No video

NAIBU WAZIRI: WAKUU wa MIKOA WENGINE MUIGENI MAKONDA,.

  Рет қаралды 9,514

HABARIMPYA TV

HABARIMPYA TV

Ай бұрын

Пікірлер: 18
@BJMKANGALA1
@BJMKANGALA1 Ай бұрын
Watanzania tuna uwezo wa kufanya mambo makubwa sana ikiwa kila mmoja atawajibika katika nafasi yake. Mh P. Makonda, Madaktari na Madaktari bingwa wote, Mh Rais Samia, Serikali na kila aliyehusika na zoezi hili, pokeeni shukurani za dhati toka kwa Watanzania wote na Mungu awazidishie moyo wa unyenyekevu katika kulitumikia taifa!
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Ай бұрын
Hongera sana MAKONDA MUNGU awatangulie katika kazi zako wewe wa mfano ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@adamumyala-js9fh
@adamumyala-js9fh Ай бұрын
Mungu akulinde sana makonda unatenda haki mungu akutangulie akulinde na mabaya yote natamani hata nikuone nikupe mkono.
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Ай бұрын
Kwa style hii Chadema watasubiri sana labda Makonda atakapoondolewa
@dicksonaroka6961
@dicksonaroka6961 Ай бұрын
Kwa Arusha ndo bas tena hawana la kusema make jiji la Arusha sa hiv iko bize na maendeleo wananchini hawataki mchezo kwaiyo chadema ili waende arusha lazima wawe na hoja dhabiti na s blabla tena kama zaman
@BakariKombo-er9xr
@BakariKombo-er9xr Ай бұрын
Hongera mkuu wa mkoamakonda
@AmusedClam-zo9nf
@AmusedClam-zo9nf Ай бұрын
🙏🙏🙏
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 Ай бұрын
Sasa huo ndio ushuhuda wa ukweli na sio ule ww mchongo wa manabii wa uwongo
@BonifaceEdward-pc1dd
@BonifaceEdward-pc1dd Ай бұрын
Iv kunaulazima gan kua na wakuu wa mikoa weng nawakat anatakiwa makonda peke yake awe mkuu wa mikoa
@AidaMosha-nl6ix
@AidaMosha-nl6ix Ай бұрын
Wakuu wa mikoa mingine waige kwani siyo thambi
@doshnafungo4210
@doshnafungo4210 Ай бұрын
Makonda Sasa inatakiwa Makonda wawe wengi kila Kona ya nch Makonda mmoja anachoka na kuwafikia watu ni wengi na iwe. Kwa idara zote Kama Makonda
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 Ай бұрын
Tatizo la kutolipwa wazabuni waliofanya miradi nikubwa linatisha walikopa bank kwa ajili ya kukamilisha miradi hiyo sasa nyumba zao zinauzwa mchana kweupee. Na viongozi wamekaa tuu haswa Ilala dsm kuna mtu nyumba na gari vyote vinepigwa mnada. Shida malipo yake huko halmashauri
@esterswai9454
@esterswai9454 Ай бұрын
Huyu ni rais jmn mwakan ,,
@duniarashid877
@duniarashid877 Ай бұрын
Kwani hiyo hiyo huduma Ni supesho Kwa watu wa Arusha peke Yao mbona nasisi Mwanza tunatrseka Na magonjwa sugu ya Moyo lakini hatujui tunapo kimbilia mbona Mwanza hii huduma ya matibabu bure mbona haiji Mwanza mwana tulimkosea Nini raisi maajabu Haya
@BakariKombo-er9xr
@BakariKombo-er9xr Ай бұрын
Mfano wa Rc Makonda ni mfano wa kuigwa mama muone huyu
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li Ай бұрын
Mungu anamwona Mungu akuinuwe Makonda angesambazwa Mikoa yote wakuu wa mikoa wengine waige, Makonda ana Yesu bila Yesu hakuna kutoboa
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li Ай бұрын
Dada mshukuru Mungu hao wametumiwa na Mungu
@bonifacedanielmwakisunga9638
@bonifacedanielmwakisunga9638 Ай бұрын
Awawezi kuoga kabisa sababu wako kwa maslahi Yao sio kwa wananchi ndio maana wanashundwa kufanya kazi ya kutatua shida za wananchi awawezi kabisa
Azam TV - JPM azungumzia sakata la elimu ya Makonda
2:52
Azam TV
Рет қаралды 52 М.
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 11 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 29 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 2,4 МЛН
#MAKONDA" MAJONZI YAMETAWALA ARUSHAV WATU WAVAMIA OFISI ZA MKOA
29:56
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 11 МЛН