NAOMBA KUJIUNGA NA JKT - JESHI LA KUJENGA TAIFA MHE RAIS, NIPO CHINI YA MIGUU YAKO

  Рет қаралды 94,732

Bongo5

Bongo5

4 жыл бұрын

Mhe Rais shikamo, naitwa Elia Batom, napata kipato cha chini sana ila nachangia elfu 10, Mhe Rais ombi langu naomba nijiunge na Jeshi la kujenga Taifa la JKT.
Rais Magufuli amefanya harambee ya kuchangia ujenzi wa shule ya Msingi iliyopo Kijijini Soga ambapo jumla ya TZS Mil.68.5 na mabati 100 yamepatikana, kati ya hizo Rais Magufuli amechangia TZS Mil.5. Ameagiza ujenzi huo ukamilike haraka.

Пікірлер: 53
@seifdisail3007
@seifdisail3007 4 жыл бұрын
Najovunia kuwa na RAIS MAGUFULI💪
@faridaomary9100
@faridaomary9100 4 жыл бұрын
Safi sana Anko Magu
@nelsonwolden6878
@nelsonwolden6878 4 жыл бұрын
Mungu mbariki raisi wetu mungu bariki tanzania
@seifdisail3007
@seifdisail3007 4 жыл бұрын
Ameen!
@RobertMagava
@RobertMagava 3 ай бұрын
Very Good jpm
@binbaya923
@binbaya923 4 жыл бұрын
Hongera Mh. M/Mungu atakuongoza ktk harakati zako🇹🇿🇦🇷
@salummtizi1043
@salummtizi1043 4 жыл бұрын
Amazing presidaa from tanzania djpm
@faustinefesto7705
@faustinefesto7705 4 жыл бұрын
Hakika wwe n mpango wa Mungu nakupenda sna rais wng JPM. Viongoz wote wangepita nyayo zako taifa lingekuw mbali xna
@godlizennassari5501
@godlizennassari5501 4 жыл бұрын
Baba la baba nakukubali sana
@johnwanganga2729
@johnwanganga2729 4 жыл бұрын
Good mzee
@kaizasamson8639
@kaizasamson8639 4 жыл бұрын
Asante mh .
@stevenobillo7100
@stevenobillo7100 4 жыл бұрын
Rais wetu ni mubunifu sana hasa kwenye ishu za michango kama hiyo
@peterkyelela6023
@peterkyelela6023 4 жыл бұрын
Anatetemeka kuongea mbele ya raisi kunaitaji ujasiri
@piliabdalla3121
@piliabdalla3121 4 жыл бұрын
Asante RAISI kwa mchango mkubwa kwa sisi wa nakijiji wa soga
@kareisindilo2776
@kareisindilo2776 4 жыл бұрын
wewe
@omavkksndbd3068
@omavkksndbd3068 4 жыл бұрын
Kampuni ya nini hiyo maana wanamwaga mihela hakika tanzania sio maskini mungu ibariki tanzania na laisi wangu magufuri
@calvinkapinga8341
@calvinkapinga8341 4 жыл бұрын
si kuongeza uhusiano maana wameona Tanzania kuna fursa za kazi maana ndio inajengeka
@marcuspeter8942
@marcuspeter8942 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂watu wa msoga mnaniloga nini?
@thamu3133
@thamu3133 4 жыл бұрын
Nmeipenda hii sana aki hahahahahaa magu hoyeee
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 4 жыл бұрын
Safi sana.
@trishakibago6326
@trishakibago6326 4 жыл бұрын
Bora jamani shida ipungue
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 4 жыл бұрын
muheshmiwa rais uje na uku kwetu mkoa pwani ya mtwala na sisi tuna changamoto ya shule na zahanati
@captaincloud7youngpol692
@captaincloud7youngpol692 4 жыл бұрын
Kihere here na kujipendekeza mpaka aibu. Kueleza shida bwana diwani unakwama wapiiiiiiii
@fatumaally3266
@fatumaally3266 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣msoga achen kumroga maguful baba lao
@midoeast9819
@midoeast9819 4 жыл бұрын
Hondohondo like
@omarnzaro31
@omarnzaro31 3 жыл бұрын
Magu Rest in peace
@francolazaro8646
@francolazaro8646 4 жыл бұрын
Wanajesh michango Yao tu 🤣🤣🤣🤣
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 жыл бұрын
Yani mpaka rais anawasemea kero zenu nyie mnaoishi hapo hamjui🤣🤣🤣
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 жыл бұрын
Angekuw chama pinzan hoho
@akshaydavid159
@akshaydavid159 4 жыл бұрын
Jamaa amekaushiwa ombi lake la kujiunga na JKT, huhuhuu
@martinemasanja1633
@martinemasanja1633 4 жыл бұрын
JKT ni taasisi inayojitegemea na inamuongozo wake hivyo raisi hawezi kuingilia utaratibu wao
@calvinkapinga8341
@calvinkapinga8341 4 жыл бұрын
kuna taratibu zao s mtu n mtu tu ye mwenyewe ni jemadari mkuu
@makaveliblandy2886
@makaveliblandy2886 2 жыл бұрын
Mmh
@polycarpaugustino
@polycarpaugustino 4 жыл бұрын
Hana akili uyo mtu alioomba
@danielmlengu7456
@danielmlengu7456 4 жыл бұрын
diwali chenga like hapa
@mwayayamashaka6708
@mwayayamashaka6708 4 жыл бұрын
Nashukuru mikeroyangu mutendaji wakijianahamisamipaka kwenye uwajawagu kisaetiniuze
@fatumaally3266
@fatumaally3266 4 жыл бұрын
Lool hujuwi kusoma tulia2 unaandika maneno hayasomeki duh pole 🌚🌚🌚🌚🌚
@shabankumalija1929
@shabankumalija1929 4 жыл бұрын
Wewe ni nuru ya inchi yetu.
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 жыл бұрын
Wananchi wa soga hamjui kujielezea kero zenu? Mmepata bahati ya kusikilizwa mnajiumauma tu.huyo diwani ndio sifuri kabisa hana analojua.hata hajui kero za kata yake🤣🤣 hyo kata pigeni chini huyo diwani anawacheleweshea maendeleo
@akshaydavid159
@akshaydavid159 4 жыл бұрын
Diwani ni kilaza mno
@fadytashfeen8090
@fadytashfeen8090 4 жыл бұрын
Djpm
@YasrFak
@YasrFak Жыл бұрын
Salti ya mkuu wa usalama
@frankcorbinian3821
@frankcorbinian3821 4 жыл бұрын
Kusikiliza shida za watanzania mpaka ujue ni chama gani ebo kiongozi gani huyo
@aminahassan561
@aminahassan561 4 жыл бұрын
Hiyo lazima ajulikane kiongozi wa chamaa gani hamchelewi na uongo wenu wapinzani bwana
@edwinekahatano8472
@edwinekahatano8472 4 жыл бұрын
Uwii jkt na corona hii
@SamsonnChacha-dc9zg
@SamsonnChacha-dc9zg 5 ай бұрын
Ppp
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 жыл бұрын
Huyo mwenyekiti katisha,anajua kero zote.sio huyo diwani
@linnageorge7795
@linnageorge7795 4 жыл бұрын
Wakola,waitu,
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 4 жыл бұрын
Hivi Hawa viongozi wabunge na madiwani Nani anawachagua? Hawana enough details, wanashindwa kuelezea Matatizo ya wananchi , kwa Nini Hadi Raisi ndio aamue yeye mwenyewe kufuatilia?? Fuck viongozi wote
@costerprima4145
@costerprima4145 4 жыл бұрын
Tafuta kauli nyingine yakufikisha ujumbe kaulinyingine zita kucost
@danielmlengu7456
@danielmlengu7456 4 жыл бұрын
diwali chenga like hapa
BALAA..!!Rais JPM Ampokonya Ardhi Mfanyabiashara Huyu Hadharani
14:27
Global TV Online
Рет қаралды 160 М.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 4,7 МЛН
MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO
30:26
Rais Magufuli ambana Mkurugenzi wa Manyoni kisa bibi wa miaka 90
43:11
EastAfricaRadio
Рет қаралды 50 М.
0CTOBER 31,2016 ZIARA YA MH RAIS MAGUFULI NCHINI KENYA PARTY ONE
56:16
Kauli 10 Tata za Magufuli Lazima Uzikumbuke Kabla Ya Uchaguzi 2020
7:20
Top Stories Tanzania
Рет қаралды 3,2 МЛН
JPM Alivyompigia Lukuvi Hadharani, Amkopesha MIL 1!
10:21
Global TV Online
Рет қаралды 476 М.