Рет қаралды 3,562
SOMA CAPTION HII
Karibu ujipatie hii nyumba ya kisasa kabisa ambayo imekusanya sifa zote za nyumba bora ya #familia.
SIFA ZA NYUMBA HII
■Ukubwa wa eneo ni Sqm 500 ambalo linakupa nafasi nzuri ya #parking kwa ajili ya gari zako.
■Ina vyumba vinne kimoja ni Master bedroom na vitatu vinavyobakia ni vyumba vya kawaida.
■Nyumba ipo kwenye eneo la kishua (ni sehemu ambayo sio uswahilini) Mtaa umepoa na hakuna vurugu.
■ Nyumba inafikika kirahisi kutokea pale Stend (Chamazi Magengeni) kwa mguu utatumia dakika 5
■ Nyumba imefanyiwa finishing ya kisasa na imekamilika yaan unaingia na kuamia tu.
BEI YA NYUMBA
Bei ya nyumba hii ni Tsh. Milioni miamoja ishirini tu! (120,000,000/=)
46512 US DOLLARS
Usisubiri tena njoo ujipatie #nyumba hii uishi maisha matamu wewe na familia yako.
Samabamba na nyumba hii pia sisi tuna miradi ya viwanja vizuri vilivyopimwa kuanzia Tsh. 500,000/= na kuendelea
Wasiliana nasi kwa namba +255747141871
Au fika Ofisini kwetu
KISEMVULE
A tembelea kwenye accoount zetu za mitandao ya kijamii kupata updates zote!.
#kigamboni #nyumba #viwanja #investment #africancity #hati #hatimiliki #property #house #zanzibar #zanzibarbeach #zanzibar
#simba #yanga #viwanja #mpira