Ah Mola, Atubarbari Amin, mtu mzuri, haishii, maishamiingi... ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@athumanyusuph10992 жыл бұрын
Daaah jembe wew ulikuw noma sana....unaenda location mwenyew nakujiridhisha R.I.P mwamba hakika Mungu alikuumba wa kipekee...ndo tunakukumbuka sasa
@ABRAHAMTUNGULULU3 ай бұрын
The best president ever seen in the world
@lillybaybelillybaybe71542 жыл бұрын
Kipenzi chawatanzania mungu akupe pumziko la milele
@HermanKinyaiya8 ай бұрын
Longolongo nyingi Sana,SISI.
@omarramadhani30544 жыл бұрын
Mpe nafasi mzee mkweli na jasiri big up uzalendo mbele
@joakimndaliNdali10 ай бұрын
Zealand
@CharlesHiza-kp5xd9 ай бұрын
P
@bakarimustapha97532 жыл бұрын
Mungu akulaze pema innalilah waina ilaih lajiun
@ericonyuro78855 ай бұрын
I wish he would have been our kenyan president
@UpendoMwalongo-kj9je7 ай бұрын
Jembe limeondokaà tumwombee
@sabriamber17069 ай бұрын
Mola akuweke pema peponi kwa kazi ya maana uliyo jitowa mhanga R.I.P ulibakisha shahada tuuh na kwa hilo sito kuhukumu kwani mjuzi zaidi ni Allah Mola Rahmani Aliye Tukuka.. ulikuwa wangu wa dhati Tumetoka kwake Allah s.w.a na kwake tutarejeya
@emanuellukumay91514 жыл бұрын
Mmmmhhhhhh Atari!!?? Huyu ndo raisi anayefaa kuwaongoza watanzania
@user-cq5rs5in2y8 ай бұрын
Mm sina chakusema nalia lia tuu nahisi kufakufa tuu huyiu mzeee ninoma
@user-kd5os4ik8w8 ай бұрын
Hata2ixh miaka1000 ha2 jipata laix 12:17 12:20 kamahy jaman mngu amuweke mahali pema
@bernardmasafu52656 ай бұрын
H.E JPM was a great hands-on leader and truly his style could ensure corruption and malfeasance had no place and citizen got value from investment. Other African leaders can learn a lot from the exhibited leadership. May Mzee RIP utakumbukwa milele!
@user-kg3cr9gg1h2 ай бұрын
Umeumaliza mwendo unclee huna bayaa🙏
@beatbyrich28913 жыл бұрын
he was the Great.. Rest in Peace JPM the president
@graceyohana17334 жыл бұрын
Mlisubiri sana watu wa nachingwea.
@mariammalendeja3709 ай бұрын
watanzania hatuna tofaut na watoto wa wayaudi walomlaki bwana yesu na kupiga vigelegele kumbe wanataka kummaliza sa hv mmesahau haya mnawapgia makof mafisad kisa mpate kula
@luchaxtz7 ай бұрын
rest in eternal peace my one en only president 🎉🎉🎉
@HermanKinyaiya8 ай бұрын
Duh!!,ndiyomana wakakuondoaDUNIANI."pumzika kwa AMANI baba.
@SuperToll-ec5mzАй бұрын
kwahyo huyu alkua anashangiliwa na yeyote sio mpk watu wapangwe
@user-fp6le2qs4z10 ай бұрын
Tutakukumbuka daima
@Gaspardlegrand10 ай бұрын
Huruma watu wazuri hawa hishi mda murefu
@ELIPHAZAMON-ex9zc Жыл бұрын
Duuu bahat haiji mara mbili ,yaaan magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@juzepha316010 ай бұрын
Chuma kimelala
@castrojaka41339 ай бұрын
Mwanangu usiwe unaweka hizii video bhana mbona unatufanyia hayaa
@jubilatelema32275 ай бұрын
Haha haha ya hoye acha
@paulinacherement25344 жыл бұрын
Mtihani...binadam hatuna kutosha.
@AmedeusKimaro-no2qz7 ай бұрын
Baby
@sebastiansalamba31311 ай бұрын
Hawa ndio Marais wanaotakiwa ktk nchi maskini
@talilmluchagula417 Жыл бұрын
You will always remain in our hearts
@paulinacherement25344 жыл бұрын
Sema kweli daima
@jenseakilimasumbuko886110 ай бұрын
Atatokeya wapi huyu tena
@vokachampion59710 ай бұрын
RIP..... tutakukumbuka daima😭😭😭
@daudpaulo2867 Жыл бұрын
Yani Mungu tusame atukumlinda Mzee wetu kwa maombi tungekua mbali sana Ila JPM Mungu akupoke
@Evangelism20239 ай бұрын
Hichi ni kitu ambacho tunajutia wengi sana
@pureleathershoes80669 ай бұрын
Hata kama Magu alikuwa na mapubgufu yake lakini kuna mambo alifanya na yanaonekana. Na kipindi cha utawala wa Magufuli nilianza michakato ya kuchukua kadi ya CCM alivyofariki na zoezi la kuchukua kadi limekufa waliobaki sinabimani nao. Tumebaki ba wapigajitu
@eastman33506 ай бұрын
Lala Salama baba
@mudhihirugara88456 ай бұрын
Kizuri hakidumu aliye shiriki kifo cha magufuri mwenyezimungu ampe kansa yakoo
@areyoureal27236 ай бұрын
Hata 2024 bado tunakukumbuka
@christophakachende61439 ай бұрын
Ukweli
@sylivester2932 Жыл бұрын
Mmmmh 😂😂😂😂 upumzike kwa amani
@eliasmaspela1728 Жыл бұрын
😭😭
@ruchusprospa77962 жыл бұрын
hii ndo dawa ya wala rushwa , unakula hela kwazi tunakuwe azarnai kwa wananchi
@JumanneAthuman-uv8bv9 ай бұрын
Mvi za kijapan zilizotafasiliwa
@evasaimon21014 жыл бұрын
Mkurugenzi uyo adanganywi
@user-cc4jk1ll5v7 ай бұрын
Hakika kakatutakukumbuka
@AmedeusKimaro-no2qz7 ай бұрын
Plans
@barakasamweli75559 ай бұрын
Kalamu vevo
@user-cc4jk1ll5v7 ай бұрын
Tukumbuke alishasema tutamkumbuka kwamemayake
@talilmluchagula417 Жыл бұрын
Ulitenda wema pumzika mzee
@AgnesSania-he2hl10 ай бұрын
Je faire les mêmes aussi.
@user-qe8nb2mu3i8 ай бұрын
shilingi
@ndikumanaismail54197 ай бұрын
Izondo zilikuwa nyama za JPM
@lusajomwakalinga581310 ай бұрын
Ovyooo,
@user-qb9ui2ss1t9 ай бұрын
Hata kama sijuwi kiswahili,Dkt John pombe magufuli,tulimpoteza,ni sawa na Laurent kabila,na kadhaffi,pamoja na Nelson Mandela,sasa nasema hivi: ( ninyi wazungu,Les kweli ikiwa Mwenyezi mungu yupo,na kipigo chenu kipo pia),Baba mungu kwanini hujatupa uhuru?
@abuukachale11263 жыл бұрын
Looooh!!!!! Jembe halipo tena
@eliaspeter40179 ай бұрын
Kweli aisee, Jembe limelala Chato
@hassanjemedar61 Жыл бұрын
Bondita
@afetchipeta1057 Жыл бұрын
Samla sulu
@evasaimon21014 жыл бұрын
Mwemwejo ankanjauka safi
@niyonkurustany648410 ай бұрын
77uu77.ć
@JustusMwania11 ай бұрын
Kizuri hakidumu Rip mzee
@mkuyustephano436110 ай бұрын
Magufuli Magufuli
@user-mu3px4hf6u9 ай бұрын
Adiii raha tuuu ,ulipendwa sanaaa na watu...umekuwa shujaa kabisa