NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO AFUNGUKA ALIVYOFUKUZWA SHULE KISA ADA "MUNGU ANANIPENDA"

  Рет қаралды 65,466

Wasafi Media

Wasafi Media

11 ай бұрын

NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO AFUNGUKA ALIVYOFUKUZWA SHULE KISA ADA "MUNGU ANANIPENDA"
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 73
@kulwakayagamba1328
@kulwakayagamba1328
Tumepata Tena kiongozi ambaye anamtaja Mungu kwa kila sentence Hongera snaa
@rameckprosper8849
@rameckprosper8849
Yote mema katika Bwana wa majeshi atutiaye nguvu na pumzi bila kulipia. Kiongozi akimtanguliza Mungu waaminio katika miungu hupambana kumshusha. Mungu uliye hai mkumbatie Ndg. Biteko apambanie haki za wasiyo na sauti katika dunia yenye upofu juu ya haki za watu wasiyo na sauti katika jamii. Naomba na kuamini milele yote. AMINA.
@linnamlay3643
@linnamlay3643
MUNGU azidi kukuinua,akaitangulize nguzo ya moto mbele yako na majukumu yako yakapate kibali mbele za MUNGU.Amen
@galluskanenge4898
@galluskanenge4898
Haya,Mungu wetu anakaa rohoni mwetu au nje ya nafsi au penginepo ,?? viongozi achilieni vyote vizuri ,vinavyo wapendeza kwa watanzania ili wamwone Mungu ,nafsini mwenu.kumbukeni kwamba Mungu amewapa ili mtoe ,siyo mmiliki ! Kwako mheshimiwa namuona Mungu ,akujalie yote kwaajili ya raia wema na wabaya wa Tanzania ❤
@daffagunda-rm3hj
@daffagunda-rm3hj
Man with a huge parentage of fear of God. Servant of God.trustfuly man.Gof bless you.eimen.
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187
Hongera sana sana Mhe Naibu Waziri Mkuu. Ujue Mungu mkubwa sana sana na wewe Uko na Mungu bado utaona Mambo safi zipo zina kuja kwako. Moyo Yako IPO safi na wewe ni MTU wa Huruma umeona umaskini kama unao sema. God bless you Always.
@jacksonmathayo3859
@jacksonmathayo3859
Nyenyekeeni Chini ya Mkono Wa BWANA Yesu Uliohodari Ili Awakweze Kwa Wakati wake
@abubakarhillary6103
@abubakarhillary6103
MAA SHAA ALLAH , HONGERA MHESHIMIWA 👏👏👏
@ceciliaikombe5609
@ceciliaikombe5609
Hongera sana Mh. Naibu Wazir Mkuu Mungu azd kukuinua kwa viwango vya juu zaid ya hapo.
@sologomwendante2116
@sologomwendante2116
Hongera Mh Naibu waziri Mkuu Mwenyezi Mungu hushugulika sana na maisha yetu kila mtu kwa wakati wake.
@juliannjunwa7857
@juliannjunwa7857
Tabia ya kumtanguliza Mungu,ina siri kubwa,Watumishi wa Mungu tuzidi kumsogeza mbele zaBWANA WA MAJESHI
@sultanmsoloni8635
@sultanmsoloni8635
Hakika Allah ndio Kila kitu ktk maisha yetu
@winfredmsheri3069
@winfredmsheri3069
1998 form four level are we together? 😊 du kumbe mtihani ulifutwa ili mhe. Naye afanye! Sis tulijua wizi ulikirithiri kumbe nyuma ya pazia Mungu anamja wake anataka kumvusha hakika akili za Mungu ahazichunguziki 😊
@johnmussa9121
@johnmussa9121
Hongera sana naibu wazil doto biteko mungu ni mwema wakati wote
@joeltuuruni.ag.
@joeltuuruni.ag.
Hongera sana mh.Bitoke mungu azidi kukuinua
@user-li9us4zk3c
@user-li9us4zk3c
Ongera sana mh doto bitteko mm binafsi nnapenda sana msimamo wako chapa kazi baba mm nnakuombea mwenyez mung akujalie afya njema
@chiefmalaba6240
@chiefmalaba6240
Hongera
@EliaHiluka-ep3tp
@EliaHiluka-ep3tp
Acheni kumpa mtu sifa ambazo anastahili Mungu pekee
@victorrutonesha7323
@victorrutonesha7323
Nimependa maneno yako Mhe. yamejaa unyenyekevu. Asante sana
@emmanuelmwakyoma5746
@emmanuelmwakyoma5746
Sijasema!!!!
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 26 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
JPM: Biteko alikuwa anaichachafya serikali
1:47
Azam TV
Рет қаралды 6 М.
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 718 М.
"KUPATA MADARAKA AU CHEO HAKUKUFANYI KUJUA KILA KITU" DKT. BITEKO
1:59
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45