NIDHAMU NDIYO INAMBEBA SANA DIAMOND KWENYE MAFANIKIO| MIMI NILIKUWA NA HELA SANA KULIKO DIAMOND.

  Рет қаралды 19,433

Wasafi Media

Wasafi Media

4 күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 30
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 2 күн бұрын
Watangazaji nakumbuka wakati mlipo muuliza zari kwanini kawa kwenye mapenzi na diamond alikijibu zari ni kwaajili diamond akili zake nzuri kiuchumi ndo maana zari kamkuli na kumzali.mondi anamalengo na maono ya juu zaidi.ndo maana hapindi kufeli.
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 3 күн бұрын
Hongera kwa bi sandraa .....kazaaa kwakweliii
@richkaja3317
@richkaja3317 2 күн бұрын
Big 👆 sanaa tale nimependa ulivyo tia elaa kwa founder tz msanii wa kizazi kimpyaa
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 3 күн бұрын
GOOD INTERVIEW 🎉🎉🎉❤❤❤❤
@masoudjuma8169
@masoudjuma8169 3 күн бұрын
Good interview
@titoamani-e8b
@titoamani-e8b Күн бұрын
Harmonize anaamini uchawi utamusaidia kua Super Star Wala sio kipaji chake😂😂😂😂
@mosesobunde
@mosesobunde 2 күн бұрын
Nice interview bt hapo kwa Muhimbili tu ndiko mwanao anapaswa kutibiwa coz kuna best Drs that not proper expression..
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 2 күн бұрын
Nikweli babutale anachongea waliheshimiana Sana mpk wamefik hpo
@Boyluke-luke
@Boyluke-luke 3 күн бұрын
Good
@e11said23
@e11said23 2 күн бұрын
Babu tale kazi yako nzuri ilikua bora umeachana nae sasaivi ushoga wake wazi wazi na mashoga wenzake maarufu tz.
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 2 күн бұрын
Unatombwa wewe shoga mkubwa#masikini ote ndo huwaga mnamakasiriko sana
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 2 күн бұрын
Simba la masimba 🎉🎉🎉🎉
@john_1trader
@john_1trader 2 күн бұрын
Adi akili simba kapewa
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 күн бұрын
Nikwer unachosema kuhusu mafanikio yadaimond...ila why Daimond amefanikiwa Sana kuliko wengine..kwanza ni mungu ametaka daimond awe na mafanikio Yan amembariki pili ndo yeye mwenyewe kwamba anadisplin anajielewa nakazalika ...ila wakwanza ni mungu alafu mengine ndo yanafuata
@mubuyafrancis3979
@mubuyafrancis3979 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 3 күн бұрын
UNATUMIA USHIRIKINA NA ULISHAWAHI KUKIRI, TALE.
@user-kx2qy4oc4l
@user-kx2qy4oc4l 3 күн бұрын
Kwaifyo nini inakusumbua
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 2 күн бұрын
Na ww tumia
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 2 күн бұрын
Masikini bwana 😂😂😂😂aya njo akuroge na ww xx
@MgeniRamadhani
@MgeniRamadhani Күн бұрын
Hata ushirikina bila kijituma haufanyi kazi 😅😅😅😅
@chrispinmkanda6097
@chrispinmkanda6097 Күн бұрын
Kwaiyo tukusaidie Nini bingwa!?
@ennymajaliwa4486
@ennymajaliwa4486 3 күн бұрын
Akili na ushirikina wapi na wapi.
@bongelabwana7523
@bongelabwana7523 2 күн бұрын
Kama ushirikina unalipa makabila angeshinda Grammy 😅
@officialdana5114
@officialdana5114 2 күн бұрын
We miso misond umepigaje apo
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 күн бұрын
Nidhamu kwenye kile chama muhimu, ukiambiwa cha kutoa lazima utoe hata kama hutaki.
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 2 күн бұрын
Masikini xku zote ndo mlichobakiza kuwaza😅😅😅😅😅😅#tafat hela uache makasiriko na matajir
@andrewkilave3532
@andrewkilave3532 2 күн бұрын
😅😅😅
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 2 күн бұрын
Nyimbo zimejaa matusi akili gani walionayo .
@theballosm
@theballosm 2 күн бұрын
Tuka wewe konde boy
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 2 күн бұрын
We mmakonde umefata nn humu kafee mbele uko mshamba mkubwa weee 😂😂😂😂😂#simba n genius
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,4 МЛН
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
Sigma Girl Past #funny #sigma #viral
00:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 32 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
Sinaga Swagga Session 7  - Msukuma Mjanja
5:50
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 20 М.
Ay Masta Feat. Marioo - Yule Remix (Official Music Video)
3:14
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Visit Tanzania
Рет қаралды 251 М.
DESAFIO IMPOSSÍVEL! #trending
0:13
O Mundo da Ágata
Рет қаралды 15 МЛН
Кошки не нарушают закон😂
0:34
FERMACHI
Рет қаралды 5 МЛН
Парковка ТАКСИ от клоуна!
0:22
Клаунхаус Kids
Рет қаралды 4,2 МЛН
Me: Don't cross there's cars coming
0:16
LOL
Рет қаралды 10 МЛН
Papa yeh dila do ajse mein aapki behen 😢😊 #shorts
0:30
Sikha shorts and vlogs
Рет қаралды 138 МЛН