Mwanasheria Mkuu Zanzibar aibuka BMK, apiga kura kukataa Ibara muhimu Katiba inayopendekezwa

  Рет қаралды 82,354

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

9 жыл бұрын

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman leo ameibuka katika Bunge Maalum la Katiba na kupiga kura ya wazi ambapo alipiga kura ya hapana katika baadhi ya Ibara za rasimu ya Katiba. Hali hiyo iliibua maswali kwa baadhi ya wajumbe waliohoji kuibuka kwake leo wakati hakuwepo muda mwingi Bunge hilo lilipokuwa likiendelea.

Пікірлер: 65
@mbarakaiddi8209
@mbarakaiddi8209 3 жыл бұрын
Wana ccm mtatupeleka pabaya sana maana mawazo chanya hamyakubali hili ni tzz kubwa sana
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 3 жыл бұрын
ZANZIBAR kwanza mambomengine bada ishllah
@omarkanout8684
@omarkanout8684 5 жыл бұрын
Ongera othman ww ni shujaaa wa kweli na mzalendo
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 3 жыл бұрын
SAIVI AMEKUWA MAKAMO WA KWANZA
@nurisahim7898
@nurisahim7898 3 жыл бұрын
Mrisi wa hayati maalim seif
@annhann569
@annhann569 3 жыл бұрын
Amepita
@seifmassoud2686
@seifmassoud2686 5 жыл бұрын
Walitaka alinde maslah ya Ccm zanzibar na sio maslah ya Zanzibar Allah amlipe kwa wema wake Aamiyn
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Bahati mbaya sana,Mungu hapimi wema wa mtu kwa upemba wake, au uunguja wake, au utanganyika wake,,,,,
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 3 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 na kwa bahati mbaya hujui unachokiongea. Pole
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
@@nohatredbutlove5786 majibu utayapata okt
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
@@nohatredbutlove5786 pole na wewe bahati njema okt iko karibu sana
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
@@nohatredbutlove5786 nafikiri sasa umeshapata majibu yako!!!!!
@eddytech9215
@eddytech9215 9 жыл бұрын
big up attorney general
@Yussuphmm
@Yussuphmm 3 жыл бұрын
Ndio makamo wetu mtiif 2021
@topaviator
@topaviator 3 жыл бұрын
Wasenge kweli hao wanaosema hafai Kumamae leo hii wale waliomcheka wanauza maandazi na huyo mlomzomea kesho anakwenda kuapishwa kua Makamu wa kwanza wa rais
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 7 ай бұрын
Nampenda huyu mheshimiwa ❤
@adamsactwazalendo6055
@adamsactwazalendo6055 3 жыл бұрын
Wewe ni hifar sana juu ya Zanzibar
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 5 жыл бұрын
Othman umejitahidi kuitetea Zanzibar japo utakua muasi kwa ccm. Tumeona lakini nadhani ifike wakati tuchagueni watu wenye elimu, hawa wapigaji zogo hawatatusaidia.
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 2 жыл бұрын
Uko sahihi .
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 5 жыл бұрын
Ccm acheni kuwatisha wawakilishi wenu, mnamtisha mtu hadi anaogopa kusema ukweli, misimamo ya chama haitalisaidia taifa.
@bakarihamisi5638
@bakarihamisi5638 4 жыл бұрын
CCM acheni kuwatishs wabunge
@goodlucksemba1145
@goodlucksemba1145 5 жыл бұрын
Kweli muungano huu ni wa mashaka mashaka !
@gangmore9091
@gangmore9091 3 жыл бұрын
Ccm ukiwapinga ukiwahupo pamoja nao wanakutoa wamewatoa waliofanya mapinduzi ya unafikii kuitakia zanzibar mamlaka kamili so mwanasheria kutolewa so ajabu ila kunahukumu badala madaraka anaejielewa hawezi kuwapamoja n ccm
@allybakar1488
@allybakar1488 6 жыл бұрын
nyinyi mnatk muendekeze udictetr tu half mnasem hkuchaguliwa mbon rais w znzbr rais alli mohd shein mwak 2015hkuchaguliwa saiv ndie rais wetu hii ni dunia tu
@abdullaali8102
@abdullaali8102 6 жыл бұрын
Pan-Africanism or Pragmatism. Lessons of the Tanganyika-Zanzibar Union
@khamisali5978
@khamisali5978 Жыл бұрын
Hii ndo htr yakuchukua watu wa mtaani kwenye mambo yanayohitaji ELIMU.
@user-tn4tp5pe2i
@user-tn4tp5pe2i 4 ай бұрын
ccm ni sawa na gari bovu
@feiz3180
@feiz3180 6 жыл бұрын
Yahya Kassim Issa. Wewe mzeee umeptelea wapi?//.
@utaani1
@utaani1 9 жыл бұрын
Top man
@ashuraatanas5967
@ashuraatanas5967 7 жыл бұрын
wa tz hawa wabunge wenu mbona wajinga sasa unamlazimisha mtu apige kura unayotaka wewe huo ni upuuzi
@fahdihasnuu9034
@fahdihasnuu9034 4 жыл бұрын
Lazima awe mjinga maana yeye hajasoma
@hajimakame9555
@hajimakame9555 3 жыл бұрын
Tumechoka kuburuzwa
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 3 жыл бұрын
KINA APEDOMIA
@allybakar1488
@allybakar1488 6 жыл бұрын
znzbr kwanz tunatk znzbr ytu
@bakarihamisi5638
@bakarihamisi5638 4 жыл бұрын
Zanzibar niwajinga sana
@saidybhoky-lb7hg
@saidybhoky-lb7hg 3 ай бұрын
wengi walikuwa wakalia viti
@godfreyachireka3311
@godfreyachireka3311 9 жыл бұрын
VERRY GOOD
@salehabri6957
@salehabri6957 3 жыл бұрын
Samuel sitta wa ukweli, Mzee dawa
@mohammedkhalfan2085
@mohammedkhalfan2085 5 жыл бұрын
Kwa kweli CCM zanzibar wanatuuza kwa Watanganyika looo
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 4 жыл бұрын
Sanaaaaa
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Bado una mawazo ya kisultani!!
@alluuutamimi5436
@alluuutamimi5436 9 жыл бұрын
shujaa anabaki kuwa shujaa tu
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 5 жыл бұрын
alluuu tamimi hahahaaa ,,,mwisho akatumbuliwa!
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 , Kwani hakujua kua atatumbuliwa? Jamaa ni shujaa mpya wa zanzibar. Namfananisha na Maalim seif Sharrif!
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
@@farhatfatma12 maalim seif wala siyo shujaa kama unavyodhani, maalim ni mnafiki anayewachuuza wajinga huku yeye akila kuku kwa mrija,,,,huku nyie wajinga mnabaki kupiga makofi, kiasi ambacho hata huyu mjinga mpya ameingia kingi!!
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 , Ni kweli na ndio sababu CCM mpaka leo wanatumia ma billion ya tax payer kumrudisha nyuma ili achukiwe na siwe na wafuasi . Mtu wa aina hiyo wewe na ccm wenzako munamwita mnafiki. Kuna link ya kura ya maoni sasa inatembea kupendekeza nani agombe uraisi zanzibar. Maalim amewapita wenzake kwa kura nyingi sana mpaka sasa, tena ni vijana. Anaemfwatia ni huyo Othman Masoud unamuona wewe pia kua tatizo kwa kuitetea nchi kule bungeni. Watu kama nyinyi mupo wachache duniani munao shindwa kutafautisha kizuri na kibaya. Maalim ataendelea kua shujaa wa nchi yetu ya zanzibar. Alikubali kupoteza nafasi nyingi za juu serikalini kutetea zanzibar yetu na uhuru wetu. Tunampenda wenyewe na nyinyi muna haki ya kumpenda mumtakae. Maneno yako hayaturudishi nyuma. Ramadhan Mubarak!
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
@@farhatfatma12 ubwege huo,,,,maalimu huyohuyo ndio alimuuza Jumbe kwa Nyerere!!
@pastoryconrad3075
@pastoryconrad3075 9 жыл бұрын
wasomi hasa wa sheria ni wajanja wajanja sana
@zachariamjungu6456
@zachariamjungu6456 9 жыл бұрын
Even if is democracy but this is a Hippocratic criticism because he didn't even participated the session to give his views as far as his status is concern.
@gangraa
@gangraa 9 жыл бұрын
For the sake of argument, had he voted YES would they've raised the same criticism?
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 3 жыл бұрын
@@gangraa point👌
@elenestjackson129
@elenestjackson129 6 жыл бұрын
We pumbavu wa ccm
@aliyaliya2040
@aliyaliya2040 2 жыл бұрын
Hamfanyinyi wanafiki
@alfredsima7686
@alfredsima7686 7 жыл бұрын
katiba wap
@rajabmsenga7234
@rajabmsenga7234 9 жыл бұрын
Niwakati wa mabadiliko
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Mzembe huyu!!!
@rashidalihamad7228
@rashidalihamad7228 3 жыл бұрын
mzembe mama ako alietobwa na baba ako akakuzaaa wewe, zanzibar kwanza
@suleimanali9350
@suleimanali9350 3 жыл бұрын
@@rashidalihamad7228 Zanzibar fast 💖💌
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 2 жыл бұрын
@@rashidalihamad7228 unafirwa na baba yako wewe!!
MBUNGE KHATIB AICHANACHANA BAKWATA, AULIZA MASWALI MATATU MAZITO
11:07
Mwananchi Digital
Рет қаралды 167 М.
KAMATI YA MARIDHIANO SIX JUSSA JUSSA JUSSA 14 APRIL 2014
29:33
Kamati Ya Maridhiano
Рет қаралды 142 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 34 МЛН
Lukuvi atoa kauli ya kichochezi Kanisani
11:06
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 30 М.
8. Kuundwa Afro Shirazi Party, Zanzibar
14:24
MzeeBarwani
Рет қаралды 21 М.
Tundu Lissu alivyo fyatuka Bunge la Katiba
6:02
Chadema Diaspora
Рет қаралды 341 М.
Wajumbe wa Katiba wagombea nyaraka, Hati ya Muungano yaleta utata
4:38
Mwananchi Digital
Рет қаралды 18 М.
Kamati ya Maridhiano Six:Mhe Tundu Lissu April 16 2014
10:45
Kamati Ya Maridhiano
Рет қаралды 244 М.