MZEE WA MIAKA 68 ANAISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI MWAKA WA 27 "NIMEOA MKE WA TATU ANA MIAKA 35"

  Рет қаралды 42,920

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 97
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Жыл бұрын
Enjoi dada kuna watu wanakufa bila ukimwi kumpenda mtu kama huyo ndio kumuongezea umri wa kuishi watu wenye roho mbaya ndio wanaowanyanyapaa Mungu akubariki sana.
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Miaka 27 na bado haonyeshi hata dalili wale mnaopima kwa macho kazi kwenu 😢😢
@marianakapeller4699
@marianakapeller4699 10 ай бұрын
ndugu angalia huo uso japokua ako 68 unayaona hayo mamistari na kama ngozi imepwaya sijui kwa kiswahili lkn pia kwa vijana waliokua nao muda mrefu wakati mwingine hii hali inawatokea inaitwa Lipoatrophy, unaweza google na ukiwa makini hutasema hivi tena kuna dalili nyingi ila mpaka uwe unafahamu na pia ni kweli huwezi pima kwa macho
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Kuwa na ukimwi sio kifo,unaweza kufa wewe mzima wa ukimwi akawa na miaka mingi kama huyu mzee.Ongerà sana mzee.
@LeokadiaMeru-uu4jk
@LeokadiaMeru-uu4jk 11 ай бұрын
Hongera sana dadaangu nakuona kwenye ubora wako mungu akupe umri mrefu nawanangu hao By leocadia Meru kutoka tunduma mkoan songwe💋♥️♥️♥️
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Duuh mungu nisaidie na niepushie mbali janga hili ameen
@noelanassari5335
@noelanassari5335 Жыл бұрын
ni mungu tuu,ila yalishanikuta nilitembea na mtu mwenye virusi kama vyote,chaajabu nilienda kupima nikakutwa mzima sikuamini,nikakaa tena miezi sita nikapimwa niko salama,kumbe wakitumia zile dawa wadudu wanalala,
@didasseveline9013
@didasseveline9013 Жыл бұрын
@@noelanassari5335 endeleeni kujiliwaza!
@florahmushi748
@florahmushi748 Жыл бұрын
@@noelanassari5335 duuh mi staki hata kuskia
@AbdillahAbubakar-ti2mj
@AbdillahAbubakar-ti2mj Жыл бұрын
Pesa za Samaki ndie zimemponza mzee
@veronicashoo5269
@veronicashoo5269 Жыл бұрын
Mwenye nyumbangu nakukubali sana sana
@vibetz9991
@vibetz9991 Жыл бұрын
Watu wa nyanda za juu bondeni ,gongeni likes hapa😂😂😂😂
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Hongera sana na ' wazuri wenyewe 😘☑️mzee bado ana nguvu💪💪 kabisa?
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Kuumwa ukimwi si kufa god bless your family grand
@juniorjohn2233
@juniorjohn2233 Жыл бұрын
Yaani naomba na Mungu anisaidie sitaki kujiingiza nikiona na macho
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 Жыл бұрын
mbona ukimwi ni kama unakura samaki mkubwa tu, mzee hajaambukizwa kaura kwenye samaki watamu ngoma ya asili🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila miradi ayo ahsante kwa kutumalizia MB zetu kwa mambo ya utamu ambayo kila mtu anajuwa hilo
@ericasimon9631
@ericasimon9631 Жыл бұрын
Kipima Cha maisha kwa mwanaume ni pesa ,ikiwa na pesa strehe ya kwanza ni wanawake
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Sio kweli 😀
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Kwel kbsaa
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Жыл бұрын
@@lindambilinyi6253 siokila kichwa kinawazaga dhambi, kuna wanaume wenye hela na haziwapelekeshi na hawahitaji hata kuisikia hiyo mitaro ya maji machafu
@daud405
@daud405 Жыл бұрын
pole sana mzee wangu
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g Жыл бұрын
Mzee mwanzo mwisho sijakuelewa 😢nimejaribu kuseti simu yangu "AUTO ROTATE"lakini kiukweli sijakuelewa 😮 mara shangazi mjomba 😂au Mimi ndio sielewi 😂basi 🙌.ILA POLE SANA BABU WEWE NI JASIRI
@wamtekowamteko8028
@wamtekowamteko8028 Жыл бұрын
Umenichekesha sana ndugu yangu 😂 😂😂
@neemalema5312
@neemalema5312 Жыл бұрын
Heee huchoki tu utatuulia wanawake wangp mrudie Mungu akuponye
@victorernest7702
@victorernest7702 Жыл бұрын
Mzee Anton jamaniiii,,, shikamoo mzee Wang 🤣🤣🤣🙌rujewa kumekuchaa
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani sasa huyu mke wakwe hana maradhi yeye au vipi
@douglaskomba2304
@douglaskomba2304 Жыл бұрын
Nina virusi ila Sina ukimwi umetisha sana Mzee wetu
@sirbussongo4490
@sirbussongo4490 5 ай бұрын
Yuko sahihi
@imagepower3641
@imagepower3641 Жыл бұрын
Asante milady
@huldamichael4445
@huldamichael4445 Жыл бұрын
Eti biashara ilipokuwa nzuri nikaoa mke wa pili....duuh,akili zingine bhana
@charlesjaphet5768
@charlesjaphet5768 Жыл бұрын
Dah!! Nimeipenda iyo, hahahaha 🤣😂🤣
@joyce55727
@joyce55727 Жыл бұрын
😃😃
@ellymaz2187
@ellymaz2187 Жыл бұрын
Starehe kubwa ukiwa na pesa ni wanawake.
@Lucyphilbert-pr9zh
@Lucyphilbert-pr9zh Жыл бұрын
mung awatunze muwaelimixhe na wengn
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 Ай бұрын
Je watoto uwapime wote kama walipata nyuma huko kwa ajili ya huo mama aliyekufa
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Жыл бұрын
NA WEWE MZEE UNATAKIWA KUTULIA HUO UMRI INABIDI KUJIHESHIMU
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Жыл бұрын
Kwa kweli anajua ana HIV halafu anaoa kila mara ina maana anafundisha na wengine kuwa ni Sawa kuoa kuoa kama Una HIV wakati watu wanaambukizwa sababu ya kuoa ama kuolewa na watu wenye VVU
@amanijampion3045
@amanijampion3045 Жыл бұрын
Kwani hajiheshimu?
@matukiotv9041
@matukiotv9041 Жыл бұрын
​@@amanijampion3045 😂😂😂
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Anajiheshimu zaidi ya wewe.
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣inshu Co kujiheshimu inshu ni kuchapa ilale
@gracewilliam4102
@gracewilliam4102 Жыл бұрын
Mbeya huko tena ni mingi masta
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
MUNGU akubariki SAAAANA
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
pole sana mzee wetu😭😭😭💔❤
@htx1873
@htx1873 Жыл бұрын
Jamani wa awake msikubali kufanya NGONO bila ya Kinga, NA wale wanao penda kunyonya Mboo bila condom , ni sawa na kunywa migonjwa yote ya ngono ( hiv, gonorrhea , etc ) msidanganyike , Don’t be the next victim.
@user-ps7ej3ep4e
@user-ps7ej3ep4e Жыл бұрын
Wasikubali kufanya ngono kabisa au wasikubali kufanya ngono bioa ya kinga
@mazulacelestine3038
@mazulacelestine3038 Жыл бұрын
Hii Hali ya kumtangaza mtu anaeishi na virus muda mrefu, Haina maana nzuri, yaan inakuwa Kama inahamasisha watu waendelee kufanya wanavotaka kwa maana kwamba ukimwi si kitu. Hii Ni kuhamasisha
@antonynhungo8641
@antonynhungo8641 Жыл бұрын
Huo ni uelewa wako mdogo
@florahmushi748
@florahmushi748 Жыл бұрын
Uelewi wewe
@user-db1uy6hv9q
@user-db1uy6hv9q 3 ай бұрын
Sina ukimwi Nina virusi vya ukimwi
@joycekalago532
@joycekalago532 Жыл бұрын
Inafundisha nini?
@tatotato506
@tatotato506 Жыл бұрын
Inafundishawatu wakapime nawasijifiche
@AbdillahAbubakar-ti2mj
@AbdillahAbubakar-ti2mj Жыл бұрын
Mzee alikuwa anapenda kuteleza akateleza mpaka akaanguka
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Жыл бұрын
😅😅😅
@florahmushi748
@florahmushi748 Жыл бұрын
Duuh
@hellenmassawe7284
@hellenmassawe7284 Жыл бұрын
Sasa bac tuu
@summanelson5523
@summanelson5523 Жыл бұрын
Anaonekana mzee sana kuliko hiyo miaka 68 aliyonayo. Raisi mstaafu J. M. Kikwete na miaka yake 70 anaonekana kijana kuliko huyu mzee. Labda kwa sababu ya kuwa na VVU.
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Жыл бұрын
kadanganya atakuwa na 78
@didasseveline9013
@didasseveline9013 Жыл бұрын
Kijana iko ivi huyo kikwete anatunzwa huyu Mzee anajitunza!(kujihudumia na kuhudumwa kunautofauti mkuu!)
@tatotato506
@tatotato506 Жыл бұрын
Wenae akilizakombovu kikwete tajili
@antonynhungo8641
@antonynhungo8641 Жыл бұрын
Uwe na akili wewe maisha ya Kikwete na ya huyu mzee wapi na wapi, hata baba yako mwenye umri wa miaka 57 mbona kwa Kikwete ni mzee?
@antonynhungo8641
@antonynhungo8641 Жыл бұрын
Uwe na akili wewe maisha ya Kikwete na ya huyu mzee wapi na wapi, hata baba yako mwenye umri wa miaka 57 mbona kwa Kikwete ni mzee?
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂make kwanza ncheke
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Kipi kimekuchekesha?
@klauslusajo774
@klauslusajo774 Жыл бұрын
Hujafa hujaumbika, kupata ukimwi sio mpk usex, jichunge sana unaecheka ya Mungu mengi
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Weee
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb Жыл бұрын
Makete ukimwi ni sawa na mafua
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
😂😂😂 hivi eeeh! 😂😂😂😂
@momosaid6193
@momosaid6193 Жыл бұрын
😂😂😂
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
Wanawake majasir anajua kabisa Kuna HIV na Bado anajipeleka awaviumbe nishida
@florahmushi748
@florahmushi748 Жыл бұрын
Elimu
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Mbeya tena ndo makao makuu ya ukimwi😢
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Жыл бұрын
Kabisa
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wewe👆👆👆👆🏃🏃🏃🏃
@msaysha5886
@msaysha5886 Жыл бұрын
😂😂😂
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Жыл бұрын
😂hatari
@hassanihussein4479
@hassanihussein4479 Жыл бұрын
Mzee anatokea makete na makete si ipo Iringa sema makete pia inajulikana kuwa na Ukimwi
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 Жыл бұрын
Au hana😁
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Жыл бұрын
Inawezekana😮
@maase2023
@maase2023 Жыл бұрын
Basi hawa ayo taarifa zao ni za ovyo ovyoooo tu hawana taarifa za maana
@happynelson1180
@happynelson1180 Жыл бұрын
Watu ambao wameambukizwa virusi ni watu ambao wanapenda sana ngono na wametembea na watu wengi ndiyo maana wengi wao huwa hawajui kuwa wameambukizwa na nani hata baada ya kupata maambukizi huwa bado tu wana tamaa ya ngono niliona kijana mmoja KZfaq kutoka South Africa anaishi na hiv lakini bado tu anatongoza wanawake
@RasheedyKingsley
@RasheedyKingsley Жыл бұрын
hujuw kuwa kuna ambao wanaletewa maradh nyumban na waume zao au wake zao. pls usipenge kugeneralize kwamba kila naepata Ukimwi basi alikuwa anahangaika
@happynelson1180
@happynelson1180 Жыл бұрын
@@RasheedyKingsley na wala sijaandika kuwa kila anayepata ukimwi ametembea na watu wengi nimemaanisha wengi wao sababu najua tosha kuna wengine wanaletewa nyumbani na waume zao au wake zao
@RasheedyKingsley
@RasheedyKingsley Жыл бұрын
@@happynelson1180 pouwah Kiongoz
@fatmaissa5685
@fatmaissa5685 Жыл бұрын
Mtu akitumia dawa kwa ufasaha haambukizi wengine
@SalmaDieuDonne
@SalmaDieuDonne Жыл бұрын
Vidudu vinaenda wapi sasa
@doramkolo1745
@doramkolo1745 Жыл бұрын
​@@SalmaDieuDonne vinafubaaa
@SalmaDieuDonne
@SalmaDieuDonne Жыл бұрын
@@doramkolo1745 bora kujijua mapema na kuanza kumeza dawa
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
Ndio shida ya ngono za jumuiya umeambikiza mke mkubwa na mdogo na unaendelea kuambukizana, mnazaa watoto wenye virusi kuwapa mateso ya ugonjwa sio sahihi unachofanya mzee
@allymadenge4603
@allymadenge4603 Жыл бұрын
MZEE. UNAPENDA. SANA. KUMA
@user-hj7sb6xq5g
@user-hj7sb6xq5g Жыл бұрын
Tumia akili acha ujinga pumbavu
@antonynhungo8641
@antonynhungo8641 Жыл бұрын
Mungu akuponye mwehu wewe watu wazima unatuandikia matusi, koma
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Usije kumuabukiza huyo binti
@allymadenge4603
@allymadenge4603 Жыл бұрын
MWANAMKE. MZURI. HIVO. UNAOLEWA. NA MGONJWA. WA. UKIMWI. WANAUME. WENGINE. HUWAONI. AU. UMEROGWA
@shamimsunura
@shamimsunura Жыл бұрын
Hahaha
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
😀😀😂😂😂😂😀 wacha babu afaudu dogodogo
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 16 МЛН
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 17 МЛН
NILIENDA ZANZIBAR KUSAKA MZUNGU | NILIJIFANYA YATIMA | WAZUNGU WATAKUTUMIA WAKUACHIE UKIMWI
1:21:05
Jua Kali leo Ijumaa Usiku 23-8-2024 High Quality Definition
24:54
Kasai Boy Tv
Рет қаралды 27 М.
Njera werwo ni mundu umuhurire nguo kana urie ngima yake ugathii ihenya-Mutahi Kirunyu
1:13:05
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 16 МЛН