RAIS ENG. HERSI ALIVYOWAFANYIA SURPRISE WANANCHI WA KYELA, MBEYA MBELE YA ALLY KAMWE

  Рет қаралды 61,109

Yanga TV

Yanga TV

8 күн бұрын

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Пікірлер: 113
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 5 күн бұрын
Rais Wetu Wa Yanga Mungu Akulinde Na Kukubariki, Katika Majukumu Yako.🙏🙏🙏
@DenisSanga-bj5ud
@DenisSanga-bj5ud 6 күн бұрын
Hers mtu wa watu tunakupenda mwenyezi Mungu akubariki
@user-hs2jn9jb9v
@user-hs2jn9jb9v 6 күн бұрын
Jmn yanga mtaua watu....yan hapa mme wangu anataka kufa, nikimwangalia nachekea pemben
@amaniomar1755
@amaniomar1755 6 күн бұрын
Eng. Hersi Said mtu wa maana sana
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 6 күн бұрын
💛💚💛💚💛💚Yanga Africa Moto na moto bongisaaaa
@user-hy3en6vk5f
@user-hy3en6vk5f 6 күн бұрын
Uyu jamaa ana karaha vibaya sanaaa🤣🤣🤣🤣🟢🟡🟢
@user-qe1sn1lf9v
@user-qe1sn1lf9v 6 күн бұрын
Wa kwanza jaman naomben ata like 10
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 5 күн бұрын
Duuh! Zimezidi hongera Mwananchi mwenzangu
@DenisJames-k5l
@DenisJames-k5l 6 күн бұрын
Ally kamwe nakukubali
@prosperjohneriyo2068
@prosperjohneriyo2068 6 күн бұрын
Hongereni kwa 600k
@amaniomar1755
@amaniomar1755 6 күн бұрын
Tuendelee kusubscribe wananchi
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p 6 күн бұрын
yanga safiiiiii
@user-lr6kf6bf9l
@user-lr6kf6bf9l 5 күн бұрын
Mwenye kiti la semaji....upo vizuri
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 5 күн бұрын
Kila la Kheri Msemaji wa Yanga S.C Kwa uhamasishaji wa kutafuta Wanachama wapya na kuhimiza Ulipaji Ada. "Daima Mbele Nyuma Mwiko".
@JenifaAnthony
@JenifaAnthony 5 күн бұрын
Jaman wanayanga wote shusha like kama zote kama unaipendaaaaa
@mntambaprimary1326
@mntambaprimary1326 6 күн бұрын
Ila Ally Kamwe upo vizuri sanaaaaaa Ahsante Eng.Hersi,u deserve ma brother
@amaniomar1755
@amaniomar1755 5 күн бұрын
Raisi wa ball 🎉🎉🎉
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 5 күн бұрын
Mungu atujarie furaha iendelee kudumu Ndani ya team yetu
@Isihak
@Isihak 6 күн бұрын
Wananchiiiiiiiiiiii iiiiiiiiii
@VaiEliass
@VaiEliass 6 күн бұрын
Safi sana
@danielbenard9053
@danielbenard9053 6 күн бұрын
George mpole huyo❤❤❤
@ismailkiwawas5982
@ismailkiwawas5982 5 күн бұрын
Daaah❤akija Dube kitu yaa maaana Sana Ile mashine
@comfortkitiwi2879
@comfortkitiwi2879 5 күн бұрын
Karibuni Arusha yenye Raha.
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 5 күн бұрын
Ada zilipwe vizuri jamani wananchi
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 5 күн бұрын
Pamoja Sana Uyo ni George Mpoleeeeee
@user-yc3yf7io7g
@user-yc3yf7io7g 5 күн бұрын
Nilicho frahii jana nimepata kadi ya yanga💚💚💚💚💚💚
@emmanuelfrance
@emmanuelfrance 6 күн бұрын
Uko sawa semaji la caf
@Isihak
@Isihak 6 күн бұрын
Wananchiiiiiiiiiii iiiiiiiiii
@aziziabeid6052
@aziziabeid6052 6 күн бұрын
600K
@Shadia544
@Shadia544 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂Jamaniii mbona raha tuu 😂😂😂
@samwelmahesha4986
@samwelmahesha4986 5 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yanga pow sana dubeeee
@Michellenestory
@Michellenestory 6 күн бұрын
Yanga hapa tuuu
@Cathyson469
@Cathyson469 5 күн бұрын
Mpigaji picha awe anazungusha kamera na mashabiki waonekane badala ya kujikita kwa viongozi tu.
@godfreyelibarikilaizer6178
@godfreyelibarikilaizer6178 5 күн бұрын
Mateso hayatakoma makolo wasajili wa michongo lakini tabu ya msimu ujao ni maumivu zaidi hawataamini mafuriko ya machozi yanavyoenda kuwapata
@errydeo8865
@errydeo8865 5 күн бұрын
ALLY is clever, SMART, a fab salesman, articulate,knowledgeable,HARD working,creative, name it!
@hassanswale
@hassanswale 5 күн бұрын
Tunaomba tukilipa ada mfumo usome huyu mlipa ada anatokea wapi kusudi kuweka ushindani wa Kanda na mikoa na chachu zaidi
@errydeo8865
@errydeo8865 5 күн бұрын
Very good idea! Mkoa unaoshinda ndo inaenda YANGA DAY
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 5 күн бұрын
Wakitoa THANK YOU. Sisi Tunasema VERY MUTCH.
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 5 күн бұрын
Allaah Akbar
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 5 күн бұрын
Yanga bingwaaaaa❤❤
@Mrggorro
@Mrggorro 5 күн бұрын
Yanga daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉🎉🎉
@aziziabeid6052
@aziziabeid6052 6 күн бұрын
Woyoooo
@DenisSanga-bj5ud
@DenisSanga-bj5ud 6 күн бұрын
Ally kamwe wewe ni kiboko ya makolo nakupa maua yako
@Naxxmassawe
@Naxxmassawe 6 күн бұрын
Sawa mkali
@ArafatiMohamed
@ArafatiMohamed 6 күн бұрын
Kamwe😂
@AchileusNshekanabo
@AchileusNshekanabo 6 күн бұрын
Hahahahaha eng. Kaz kwako
@Ba63828
@Ba63828 6 күн бұрын
YANGA MBEYA NOMA WALA NYIE PALE MAKOLO MSIMBAZI MSIPIME
@5googleuuu727
@5googleuuu727 5 күн бұрын
Yanga oyeeeeeeee raha kama zote
@shukranmwalembe3926
@shukranmwalembe3926 5 күн бұрын
Godfrey manyasii huyooo
@goodluckKirenga
@goodluckKirenga 6 күн бұрын
Yangaaaaa
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 6 күн бұрын
YANGA hatariiii 😂😂😂😂
@MonahMosafiri
@MonahMosafiri 5 күн бұрын
💚💛💚💛💚💛💚💛
@DieudonneNdiho-yf5sq
@DieudonneNdiho-yf5sq 5 күн бұрын
Daima mbele nyuma mwiko
@sundayseleman9677
@sundayseleman9677 5 күн бұрын
Yanga sc ni raha sana
@gideonchipepo8405
@gideonchipepo8405 5 күн бұрын
Jamani tulipe ada zetu
@JitihadiJitihadi
@JitihadiJitihadi 5 күн бұрын
Tunakubali sana
@user-hy3en6vk5f
@user-hy3en6vk5f 6 күн бұрын
Club above all 🙏🙏🙏
@godyshayo9984
@godyshayo9984 5 күн бұрын
Dubeeeeee⚽️⚽️⚽️⚽️
@epafraditopajenga4650
@epafraditopajenga4650 5 күн бұрын
GEORGE MPOLE huyo mzaliwa wa MBEYA alie sajiliwa
@user-yc5mx1gh3v
@user-yc5mx1gh3v 5 күн бұрын
Eng.we ni mtu na kitu
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 4 күн бұрын
Kwao Job
@MobileMobigo2
@MobileMobigo2 5 күн бұрын
Oyeee
@TrevorTheTraveller
@TrevorTheTraveller 5 күн бұрын
Aziz andambwile
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 6 күн бұрын
hurray
@MaliaJastine
@MaliaJastine 5 күн бұрын
Wao
@user-hy3en6vk5f
@user-hy3en6vk5f 6 күн бұрын
Kamwe tuletee mchezaji bc
@DottoClement-r7b
@DottoClement-r7b 5 күн бұрын
Hongelasana msemaji wetu
@mariadamas6445
@mariadamas6445 5 күн бұрын
Rais wa Young Africans Eng.Haris ni mwenye maono,pia ana Hekima/Maarifa kupita kawaida.Ee mwenyezi MUNGU milinde na muongezee Hekima ili masiku huu team ifanye makubwa zaidi, ishangaze Africa yote na Dunia ikibidi......!!!🙏🙏🙏🙏🙏
@mariadamas6445
@mariadamas6445 5 күн бұрын
Marekebisho kidogo ,neno ili masiku isomeke msimu. Sorry 4 that.!
@user-ue5wg4sz7w
@user-ue5wg4sz7w 6 күн бұрын
weeeeee😮😅
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw 6 күн бұрын
🎉🎉🎉
@StadiusBedius-p8s
@StadiusBedius-p8s 5 күн бұрын
Watasubiri sana
@errydeo8865
@errydeo8865 5 күн бұрын
Rudia tena!
@SamwelMnaga
@SamwelMnaga 5 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉💚💚💛💛💛💯
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 5 күн бұрын
Mbangula atawamaliza mwaka huu.
@idybwoytz8485
@idybwoytz8485 5 күн бұрын
Yanga BINGWA 🏟 🔰💯🫡
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 5 күн бұрын
George mpole uyooo
@user-ro7cs9yn5g
@user-ro7cs9yn5g 5 күн бұрын
Jamani mbn tumekuwa Kama waokota makopo tunachukuwa tu skirepa
@salemarahbi9171
@salemarahbi9171 5 күн бұрын
Shikamoo Yanga 😂😂
@user-wp5kv9sf5o
@user-wp5kv9sf5o 6 күн бұрын
Ss yanga ninomasan
@IsackMgalh
@IsackMgalh 5 күн бұрын
Kalibu dube yanga
@augustinomkongwa5444
@augustinomkongwa5444 5 күн бұрын
💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛🖤🖤🖤🖤
@marymoshi572
@marymoshi572 5 күн бұрын
🎉
@SubiragaKabango
@SubiragaKabango 5 күн бұрын
Wenzenu wakikaa kimya ni Ungwana sana! Tunahemu Uzalendo wa Nchi yetu! Wewe tumekungua ni kibaraka mkubwa wa wapinzanu wa Amani,Utulivu na mshikamano wa mtanzania halisia! SaSa huku Mbeya- Kyela ndo KWA waajiri wenu!
@noelymwakasege2428
@noelymwakasege2428 5 күн бұрын
Mpole uyo
@saidrajab3808
@saidrajab3808 5 күн бұрын
George Mpole
@aminahdaniel2756
@aminahdaniel2756 5 күн бұрын
Mtasingwa
@moibts
@moibts 4 күн бұрын
uko sahihi kabisa
@MSULUTIPRIMARYSCHOOL-m8p
@MSULUTIPRIMARYSCHOOL-m8p 6 күн бұрын
Hakuna mchezaji pale ,
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 6 күн бұрын
Mbangula Nini au nimekosea?
@kanyeshahigirimana5686
@kanyeshahigirimana5686 6 күн бұрын
Umewaza kama mimi
@jamesmapoya7329
@jamesmapoya7329 5 күн бұрын
Mpole George
@jamesmahatane2723
@jamesmahatane2723 5 күн бұрын
😂😂😂😂sio tu kunywa chai mpaka mswaki wame saau kupiga 😂
@user-fi1qp7hv5t
@user-fi1qp7hv5t 6 күн бұрын
DUBE😂😂😂😂😂😂
@user-re4qg2bh5f
@user-re4qg2bh5f 5 күн бұрын
Mbeya
@lenardmagusu2210
@lenardmagusu2210 5 күн бұрын
HamisiMadoshi
@amanilupembe9788
@amanilupembe9788 5 күн бұрын
Duuu
@josephsamwel2845
@josephsamwel2845 5 күн бұрын
Subiraga ww ndo mjingq
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 3 күн бұрын
MIMI NAITWA FAMA MTANZANIA NAISHI MIAMI SASA TIMUYANGU YANGA MNAHARIBU KUWANZA KUNDAGAYA WANACHAMA MEWAPA UHAKIKA KWA AZIZ KI KUWA KESHASANI SASA ANAONDOKA WANACHAMA WATAKUWA HAWAIYAMINI TIMUYAO
@rinusdaniel9634
@rinusdaniel9634 5 күн бұрын
🎉🎉😂
@GodwinMwambeleko-xr5nm
@GodwinMwambeleko-xr5nm 5 күн бұрын
Kwa ubora wa timu yetu ya yanga ulivyo wananchi tumekua wafuatiliaji wakubwa sana wa timu yetu katika mitandao, kwa Hali hiyo wamejitokeza wapigaji wametengeneza group zihusuzo yanga kwakutaka michango, ombi kwa klabu IKIWA Kuna group za klabu zinazotambulika, wananchi tupewe maelekezo, maana baada ya mashabiki wa yanga kuchangia yanga wanachangia wapigaji!!!? Tunapoteza mapato ya klabu yetu, mpira pesa tutasajiri yoyote Toka ulaya, WANANCHI DAIMA MBELE NYUMA MAKOLO
@RaphaeliAdamu
@RaphaeliAdamu 5 күн бұрын
Haaaa
@user-fx4pr4vp8p
@user-fx4pr4vp8p 6 күн бұрын
My wet. Alikula 7
@user-fx4pr4vp8p
@user-fx4pr4vp8p 6 күн бұрын
My wetu alikula 7
@bethmahela2182
@bethmahela2182 6 күн бұрын
Kama ni george mpole mmefeli kiukweli,huko congo alikuwa. Benchi
@amaniomar1755
@amaniomar1755 6 күн бұрын
Kwani nani kakwambia ni George Mpole ndugu yangu
@majutojackson5718
@majutojackson5718 5 күн бұрын
hata Yanga atakaa benchi
@SubiragaKabango
@SubiragaKabango 5 күн бұрын
Acha Ujinga wewe ALLY KAMWE kinyago tu wewe! Wenzenu tumeamua kuwabeba tu! Pacome,Azizi K tumewajiri SsC ILI wawafikishe huko CAF bado mnajishangaashangaa kama madada poa tu! Unajishaua tu!
@othmanali7408
@othmanali7408 5 күн бұрын
Unateseka ukiwa wapi kwani ?
@errydeo8865
@errydeo8865 5 күн бұрын
Jisikilize,utasikia ulivyo mjinga! Unatafuta nini hapa by the way?? Utakuta na pressure!
@StadiusBedius-p8s
@StadiusBedius-p8s 5 күн бұрын
Daima mbele nyuma mwiko
@user-fb7gx5cf5m
@user-fb7gx5cf5m 6 күн бұрын
Ahadi imetimia
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 67 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 120 МЛН
Birinci Sayfa 05.07.2024
2:43:21
TRT Haber
Рет қаралды 2,8 М.
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI  | Love Story
40:44
Tournament of the best. Who do you think won? 🏆🐐😍
0:43
Max VS Football
Рет қаралды 4,4 МЛН
Не надо толкать, надо бить🥊
0:20
Алексей "Новатор" Сурков Тренер по боксу
Рет қаралды 1,9 МЛН
Ronaldo with Kids ❤️
0:27
best futball
Рет қаралды 9 МЛН
Controversial Referee Decisions ❌
0:27
TIKI-TAKA
Рет қаралды 5 МЛН
Messi or Ronaldo ?✍️ #football #vs
0:13
AGZDREAM
Рет қаралды 2,8 МЛН