa mikopo ya nje,wao wako na viyoyozi ofisini,na kwenye mashangingi yao!
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 Ай бұрын
Hii too much kweli gari 150 za msafara kwa umaskini wetu huu!!!! Hii ni kufuru umasrufu kwa ajili ya Nini?
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc Ай бұрын
Joakim umarufi unamaanisha nini? Maana wewe una kiherrhere na ccm
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 Ай бұрын
Umaarufu
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 29 МЛН
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 23 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 4 МЛН
MHANDISI YUDA AMVAA MBOWE, TUNDU LISSU ATAUA WATU HANA SIFA ZA KUWA RAIS
10:14
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 29 МЛН