Рет қаралды 16,386
Ni mfululizo wa mafundisho ya kila juma kutoka katika Kanisa kuui la Bukoba Jimbo Katoliki la Bukoba, Kila juma Padre Dkt Faustine Kamugisha hutoa mafundisho mbali mbali na juma hili mada ni UNAYAPOKEAJE..?
Karibu sana kila juma kanisa kuu Bukoba katika mafundisho haya .
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja