NATO Kuipa Ukraine Silaha za Ulinzi wa Anga, Zelensky Asema Misaada Haijawahi Kutosha na Haitatosha

  Рет қаралды 3,650

The Chanzo

The Chanzo

22 күн бұрын

Viongozi wa nchi 32 wanachama wa NATO wameanza mkutano wao jana jijini Washington Marekani, ambapo katika hotuba ya ufunguzi wa mkutano huo, Rais Joe Biden wa Marekani alisema kuwa nchi wanachama wa NATO wataipatia Ukraine mitambo mitano ya kimkakati ya ulinzi wa anga.
Biden amesema Marekani kwa kushirikiana na nchi za Ujerumani, Italia, Uholanzi na Romania wamekubaliana kuipatia Ukraine mitambo ya kisasa ya kimkakati ya ulinzi wa anga aina ya Patriot ili kuiwezesha nchi hiyo kukabiliana na mashambulizi ya anga ya majeshi ya Urusi.
Mitambo ya uliniz ya anga ya Patriot inatajwa kuwa ni yenye teknolojia ya hali ya juu ya ulinzi wa anga. Ina uwezo wa kuzuia makombora adui, mashambulizi ya ndege vita na ndege zisizo na rubani kutoka eneo la umbali mrefu.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 11
@lukafbbwebelof3874
@lukafbbwebelof3874 21 күн бұрын
Ukiona Rais anasema misaada haitoshi na haitatosha, yaani a sema wao WENYEWE waje kupigana na Urusi. Yeye hawezi tena 😂😂 pole sana Ukraine utaenda kuwa History
@mfupakhamis9751
@mfupakhamis9751 21 күн бұрын
Katu Marekani,NATO na washirika wao hawawezi kuishinda Urusi. Ukrein itabaki hadithi, haitakuwepo ktk ramani ya Dunia. Muda si merefu. Babeli iko wap? Ufalme wa Mungu usimame. Amin.
@BahatiMitanda-f1l
@BahatiMitanda-f1l 21 күн бұрын
Da kazi ipo
@aeshitoyota2499
@aeshitoyota2499 21 күн бұрын
Wanazidi kuisukuma dunia kwenye vita ya tatu
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 21 күн бұрын
Tatizo wakileta hiyo mifumo hata kabla haijatumika inalipuliwa na urusi
@user-qh9gw2vr6k
@user-qh9gw2vr6k 21 күн бұрын
Mimi nipo hapa nimekaa Wacha nione uraaàaaaaaaaaaaa
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 20 күн бұрын
Ukweli nato imekwamaani, wakilinda ukreine mzima.imebaki kulinda mjikuu.
@mhande1219
@mhande1219 21 күн бұрын
Mpuuzi huyu jamaa, kama ndivyo huvyo kwnn anzunguka kote kuomba omba?
@PUTINN365
@PUTINN365 21 күн бұрын
Zelennzk kuma yake hana akili atakipata anachokitafuta
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 20 күн бұрын
Kwa comment yako wewe inaonyesha wazi ni TEJA na hakuna ujualo katika hii Dunia zaidi ya kuidhalilisha Lugha yenye heshima ya Kiswahili.Wewe ni pumbavu kabisa.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 11 МЛН
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 4,5 МЛН