Safi sana! WE WIN TOGETHER,WE LOSE TOGETHER!!! WHAT A STATEMENT! Underated comment!! Hiyo Yanga!
@user-sf1ne6tk4u4 күн бұрын
wawoooo iyo nzuriii kaka
@hussenmissembe75844 күн бұрын
Karibu sana mwamba wa lusaka
@AMINIELIHAALI-xv1rd3 күн бұрын
Hii ya baleke kali
@chiefnumborecords48194 күн бұрын
Ndiyo baba viunbe Wa ajabu ni marehemu Hayati John Pombe magufuli marehemu Steven Kanumba marehemu Ruge Mutahaba ,eng Hersi said ,Haji Sande Manara Diamondi platinum hao watu daaaah ni waajabu sana
@marcobulili43414 күн бұрын
Simba hawana kombe au ubingwa uliowapeleka shirikisho. Waishukuru yanga!
@user-bt6ep3yb2h4 күн бұрын
Walimwita aende dubai ili kumshawishi asaini simba mwamba kawatolea nje.
@marcobulili43414 күн бұрын
Usajiri wa chama na Bakeke binafsi sijafurahi kabisa!
@albertmlay83424 күн бұрын
Mume wa mwenyewe unaongea hivyo ila hamtaamini SIMBA itawafunga ngao ya Jamii NBC mtafungwa na SIMBA nyie YANGA
@errydeo88654 күн бұрын
Yanga HATUJENGI TIMU,TUNABORESHA! USAJILI WA YANGA NI WA CAFCL! PRAYERS WITH QUALITY N EXPERIENCE!!? bongo mpira hamjaujua!
@user-fg8hg9fe1w4 күн бұрын
Hii sifa Sasa balleke tena😂😂
@errydeo88654 күн бұрын
Mtangazaji JIONGEZE KWA HIYO MAN CITY,ARSENAL, LIVER POOL BARCA ,MADRID WAKIENDA PRESEASON USA ,ASIA UARABUNI INA MAANA,HUKO NDO KUNA FACILITIES NZURI!? PRESEASON ni ya kibiashara Zaidi kama hujui! Hizi timu zikienda nchi fulani PRESEASON ni kujitangaza ,kutafuta mashabiki ,wafuasi na wapenzi wapya pia kutoa fursa mashabiki wa nchi hizo kuona wachezaji wapya na wazamani na vitu kama hivyo ! Ts not abt facilities! Wabongo fanyieni research na Wewe kama mwandishi uwe na uwezo wa kukosoa na kuelimisha watu!
@japhetisraelsmafie9974 күн бұрын
Kumbe ndo maana mnaitwa mwiko nyumani,,vyura bhana,mnalete aibu ,mnasubiri simba wachezaji wakichoka mnaona mmefaidi.. Hivi huyu nyumbu abajulikana kama nani anae ongea