NONDO ZA Pd Dkt. KAMUGISHA KWA WANAHIJA SUKAMAHELA SINGIDA

  Рет қаралды 7,782

PRECIOUS BLOOD TV

PRECIOUS BLOOD TV

7 ай бұрын

Karibu kuwa Mwanafamilia ya PRECIOUS BLOOD TV Hii ni Chaneli ya Uinjilishaji wa Neno la Mungu
Tafadhali endelea Kufuatilia, kusapoti na kuiwezesha iweze kutangaza zaidi Neno la Mungu kwa njia hii ya Kiteknorojia
Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Ku share tone Hili la Upendo kwa Watu wengine
waweza kutupata kupitia mitandao ya
KZfaq -PRECIOUS BLOOD TV
Fesbook- PRECIOUS BLOOD
Instagram- PRECIOUS BLOOD

Пікірлер: 21
@vedastovenant2030
@vedastovenant2030 8 күн бұрын
Nakukubal san Mungu akupe maisha marefu
@dominicblass4319
@dominicblass4319 Ай бұрын
Tyk father k, Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako.
@ZakayoWanjala-pt4sg
@ZakayoWanjala-pt4sg Ай бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki padri kwa mafudisho yako ya baraka
@michaelvincentmhagama337
@michaelvincentmhagama337 7 ай бұрын
Asante sana Padre, hongera sana Padre. Asante Mungu kwa Padre, sifa kwake Mungu.
@user-gy7mv1vl9y
@user-gy7mv1vl9y 7 ай бұрын
Tunakumbushwa kuhusu upendo moyoni naktk familia zetu.
@kulwaedgar2683
@kulwaedgar2683 21 күн бұрын
Aksante sana Father kwa mahubiri yako mazuri, ubarikiwe san
@odettevianney3026
@odettevianney3026 7 ай бұрын
Asante baba kwa mafundisho yako. Bikira Maria ni mama wa wote!
@bensonkirwa2334
@bensonkirwa2334 6 ай бұрын
Mungu akubariki padre kuja nairobi siku moja
@user-sh3xd5yd7z
@user-sh3xd5yd7z 7 ай бұрын
Kweli kabisa Pd hakuna kama MAMA ...
@AshaBay-xg7wp
@AshaBay-xg7wp 3 ай бұрын
Padre napenda sana mafundisho yako naelewa sana karibu misigiri kigangoni
@likeevideos5332
@likeevideos5332 7 ай бұрын
Itakuaje? " Muachie Mungu" 🙏🙏
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 7 ай бұрын
Haleluyah
@AshaBay-xg7wp
@AshaBay-xg7wp 3 ай бұрын
Baba pd mungu akubaliki sana jamani
@user-yv7xf3lm6d
@user-yv7xf3lm6d 4 ай бұрын
Aise Farther mungu akupe maisha marefu sana
@hermankitiku
@hermankitiku 2 ай бұрын
❤❤❤
@mungholomakalanga8958
@mungholomakalanga8958 5 ай бұрын
Baba hua unanibariki sana.Siku moja nitakualika kwetu Katavi
@oscarmwashiuya
@oscarmwashiuya 5 ай бұрын
🙏🏼
@dorinitemba8074
@dorinitemba8074 5 ай бұрын
Fr.Asante kwa mafundisho
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 4 ай бұрын
Mungu Akubarika Sana
@janethminde7382
@janethminde7382 4 ай бұрын
Thank yoy Fr
@ferdinandlutate8979
@ferdinandlutate8979 3 ай бұрын
Ninakupendaje? Unanifurahisha, unafundisha kwa mifano hai,. Ni wazi unaimanya Biblia. Sijawahi hudhuria mahubiri yako kanisani. Lakini ninapenda kuzisikiliza/kuziangalia video za mahubiri yako. Ni kwa sababu ya mambo mengi ...hususani busara na methari kuntu za Kihaya . Zaidi ya yote/kinachonikosha............ninacheka! Ninacheka saaana kwa mifano unayoitoa; kwa vibwagizo vyako. Kucheka huponya. Kicheko ni dawa. Mahubiri yako ni matibabu kwa wengi...kiroho, kijamii na kiafya. Kisha ninajifuza/ninatafakarishwa matakwa ya Mungu. Ubarikiwe.
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 41 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
Padre Dkt Faustin M Kamugisha - Hatupangi Kushindwa, Tunashindwa Kupanga Morning
41:59
TAFAKARI YA SIKU JUMATANO JULAI 10,2024 NA FR GASPAR BARAKA C.PP.S
3:04
MUNGU ANAKUANDAA KWA KILE ALICHOKUANDALIA || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
10:53
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 42 М.
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 41 МЛН