No video

NYUMBA ZA KUPANGA GEZAULOLE KIGAMBONI/ KODI 300,000 NA 350,000/ = / UNALIPA MWEZI MMOJA MMOJA:

  Рет қаралды 7,210

WHI ONLINE TV

WHI ONLINE TV

Күн бұрын

Msikilize hapa Afisa milki mwandamizi kutoka Watumishi Housing Investments akielezea Nyumba za kupanga zilizopo katika mradi wetu wa Nyumba za Makazi zilizopo eneo la Gezaulole Kigamboni.
#Nyumbanauwekezaji
#watumishihousing
#nyumbaborakwabeinafuu
#nyumba

Пікірлер: 7
@sheikhalumbalambala2655
@sheikhalumbalambala2655 4 ай бұрын
Je mna nyumba ambazo ziko wazi nahitaji
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 Жыл бұрын
Hamuuzi
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 Жыл бұрын
Sawa tunakuja
@mahuwi9925
@mahuwi9925 10 ай бұрын
Tanzania matangazo bado sana 😢! Yani mradi mkubwa mnatoa tangazo la kiholea namna hii hamjaonyesha hata nje mandhari yakoje mshamaliza hapo🙌🏽
@didacianapeyton5798
@didacianapeyton5798 11 ай бұрын
Hello hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya .Swali langu ni lwamba ili ufike gezaulore unapitia daraja la nyerere maanacyani kwamba wapi kari au rahisi kutumia ferry au daraja? Swali la pili ulinzi wa makazi mpangaji anachangia malipo au ni gree.swali la tatu maji yanayotumika hapo ni maji chumvi au maji baridi.asante naomba tafadhari nipate majibu maana nahitaji nyumba .
@didacianapeyton5798
@didacianapeyton5798 11 ай бұрын
Samahani kwa errors
@kingkendrickk
@kingkendrickk 10 ай бұрын
Ukitaka kununua vp
Breaking Boundaries: Hamidu City Park (Documentary)
10:05
Hamidu city Park
Рет қаралды 9 М.
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 69 МЛН
123 GO! Houseによる偽の舌ドッキリ 😂👅
00:20
123 GO! HOUSE Japanese
Рет қаралды 5 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
Dar Es Salaam City - Cost Of Living Tanzania Live
9:42
Architect Russell
Рет қаралды 82 М.
MIRADI YA NYUMBA ZA NSSF
15:06
NSSF TANZANIA
Рет қаралды 14 М.
Sh. Milioni 45 Plus VAT, Unanunua Nyumba Mradi wa #SamiaHousingScheme, Kawe.
3:47
Shirika la Nyumba la Taifa
Рет қаралды 11 М.
NYUMBA YA MILIONI 600 INAYOUZWA PALM VILLAGE MIKOCHENI
11:17
Millard Ayo
Рет қаралды 315 М.
Inside the Most Luxurious Mega Mansion in Tanzania 🇹🇿
24:12
Steven Ndukwu
Рет қаралды 265 М.
FAIDA FUND / JINSI YA KUWEKEZA / MAENDELEO YA MFUKO
14:58
WHI ONLINE TV
Рет қаралды 42
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 69 МЛН