Tz tulibarikiwa kwa kweli na maraisi 2,mwalimu nyerere na Baba yetu MAGU, 😭😭😭😭😭😭😭😭 na sasa atupo tena nao kazi nzuri umetuachia baba Magu,daima tutakukumbuka R.I.P🙏🙏
@Brotherkhassimbizimungu3 жыл бұрын
Rais JPM uliachia afrika elmu itasadia wanaota kuongoza vizuri. Utabaki katika nyoyo zetu. Much love from Rwanda 🇷🇼!
@nhungomuya905 жыл бұрын
Tanzanian tumepata raisi ambaye hajawahi tokea tangu tupate uhuru Magufuriiiiiiiiiiiiiii ni chuma cha kilongo
@gordonomondi30093 жыл бұрын
President Magufuli you were so real, may God continue to bless and strengthen your family.
@moviesseries99235 жыл бұрын
Mzee Magufuli Umenifurahisha sana😂😂😂
@learnmathematics50375 жыл бұрын
Dr Magu ni jembeeeee!
@momobakari95883 жыл бұрын
Rest in peace baba, tutakukumbuka daima😭💔🇰🇪
@dianamkita65713 жыл бұрын
Hakika tutamkumbuka Mpendwa wetu JPM...
@davidsimbeye15485 жыл бұрын
Nampenda Sana Kenyatta
@paulkanja38253 жыл бұрын
I miss this guy. From Kenya
@mussaodada96293 жыл бұрын
Nimekumis sana raise wangu kipenzi nakukumbuka sana mungu akulaze pema peponi unajua ipo siku tutaonana mungu akipenda 👩👧👦👩👧👦👩👧👦👩👧👦👩👧👦👩👧👦
@user-ti4pl6vv4w13 күн бұрын
😊😊1❤a😊@@mussaodada9629
@Ronald-gh6jl3 жыл бұрын
Kenya na tz ni marafiki, majirani na mandugu, mungu aiweke roho yake marehemu jpm mahali pema peponi
@salomewandya72573 жыл бұрын
Jamani ndiyo maana Kenyata alisema iwe isiwe lazima aje kwenye msiba😥😥😥😥😥😭😭😭
@damarisambia11543 жыл бұрын
Liwe liwalo ilikua afike , East Africans we've lost a good one kabisa.
@happysanga65953 жыл бұрын
Kazi umefanya pumzika kiongoz wetu🇹🇿🇹🇿🙏🙏😭😭
@leoncebaryaherezahe97044 ай бұрын
Duniani yoyote , sijaona Mtu wa moyo mzuri kama wewe Baba wa Taifa wa Tanzania. RIP Mzee Mtumishi wa Mungu😍😍🤩
@aloycemyovela25215 жыл бұрын
Bless ndgu yetu rais Nakupenda sana
@dr.erickjmazyala89055 жыл бұрын
This is East Africa we want! Mungu azidi ibariki EA!
@sadifa2said5675 жыл бұрын
Hongera sana rais Kenyatta na rais Magufuli na mama Samia heshima kwenu
@rhinakiza3 жыл бұрын
Ulisema kweli tuta kukumbuka kwa megi Baba yetu RIP rest in Peace Rais Magufuli 💕💕
@virginiamburu43353 жыл бұрын
Ma kweli alisema hivyo. Lalala Salama
@rhinakiza3 жыл бұрын
I love you Magufuli no secrets about our country, If it was different president he was going to wait until home njoo amu call, but Magufuli was very open president
@faroukmutyaba56653 жыл бұрын
Rhina ingekua innawezekana angekuja Uganda Magufuli afundishe Museveni wetu jinsi ya kua na huruma kwa wanainchi wa Uganda
@rhinakiza3 жыл бұрын
@@faroukmutyaba5665 I know kaka, we just pray for him to rest in Peace Rais Magufuli, God loves him mostly than us. Hata Baba amefariki Yesu ata baki kuwa Mungu tuu 🙏🏼🙏🏼
@jedidahbintidaudi82413 жыл бұрын
this was so cool! Magufuli na Kenyatta wanautani mwingi sana..nafirki ni rika moja ndomana...kutaniana sana. nakumbuka clip Kenyatta akiwa Chato wakenda muonda mama Magufuli..Magufuli akawa anamuegemea Kenyatta na kumuambia mama yake; "mai, Kenyatta Rais wa Kenya huyu anakuksalimia" yaani it was so good..asanteni sana Magufuli / Kenyatta safi sana..Magufuli oyeee!! Kenyatta oyeee!!
@Assam88855 жыл бұрын
Wallah nimefurahiiii uncle Magu mungu akubariki sana
@junemuchiri6093 жыл бұрын
Magufuli na kenyatta walikua marafiki sana aisee😂😂😂
@emmanuelsengo26015 жыл бұрын
Kwani huyu mzee magu alikuwa wapi ckuzote. Tukaweka majizi yakatuibia wee mpaka sasa tumekombolewa
@EmanuelNicholaus-of1qg4 ай бұрын
Best President in Tanzania's history
@nancykiwelu93705 жыл бұрын
Mungu awaongezee umri mrefu na afya njema kwenye utumishi huu aliowapa
@mkude5 жыл бұрын
Nimeipenda sanaaa hiii,safi sana viongozi wetu.
@amtawakal5 жыл бұрын
Zama hizi za EA ni za aina yake,especially TZ na KE. Lovely and big-up to the two comrades.
@allananam66315 жыл бұрын
This is great, true spirit of kenytan.
@solomonmpuluma54855 жыл бұрын
Nimeipenda sana sana. Mungu awabariki sana!!
@fredoso15 жыл бұрын
Huu ndio undungu thabiti mwenyezi mungu aibariki Africa mashariki.
@agnettakamugisha49843 жыл бұрын
PRICELESS❤❤❤❤ YOU WERE GOD SENT🙏🙏 RIP JPM🙏🙏
@eliudchipuga58515 жыл бұрын
You are the right person chosen by God for the people of Tanzania
@ridhiwaniomari74255 жыл бұрын
Absolute
@abdulmrisho31165 жыл бұрын
Duuh hatar
@kihanda25545 жыл бұрын
Huyu Raisi wetu anapiga Show Live Band na siyo kuimba kwa Back play CD. Hunipa Raha kila siku.
@issaibonyissaibony99343 жыл бұрын
Mzee ww bc tu mungu akuhifadhi huko uliko 😭😭😭
@monicatankini59585 жыл бұрын
kama unaitwa ,Monica popote ulipo sema oyoooo ,tumetajwa na raisi jamani.
@murerwadarlene41383 жыл бұрын
I Am Rwandan but my heart is still mourning you Rais.keep resting in peace
@samwelpmbuga77353 жыл бұрын
T x p a share
@dianamkita65713 жыл бұрын
Kweli kabisa...Yaani JPM will be always in my memory...+ 255
@babytracy42213 жыл бұрын
Same here I’m Kenyan but I’m still mourning
@rosalindbirungi91643 жыл бұрын
Am a Ugandan but still mourning a great leader of the times. RIP
@ernestsinje95325 жыл бұрын
Mambo ya anko Magu bwana nimecheka kwa Furaha
@salomewandya72573 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@rosalindbirungi91643 жыл бұрын
Thank you President Uhuru. Stay blessed
@kifalumjanja24282 ай бұрын
Nimependa sana hiyo conversation from both side.
@King_1865 жыл бұрын
Yaa ni zaidi ya upendo, n'a JPM ukitaka kuelewana naye, mzigo upatikane
@babusadala57325 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂🍺🍾
@michaeldeus1935 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@mwajejasson69955 жыл бұрын
Dr magufuli ubalikiwe sana wewe ni rais bora sana
@gloriousn64255 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapo umempatia
@donsuatv12545 жыл бұрын
Alieskia simu inaanza kuita ikisema Sajili laini kwa njia dole gumba gonga like
@priencedamdoek5085 жыл бұрын
I see, nimefurahi sana. This is more than friendly.
@charlesjohn57925 ай бұрын
MAGUFULI where are you Mr PRESIDENT 😢😢😢😢
@africanvoyagesafaris38344 ай бұрын
Magufuli hoiyee..he was a strong president. Much love from Kenya 🇰🇪.
@danielwilliam521312 күн бұрын
Wallah mungu amuweke ENYATTA miaka mingii na mungu amuweke JOHN mahala pema ako na moyo ya utuu kwa inji yetu zote mbili
@cityboysdecalicas20245 ай бұрын
Nafurahi kuona hii video❤❤❤❤ Nimempeza Magufuli na kumtamani Kenyatta wetu arudi uongozini❤❤
@EzraOsiemo5 ай бұрын
Akh
@user-rv2tv6mt4x3 ай бұрын
Continue Resting in peace president Magufuli ..we still mourn you...your integrity, dedication and commitment to build Tanzania is a legacy the whole of Africa is proud of.Love from kenya 🇰🇪 🇰🇪
@issazakaria8633 жыл бұрын
The Comrades of East Africa love from #Tz R. I. P JEMBE letu big love Kenyatta TUSONGE PAMOJA na Rais wetu Mama Samia
@kellyyobaibe40273 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭 mi hua siamini na czani kama ntaamini labda cku moja ntaamini kama hayupo tena
@dianamkita65713 жыл бұрын
Amini tu Kelly,,hakuna jinsi..Mungu ndo anajua.. Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki familia ya Mh.JPM...
@irenerogers27435 жыл бұрын
My president..... You are blessed
@thobiasjosephat76115 жыл бұрын
Okwi
@thobiasjosephat76115 жыл бұрын
Chama
@salimkipuge35115 жыл бұрын
Inaleta raha sana.
@robertusisack36355 жыл бұрын
mwanzo nilikuwa simpendi kweli lakini this time nampenda kweli
@bjzee19815 жыл бұрын
Nani?
@zakayokalinga78385 жыл бұрын
Celyne Isack 😂😂😂miko juu mwendo wa mateka
@yayomachano29045 жыл бұрын
Cely😄😄😄
@stephendaniel70193 жыл бұрын
African Legend, RIP. I lack strong words to describe you my African King but it is well known that u r really the King that could have rescued Africa.
@mkulima_mweusi24815 жыл бұрын
Bonge moja la kolabo
@issayamshana37503 жыл бұрын
Hahahhahahahaha etii kolabo..... haya bwanaaa
@briansifuna37705 ай бұрын
Tanzania so far has had two presidents, Magufuli na Mwalimu..
@danielbugwema69695 жыл бұрын
Wanao kuchukia wafe kwa vijiba vyao vya mioyo yao
@williammasanja58195 жыл бұрын
Saaaaaana kk wafe tu
@evarkidanh11093 жыл бұрын
Hakika huyu ndiye alikuwa rais mpaka sas siamin kuwa umeondoka
@joshuaonyith20053 жыл бұрын
Continue resting in peace your Excellency. Death is too mean to African continent. Good leaders don't last longer. RIP H.E Dr. JPM
@atsachifamily45092 жыл бұрын
Ati wewe achana na huyo arudi nyumbani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@vinhardodhiambo3235 ай бұрын
A real kamau kabisa😂😂😂😂😂
@mjahkhan22433 жыл бұрын
Pumzika mzee wetu jpm
@maryemmanuelmjema99533 жыл бұрын
Tunakukumbuka magu nataman nikuamshe uwezo Sina nabaki Julia daaah mungu wew tulikukosea nin watanzania Hadi utuchukulie maguful 😭😭😭😭
@kevinmiles11893 ай бұрын
Kenyatta was aman an a half❤❤❤
@ndayishimiyejcn3 жыл бұрын
I miss him😭😭
@johnkatindasa17505 жыл бұрын
JPM LULU YA TANZANIA.
@josephlucas2786 Жыл бұрын
Nimejikuta naangalia tena leo 05,04,2023
@nicholasmacharia31025 ай бұрын
I miss my President His Excellency Uhuru Muigai Kenyatta.
@kiangurajason118319 күн бұрын
That's Kenyatta rubbish. Let him bring billions he stashed in foreign accounts. Hiyo pesa haikuwa ya mama yake.
@immaculateigosha49878 күн бұрын
i think they were discussing about GOLD smuggler
@zakayokalinga78385 жыл бұрын
Ni mzur lakini anachapaa kazi Uhuru Akasema aaah wachana na huyo arudi nyumbani weeee😂😂😂😂😂😂 Magu banaaaaa
@reyjosee93905 жыл бұрын
Zakayo Kalinga wachana na huyo arudi bnaaaa
@zakayokalinga78385 жыл бұрын
hahahah
@Avianatz2 ай бұрын
Hahaa 🤣🤣🤣 magu banaaa
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Hiyo ndio EA ilipaswa iwe undugu sio kuwindana ama ujanja ujanja. Tunaamini Mama Mungu atamjalia adumishe upendo EA. RIP Mwendazako. Mungu akurehemu uliko.
@mathewkissima19315 жыл бұрын
Nakuelewagaaa mzee maguuu
@better-healthericevatvquee7772 ай бұрын
This is a pure democracy I'have ever seen
@barakashadrack76953 жыл бұрын
Sijui ni lini itatugalimu kumpata mtu mwingine mzalendo kama huyu mm na uchungu sana hd leo nalia
@juliasibwana26073 жыл бұрын
Nilizani nimebaki yatima kumbe mzazi yupo mh rais Samia suluhu Hasan Asante mungu
@denniswachira10783 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 This Was Funny...... R.I.P.Magufuli
@leodiansamba46825 жыл бұрын
Raisi wetuu we jamani mungu akupe nn uuuuuuwiiiiiiii we Raisi weeeee magufuli mungu akubaliki sanaaa
@rosalindbirungi91643 жыл бұрын
Wow amazing civility...RIP President Magufuli
@kabulamhembe10243 жыл бұрын
Nalia kwa uchungu sana kuondokewa na mtu kama huyu,kazi ya mungu haina makosa rest easy dad
@alisaid43803 жыл бұрын
Afathali ungelikufa ww
@kabulamhembe10243 жыл бұрын
@@alisaid4380 mwislamu gani wewe kipindi cha ramadhani unaongea pumba kiasi hiki naomba ufe kifo kibaya iwe fundisho kwa watu wengine wenye kumdhihaki mungu kama wewe
@alisaid43803 жыл бұрын
Utakufa ww mbwaa
@kabulamhembe10243 жыл бұрын
@@alisaid4380 mbwa wazazi wako waliokojoa kiumbe kisicho na busara
@hadijamagufuli26613 жыл бұрын
@@alisaid4380 unateseka ukiwa wapi😒
@maryamhabib4663 жыл бұрын
Wallah sichoki kuskiliza hotuba zako baba maguful rest in peas
@user-xh3kx6hq6d9 ай бұрын
i am a kenyan but continue resting in peace ,,indeed u did a great job
@GSP__3 жыл бұрын
Baba East Africa😭😭💔💔💔💔❣️❣️❣️❣️❣️
@desiretuyisenge13083 жыл бұрын
Kizuri hakidumu ni kweli
@benardwanyonyi10803 жыл бұрын
I love this guy JPM. RIP
@adamapollo98595 ай бұрын
Si mungu angetuachiya huyu jamani😢😢
@raypius18253 жыл бұрын
You will always be in our hearts! Love You Forever dear Baba!
@allykigatta32395 жыл бұрын
HAWA SASA NDO DACTA MAGUFULI NA UHURU KENYATTA...HAWA NDO MARAIS WA UKWELI...
@munasaidi6145 жыл бұрын
Usimsifu Uhuru Yuko na ubaguzi Uhuru wakenya wanalia
@najmagudeh2035 жыл бұрын
Muna said.kweli kbsa
@shaibukitoga30825 жыл бұрын
Ndio anajifunza hivyo
@mwarishmodsalum5555 жыл бұрын
Safi sana muheshimiwa uhuru pongezi kwako na muheshimiwa magufuli kila siku nakupenda mungu akusimamie maadui wanaokuchukia laana iwe juu yako na dhambi ziwakandamize wao ameena
@mwarishmodsalum5555 жыл бұрын
Safi sana muheshimiwa uhuru pongezi kwako na muheshimiwa magufuli kila siku nakupenda mungu akusimamie maadui wanaokuchukia laana iwe juu yako na dhambi ziwakandamize wao ameena
@munasaidi6145 жыл бұрын
Mm maoni yangu ni kwa magufuli mm ningependa amkalishe Uhuru na kumuelimisha juu ya ufisadi Kenya imezidi maisha ya Kenya ni mabaya Sanaa wanyonge waumia Kila Jambo mpaka ulipe marupurupu. Ata ukisoma hakunafaida kazi wanapeana wakikuyu pekee ndio wanajisifu Kenya ni yao mm ningeomba uingilie kazi kwa maana ww ni raisi wa Tanzania nivema uingilie Kati ili uwasaidie wakenya wenzetu bila hivo Kenya itaharibika miaka ijayo tutajijawanya Kenya itakuwa na maraisi wawili mm ni mkenya ila siipendi Kenya kwa sababu ya ufisadi. Nikiingilia kwa upande wa Barbara Uhuru ametengeneza kwao Nairobi ila Mombasa hawakutengeneza Barbara. Ukitaka wakenya wawe na upendo na Tanzania basi tusaidie magufuli
@najmagudeh2035 жыл бұрын
Kbsaa
@gizakazeno16885 жыл бұрын
zamani watu walikuwa hawamwelewi huyu magufuli...ndani ya miaka mitatu kaibadilisha tz na watu wanaanza kumuelewa sasa
@paschaltsaxara76545 жыл бұрын
amaizing sana
@Donasian-ry9kh4 ай бұрын
😢 tutakukumbuka xana baba
@josemariafamily2 ай бұрын
I didn't imagine such a call live to the people. This was great
@menyajoseph97293 жыл бұрын
jpm was the great president in Africa
@zakiazionheart23703 жыл бұрын
We missing you JPM 😭 you're unique and true Angel 👼 RIP.. those who kill you the truth will come out one light day...we Pan-African we believe your death wasn't natural. Those who celebrate your death... We are watching them those who talk about your death we know is them who is criminals.. them time will come to.. because everyone will test the death. .
@kassimrajabu78055 жыл бұрын
So nice
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Hongera sana ulijua kuwatumia vizuri maprofesa na Drs ktk utawala wako. RIP na Mungu akurehemu.
@abdiabdalla45193 жыл бұрын
Rest in peace anko magu
@alonsobrazzel30113 жыл бұрын
🇹🇿🕌⛪🇰🇪 - THIS WAS LIKE OUR BELOVED PRESIDENT MAGUFULI (RIP) PASSING THE BATON TO MAMA SAMIA. "MAY ALLAH, YAHWEH, GOD" HELP HER TO SERVE TANZANIANS AFTER PRESIDENT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI (RIP) PASSED AWAY. "MAY GOD ACCEPT HIS SOUL".❤✔
@stevewanga9575 жыл бұрын
Yaani simu ya Raisi ni kimeo 😆😆.... Kweli Tanzania wako na Raisi very simple kabisa
@francepetro67685 жыл бұрын
steve wanga iyo maic ndio inafanya ivyo
@galusomuga25763 жыл бұрын
We will miss you dearly JPM
@kbm2415 жыл бұрын
Magufuli is one of the best presidents in africa.From Kenya.
@RubenMmassyАй бұрын
Mzigo wote umeingia na nimeuona ndo wenyewe.
@omarysauti65103 жыл бұрын
Mungu mujaliye magufuli apumuzike kwa Aman eee baba twakuomba
@businkala25543 жыл бұрын
Daddy Afrika woyeeee
@baltazarynoely42383 жыл бұрын
R.i p baba magu hakika nakukumbuka
@timboxlee919 Жыл бұрын
Kikulacho ki nguoni mwako,Rip JPM
@adammakoye41985 жыл бұрын
Rais wetu mpendwa Mh Magufuli kwanza nakupenda sana japo mwanzo nilikuchukia sana. kma utasoma comment hii nataka kuuliza bidhaa ya milioni nne ushuru wke ni milioni moja na laki mbili forodha ya Namanga hiyo