No video

MWITA WAITARA 'ALISIMAMISHA' BUNGE, ATUNZWA FEDHA KWA NONDO ZAKE KUHUSU MKATABA WA BANDARI

  Рет қаралды 121,367

Daily News Digital

Daily News Digital

Күн бұрын

#ikulumawasiliano #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo #wizarayaafya #wizarayaulinzi
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...

Пікірлер: 426
@rosemayunga4021
@rosemayunga4021 Жыл бұрын
Shezi hakuna kitu kichwani mwenu . Mungu tusaidie .
@burnmotto1876
@burnmotto1876 Жыл бұрын
Umeongea vizuri sana "ila kuhusu kuwashughurikia hapo namashaka na yale yote ya huko nyuma", kumbe wew na wenzio ndio watu msiojulikana, nimeanza kuelewa sasa
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
Kajiweka wazi
@malilacollins11
@malilacollins11 Жыл бұрын
Mnatuuza sisi masikini nyiye family zenu ziko ulaya mungu atawalipa
@petergachuma6039
@petergachuma6039 Жыл бұрын
Hawa wamelishwa sio bure sio kwa maneno hayo ila mungu anawaona😭😭
@deusndyamkama10
@deusndyamkama10 Жыл бұрын
Kama hawa ndo wabunge wetu, tunayo safari ndefu sana.
@Liliana-mc2su
@Liliana-mc2su Жыл бұрын
Unamwanasheria🏃🏃🏃🏃
@wilemkwembe-ye5fm
@wilemkwembe-ye5fm Жыл бұрын
mwita umechemka badala kujadili mikataba unamjadili mbkye huu co wakati wa kampeni nilkuamini Sana kumbe umepotea fikra suala la bandali co la ccm la nchi ya Tanzania
@masatumtani1588
@masatumtani1588 Жыл бұрын
Njaaa mbaya sana
@sierraminingltd1590
@sierraminingltd1590 Жыл бұрын
Tanzania nimeamini kuna wizi mkubwa sana ukianzia kwahawa viongozi wote wakitaifa
@issaahmad1264
@issaahmad1264 Жыл бұрын
Kumbe kuna wabunge ambao akili ni chache sana!!
@flaviankitowa5439
@flaviankitowa5439 Жыл бұрын
Waitala analinganisha barabara na mikataba yake na sgr kweli na bandari mbona tofauti sana
@osos9073
@osos9073 Жыл бұрын
Tuoneshe mikataba yake
@flaviankitowa5439
@flaviankitowa5439 Жыл бұрын
Chifu wa kikulya huyo akili ipo wapi hapa mkataba na kukodishwa bandari wengine wanasema sawa hakuna sawa hapa mnatuuza jibu fupi
@israelherman4984
@israelherman4984 Жыл бұрын
Mungu tuokoe na mikono ya wanyanganyi hawa bungeni hatuna watetezi Ila watu wa ajabu hivi kweli mnakubali kuingia mkataba wa bandari lango la uchumi huo ni zaidi ya uchizi
@tabithadaniel7364
@tabithadaniel7364 Жыл бұрын
Sgr, tanzanite si ni mkataba wa ujenzi na sio uendeshaji kama ilivyo kwenye bandari
@josephmapunda1761
@josephmapunda1761 Жыл бұрын
Hajielewi, hapa tunaongelea kugawana mapato, SGR na barabara tunalipa vibarua
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd Жыл бұрын
Mtakumbukwa na vizazi vyote kwa kuuza bandari
@reubenbegashe2066
@reubenbegashe2066 Жыл бұрын
Mwita mwita mwita, Mungu anakuona
@petermahimbo3458
@petermahimbo3458 Жыл бұрын
Sasa ubinafsishaji na ujenzi mbona nitofauti
@oswardndilahomba2903
@oswardndilahomba2903 Жыл бұрын
Huyu sindo alilia machozi na akalalamika anaonewa 😂😂😂
@judithgeorge1756
@judithgeorge1756 Жыл бұрын
Haha 😅😅😅😂🤣😃😸
@amosnjiaapostle
@amosnjiaapostle Жыл бұрын
Mikataba ya kujenga standard gauge,Daraja la busisi ni tofauti na kuweka mkataba na kubinafsisha bandari mlevi wewe watanzania wa sasa siyo wajinga hivyo
@yahayagimbu4216
@yahayagimbu4216 Жыл бұрын
tofauti yake nn mapenzi si eti.😂😂
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Kwani ww bandarini kuna ndugu yeyote anae fanya kazi au we mwenyewe,tutulie basi acha bandari iboreshwe watanzania wapate fufsa za kazi
@osos9073
@osos9073 Жыл бұрын
Tuoneshe mikataba yake
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Mi naona wewe hujaelewa maana ya mkataba..hata ndoa ulioifunga kama umeoa ule ni mkataba ...
@theonaskalyalya9109
@theonaskalyalya9109 11 ай бұрын
Mwita maneno yako hayana mashiko kwani wewe unajipendekeza ili uteuliwe na huna akili wakati upo upinzani ulisema ccm wabovu tumia akili
@benjaminkapelah7664
@benjaminkapelah7664 Жыл бұрын
Best speech
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 Жыл бұрын
Hamna kitu hapo mropokaji tu huyo.anadhan kuongea kama anahubiri ndio point
@nedkatunge5702
@nedkatunge5702 Жыл бұрын
Hela bwana ni balaa 700m kwa kila mbunge zauza bandari aida hongera sana kwa mchanga wako mzuri lkn isiwe danganya toto ukachukua 700m halafu ukapangwa kuongea negative hukumu itakumaliza
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 Жыл бұрын
Asanteni mh. mwita kwa kulijenga Taifa, Tuko pamoja na mh Rais
@TheSalimMash
@TheSalimMash Жыл бұрын
kwakweli
@ed3ezekiel388
@ed3ezekiel388 Жыл бұрын
Trust nobody hata huyu nae kabadilika😂😂😂
@peterkitinga8752
@peterkitinga8752 Ай бұрын
Yan huyu jamaa sio yule ambaye alitoa sauti kutetea watu wake SAIVI katulizwa Kawa chawa
@athumanijuma8404
@athumanijuma8404 Жыл бұрын
Aliye kua analia kwasababu ya mikataba ya hifazi kuzulumiwa wananchi leo anashelekea mkataba wa bandali kweli tanzania nikichwa Cha mwenda wazimu
@SmithJamesMalumalu-gj9sn
@SmithJamesMalumalu-gj9sn Жыл бұрын
Kala hongo huyo.
@annahalale9083
@annahalale9083 3 ай бұрын
We mkuria unachonganishe Wana siasa msifuate hayo ni blblaa tu.
@annahalale9083
@annahalale9083 3 ай бұрын
Tope tu.
@munuoisaack418
@munuoisaack418 Жыл бұрын
Huyu jamaa walimtenda juzi akawa analia machozi leo anaongea kama jasiri kumbe****
@matikughati5864
@matikughati5864 Жыл бұрын
huyu leo amepewa nini ameacha kulia
@stephenmasolwa8680
@stephenmasolwa8680 Жыл бұрын
Na Speaker ameenda kisiasa kwa kusema, “Naona hoja imeungwa mkono” bila kuita kura au formal procedure.
@saulikiwali1045
@saulikiwali1045 Жыл бұрын
Mwita utakuja kuomba kura utatujua sisi wanannchi kama ndo tulicho kutuma huko ushahongwa fisadi mkubwa nyie tunamkumbuka makofuli sana sana hii serekali haifai hata kidogo wabinafsishe Zanzibar
@jescaedwardkurumela4333
@jescaedwardkurumela4333 Жыл бұрын
tulichokutuma mwita ndo hicho kweli??🤣🤣🤣
@thomastemu3332
@thomastemu3332 Жыл бұрын
Waitara umeongea pont big up
@mpondaambrose2231
@mpondaambrose2231 Жыл бұрын
Kenge hata ukimwagia maji hawezi kuwa mamba
@msomaliwilliam
@msomaliwilliam Жыл бұрын
Mmbunge mwita waita sio mwaminifu.aliwaacha wananchi WA Jimbo la ukonga soremba amba walimpigania nakupata ubunge. Akakimbilia c.c.m Sasa hivi Hana Kiki kazi kulia kulia tu.kwakifupi yupo Kwa masilai yake tu
@ramadhaniharuna5441
@ramadhaniharuna5441 Жыл бұрын
Mwita huwa hana tofauti na Babalevo au Mwijaku, Chawa pro max wa CCM, Aliishiwa kwa ulevi na wanawake, Akaja kurubuniwa kama Mwajuma misupu, Sasa ataongea nini zaidi ya unafiq kama Yuda Eskarioti.
@emmanuelmogela5871
@emmanuelmogela5871 11 ай бұрын
Ungejua Hali ilivyo huku mtaani Mungu anakuona haya shibeni ngoja tuteseke Mungu atapata nafasi
@gracemagereli93
@gracemagereli93 Жыл бұрын
Sasa huyu amechangia nini kwenye mkataba au analeta mipasho bungeni
@VeronicajTemba
@VeronicajTemba Жыл бұрын
Mbowe hajakosea chochote Kwan Zanzibar hakuna bandari mnatuuza lkn yupo Mungu
@esperancenathali
@esperancenathali Жыл бұрын
Huyu hana akili na hajuwi akisemacho anatafuta mi sifa tu 😂na anatafuta cheo tu mlevi huyu 😊
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Mbowe amefilisika mawazo kwa sasa....tumpuuze tu
@mussamalekela2107
@mussamalekela2107 Жыл бұрын
Kakosea sana analeta fitina, kwa hiyo ndio tuseme wanzabar walivouwawa baada ya uchaguzi lilikuwa agizo la Rais mtanganyika sio hskuwa na uchungu kwa wazanzibar?
@lightnessshirima9062
@lightnessshirima9062 Жыл бұрын
Maisha nimafupi, nasikitika sana kwa upuuzi mmao ufanya wana siasa,,,,vilio vyawatanzania haviendi bure,,,,,😢😢😢😢😢 Tanzania yangu jmn, light magufuli mwingine apatikane ili kuwasaidia wanyonge
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 Жыл бұрын
Mbunge huyu, anaitetea na kuisemea serikali kama kwamba yeye ni msemaji wa serikali ! Ndio aina ya wabunge wetu hii ! !
@user-nl7me7yw3g
@user-nl7me7yw3g Жыл бұрын
Kazi ipo kwa hali hii maana namzidi hadi mie kwa hoja huyu jamaa.
@OPERATORSGARDAWORLD
@OPERATORSGARDAWORLD Жыл бұрын
NAAMINI HILI NI BUNGE LA CCM MTAJUA WENYEWE
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Umeletwa Bungeni Mjue Kuchambua Kwakuwa Ameona Ilo Ni Zigo Kubwa Sasa Mchambue Wazi Nasio Kutoa Sifa Na Mipasho Iyo Sio Sawa
@user-rs3yu6lg2o
@user-rs3yu6lg2o 11 ай бұрын
Kaka mungu akuripe kwamaoni uriyoyatowa bungeni sikutegemeya mwita waira ongera kaka namungu atakuripa
@JoakimKalunde
@JoakimKalunde 4 ай бұрын
Watanzania wanaumizwa na mkataba ila hawana namna .kunafaidagani kuleta mkataba ambao wenye nchi hawataki ila wabunge mnang'ang'ania kunanini nyumaake
@RaphaelHhari
@RaphaelHhari 11 ай бұрын
Kwa kila kitu ndani ya nchini chama cha mapinduzi kina wajibika ikiwemo asilimia 25 ya mazuri huku 75% ya uchafu
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Mara kama mara umewaakirisha ,asante jamqni tusibaguwane tumeoleyqne mie msukuma nimeolewa Mara,dada yangu kaolewa na warabu bibi yqngu aliooewa na wangoni babu yqngu asiliyqke mnyamwezi ni vurugu nechi
@marysona9999
@marysona9999 Жыл бұрын
Nyie wabunge subirini majibu ya MWENYEZI MUNGU Subirini.
@aishaabubakar4504
@aishaabubakar4504 Жыл бұрын
Kwenye vitu serious analeta kulamba matako watu
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Mwita hapa umegonga maji huwezi kulinganisha mikataba ya ujenzi wa infrastructure na mikataba ya kuendesha taasisi kama Bandari. Hapo umepiga pumba!
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s Жыл бұрын
Kiukweli. Hao wabunge wamelishwa. Posho ya kutosha. Wao ni sifa tuu. Hawana uchungu na wananchi. Bunge hili msema aliyebobea uongo. Ndio anatakiwa. Sawa. Wekeni pamba tuu mungu anawaona magu alikataa ninyimnapitisha
@user-ze5yc9fl2z
@user-ze5yc9fl2z 11 ай бұрын
Kweli Nyerere ALIISEMA huu ni mpango wa shetani
@rashidmkinga5761
@rashidmkinga5761 Жыл бұрын
Umeongea vizuri, mwisho ukaharibu tena
@abubakaranwar337
@abubakaranwar337 Жыл бұрын
Wewe mkataba WA mdagani Bob mbona amuweki waz na wanaichi wanapewa in nini
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 Жыл бұрын
Kwanza sisi watz kazi hatuwezi tunajua wizi tu bora apewe muwekezaji
@jacksonkendavis8689
@jacksonkendavis8689 Жыл бұрын
Emotions shouldn't replace facts..
@reganringo9058
@reganringo9058 Жыл бұрын
Asante
@victaboy7273
@victaboy7273 Жыл бұрын
Yaani kati ya upuuzi uliopita kiwango ni mwanaume mbunge, kusifia ety Raisi ametuletea pesa, yaani sielewi alichochangia. Na hawa wabunge ndio mambo uakienda ovyo watatoka mbele kukosoa na kujiweka kando na uamuzi huu. Sasa sielewi, hivi ni kweli hawa wabunge wanawakikisha wananchi au wanawakilisha njaa zao???
@anthonypatrice5247
@anthonypatrice5247 11 ай бұрын
Mikataba uliyotaja haifanani na bandari ila kweli mheshimiwa sijakuelewa kabisa hiyo ni out of point
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 Жыл бұрын
Udhaifu tulionao kwa Sasa ni kupata wanaume majasiri Tena watakaoturudisha kwenye misingi imara Hawa wa bungeni wamesalimisha uwezo wao kwa wanawake
@stephenmasolwa8680
@stephenmasolwa8680 Жыл бұрын
Lakini uamuzi ulifanyika bila ushirikwaji wa wananchi! “The cart before the horse”.
@denisyohana8104
@denisyohana8104 Жыл бұрын
waitara ulipewa mlungula nini mbona leo umetem cheche sana😅😅😅
@azardjumah3351
@azardjumah3351 Жыл бұрын
Sasa huyu Mzee cjaelewa hoja yake
@user-ej8kd4og1c
@user-ej8kd4og1c Жыл бұрын
Hv huyu waitara ndo yule magufuri alie Miami Leo ndo anamsema Vinaya.kweli unafiki kitukibaya na hela ilimuua yesu .tunamwambia watu wa Tarime AMEJISUMu mwenyewe
@mbarakamwande4071
@mbarakamwande4071 Жыл бұрын
Salama, unafaa kuwa kiongozi, walio kuchagua hawaja kosea.
@rosemayunga4021
@rosemayunga4021 Жыл бұрын
Ita wew mama yako siyo sisi . huyo ni mama yenu wabunge sawa sawa wandugu zanguni
@esterkiyongo2316
@esterkiyongo2316 Жыл бұрын
Mungu atusaidie Hawa wabunge tunapowachagua tuangalie je wanauchungu na nchi au wanaangalia matumbo Yao na familia zao. Mungu simama utupiganie sisi wa nyongee wewe hushindwi kitu ulimungusha Farao aliyekua na Jeuri kubwa na Kiburi 🤲🤲
@mosesallanadam1955
@mosesallanadam1955 11 ай бұрын
Kutokubaliana na wapinzani hakuna maana wabunge hawana uchungu na Watanzania. Ni karata tu za udanganyifu kuwa wapinzani wanazitumia nafasi zilezinazonekana dhaifu nakuwa mwiba Kwa CCM kumbe wananyofoa vipengele hawasomi mpaka mwisho, mfano ibara ya 23 ya IGA kati ya Tz na Dubai licha ya kusema hakuna kujitoa Kwa nchi WAHUSIKA, inapofika kwenye migogoro na usuluhishi Ibara ya 20 inatoa mwongzo jinsi ya kusahihisha migogoro, na Kamwe hutavwasikia wapinzani wakiisema hii. Kwanini? Nia ya wapinzani ni kuwadanganya Watanzania kuwa CCM Haina uchungu Wala Nia nzuri na Watanzania, jambo ambalo sio kweli.
@jeremiahkaliwa741
@jeremiahkaliwa741 Жыл бұрын
Mbowe Yuko sawa na asiombe radhi kwenye Jambo Hilo
@leonardalphonce8924
@leonardalphonce8924 11 ай бұрын
yani hujui mkataba wa ujenzi ni tofauti na mkataba wa wekezaji umelewa na mapombe yako
@magemagrita2265
@magemagrita2265 Жыл бұрын
Lakini kma watu wa nchi hawataki hayo makubaliano kwanini msisitishwe
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Kama hutaki ni wewe ,usijumlishe kila mtu
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 11 ай бұрын
sisi tunao elemewa na matatizo hatuja kuelewa hata kdg acheni kujitetea waisi makubwa nyinyi
@barakalomnyaki7530
@barakalomnyaki7530 Жыл бұрын
Mama katupanga uwo mkataba watakao nufaika ni wazanzibari zanziba inaenda kua kama dubai na ndio makubaliano
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Жыл бұрын
Kweli tatizo la wabunge wakubebwa tu nakuwaweka ati wanaccm! Sasa huyu anaongea kwani hiyo ilikuwa serikali ya nani si CCM kwahiyo ninyi mnataka watazamaji. Sasa mbona sasa bandari za Zanzibar hazimo?
@ChongemarwaChongemarwa-qz4hy
@ChongemarwaChongemarwa-qz4hy 11 ай бұрын
Umeogea point
@philemonsavutu1543
@philemonsavutu1543 Жыл бұрын
Huyu waitara kasahau siku alotoka bungeni akilia leo ndo na yeye anatukana watoa hoja wenzake
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Жыл бұрын
Safi sana mwarimu katuvesha madabwada napakareo eshima yakeipo waitara unajiyerewa safi sana tena sana mimi nipo south africa nafuatiria safi sana tena sana mungu akujariye
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu Жыл бұрын
Hakuna wabunge hapo
@RineNzingalubare-fi3wo
@RineNzingalubare-fi3wo Жыл бұрын
Kizuri mtakufa tu na hayo mapesa mtayaaacha.
@malembobulongo3856
@malembobulongo3856 2 ай бұрын
Aisee hiii hatari sana
@drankskhally7019
@drankskhally7019 Жыл бұрын
Hakuna anaepinga uwekezaji tunauliza uwekezaji wa muda gani na mkomo mpaka lini sasa waitara swala la kumtoa mtu gerezani asiseme ukweli da waitara unakera uwe unafikiria nini
@TOUNDISELASSIE-xj8oy
@TOUNDISELASSIE-xj8oy Жыл бұрын
Akili zetu zituongoze watanzania katika suala hili la bandari. Binafsi siafiki. Kwasababu moja, tuache kuwaweka watumishi wa ngazi za juu na ngazi za chini kwa kujuana. Kushindwa kuiendesha bandari kunatokana na watumishi kufanya kazi kwa maelekezo, na sio kwa elimu yake. Baadae kazi inaenda hovyo hovyo. Leo mnapiga makofi kuwarudisha waarabu. Binafsi sijasahau historia ya babu zetu kutobolewa visigino. Na ni maajabu ya dunia, katika watu milioni sitini na moja hakuna mtu ama wa kuisimamia bandari kama viongozi? Nawaomba wabunge kueni makini mnapojadili mambo ya msingi ya nchi. Niliwapima wakati wa mjadala wa mashoga, mlikua mnaongea mambo mengine binafsi siwezi kuandika hapa. Ila yalikua yanakera. Leo mnajadili hoja ya msingi kupitia mikono kwa kupiga makofi. Chama cha mapinduzi naamini mnaliona hili suala, kama halikuwepo kwenye ilani ya 2020, basi bandari likabidhiwe jeshi letu la kujenga taifa. Ili kama taifa tujipange namna ya kuiendesha na kusimamia bandari zetu kiraia. Waarabu ni moja watu wanaoitamani Tanzania iwe yao. Tusikubali ndugu watanzania. Bandari tuindeshe na kuisimamia wenyewe.
@mafioso26411
@mafioso26411 Жыл бұрын
Ni bora ukauliza kuliko kushauli usichokijua
@mussamalekela2107
@mussamalekela2107 Жыл бұрын
Kumbe tatizo ni waarabu!!! Umeeleweka vizuri kwa kutapika nyongo
@saulikiwali1045
@saulikiwali1045 Жыл бұрын
Kweli kabisa lkn wamehongwa hiinchi niyawapiga dili kuanzia raisi na mawaziri na wabunge nivilaza kabisa sijui wanafanya nini humo bungeni!!!!
@nikky4757
@nikky4757 Жыл бұрын
Mimi mwenyewe nilikuwa siungi mkono ila ukiangalia hoja zipo wazi .Dubai hawaji kuiongoza bandari ila wanakuja kuwekeza katika bandari na mtu anapoweka pesa means na yeye atafaidika inawezekana hatuna uwezo wa kuwekeza wanachokuja kukiwekeza mwaarabu au hatuna uzoefu na ubobezi wanaouleta lakini kwa mimi hoja kuu ni urefu wa mkataba utakao letwa ukumbuke hii uliopelekwa bungeni si mkataba ila ni muongozo utakao tumika kwenye uandishi wa mkataba,hoja ya pili ni uwezekano wa kuvunja mkataba endapo tutaona dalili zozote za ukiukwaji wa makibaliano ya mkataba ambapo ina wezekana japo hakuna mbunge aliyeeleza wazi hukusu hili Cha msingi ni kwamba kama kwa sasa tunaweza kuingiza mfano 1m na mategemeo ni kuingiza let say 5m ambayo tutachukua 3m muwekezaji akachukua iliyobaki it mean tumeongeza pato na kama mkataba ukiwa na urefu ambao reasonable chini ya miaka 25 depend na kiasi atakachokiwekeza miwekezaji means baada ya mkataba kuisha tutachukua faida yote Cha msingi ni hiyo mikataba itakayoingia serikari ifate muongozo huu na kipengele cha urefu wa mkataba na mgawanyo wa mapato kati yetu na muwekezaji viwe wazi Tusije kusikia nikataba ya miaka 100
@abubakarymbadjo1275
@abubakarymbadjo1275 Жыл бұрын
"KUMBE ISSUE" sio Mkataba bali una chuki binafsi na MWARABU....! Kwani wazungu walishawahi kukutendea wema.......!😂 Wangu mtazamo@mbadjossa
@JosephShuaka-fh5xm
@JosephShuaka-fh5xm Жыл бұрын
Waitara umenikera kimoja tu. Ulipoanza kutaka democracy ife, pale ambapo, unataka wale wanaotoa mitazamo yao kunyamaza kimya, waitara, waitara, one day upon the time, you'll be careful of your deeds.
@respiciuskabigumila5246
@respiciuskabigumila5246 Жыл бұрын
Eti mbunge anauliza mikataba ya miundombinu yetu kama wameona,huu upuuzi! Maskini mwita kaweuka
@feiswalsalim2117
@feiswalsalim2117 2 ай бұрын
samahanii mikataba inapitishwa wapi jee inapitishwa kwa tume husika kabla yakupelekwa bungeni
@jamesmwambyale6585
@jamesmwambyale6585 Жыл бұрын
Kwa bunge hili Bora nchi isiwe na bunge maana huyo huyo ndo analia tena ndo anasifia achana na hapo hoja bandari yy anaongelea miradi ya kwao huko duuuh af eti tuna bunge
@elyotchisanga138
@elyotchisanga138 Жыл бұрын
Ndugu hakuna kitu Kama hicho , mama kakosea ,tusifichane
@georgehape5298
@georgehape5298 Жыл бұрын
Makosa yaliofanywa yameleta wabunge waaina hii
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 Жыл бұрын
Mliuuza Loliondo mpaka Sasa wananchi wa eneo hilo wanataabika wananyanyashwa
@user-zw7xm2yp8g
@user-zw7xm2yp8g Жыл бұрын
Kazi iendelee,
@ludobudege1662
@ludobudege1662 Жыл бұрын
Waitara njaa sana Raisi eti aitwe mama wa taifa kivipi na mikataba ya KIPUMBAVU hayati MAGUFULI alisema tutamkumbuka
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Utamkumbuk kwa ishu gani
@saidimkangwa716
@saidimkangwa716 Жыл бұрын
ule sio mkataba Nile ni kazi ya construction sio ubinafsishaji wewe bwege
@msabahafarijara2656
@msabahafarijara2656 Жыл бұрын
Dah mwita umezingua Leo .. kwahiyoo Magu alikua anakosea Katika mikataba ya hiyo miradi uliyo taja? Başı tuambieni alikosea wapi?
@user-hd3sf7ty9c
@user-hd3sf7ty9c 3 ай бұрын
Kweli Dunia acheni itwe Dunia hivi waitara ukuwai kua waziri kipndi Cha magufuli mbona ukuwai kumshauri aweke bayana mikataba ya miradi
@partysekemi5
@partysekemi5 Жыл бұрын
Ametumwa huyu hata spika hataki kuruhusu taarifa machawa wote
@marcomisana6640
@marcomisana6640 Жыл бұрын
NDUGU Waitara Mwita, Anatafuta uwaziri,ni msaka tongue huyo, Mheshimiwa mbowe yeye alitahadharisha tu kuwa watu wasije kufikiria Vinginevyo...!
@qiifilm
@qiifilm Жыл бұрын
Hawa ndo wawakirishi wetu, what joke! this is what to say to us, colony age is coming. Soon TRA mwekezaji atapatikana
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 11 ай бұрын
Nimeamini kwelii baba wataifa hayupo Hawa wapenda laha watatumaliza Kwanza wanalindata wanapenda sifa nakujivunia malizetu Mimi wewe mbunge huwezi kuongea eti move katolewa ipo siku utaonja nawewe
@malcomx4067
@malcomx4067 Жыл бұрын
Mwita naye amekuwa Chawa leo... Duh hii nchi hainabaati kabisa.
@mussamalekela2107
@mussamalekela2107 Жыл бұрын
Wewe ulitaka awe kunguni? Kama huyo kilaza wenu mbowe!, kila jambo la maendeleo mnapinga mnatakaje? Au mpaka Rais awe john sio!
@petrokinorya4038
@petrokinorya4038 Жыл бұрын
Tupo wengi Tz Kwa wachumia tumbo Kwa maslahi binafsi na ndo maana msukuma anawatukana
@innocentsulle-bn3uj
@innocentsulle-bn3uj Жыл бұрын
Punda katikati nyumbu ni shida sana
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 Жыл бұрын
Alichosema Mbowe ndiyo ukweli na utabaki hivyo hivyo.
@lemalema3613
@lemalema3613 Жыл бұрын
Mimi sisemi kitu, kwani mwenye macho haambiwi tizama.
@eliabumwanakulya3116
@eliabumwanakulya3116 Жыл бұрын
Wabunge tulio nao kwa sasa ni bureee kabisaaa,hawana msaada kabisa. Nchi tajiri yenye rasilimali nyingi kweli,hazijadiliwi hoja za namna ya kutumia rasilimali zetu Bali uchwara tuu. Wamejaa unafiki mwingii
@Emanuelkimondo
@Emanuelkimondo Жыл бұрын
Fkilien matokeonya mda mrefu so mda mfupi huu uwekezaji kwa miaka ijayo itatuacha katka hali mbaya ya kiuchumi
@user-lp8vs2ik2d
@user-lp8vs2ik2d Жыл бұрын
Akiamungu utafika mbinguni umechoka waitara kumbuka ulipo toka
@kikalarashid9003
@kikalarashid9003 Жыл бұрын
Safi sana!!
@fatmamsindi4612
@fatmamsindi4612 Жыл бұрын
Mhe. Waitara wewe una akili sana.Ubarikiwe sana
SPIKA AAGIZA SAUTI YA MBOWE ICHEZWE BUNGENI, "TUSIPOTOSHE"
18:33
Daily News Digital
Рет қаралды 221 М.
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 15 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 76 МЛН
Miaka 14 ya Katiba: Nguvu za wananchi kwenye Katiba
4:14
YALIYOJIRI ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI KENYA
2:53
Daily News Digital
Рет қаралды 216
NAPE ATINGA IKULU/AMUOMBA MSAMAHA RAIS MAGUFULI.
2:58
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 81 М.