Ndacha Ashindwa Kubatiza Professor Mazinge Atapatapa Baada Ya Kushindwa Kujibu Swali.

  Рет қаралды 135,181

Ibrahim XP

Ibrahim XP

2 жыл бұрын

XPTV IS NOW ON GOOGLE PLAY STORE Apart from Videos and Live Streaming of Daawa activities other features included in the XPTV Android App include: 1. XPTV LIVE 2. XPTV Lite Version 3. Free Islamic Books 4. #Africa4Islam 5. Twitter Updates 6. Chat with XP 7. XP Daawa Website Plus many more Comparative Da'awa material
To Download XPTV Click this link: bit.ly/41zgqD6
___________________________________________________________________________________
OTHER APPS BY COMPARATIVE DAAWA APPS BY XPTV:
1. Abass Online TV - App on Google Play
bit.ly/3IvUO2V
2. Ahmed Deedat Books - App on Google Play
bit.ly/3pQ8grU
3. Angels and Jinn - App on Google Play
bit.ly/3Ot9O5v
4. Comparative Da'awa Books - App on Google Play
bit.ly/3ML76ae
5. Judai 001 - App on Google Play
bit.ly/42Xgsp2
___________________________________________________________________________________
YOUR SUPPORT FISABIILLAH CAN BE A STEPPING STONE TO THE NEXT LEVEL OF DA’AWA IN AFRICA To support daawa Lipa na MPESA Till Number 5266153 (buy goods) or Mpesa Direct. 0724500984 (Name: Lemmy Easter) For more Comparative Daawah Videos and daawa info, visit bit.ly/xpdaawa Africa For Islam Daawa Tour featuring Ex-Pastor Ibrahim (XP) _____________________________________________________________________________________#Whatsapp_254724500984 #Support_Daawa #AhmedDeedat #Mazinge #Muhadhara #IbrahimXP #Islam #Daawa #Reverts #Kusilimu #Jesus_is_not_God #DiniYaHaki
MAELEZO ZAIDI
#ibrahimxp #africa4islam #debate #Eastleigh ____________________________________________________________________________________TAFADHALI SOMA HAYA MAELEZO HAPA CHINI __________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________Asalaam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatu Baraka Allahu Fiikum for supporting this work by subscribing and sharing our content. A MUST WATCH; Latest XPTV Live Streams To watch this Playlist click on the link below. ____________________________________________________________________________________ bit.ly/3H6stja ___________________________________________________________________________________
XPTV IS NOW ON GOOGLE PLAY STORE Apart from Videos and Live Streaming of Daawa activities other features included in the XPTV Android App include: 1. Free Islamic Books 2. #Africa4Islam 3. Twitter Updates Plus many more Comparative Da'awa material To Download XPTV App on Google Play Store Click this link: _____________________________________________________________________________________bit.ly/41zgqD6
____________________________________________________________________________________JIUNGE NA KAZI HII FISABILILLAH (Swahili/English) /BE PART OF THIS WORK FISABILILLAH ____________________________________________________________________________________ MSAADA WAKO FISABILILLAHI YAAWEZA KUWA SABABU YA KUFANIKISHA DA'AWA BARANI AFRIKA Kwa mujibu wa kazi inayotukabidhi ya kuendeleza daawa tunahitaji msaada wako (Sadaqatul Jaariya) ili kuendelea kutoa da'awa muhimu kwa watu wanaohitaji ujumbe wa Tawheed ya Kiislamu na kuwafikishia ujumbe wale ambao haijawafikia. Tujuavyo Uislamu ni huru kwa watu wote ila kuupeleka kwa wasio Waislamu ni ghali sana. Simama nasi kuchukua ujumbe wa kutoa wasio kuwa Waislamu kwa giza na kuwafikishia Uislamu (Tawheed) kokote walipo ambao wanasubiri tu mtu awaambie kuhusu Uislamu. NAAMINI SOTE TUNA MALENGO YA PAMOJA KATIKA MAISHA HAYA SASA NA KESHO AKHERA. In Shaa Allah kwa sadaqa yako, bila kujali kiasi, mtu atasikia juu ya Mwenyezi Mungu na dini yake ya kweli ambayo ni Uislamu kwa mara ya kwanza kabisa leo. Mwenyezi Mungu akulipe kikamilifu na akupe Jannah na akulinde dhidi ya fedheha siku ya Qiyama kwa mchango wako wa ukarimu Aamin. _____________________________________________________________________________________ YOUR SUPPORT FISABIILLAH CAN BE A STEPPINGSTONE TO THE NEXT LEVEL OF DA’AWA IN AFRICA In this connection we need your help to continue to provide essential da’awa to people who need the message of Islamic Monotheism (Tawheed) and reach out to the unreached. Islam is free to all, but taking it to the non-Muslims is very expensive. Stand with us to take the life-saving message of Islamic Monotheism (Tawheed) to the lost and unreached souls around the World who are just waiting for someone to tell them about Islam. WE HAVE A COMMON GOAL IN THIS LIFE AND IN THE HERE AFTER. Because of your support, no matter the amount, someone will hear about Allah and His true religion that is Islam for the very first time today. May Allah fully reward you and grant you Jannah and protect you from shame on the day of judgement for your most generous donation. BARAKA ALLAHU FIKUM

Пікірлер: 248
@husseinguyo4379
@husseinguyo4379 2 жыл бұрын
masheikh wetu Allah awape nguvu na afya njema na hekma muzidi kupambana na hawa makafiri
@issajumamwinyi6191
@issajumamwinyi6191 2 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/f71xi8KH0rXIoWQ.html
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 2 жыл бұрын
MashaAllah Tabaraka Allah, Mazinge Allah azid kukuhifadhi na akulipe kila la kher fill Dunia wall akhera
@nooroman2535
@nooroman2535 2 жыл бұрын
MashaAllah Babu umekuwa tupe raha Allah hakupe afya njema nahakunusuru na vijicho vya dunia
@rahmaabdalla7643
@rahmaabdalla7643 2 жыл бұрын
Masha'allah , Jazakallah Masheikh wetu kazi ngumu mnafanya ila malipo yenu kwa Allah insha'allah.Allah awaongoze ,awazidishie umri afya na afua .
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
In shaa ALLAH
@meshakinelisoni1176
@meshakinelisoni1176 2 жыл бұрын
.malipo moto wamilele
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
@@meshakinelisoni1176 hujakosea kwa makafiri
@halinishibakari5402
@halinishibakari5402 2 жыл бұрын
MashaAllah MwenyeziMungu amewapa ujasiri uislamu raha Allahu akbar
@wrongnamemtuwahapa
@wrongnamemtuwahapa 2 жыл бұрын
Mashaallah mazinge upo vizuri
@minhajsahal4467
@minhajsahal4467 21 күн бұрын
Allahumabarik sh mazinge
@jamalathman6219
@jamalathman6219 2 жыл бұрын
Shukran habibi mazinge leo umempata huyo anaejivuna na ukafiri wake kwa kupewa kigari ndacha mkorofi
@adamissa8307
@adamissa8307 2 жыл бұрын
Watu wanatafuta utajiri kwa udi na uvumba.Yuko tayari kumkufuru Allah (S.W.T) ili mradi mkono uende kinywani!! Mweyeezi Mungu anawaona atawajaza motoni.
@generalchinnah9863
@generalchinnah9863 2 жыл бұрын
😂😂😂😂 konki sheikh othman mazinge, ALLAH akupe umri mrefu in sha ALLAH uweze kuwapa da'awa makafiri
@aishaaisha4549
@aishaaisha4549 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi🤲🤲🤲sheikh wetu mazinge na ma sheikh wote wenzako unafanya kazi nzuri sana
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 Жыл бұрын
Takbri Allahu Akbar,Maa Shaa Allah, Alhamdhulillah.
@ramadhaniathumanibatumnwa1842
@ramadhaniathumanibatumnwa1842 Жыл бұрын
Mashalah wafundishe shekhe wetu mwenyeezimungu akufanyie wepes wakilakitu unachokifanya
@shamimnassor6192
@shamimnassor6192 2 жыл бұрын
💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕kuishi na kufa katika uislam
@kimsi682
@kimsi682 2 жыл бұрын
Upofu! Dini linao unganishwa na majini? Ukae na ufe hapo kweli? Unafikiri nini??
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Kbs mpnz lazm na me nif kwajil ya Lahillah ilallah insha Allah
@halimahashim9891
@halimahashim9891 Жыл бұрын
Allah awajaze mashekhe wetu
@abdiriiabdirii8843
@abdiriiabdirii8843 2 жыл бұрын
Mungu anusuru masheik wetu Allhamdulilah
@dominicofabian2245
@dominicofabian2245 2 жыл бұрын
MashaAllah Mazinge, Ama kweli we ni profesa.
@omarhassan2637
@omarhassan2637 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi proffesor Habib Mazinge
@lileoh3893
@lileoh3893 2 жыл бұрын
Huyu ni mtumish washetani soma ufunuo 2 12 13
@MGL3065
@MGL3065 Жыл бұрын
Insha'Allah
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
Mashaallah
@franciswakazambiatanzaia
@franciswakazambiatanzaia 2 жыл бұрын
My brother Ex pastor,Ndacha is Great teacher my brother
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 жыл бұрын
Allah Akbar
@rhiophiri6857
@rhiophiri6857 2 жыл бұрын
Professor Mazinge needless to say won this debate
@issajumamwinyi6191
@issajumamwinyi6191 2 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/f71xi8KH0rXIoWQ.html
@halinishibakari5402
@halinishibakari5402 2 жыл бұрын
Eric phillip.sio Mazinge. Aliesema.yesu kaiba Punda.ni.bibilia.yenu wacha kupayuka.soma bibilia.bblia wacha kubebwa na.mchungajii
@hopedavid1556
@hopedavid1556 2 жыл бұрын
@@halinishibakari5402 kaandikwa wapi?
@mussakhalifah1233
@mussakhalifah1233 2 жыл бұрын
@@hopedavid1556 Je hilo andiko linalohusu punda hujalisikia? Je ikiwa Yesu aliazima,ni wapi amemrejesha yule punda? Hapo inabidi uelewe tofauti ya "kuiba" na "kuazima", je unaijua..?
@allyydoctor2797
@allyydoctor2797 Жыл бұрын
Wewe na mazinge aliye na uwezo wa kusilimisha mpaka padri wako aliyekufundisha vistari vya kulia viela .kwa walokole We na mazinge nani anayeijua bibilia?pumbafuu we!
@mohamedyeslam5194
@mohamedyeslam5194 Жыл бұрын
Mashallah sheikh
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
Quite Ex pastor Still Ndacha is eating Mazinge piece 🥧🍰 by🍮piece just wait ✋you will see the next debate to come because I have never understood Mazinge's message in all the podiums
@deathrow8004
@deathrow8004 2 жыл бұрын
Nimesikia aya ndacha alivyoivuruga.. Allah amuongoze
@issajumamwinyi6191
@issajumamwinyi6191 2 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/f71xi8KH0rXIoWQ.html
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 2 жыл бұрын
Ameen jmn sikwakuivuruga vile
@user-er1ou9nr2f
@user-er1ou9nr2f Ай бұрын
asalaam aleikuum sheikh mazinge acha hasira wakati wa mazungumzo asalaam aleikuum
@samwelkibogoyo1958
@samwelkibogoyo1958 Жыл бұрын
Takbirr
@jacksonkilonzo1439
@jacksonkilonzo1439 2 жыл бұрын
ALIMJIBU VIZURI SANA NYINYI NDIO HUWA HAMUELEWI MAMBO
@husseinkazigo6189
@husseinkazigo6189 2 жыл бұрын
Kafiri siku zote Hana Elim kaa kimy
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 2 жыл бұрын
Wislamu neema, raha, dini ya haki mbele ya Allah. Waislamu peponi makafiri makristo motoni.
@lugwerasta3083
@lugwerasta3083 2 жыл бұрын
Sawa acha tuone,,,huu wenu n ufuasi tu maana ata dunia ikaisha leo hutaenda peponi ww maana hufanyi pia inavotaka quran
@kimsi682
@kimsi682 2 жыл бұрын
Hahaha!
@ericstephenm.844
@ericstephenm.844 2 жыл бұрын
Mwamedi aliwaweza sana aisee! Mmepigwa!
@ericstephenm.844
@ericstephenm.844 2 жыл бұрын
Hujitambui mwanamke wewe. Unashabikia dini inayotweza uanamke wako, ambayo mtoto wa kike anaweza kuolewa akiwa na miaka 9 na ni sunna. Dini ambayo sheria zake zinamkandamiza mwanamke na kutukuza tamaa za ngono za mwanaume kwa kumpa haki ya kuoa wake 4. Na imeona haitoshi mwanaume huyu na huko peponi atapewa hadi mabikira 72 wa kufanya nao ngono. Yaani duniani mnaolewa wake wenza hadi wanne na huko peponi wanaume wenu wanaenda kuongezewa na mabikira 72, yaani wanawake ni viumbe wa kutumika kingono tu kuanzia duniani hadi peponi. Mnaacha kumfuata nabii Issa ambaye mimba yake ilitungwa kwa mbegu isiyokuwa ya kibinadamu, aliyezungumza kama mtu mzima akiwa kitoto kidogo, akaishi maisha akifanya miujiza kama kuumba ndege, kufufua wafu, kuponya n.k., ambaye hakuwahi kuoa wala kufanya uzinzi ktk maisha yake aliyoishi, ambaye hakufa bali Allah alimchukua kimiujiza na kumuweka mbingu ya pili, ambaye atarudi mara ya pili kama ishara ya kukaribia kiama. Mmekuwa vipofu wa akili kwa kumpuuza Issa na kumuamini Mwamedi aliyezaliwa kama sisi, aliyekuwa mzinzi mzinzi tu kwa tamaa za kuoa wanawake 12 ukimuacha Hadija, aliyekufa kibinadamu kama tunavyokufa sisi. Mnashindwa kuona tofauti kubwa ya Issa na Mwamedi. Mnasema aliteremshiwa Kurani, nani alikuwa karibu yake wakati muujiza huo ukitokea anayeweza kuthibitisha? Mmepigwa nyinyi, ni bora kutokuamini kabisa kuliko kuamini Ujinga na kuuona ni ukweli. Kwanza wewe Muafrika Uislamu umepandikiziwa na Waarabu tu. Hao wenyewe waliokuleteeni dini wanalipuana wenyewe kwa wenyewe kwa jina la dini mnayosema eti ya Haki.
@sirajiatibu3232
@sirajiatibu3232 Жыл бұрын
Jesus is not God Mark 13:32 John 5:30
@jacksonmutunga4894
@jacksonmutunga4894 2 жыл бұрын
Tena alijibiwa vizuri sana.
@nadinemunezero227
@nadinemunezero227 10 ай бұрын
Ndacha mungu akupe mwisho mwema mimi Murundi
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 Жыл бұрын
Allah_akuongezee_UMRI
@shokashara1511
@shokashara1511 2 жыл бұрын
Mazinge noma wacheni masihara
@yohanakomando4942
@yohanakomando4942 2 жыл бұрын
Mchungaji ndacha uko vizuri
@shabandamas1759
@shabandamas1759 2 жыл бұрын
Uzur wake uko WAP?
@funnycomedy7507
@funnycomedy7507 2 жыл бұрын
Ndacha ni mrongo
@elishajuma179
@elishajuma179 Жыл бұрын
Ndacha kiboko God bless you uzidi kuwanyoosha
@masala8099
@masala8099 2 жыл бұрын
makafiri wote motoni na makafiri wenyewe wanajua wao wanaenda kuungua waislam wenzangu tumshukuru mungu kwa kutupa dini ya haki
@issajumamwinyi6191
@issajumamwinyi6191 2 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/f71xi8KH0rXIoWQ.html
@gettyjusa3352
@gettyjusa3352 2 жыл бұрын
Ukafiri ulianza mecca..so hata wewe Jehanamu inakungojea
@kimsi682
@kimsi682 2 жыл бұрын
Yesu ni mfalme na pia mwokozi. Nyinyi waislamu mhache upofu wa maandiko. Mhache ujaja wa kusoma mstari mmoja na kupindua pindua maandiko Lakini tunanjua mnasukumwa na majini na mnafurahia hayo yote. Mnavyio mshangilia mazinge, hivyio, siku inakuja mtamtusi sana vile kawapeleka kuzimu
@kimsi682
@kimsi682 2 жыл бұрын
Yesu pia, ni Mungu na sisi.
@tonnyanthonys2159
@tonnyanthonys2159 2 жыл бұрын
😅😅😅 Wajinga na walevi wa dini nyie kweli, wewe ni nani ujue wa kuenda na wasio enda mbinguni. Wewe ni mjinga tu wa kawaida
@munamuna4621
@munamuna4621 2 жыл бұрын
Huyo ndo maxinge
@enockkibona7522
@enockkibona7522 Жыл бұрын
Ndacha is Best
@DawaUnityGroup
@DawaUnityGroup 2 жыл бұрын
Niatari kweli, wakristo hoja zao zaifu
@user-sd9gs7zk5e
@user-sd9gs7zk5e 6 ай бұрын
🤲
@alphonseziragora5151
@alphonseziragora5151 2 жыл бұрын
Mazinge hakutumia maandiko kisawasawa. Amejibiwa vizuri, shida anayo ni uamzi wa kubatizwa. Amemshtaki Bwana eti ameiba mali yake mwenyewe. Mbone watu wanakufa na bado hawajashtaki Bwana kosa ya uuaji? Dunia na vyote vilivyomo ni mali ya Bwana
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
Chezea Mashekhe wetu uislam ni Dini ya Mungu bwana .
@thomasalchannel1135
@thomasalchannel1135 2 жыл бұрын
Dini ya Majini Waisema kuwa Ni Ya Mungu.Huu Ni Msiba
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
@@thomasalchannel1135 lete andiko la hayo uliyo andika sio propaganda na uongo . Kafiri wa mkubwa wewe .
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
@@thomasalchannel1135 kutuzushia uzushi tu nahayo Majini wakati nyie mna mapepo na mna abudu nayo na kulewa nayo kanisani na kucheza nayo Ndombolo.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
@@thomasalchannel1135 Bora Jini hajakufuru kulikoni nyie mna Mapepo ambayo ni makafiri wenzenu . Pepo tokaaaa watoke waende wapi Kwa mfano na kiti cha Enzi cha Shetani kipo kanisani? 😀😀.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
@@thomasalchannel1135 Hamuoni ushirikina wenu wa kumshirikisha Mwenyezi Mungu nyie mmeona Majini Kwani Majini kayaumba nani Kwa mfano? Kuna kiumbe kimejiumba chenyewe hapa Duniani??Washirikina wakubwa nyie na kila mshirika makao yake ni Jehanam.
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 21 күн бұрын
Nyinyi ndungu zangu shida zenu amutaki jina la yesu iyo jina uwamisa sana nyinyi kube nyinyi muliomua yesu
@nkurukiyesamuel4043
@nkurukiyesamuel4043 2 жыл бұрын
Waisram ni waongo na wabishi tu,sasa utamuitaje mwizi mtume mwizi mbele ya umati wakati unamuita mtume wa mungu alietangilia muhamad? Na BIBLIA inasema sio kila kitu kimeandikwa na haiwezekani
@abdullahhassan.6368
@abdullahhassan.6368 2 жыл бұрын
Mshezi mmoja wewe eboo unasem waislm waongo punda wewe INNADDINA INDA LLAHL ISLAM
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 2 жыл бұрын
Ndacha na wafuasi wake motoni.
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
😂😂😂 Allah awaongoz insha Allah
@aliissack7907
@aliissack7907 8 ай бұрын
Huku inakaa Mombasa ama ni wapi ustadh ibrahim xp
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 11 ай бұрын
Kweli Ndacha ni MWENDAWAZI,MWEHU.A na ongea MATAPISHI.
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
Hey 👋Mr ex pastor I see you darling..But still we didn't see in the bible the owner was looking for his Donkey # Give Ndacha the verses from the bible..... Who's the owner of the Donkey complain 🤔 Ndacha can't be convinced with such comedy like Mazinge 🤣
@michaelchoaji5874
@michaelchoaji5874 2 жыл бұрын
Ndacha ndacha weee ni hatari
@faridbashuu
@faridbashuu Жыл бұрын
Maashallah ❤️ Wakristo hoja hawana... Sarakasi tupu Tu... Aliye waambie wakuwe Wakristo ni Nani ? 😂😂😂 Uislamu Raha.
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 жыл бұрын
Kwani huyu ndacha aliritadi tena si nilimuona amekua muislamu na mkewake mkisii, akitabiri yeye mwenyewe kwamba wanafanya kununuliwa, na inabidi wapinde ulimi ili pence ukweli katika qur'an wapabadilishe ,ili paonekane pana makosa, ili wapate kupata kulipwa pesa kutoka kwa wale wanaowalipa
@hamzagandara5071
@hamzagandara5071 2 жыл бұрын
Sie yule ni watu wa will tofauti
@kimsi682
@kimsi682 2 жыл бұрын
Labda uliona pepo. Hajawahi kuwa mislamu. Pia ukasema wanao mlipa. Kina nani hao? Mazinge nani anamlipa?
@kimsi682
@kimsi682 2 жыл бұрын
@@hamzagandara5071 Mazinge! Hilo fikira kanipita kichwa.
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Njaa inamuhangaish 😅😅😅😅
@muhsinsalum8009
@muhsinsalum8009 2 жыл бұрын
Mada hizi tamu saana. Kumbe NJAA nazo nishidaa!!!
@dullahsantos3184
@dullahsantos3184 2 жыл бұрын
Kafiri nikafiri tu,kwanini yesu aliaidi atamrudisha?
@fredodhiambo630
@fredodhiambo630 2 жыл бұрын
Asie mjua yesu. ndie anaetaka kufanya kua masihi mwizi ole wenu mnae cheza na neno la mungu kuita roo wa mungu kua mwizi. Msifany mchezo na roo wa mungu ambaye ni kristo yesu.
@nassirmagoss3802
@nassirmagoss3802 Жыл бұрын
Kwan yes alikuw mung
@iddysimba9723
@iddysimba9723 2 жыл бұрын
Ndacha Ajui kitu
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Anajua kul sadak😂😂😂😂 astakafilullah
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Anajua kul sadak😂😂😂😂 astakafilullah
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 2 жыл бұрын
Uyu Mzee Mazinge akili zishakua z kijitu kizima kazi awaachie wakina Kinyogoli, Bakoz, Shafi n.k. alafu kitu ambacho namshauri huyu mzee Mazinge n kua aache mnn haya ya kusema "ntauacha uislamu" hayafai kabisa yan..
@isayamathias3855
@isayamathias3855 2 жыл бұрын
Wewe inaonekana ni mchawi tena wa wazi wazi kbs haiwezekani kazi anayifanya huyu mzee ww unaichklia kihivyo sms yako imejaa negativity, mungu akulipe
@isayamathias3855
@isayamathias3855 2 жыл бұрын
Yani kweli ww ni mpumbavu
@chrisnashon1523
@chrisnashon1523 2 жыл бұрын
Sio dini itakupeleka mbinguni ama motoni ni matendo yako pekee. Ole wenu nyinyi mafarisayo mnajifanya mnajua dini sana.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
Ndacha kasome kwanza lugha ya kiswahili bwana 😀😀 ni MTU SIO MUTU MUTU .
@khdigahk4246
@khdigahk4246 2 жыл бұрын
Mkenya uyo mutu kwenyu ndo wanavoongea
@paulnyakxx
@paulnyakxx 2 жыл бұрын
Yaani, waisilamu wameshindwa kabisa na hoja hadi wameanza kumwekea Yesu dhambi kwa kutoelewa Bibilia?
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 2 жыл бұрын
jibu hojaaaa
@paulnyakxx
@paulnyakxx 2 жыл бұрын
@@salumabdallah2990 hapo kuna hoja gani?
@kimsi682
@kimsi682 2 жыл бұрын
Waislamu kweli kwa fichwa vyao wanafikiri Yesu ni mwizi kweli? Ufumbafu na upofu ngani huo??
@kimsi682
@kimsi682 2 жыл бұрын
@@TUnech7 Basi nipe adiko kutoka kwa mwenye punda akilalamika eti Yesu kaiba punda wake na ajamrudishia. Unaona vile Mazinge ana ujaja? Anajua hii sio kweli mbali anauliza! Tena anaaza kuapa!! Nipe hii jimbu sasa bila kwenda kushauriana na wenzio waislamu ili mlete ujaja wa maandiko! Ni wapi tunaona mwenye punda akilalamika eti Yesu kaiba punda wake? Mwenye punda hakusema punda imeibiwa na mwizi anaitwa Yesu! Tena nyinyi mnajua mwizi hatoi taarifa adharani eti anaeda kuiba punda. Anajiadhari kuiba bila kuonekana na yeyote asijulikane ndio ashitakiwe. Hatuoni maala popote Yesu kashitakiwa kwa kuiba punda wa mtu!! Wacheni ujaja wenu wa maandiko. Tena muwe logical mnapo jibu. Pia hapa sio upande gani kashida. Uhuh. Ni kusikiza na kutafuna yanayosemwa wewe mwenyewe uone kama ina-make sense. Ujisomee wewe mwenyewe maandiko. Omba Mungu na Roho wa Mungu akusaidie uelewefu wa maandiko. At the end of the day, hatutasimama mbele za Mwenyezi Mungu na wenye kujandiliana mada. Kila mtu na mziko wake mwenyewe Mbele za Mungu. Ndio mimi sitengemei akili ya mtu yeyote kuniongoza vile mada zinaenda. Unajisomea wewe mwenyewe!
@kimsi682
@kimsi682 2 жыл бұрын
@@TUnech7 Hivo basi Yesu mwizi?? Baada ya Mazige kumwita Yesu mwizi, waislamu wamekwama hapo! TIRex, Biblia inatuonya vikali kwamba, MSITOE CHOCHOTE KWA BIBLIA, NA MSIONGEZEE CHOCHOTE KWA BIBLIA. Be silent where the bible is silent. Do NOT add anything or remove ANY! Wee pita tu kwa njia ya mazinge na akili zake. Wee na mazinge endeleeni kuita Yesu mwizi. Wale wanaelewa Yesu ni nani, na kaja nduniani kufanyani watakimyia.
@bictonykeraryo3900
@bictonykeraryo3900 2 жыл бұрын
Masinge!! Masinge!! Uliisha shindwa na ndacha hoja nyingi. Wewe Yesu huwezi kumweelewa kwamba ninani, uombewe duwa usije kuwa mkristo, ukristo utaningia tu kwa sababu hoja za ndacha ni kali kwako. Mpaka kufikia kuombewa duwa na waislaam, umeshindwa hoja.
@mohammedkassim320
@mohammedkassim320 2 жыл бұрын
Ww hunaakili kama ndacha
@gracembuvi4625
@gracembuvi4625 2 жыл бұрын
Hili kafiri mazinge linastahili kubatizwa lakini ni liongo,,,,linafiki,,,,limeshindwa liende kwao tanga
@amoury1481
@amoury1481 2 жыл бұрын
Mazinge Sio Kafiri,Kafiri Ni Mtu Asiye Muislam Na Mazinge Ni Muislam
@davidkihara9890
@davidkihara9890 2 жыл бұрын
Muhammad karogwa na pia kafanyiwa upasuaji katolewa mashetani.......alaaaaaaaaaaa!!
@amblozambloz8812
@amblozambloz8812 2 жыл бұрын
Swali limejibiwa vizuri sana .. huyo mazinge ni mnafiki
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 2 жыл бұрын
Wazazi wako ndio wanafiq
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
Yesu kaiba Punda 🥲😅😅
@thomasalchannel1135
@thomasalchannel1135 2 жыл бұрын
Toa Aya Yesu kaiba punda.Tena nyie wanafiki Qur'an yawaeleza Yesu Mtakatifu nyie mwasema Ni Mwizi. Innalillahi WA innalillahi rajaul🤭🤭
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
@@thomasalchannel1135 wanafiki ni nyinyi mnao mchafua Yesu Kwa kusema Yesu ni Mungu na mwana wa Mungu na alining’inizwa msalabani na kichupi. Mbwa wa mwisho wewe .
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
@@thomasalchannel1135 Mwambie Yesu arudishe Punda 😝😢.
@thomasalchannel1135
@thomasalchannel1135 2 жыл бұрын
@@nakundwamkubwe7823 Dini ya matukano nayo Ni Dini.Kwanza hauelewi maana ya Wakristo kumwita Yesu Mungu na Pia Kumwita Mwana wa Mungu.Yako Ni matusi tu.Tulia nikufunze.Usione nimetulia2 ukadhani Sijui Mohammed na Dini Yake‼️‼️
@thomasalchannel1135
@thomasalchannel1135 2 жыл бұрын
@@nakundwamkubwe7823 Mwenye Punda Hadi wewe Ni nani udai‼️‼️
@abdullahiguyo7547
@abdullahiguyo7547 2 жыл бұрын
Ndacha na huyo murtadh mumedhihirishiwa haki na ustad wetu Mazinge lakini Kwa kuwa mko mbishi mkamkataa,haya mtayaona makaburini punde tu roho zenu mkitolewa ,msifanye masihara mambo na dini ,ulimwengu muiache kabisa si yoyote musilimisheni Nafsi zenu ...muda upo mutubu kwa Allah mkiwa bado muko hai....ni hasara kwenyu mkifa kafiri....huyo murtadh harakisha sababu kila mmoja ameandikiwa siku zake za kuondoka duniani...haujui muda uliobaki.....kaburini maswali yapo....amali muhimu......bado ALLAH anawapenda enyi mnakathibisha kitabu Cha ALLAH.....
@kimsi682
@kimsi682 2 жыл бұрын
Unafaa kueleea kitu kimoja, Mungu Hajali NDINI LAKO!! ZINGATIA HIRO SANA! Mwenyezi Mungu katupa Yesu Kristo aje nduniani kutuokoa. Shetani kaletea watu ndini nduniani! Mbinguni hakuna ndini!! Mungu hatakuuliza ulikuwa wa ndini ngani? Tafakari hayo!! Utaukumiwa, kwa kutokuwa na imani kwa MBWANA Yesu kama Mwana wa Mungu na mwokozi na pia matendo yako nduniani! Eti nyinyi mnaita Yesu mwana wa mariamu! Hamjui...ama mnakataa kifofu fofu tu kuwa Yesu ni mzee kuliko mariamu! Yesu ni Mfalme wa wafalme! Mohamadi atahukumiwa na Yesu! Think about that my friend. Jisomee Biblia mwenyewe. Na mhache kusema eti it's been corrupted. By who? Tushaa jua, hivyo ndivyio mnafundishwa kusema. Omba Mungu akufafanulie uelewaji. Wacha kutengemea AKILI za Mzee Mazinge, mjaja wa maandiko kama wapharizayo. Yesu mwenyeee kapingana nao pia. Roho wa Mungu akufundishe na akuzaindie!
@joshuamfizi4816
@joshuamfizi4816 2 жыл бұрын
Dhambi ya kuapa uongo.Kajibiwa Mazinge abatizwe
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 2 жыл бұрын
kajibiwa vipi sasa hapo wakati punda hakumrejesha
@isayamathias3855
@isayamathias3855 2 жыл бұрын
Hahahaha kweli apa mazinge unabishana nawatu ambao sielewi ata wanachosema, yani ni wapumbavu
@gagablue3489
@gagablue3489 2 жыл бұрын
Mbona matusi mze
@isayamathias3855
@isayamathias3855 2 жыл бұрын
@@gagablue3489 its true mze ila ww tu hujui, anasthili kuitwa hivyo
@teddclive1506
@teddclive1506 Жыл бұрын
Mazinge ni fala aki.., yaani anakuwa this petty na kuuliza maswali kama hizi
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
Huyu Ndacha kama kawaida yake ananukuu kipande cha aya ili ashinde, huu ni ujanja qa kitoto.aya yenyewe.ni hii :"Ewe Nabii! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Mwenyezi Mungu? Unatafuta kuwaridhi wake zako. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu."huyu Ndacha muongo sana. Hamtambui Muhammad, anasema quraan ni uongo,cha ajabu anaitumia.sasa anaiyambua aunhaitambui?
@fatumjumaa5563
@fatumjumaa5563 2 жыл бұрын
huyu ndie mazinge haumuezi ndacha washa kubabaika
@fatumjumaa5563
@fatumjumaa5563 2 жыл бұрын
kazi safi mazinge mashaallah
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 2 жыл бұрын
Sasa huyu kijana wa njaa anasema nni?
@michaelchoaji5874
@michaelchoaji5874 2 жыл бұрын
Kamateni na mleteni Tena hapa. Na watu wakiwauliza mumjibu Mimi ndie nimemtuma. Unajua maana ya mwizi..!? Hahahahhaa mwizi asemi nendeni mkamkamateni. Mwizi huchukua bila ruhusa Tena kwa Siri sana. Tatizo ni elimu Sana elimu ndugu zangu waislam hamna. Em pateni Kwanza elimu
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 2 жыл бұрын
sasa hoja iko hapaa unaaazimaje kitu cha kwako🤣🤣🤣🤣🤣
@chrisnashon1523
@chrisnashon1523 2 жыл бұрын
Kelele tupu hapa
@basilejuma
@basilejuma 2 ай бұрын
Wacha uongo mligaragazwa na ndacha mwanzo mwisho
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 2 жыл бұрын
Kufuru tu
@rashidmohamed1903
@rashidmohamed1903 2 жыл бұрын
Wewe Ndacha humuwezi Mazinge ukristo wenyewe huujuwi kiswahili kinakupiga chenga yaani upo upo tu
@thomasalchannel1135
@thomasalchannel1135 2 жыл бұрын
Leteni Hoja Mazinge hana lolote la kumbabaisha mkristo
@henrygitaungigi7793
@henrygitaungigi7793 2 жыл бұрын
Hoja nikujiazima?????? Hebu tafakari yale maneno ya huyo mzee mazinge, hivi nikuuliza nani aliyeziumba mbingu na dunia na vyote vilivyomo!!!?¿?
@thomasalchannel1135
@thomasalchannel1135 2 жыл бұрын
@@henrygitaungigi7793 Yesu ndiye aliyeumba (Ni NENO La Mungu) Anamiliki vyote
@farahanabdallah
@farahanabdallah Жыл бұрын
Za
@advisorhonorables9984
@advisorhonorables9984 2 жыл бұрын
Siku ingine kuja na huyo msomaji wako huyu hajui
@selestinsongola2787
@selestinsongola2787 Жыл бұрын
Mnafiki ukijibiwa kubatizwa hutaki
@saimonlion6173
@saimonlion6173 2 жыл бұрын
WAISLAM NIAKILI NDOGO TU NYIE SASA MNASEMA YESU AMEIBA PUNDA JE UYO PUNDA NIWANANI?
@eliasfesto4604
@eliasfesto4604 2 жыл бұрын
Sasa kumbe alisema atamrudisha,hajaiba,sas apo swala la wizi linatokea wap au ndo kujimwambafayi
@lileoh3893
@lileoh3893 2 жыл бұрын
Kwani shida yenu nini majini kiumbe binadam viumbe mungu anachotaka niwatu na majini wamuabudu 2 basi wewe unae muona jini hafai siku ya mwisho ataingia peponi wewe motoni
@SostenesMabala-tt8pt
@SostenesMabala-tt8pt 5 ай бұрын
Ndacha wewe nimuongo hufai kuwa mwalimu
@isayamathias3855
@isayamathias3855 2 жыл бұрын
Hili ndacha kweli bwabwa,
@kimsi682
@kimsi682 2 жыл бұрын
Umejipelaka kuzimu automatic maana unantusi mungu! Mungu kaumba mutu na mbwa. Mungu hakuumba mbwa-mtu!
@isayamathias3855
@isayamathias3855 2 жыл бұрын
@@kimsi682 sio mbwa nimmesema bwabwa, bwabwa ni afadhali ya mbwa and he deserves sasa hapo every single word kashindwa vibaya, anaongea tu coz anajua kuna wajinga wake atawakamata tu huku akijua ameshindwa kbs kutetea hata kitu kimoja
@lileoh3893
@lileoh3893 2 жыл бұрын
Waklisto wamechukua jina la yesu waislam tumechua dini laha sana
@ericstephenm.844
@ericstephenm.844 2 жыл бұрын
Dini ni kiwango cha juu kabisa cha Upumbavu wa binadamu.
@nancybitutu7861
@nancybitutu7861 2 жыл бұрын
waislamu nawahurumia sana na tena sana, koran yenu yenyewe inasema Yesu ni mtakatifu, na nyinyi mnasema Yesu ni mwizi, mbona mnapinga kitabu chenu? Confused people on earth.
@deathrow8004
@deathrow8004 2 жыл бұрын
Leta aya shem
@bustedislam3578
@bustedislam3578 2 жыл бұрын
Poleni nyinyi wafuasi wa marehemu Muhammad. Hadi mnapinga korohani! Korohani inasema Yesu ni mtakatifu. Nyinyi mnasema korohani inasema uongo? Kukuwa mfuasi wa marehemu Muhammad ni balaa kabisa
@alsamali6964
@alsamali6964 2 жыл бұрын
Inaitwa qur an sio korohani
@bustedislam3578
@bustedislam3578 2 жыл бұрын
@@alsamali6964 inaonekana kwamba umeelewa maandiko yangu.
@amoury1481
@amoury1481 2 жыл бұрын
Yesu si Mtakatifu,Nabii Issa Ndo Mtakatifu.Na Kama Kufuata Maiti Mbona Mitume Wengi Wamekufa Kwa Hiyo Hamuwafat Mnawapuuza
@bustedislam3578
@bustedislam3578 2 жыл бұрын
@@amoury1481 Hiyo ni maneno yako. Nyinyi mnafuata marehemu Muhammad, sisi tunafuata Yesu Kristo aliye hai. Sisi ni wafuasi wa Yesu, apana wafuasi wa mitume.
@nih-lantsalum7104
@nih-lantsalum7104 2 жыл бұрын
Kasome kwanza hata kiswahili hujui sio korohani ni QUR-AN MUHAMMAD MAREHEM YESU NI NANI NA MUNGU KAFA WEWE UNAPEWA UHAI NA NANI MUOGOPE MUNGU ALIE KUUMBA WEWE ADHABU HUZIWEZI
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 2 жыл бұрын
mazinge akupe andiko, ni wapi mwenye punda alisema/alilalamika, punda wake kaibiwa? hata yeye alijua kma hakuwa wake.
@kimsi682
@kimsi682 2 жыл бұрын
Very Good!! Huyu Mazinge ni mtu mwenye ujaja wa maandiko kutoka kwa shetani mwenyewe. Ndini la manjini!
@enockkibona7522
@enockkibona7522 Жыл бұрын
JESUS IS GOD
@mwanamkemwebrania9530
@mwanamkemwebrania9530 2 жыл бұрын
Wewe Ibrahim, itakusaidia nini ukiupata ulimwengu wote na kupata hasara ya nafsi yako???
@cultureman8563
@cultureman8563 2 жыл бұрын
Soma 11:34 wakorinto
@ramadhaniathumanibatumnwa1842
@ramadhaniathumanibatumnwa1842 Жыл бұрын
Sintochoka kukufuatiria shehe wetu
@martinkinyua5807
@martinkinyua5807 Жыл бұрын
Pia mazinge ni Mali yake mungu
@thomasalchannel1135
@thomasalchannel1135 2 жыл бұрын
Wewe Ex pastor na Mazinge Mpingeni Yeye Ambaye Mungu alimtakasa(Yesu Kristo) na kuikanyagia damu yake.Maadam hamtubu Motoni mnaingia.
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko 2 жыл бұрын
Huyo kafiri 2 kazi kurtadisha watu ,ndacha hafui dafu mbele ya ustadh habib othuman mazinge n ustadh wetu mola atuhifadhin pamja n mashekh wetu amiin yaarabaliaalaamiin
@lewismurithi9578
@lewismurithi9578 2 жыл бұрын
Mazinge Hilo Ni swali ndogooo batizwa
@cultureman8563
@cultureman8563 2 жыл бұрын
Wakristo mko na mambo mengi sana 1: yesu ni Mungu alafu ubatizo ni ondoleo la dhambi Sasa lewis murithi epu niambie yesu alifanya dhambi Gani kama sio usanii mnafanya lewis murithi Lewis Kila Saturday and Sunday nyimbo kanisani toa andiko yesu aliingia jengo linaloitwa kanisani kaka,,, Tukiangalia kwa vitabu hakuna
@lewismurithi9578
@lewismurithi9578 2 жыл бұрын
@@cultureman8563 nakupa maandiko yesu akuwa na dhambi Sababu ya kubatizwa Kwake Yesu ni hii soma Mathayo 3: 14-15 alafu swala la kanisa soma Mathayo 16:17-18
@gracenjoroge5952
@gracenjoroge5952 Жыл бұрын
Wapi aya yesu kaiba tena kama ww mazinge mkweli si ungesema punda alikuwa wa nani?
@musatv3745
@musatv3745 2 жыл бұрын
Huyu ndacha hawezi jibu swali Kama linavosomwa kwenye vitabu hujibu avojua yeye
@meshakinelisoni1176
@meshakinelisoni1176 2 жыл бұрын
.unataka ajibu unavyotaka wewe
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 2 жыл бұрын
hawa wakristo hawamuamini mtume muhammad lakini qur an kashushiwa mtume muhammad😁😁😁😁😁😁
@kimsi682
@kimsi682 2 жыл бұрын
Muhamadi, amewahi kubaka mtoto wa watu?? Amewahi kuangiza ntu yeyote auawe? AMEWAHI???
@tbwoy216
@tbwoy216 2 жыл бұрын
Nyinyi waislamu?? Yesu alisema nendeni mahali Fulani....Yani yesu anajua ni wapi alikua anawatuma... kumanisha Kila kitu ya hii Dunia anajua...kumanisha ni yake.....kwani wewe uwezi ukajua Mali yako duniani?
@hanahassan5233
@hanahassan5233 2 жыл бұрын
Yesu wapi amesema ye ndo mungu how comes en yesu alienda msq pkee wapi alienda kanisa
PASTOR NDACHA ASHIDWA KUJIBU SWALI LA MUSILAMU KATIKA MJADALA ISIOLO TOWN
16:31
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 47 М.
бесит старшая сестра!? #роблокс #анимация #мем
00:58
КРУТОЙ ПАПА на
Рет қаралды 3,4 МЛН
NONDO ZA Pro MAZINGE KWA KAFIRI NDACHA KUTOKA KENYA
22:57
arkas online tv
Рет қаралды 29 М.
Wachungaji waikataa bibilia mbele ya waisilamu eastlegh ajabu sana by sheikh Anwar
32:11
WAKRISTO WAGADHIBISHWA NA MANENO YA ASKOFU NA WAKADAI NI MPINGA KRISTO
24:19
MZEE ANAYEDAI KUWA YOHANA MBATIZAJI AMZIMA PASTOR NDACHA KAMA MSHUMAA
1:28:34
Straight Path Dawah
Рет қаралды 95 М.
Simba wa Daawa nchini Kenya.. atufundisha Dini ya Haki... 24 November 2023
38:04
Abass Online Tv ( Eastleigh Daawa, Nairobi Kenya)
Рет қаралды 20 М.