@mziwandabakers8297 Black Forest Recipe Flour/Unga 250g Cocoa Powder 50g Baking Powder 6g Baking Soda 4g Coffee 1TBSP Sugar/Sukari 250g Margarine 230g Butter Milk 1 cup
Пікірлер: 63
@user-pd9tv1cu8w5 ай бұрын
Nimeipenda sanaa my dear
@fatumaselemani38079 ай бұрын
Mashallah
@Zaynab-yo9sh Жыл бұрын
Asantee dada ubarikiwe
@safisabuni3263 Жыл бұрын
Asante,barikiwa
@quentinsylvia3877 Жыл бұрын
Safi sana
@agnesmagehema576 Жыл бұрын
❤️❤️ u my I will try this
@jacklinemanuma75302 жыл бұрын
Asante dada jmn ubarikiwe
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
❤
@Georges.Kitchen2 жыл бұрын
Asante sana dada mziwanda darasa zuri samahani naomba ni kuulize swali hili iyo whipping cream haiyeyuki ukipeleka kwa mteja ndo mpaka aweke kwenye fridge kwanza
@neemakiliani85882 жыл бұрын
🥰
@mwanaidimakumbo77632 жыл бұрын
Nmeipenda sanaa mungu mwenyezi aendelee kukubariki
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Amiin
@rayanassor50772 жыл бұрын
Asnt itakuwa vizuri tukiona iyo chokolet
@mulkihemed51362 жыл бұрын
Ubarikiwe dada kwa somo zuri..naomba kuuliza ..umetumia moto wa ngapi kwa oven..tia
@FriendsFamilyKitchen2 жыл бұрын
I enjoyed watching your cooking! Well done. It's awesome. big thumbs up and thanks for sharing ❤Let's keep in touch❤
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
❤❤❤🙏
@swabraahmed2344 Жыл бұрын
Hio whipping cream powder umenunua wapi hapa dar?and bei ni ngapi?
@gracegodfrey49322 жыл бұрын
Asante dada kaz nzur sana ubarikiwe tunaomba utufungulie darasa group la WhatsApp jaman
@martinwachira74182 жыл бұрын
Simple, clear, helpful and well explained instructions. Napenda sana vidio zako na pia una sauti nyororo ya kuvutia.
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
❤🥰
@hawagideon85192 жыл бұрын
Tnx so much mziwand Bakers
@user-xq5mf9ju1g5 ай бұрын
Hiyo butter milk inapatikana wapi au inatengenezwaje Dada?
@ruhimohd-kx5fk6 ай бұрын
Iyo whiped cream unapata wapi
@edinaleonidace5523 Жыл бұрын
Dada Mziwanda Mungu akuinue kwa viwango vya juu kabsa,sku nikifika dar ntakuja kukupa ushuhuda
@user-xx6fj8ym8f6 ай бұрын
Hakai dar
@zahraamin29109 ай бұрын
Shukran dear..umetumia cocoa ambayo sio dark cocoa?ni chungu?
@jenniferjames39272 жыл бұрын
Ubarikiwe dada ninakupenda sana🥰
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Amiin karibu sana ❤
@wellamushi78262 жыл бұрын
Hongera sana mambo ni mazuri sana .mnapatikana wapi dada
@helenetulizo28585 ай бұрын
Kama sina iyo machine nifanye je?
@ruhimohd-kx5fk6 ай бұрын
Iyo uloweka mara ya pili ni cocoa powder or?
@dianamwangi801 Жыл бұрын
Hi naweza tumia recipe hiyo kwa kupika na jiko la mkaa
@swabraahmed2344 Жыл бұрын
@mziwanda bakers whipping cream powder umenunua wapi na bei gani hapa dar?
@agnessahia4152 жыл бұрын
Asante sana madam naomba kuuliza hivi hiyo whipping cream huwa haikauki na nikwanini???
@pendoomax8867 Жыл бұрын
Asante sana kwa mafunzo.. je ni lazima kuweka baking paper wakati wa kubake?
@grace1012 жыл бұрын
Nzuri sana. Nina swali umebake kwa temperature gani?!! Haujasema??
@zubedaramadhani4488 Жыл бұрын
Mm naomba kuuliza iyo butter milk kama Sina naweza tia maziwa ya kawaida au mtindi
@DigitalPlatformtz2 жыл бұрын
Mashaallah..Ubarikiwe sana sis kwa masomo yako. Tunajifunza mengi. Naomba msaada keki kamq hii inaweza kuuzwa being ngapi? Tzs.
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Kuanzia 45 mpka 60 pia inategemea ukubwa na quality ya vifaa ulivyotumia
@mwajabualhaji97732 жыл бұрын
dada samahan nipo nje ya pishi hili naomba kujua unga nusu natoa cup cake ngapi za miatanomiatano
@milkamburushi23752 жыл бұрын
Habari?je naweza fanya vipimo vidogo zaid ya hapo?
@aishahassan10162 жыл бұрын
Mayai dada umetumia mangapi
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
5
@gladysgeke3194 Жыл бұрын
Hellow dear,cocoa unatumia brand gani?
@jenniferbigeyobwire55342 жыл бұрын
Ahsante kwa somo dear! Je kinachotakiwa kuwa cha baridi ni maji pekee au hata bakuli wakati wa kutengeneza whipping cream?
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Maji itatosha
@hidayaabdurahman75392 жыл бұрын
Shukran sana,ubarikiwe sana, hiv umetumia tin ya nchi ngap ku bake?
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Za 7"
@candyarito35772 жыл бұрын
Ilikupa kilo ngapi ya keki?ningeomba kujua
@estherbony32512 жыл бұрын
Mimi kil nkimx sukar na bruband haviw na pov kama navyo ona kwenye video znahne
@samirabarongo49622 жыл бұрын
Kwa vipimo ivyo ni bei gan iyo cake?
@lindamollel5206 Жыл бұрын
Flavor kiasi gani unaweka?
@asiaashirafu57932 жыл бұрын
ahsante, Allah akutunze, mie nikitengeneza butter cream haikauki, niweke nini ili ikauke
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Jinsi yakutengeneza butter cream angalia Mziwanda Bakers inakauka vizuri tu
@samirabarongo49622 жыл бұрын
Butter milk ni maziwa ya mgando ama naona kama yanabongebonge
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Ndio waweza tumia mgando pia
@samirabarongo49622 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 sawa nashukuru
@user-xx6fj8ym8f11 ай бұрын
Maziwa ya kawaida unaweka na 1tsp ya vinegar ndo inatokea mabongebonge
@maureenmbinile16552 жыл бұрын
Kwani dada wewe unatumia oven gani na ni ya lita ngapi?