SAM SIMBA APAGAWA USAJILI WA BALEKE YANGA/YANGA BINGWA MAPEMA/SIMBA TUJIFUNZE KWA YANGA TUTAUMIA

  Рет қаралды 77,561

Scope Media

Scope Media

6 күн бұрын

#alikamwe #azizki #hersisaid #msuva #yangaleo #yangasc #live_ #mayele #yanga #yangatv

Пікірлер: 45
@DanieliIbrahim
@DanieliIbrahim 4 күн бұрын
Hata mimi simba inapokuwa inafanya vizur huwa nawasifia japo mimi ni yanga
@salimmalaka256
@salimmalaka256 4 күн бұрын
MITANDAO YOTE WATU WANAONGELEA MAMBO YA SIMBA VIJIWENI WACHAMBUZI FEKI NA WACHAMBUZI WA KWELI MPAKA MA STUDIO WOTE WANAONGEA HABARI ZA MNYAMA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@195941233
@195941233 4 күн бұрын
Baleke asingeweza kusajiliwa tena Simba SC. Imejifunza makosa ya nyuma
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 2 күн бұрын
Ujumaa sio Simba alisha ikana kitambo kwann unafatilia team ambayo aikutaki
@GOLDIANEDRICK-sm6xk
@GOLDIANEDRICK-sm6xk 4 күн бұрын
Bareke hakuwa mchezaji wa Simba alikuwa kwa mkopo
@errydeo8865
@errydeo8865 4 күн бұрын
Huyu mtangazaji anajua what we call DEEP SQUAD? FATILIENI MIPIRA! UNAJUA KWANINI MAN CITY KADOMINATE PL? DEEP SQUAD! ANAYETOKA na ANAYEINGI WOTE SAWA KWA UBORA!
@NondoRamadhani
@NondoRamadhani 3 күн бұрын
Unaongea ukweli kaka nakukubali
@abrahamchengula8137
@abrahamchengula8137 4 күн бұрын
Yes jamaa anajua boli Leo nasacribe
@user-if2mj2sy8i
@user-if2mj2sy8i 4 күн бұрын
Bareke aje tu!
@MikidadiNyangi
@MikidadiNyangi 3 күн бұрын
Nahuyu ni chawa machawa wamekuwa wengi sana yang inanunua watu waiseme cimba vibaya
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 3 күн бұрын
Hawa mashabiki wa yanga wanaovaa jezi za Simba wanakera sana. Mwambie ahamie huko kama mwenzake Mchome.
@VeronicaAdam-lx8yd
@VeronicaAdam-lx8yd 2 күн бұрын
Hili jamaa tair kipnd hich Chama hakuwep na Barek alikuwep
@francismoka-hd3dn
@francismoka-hd3dn 4 күн бұрын
Mbn saut amna au n simu yangu tu
@maxmia100
@maxmia100 4 күн бұрын
Simu yako tu
@user-ox1eg1ej6u
@user-ox1eg1ej6u 2 күн бұрын
Gkama. Baleke. Kaishiwa. Msubiri. Uwanjani. Ausee. Utakujajutia. Maneno. Yako
@salimmalaka256
@salimmalaka256 4 күн бұрын
UNATULETEA SABABU ZA KISENGE MBONA WACHEZAJI WOTE WAPYA HATUKUSHINDWA MASHARTI YAO?? UNASEMA CHAMA KATAKA MKATABA WA MIAKA MIWILI SISI TUKASHINDWA KWA HIYO HUKO MATOPENI MMEWEZA MMEMPA HIYO MIAKA MIWILI??? WEWE NI MSENGE NA KAULI ZAKO ZA KISENGE VAA JEZI LAKO LA KIJANI MATAKO WEWE
@FakiMahadhi
@FakiMahadhi 4 күн бұрын
Jamani ukweli haujifichi na batili ikadhihiri kama wewe unaona hakufurahishi basi tulia tu usimtukane mwenzako kisa ubovu wa timu yako.kama timu yako ni nzuri hawezi kuishusha yeye kwa maneno yake
@KarokiaNdirango-lj3wf
@KarokiaNdirango-lj3wf 4 күн бұрын
Sam huwa nakubari sana maongezi yako
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 4 күн бұрын
Kumbe unaendaga kupata raha AVIC TOWN wambie hao madunduka
@hamisigwau6120
@hamisigwau6120 3 күн бұрын
wewe yanga acha kuvaa jezi ya simba😊
@musakutenga9848
@musakutenga9848 4 күн бұрын
Wewe simba lakini habari za yanga zote unazo naona mchome mwengine wewe
@barakayusuph4617
@barakayusuph4617 4 күн бұрын
hakuna shabiki wa simba apo kaka hilo chura tu😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 4 күн бұрын
TOPOLOOO MACHOGO FC HUYO
@salimmalaka256
@salimmalaka256 4 күн бұрын
WEWE UKILONA JITU LOLOTE LILE HALICHAMBUWI MPAKA LIVAE JEZI UJUWE NI TOPOLO LAKINI CHAWA LAO LINALIPWA KAMA MCHOME
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 4 күн бұрын
kuhusu umri mpira wa Africa watu kama chama watanunuliwa miaka 5 ijayo watakuwa na 38
@salimmalaka256
@salimmalaka256 4 күн бұрын
SIKU HIZI WASEMAJI WA UTOPOLO WANAVAA JEZI ZA SIMBA 😂😂😂😂😂😂😂 KWELI SIMBA TIMU KUBWA DUNIANI SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v 4 күн бұрын
ANA MIAKA 33 KWANI SIMBA MWEZI WA KWANZA CHAMA ALIKUWA NA MIAKA MINGAPI?????
@user-pw8pi1ev9u
@user-pw8pi1ev9u 4 күн бұрын
Baleke hafai kabisa kucheza Yanga afadhali hata musonda au guede maana baleke ni mchezaji mzuri zaidi kwenye mechi dhidi ya timu dhaifu tu tena hata goli zake ni NYEPESI NYEPESI NYEPESI sana pia hajuagi kukaba afadhali tungebaki tu na musonda au guede
@vaxminja9053
@vaxminja9053 4 күн бұрын
Baleke atawafunga sana sana kwenye msimu huu
@Costantinemasejo2024
@Costantinemasejo2024 4 күн бұрын
Mashabiki kama hawa hawafai Simba yeye badala kuongelea tim yake iwe bora zaidi vipi anaongelea yanga sijui akili zimemruka au ndo kavalia jezi la nje kumbe ndani ni mwitu wa uto huyu??
@robertphilip385
@robertphilip385 4 күн бұрын
Acha hasira
@user-gj4oe4ro2y
@user-gj4oe4ro2y 4 күн бұрын
Kaondoka lonado mandidi ikawa yeye
@godfreymabula6858
@godfreymabula6858 4 күн бұрын
Andika vizuri ww,,,Mandidi ndo kitu gan😂😂😂😂
@godfrey3926
@godfrey3926 4 күн бұрын
Wewe umekaa kama umetumwa na mganga wao wa Lindi
@MamboMbuli
@MamboMbuli 3 күн бұрын
Kabda haujaongea jitafakar wewe haujitambui ,mshabiki dodoki
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 4 күн бұрын
Babu kaju anarudi Azam jmni😢
@ahmedmpimbi9684
@ahmedmpimbi9684 4 күн бұрын
Fresh tu, hana energy ile inayotakiwa
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 4 күн бұрын
@@ahmedmpimbi9684 Labda kwasababu yakukaa muda mwingi bila game ndio maaana kapoteza hiyo energy, kila la kheri kwake huko aendako.
@NassebMohd
@NassebMohd 4 күн бұрын
Safi sanaaa jamaa anaongelea soka na anajua safi sana sio kama hao wasojua soka wanatukana tu kulopoka
@giftkalenge418
@giftkalenge418 4 күн бұрын
Guede abaki aondoke yule msauzi
@layantizzy8376
@layantizzy8376 4 күн бұрын
Unataka Raha utupe wew?
@AdrianJeremiah-j6c
@AdrianJeremiah-j6c 4 күн бұрын
Bareke come in delicious
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 2 күн бұрын
Naalivo rudi Kuma wewe kafanyanya nn mkundu
@errydeo8865
@errydeo8865 4 күн бұрын
How stupid ! Eti yanga wamepotea! Are you serious,unaujua mpira wewe???
@user-if2mj2sy8i
@user-if2mj2sy8i 4 күн бұрын
Bareke aje tu!
Самое Романтичное Видео ❤️
00:16
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 4,7 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 11 МЛН
Rtd.Gen j.KABAREBE ASOBANUYE UKO BARWANYE URUGAMBA RWO KU MURINDI W'INTWARI
29:24
the product🗑️
0:19
FireBall
Рет қаралды 25 МЛН
HOW HIGH DO PRO FOOTBALLERS JUMP?🤯
0:15
Joris
Рет қаралды 6 МЛН
Не надо толкать, надо бить🥊
0:20
Алексей "Новатор" Сурков Тренер по боксу
Рет қаралды 1,3 МЛН
Segurança do Messi 😬 #shorts #futebol
0:34
VPHD
Рет қаралды 20 МЛН