NYIMBO ZA EKARISTI TAKATIFU.Chang'ombe Catholic Singers.Watunzi S.Mujwahuki/Aloyce Kipangula

  Рет қаралды 75,395

Aloyce Goden Kipangula

Aloyce Goden Kipangula

Жыл бұрын

Karibu Kusikiliza na kutazama Nyimbo Muhimu za Ekaristi Takatifu (Komunio Takatifu) Nyimbo hizi nyingi zimetungwa na Stanslaus Boniface Mujwahuki na Wimbo Mmoja umetungwa na Aloyce Goden Kipangula.Ni nyimbo nyepesi sana na uliziimba kanisani zinaimbika na watu wote waimbaji wa Nyimbo hizi zote ni wanakwaya wakatoliki Parokia ya Chang'ombe Dsm (Chang'ombe Catholic Singers). Mratibu wa huduma hii ni Mwl Aloyce Goden Kipangula ambaye katika utume wake na kupitia karama aliyojaliwa na Mwenyezi Mungu anaendeza Kazi ya uinjilishaji Pamoja na Wanakwaya Mahili kabisa wa Muziki Mtakatifu, na Wanajitahidi kuutunza Muziki huu Ili uendelee kuwa na Asili Ile Ile iliyozoeleka Tangu Mwanzo wa Nyimbo hizo bila Kuleta usasa.#catholicmusic #romancatholic #gospelmusic #music #kanisakatoliki #nyimbozainjili #nyimbozakatoliki#nyimbozadini

Пікірлер: 38
@BernardBahatiMallya
@BernardBahatiMallya 10 ай бұрын
Yesu I Jina lipitalo majina yote. Linamtisha ueyote yule mwenye kiburi, uonevu udhili nk. kwa wengine. Nguvu ilipo kwenye Jina hili haipo kwenye mamlaka yoyote Duniani.
@justakaranja9102
@justakaranja9102 Ай бұрын
Nyimbo zenu nazipenda sana.Sauti za kupendeza, maneno ya kujaza roho. Na pia kuzishika na kuziimba ni rahisi .Mbarikiwe sana.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Ай бұрын
Asante Justa
@peterkimani7569
@peterkimani7569 Жыл бұрын
Oh Sacrament most Holy, oh Sacrament Divine, All praise and All Thanks giving be every moment Thine. Amen🙏
@alfredswenya
@alfredswenya 11 ай бұрын
Nakupenda yesu,ninaomba na Nina hamu na njaa Kali sana Mimi,ninaomba hicho chakula we yesu.
@gidionmibaluro7085
@gidionmibaluro7085 Ай бұрын
mfalume wa mbigu na nchi...napenda sana kuimba wimbo huu....tnazidi kubalikiwa....
@stephenmwanisenga7068
@stephenmwanisenga7068 8 ай бұрын
❤Mungu wangu na uzima wangu! Ishi nami milele na milele! Amina
@angelamakokha1254
@angelamakokha1254 11 ай бұрын
Blessed be Jesus in the most blessed sacrament of the altar
@jamesmboyi30
@jamesmboyi30 Жыл бұрын
Tumshukuru Mungu,najivunia kuwa mkatoliki
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui Жыл бұрын
Asante Yesu Mwema.
@dennismlula5019
@dennismlula5019 Жыл бұрын
Kwa nyimbo hizi utukufu naona upo nami
@theonasprotas5144
@theonasprotas5144 Жыл бұрын
Yesu utusamehe
@GauthierKweshi
@GauthierKweshi 11 ай бұрын
Eh YESU wangu Aksanti kua Muili wako mtukufu Nilipo pokeya asubuyi za Léo, Uni chunge imara pa Ali Pote Amen 👃
@user-ho3xc7lu8x
@user-ho3xc7lu8x 10 ай бұрын
The iove òf God to as is every where on earth
@alfredswenya
@alfredswenya 11 ай бұрын
Ninaomba hicho chakula yesu wangu
@davidogegaNyamora
@davidogegaNyamora Жыл бұрын
I love Jesus my Lord
@lucianotodeschini
@lucianotodeschini Жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki
@Samson_Collection-ps2pd
@Samson_Collection-ps2pd 7 ай бұрын
Najivunia kuwa mkatoiliki
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 7 ай бұрын
Ukatoliki ni Fahari Yetu
@methuselafelix4983
@methuselafelix4983 Жыл бұрын
Barikiwa ❤
@BoscoDavid-zi6em
@BoscoDavid-zi6em 5 ай бұрын
Kwaya
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 5 ай бұрын
🙏
@alfredswenya
@alfredswenya 11 ай бұрын
Nakupenda yesu sana
@user-sw1of7jx4v
@user-sw1of7jx4v 4 ай бұрын
😊😊😊😊❤❤❤
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 4 ай бұрын
🙏
@michaelnzyoka8702
@michaelnzyoka8702 8 ай бұрын
asante Yesu
@nathanototo8393
@nathanototo8393 5 ай бұрын
Bwana wangu na Mungu wangu ntakulipa nini kwa wema Wako Juu Yangu? nakupenda, nakusifu, nakusujudia na ninakuabudu katika Hostia takatifu ambapo Umo Mzima Mwili, Damu ,Roho na Umungu
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 5 ай бұрын
Amina
@josephonyango3125
@josephonyango3125 Жыл бұрын
God bless Chang'ombe Catholic singers. And all of us.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 11 ай бұрын
Asante Sana Ndugu Joseph Onyangi
@benedictaanselm3084
@benedictaanselm3084 11 ай бұрын
​@@AloyceKipangula8ýýy6😮😮😮😮😮😮😮j6 ñiu😅😅
@dennismlula5019
@dennismlula5019 Жыл бұрын
Kweli MUNGU NI KILA KITU
@BoscoDavid-zi6em
@BoscoDavid-zi6em 5 ай бұрын
Baalveel
@AnnMakhoka-zl4ko
@AnnMakhoka-zl4ko 9 ай бұрын
🎉😢🎉 🎉🎉🎉🎉😢😢😢
@alfredswenya
@alfredswenya 11 ай бұрын
Ndy chakula Cha uzima wetu,kuliko chakula chochote.
@philipmugagolo2878
@philipmugagolo2878 6 ай бұрын
Ndugu Aloyce Kipangula na wanakwaya wote wa Changombe Singers mpate kubariwa kwa hizo nyimbo zenu tamu za Ekaristi kwani najivuniya kuwa MKatoliki.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 6 ай бұрын
Amina🙏
@njukuwanzetse8241
@njukuwanzetse8241 10 ай бұрын
allow me to add an L to your middle name between o and d. you deserve it.
NYIMBO ZINAZOTIA FARAJA_Best collection
40:44
gratus Media
Рет қаралды 16 М.
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 34 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 18 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 25 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 16 МЛН
NYIMBO ZA MAMA BIKIRA MARIA
57:34
ELIPIDIUS RESPICIUS
Рет қаралды 750 М.
LITANIA YA BIKIRA MARIA-BAHATI ZENA FT KENNYRUSH MUSIC
12:08
BAHATI ZENA
Рет қаралды 6 М.
MSAADA U KATIKA BWANA | D. Nkoko | (official video)
7:18
John Paul II Mbeya choir
Рет қаралды 882 М.
ASKOFU ASHINDWA KUJIZUIA WAKATI MASISTA WAKIPELEKA VIPAJI
10:30
Dada Wadogo Media
Рет қаралды 1,3 МЛН
MAMA MARIA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)-
6:16
DOKC TV CATHOLIC SONGS
Рет қаралды 1,1 МЛН
akimmmich (feat. Turar) - UMYTTYŃ BA?| official lyric video
2:54
akimmmich
Рет қаралды 1,5 МЛН
Jakone, Kiliana - Асфальт (Mood Video)
2:51
GOLDEN SOUND
Рет қаралды 4,5 МЛН
Sadraddin - Jauap bar ma? | Official Music Video
2:53
SADRADDIN
Рет қаралды 9 МЛН
Kobelek
4:11
6ELLUCCI - Topic
Рет қаралды 838 М.
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 249 М.
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 219 М.