No video

Padre Lui mwenye miaka 102 Jimbo la Moshi Azungumza mazito/Aweka wazi mikasa aliyopitia/Atoa ushauri

  Рет қаралды 55,760

Breez Online Tv

Breez Online Tv

3 жыл бұрын

Muhimu:Nyumba ya Mapadre wa Moshi ipo Longuo na siyo mbokomu kama ilivyotamkwa, Tunaomba radhi kwa hilo.
Huyu ndiye Padre Mzee zaidi kwa sasa nchini Tanzania ambaye ametimiza miaka 102 kama Kaasisi anayelitumikia Kanisa katoliki Nchini Tanzania Jimbo katoliki la Moshi, Amekubali kuzungumza na Breez Online Tv na kutuelezea Historia ya Maisha yake.
#BreezOnlineTv​​​​​​​​​​​​​ #PdLui #Longuo
Breez Online Tv
S.L.P 38655
Dar Es Salaam Tanzania
Phone No: +255 756494796
Barua pepe: izackbreez11@gmail.com
Mitandao Mingine ya Kijamii:
Facebook: breez online Tv
Facebook Link: / breez-online. .
Instagram:Breez Online Tv

Пікірлер: 100
@ponsianamataka4607
@ponsianamataka4607 2 жыл бұрын
Jamani watu Hawa ni hazina kubwa Sana. Baba Mungu mpunguzie adha babu huyu. Akili yake iko Safi sana. Atakapokuja kwako Baba Mungu umfungulie mlango wa mbinguni afurahi pamoja nawe. Huyo Pd. Peter Lubuva alikaa Parokiani kwangu Kondoa Parokia ya Roho Mtakatifu. Apumzike kwa amani Amina. Nimefurahi Sana kumuona babu huyu na kumsikia. Nawapenda Sana watu wa umri mkubwa.
@martinmwasubila8762
@martinmwasubila8762 2 жыл бұрын
Mungu akubariki na kukulinda daima
@josephinebiringanine7113
@josephinebiringanine7113 2 жыл бұрын
Mungu hapewe sifa kwa zawadi ya uwai na nguvu yakuedelea na kazi zakitume ww nibaraka kwa kanisa ... Bikira Maria akukumbatiye Daima 🙏🙏❤️❤️
@godfreymahonge1906
@godfreymahonge1906 3 жыл бұрын
Rev Fr Lui,hongera sana kwa kazi hii njema hapa Duniani,hakika umetumika vema mzee,Mungu aendelee kukutunza na Mama Kanisa anaendelea kukutunuku taji la pongezi!!!!
@clarauisso4044
@clarauisso4044 3 жыл бұрын
Mtu wa Mungu haendi mahali. Na matendo yako mema ndio maisha yako Mungu aendelee kukutunza Pafri wetu.
@bernardbaha9079
@bernardbaha9079 2 жыл бұрын
Father Lui aishiiii...Mola amjalie....na tuyaishi kweli maoni yake....miaka 100 na memory ipo intact??
@user-mr3fn1hc2y
@user-mr3fn1hc2y 5 ай бұрын
Mungu azidi kukupea Baraka, Amani, Afya njema, hekima na upendo
@goodmorningonlinetv5637
@goodmorningonlinetv5637 3 жыл бұрын
Kwakweli safari ni safari asante kwa kutuletea mtu mhim sana Mungu azidi kumpa maisha marefu.
@susananyasani6526
@susananyasani6526 3 жыл бұрын
Hongera sana Padre Lui Shayo nimefurahi kukusikiliza katika maongezi mazuri yenye kumbukumbu za Miaisha yako na kazi ulizofanya kutumikia Wakristu toka uzaliwe we live you Mungu awabariki asante
@francismtela4967
@francismtela4967 3 жыл бұрын
UTUKUFU na heshima ni zake yeye MUUMBA WA MBINGU NA NCHI aliyempa uhai na aliyerefusha miaka yake ya kuishi dunia. MUNGU MWEMA aendelee kukutetea na kukupigania uendelee kuongeza miaka na miaka KWA JINA LA YESU ! AMEN !
@aurelialyimo8650
@aurelialyimo8650 3 жыл бұрын
This is what they call Grace of the Lord
@mankakibosho3369
@mankakibosho3369 3 жыл бұрын
Kumtumikia Mungu kunafaida kubwa sana
@kimzo3p
@kimzo3p 3 жыл бұрын
Amazing Gods grace wow long live fr.
@romanilyimo8876
@romanilyimo8876 Жыл бұрын
Hakika Mungu wetu ni mwema sana ongera sana kwa utume ndani ya kanisa katoliki la mitume baba badre lui Mwenyenzi Mungu azidi kukutunza. Amina
@nicolaussengenge6465
@nicolaussengenge6465 3 жыл бұрын
Acha Mungu aitwe Mungu.Asante Baba Mungu kwa zawadi ya Baba huyu hongera sana.
@samwelkadeghe2522
@samwelkadeghe2522 3 жыл бұрын
Hongera sana,kazi za Mungu ni kuu sana,
@gabrielmanda502
@gabrielmanda502 Жыл бұрын
Nilikuwa na bahati yakukutana na Babu huyu akituhudumia kiroho. Chuoni Marangu.Mungu azidi kumpa afya tuzidi kufaidi hata walau lafudhi yake nzuri ya Kichaga. Mashati, Kishimundu, Moshi no Samanga
@octavianmacha7739
@octavianmacha7739 Жыл бұрын
Mungu amtunze zaidi baba Luis
@user-xl2bx8po9b
@user-xl2bx8po9b 8 ай бұрын
Jirani yetu mzee wetu mwanakijiji mwenzetu zao la parokia ya mtakatifu bernadeta kilema parishi Moshi v.... ambapo ndipo makao makuu ya kwanza ya Jimbo la moshi
@fredrickfrancis5591
@fredrickfrancis5591 3 жыл бұрын
Huyu mzee anajibu maswali kiutaalamu Sana ....best interview ✌️
@onesmomassawe6230
@onesmomassawe6230 2 жыл бұрын
Mungu akulinde Baba padre
@rosemaryassenga3594
@rosemaryassenga3594 3 жыл бұрын
Safi sana.... Ushirikiano unaleta UMOJA, sala ya Yesu .
@deogratiusaristarick4528
@deogratiusaristarick4528 3 жыл бұрын
Hongera sana Baba Padri Lui
@zenaicetenga2654
@zenaicetenga2654 3 жыл бұрын
Jmn Mungu akulinde Fr.Lui.am happy to see you..
@kelvinmtavangu7701
@kelvinmtavangu7701 3 жыл бұрын
Hongera Padre Lui. Mungu akuzidishie Afya na miaka mingine zaidi. Amina.
@yuvenaltemba5529
@yuvenaltemba5529 3 жыл бұрын
Mungu akubarikie sana baba, akuzidishie maisha mema
@jacquelinejohnson6849
@jacquelinejohnson6849 3 жыл бұрын
😍 love you Padri wishing you more years
@erickpaschaljr8667
@erickpaschaljr8667 3 жыл бұрын
Hongera sana Breez
@josephinekessy1994
@josephinekessy1994 2 жыл бұрын
Mungu akulinde baba Padre. Uzidi kuishi miaka mingi zaidi
@floramsacky3929
@floramsacky3929 3 жыл бұрын
Hongera sana Padre lui Mungu aendelee kukutunza na kukulinda
@kelvinecheloti6881
@kelvinecheloti6881 3 жыл бұрын
God bless you akulinde n'a azidi kukupa miaka zaidi
@subirajohn728
@subirajohn728 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Fr Lui!
@coletashirima2193
@coletashirima2193 3 жыл бұрын
Wow nakupenda Fr Lui
@magrethmallya7728
@magrethmallya7728 3 жыл бұрын
Hongera Sana Fr Lui.
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 2 жыл бұрын
Anaonekana kama miaka 80 hivi,kweli Mungu ndiye afanyae mambo yote, Kwa makusudi yake,azidi kukulinda zaidi baba
@josephateliasi7055
@josephateliasi7055 Жыл бұрын
Mungu amlinde amina
@stellahokworo6561
@stellahokworo6561 3 жыл бұрын
God's grace be upon you Father Luis
@billgussy6099
@billgussy6099 2 жыл бұрын
Huyu padre mwenye miaka 102 ana onekana mwenye nguvu kuliko hata watu wenye miaka 70 Mungu amembariki sana
@shakirammassy7719
@shakirammassy7719 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu aendelee kukuweka zaid father Lui binafsi nafurahi sana!
@johnrizi5978
@johnrizi5978 Ай бұрын
Paroko wangu wa zamani.
@noramkendamunishi6902
@noramkendamunishi6902 2 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu sana kwa ajili ya fr Lui
@gladysmainga9240
@gladysmainga9240 3 жыл бұрын
Many blessings to him Father Luis
@ponsianamataka4607
@ponsianamataka4607 2 жыл бұрын
Julian Kamugisha umenichekesha😀😀😀 Hilo litakuwa Kanisa katolikiii? Au. Ila ni babu anayevutia, ni baraka na neema toka kwa Mungu. Ni maajabu na muujiza fulani hivi. Babu ana uwezo Kama kijana. Kumbukumbu smart hivi. Nashawaishika kuungana na J. Kamugisha.
@Chris-in1vc
@Chris-in1vc Жыл бұрын
Kwa kweli ni Baraka sana kua na wazee kama Hawa katika kanisa.
@martinmwasubila8762
@martinmwasubila8762 2 жыл бұрын
Mungu akubariki na kukulinda daima
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 жыл бұрын
Mungu amjalie umri zaidi
@gladsonuwisso5998
@gladsonuwisso5998 Жыл бұрын
Mungu akubark
@maswamills3161
@maswamills3161 2 жыл бұрын
Hongera Baba
@hejopantumsifusimon21
@hejopantumsifusimon21 2 жыл бұрын
hongera jmn mungu anijalie namm nifikie kam ww
@davidremmy1649
@davidremmy1649 2 жыл бұрын
Hazina ya Kanisa
@sylvestrengwelu2012
@sylvestrengwelu2012 2 жыл бұрын
Mungu AKULINDE na Akubariki sana
@happynakuzimiammassi8074
@happynakuzimiammassi8074 3 жыл бұрын
Huyu Fr.yupo very smart 👍
@musokedios8162
@musokedios8162 3 жыл бұрын
Mungu akutunze zaid, na uwndekee kumtumikia,
@Deonfnyoni
@Deonfnyoni 3 жыл бұрын
Mungu akubariki fr Lui
@shijalugiko4053
@shijalugiko4053 3 жыл бұрын
Babuu jamani naenjoy sana nikikuona
@aloicewabwire3385
@aloicewabwire3385 3 жыл бұрын
Congratulations padre 🙏🙏🙏
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 жыл бұрын
Mzee ana kumbukumbu vizuri
@siahmallya3372
@siahmallya3372 3 жыл бұрын
Mungu akutunze father lui
@happysakaya525
@happysakaya525 3 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutunza padre Lui
@emmanuelmadangwa9377
@emmanuelmadangwa9377 2 жыл бұрын
Mungu akupe umri zaidi baba
@fallyipupa2844
@fallyipupa2844 3 жыл бұрын
Hongera sana Fr Lui Mungu azidi kukulinda
@gracegesare5313
@gracegesare5313 2 жыл бұрын
GOD his grace cover you
@mch7434
@mch7434 3 жыл бұрын
🤲🤲🙏💙💚🧡mm ni namiaka33 nikusukuruu mungu jameni
@franciscoe.zacharia4266
@franciscoe.zacharia4266 3 жыл бұрын
Padre Lui ajengewe sanamu
@sambageno8591
@sambageno8591 3 жыл бұрын
Mungu akutunze
@yohanaikaya6218
@yohanaikaya6218 3 жыл бұрын
Mi nadhani in vyema akimaliza mwendo wake hapa duniani basi aingizwe kwenye kundi la wenye hero kisha mtakatifu kama sifa zitakuwepo na kwa umri huu ni ashara toka kwa Mungu ukizingatia jinsi alivyo na nguvu ya kuongea uwezo wa kujieleza
@rosetemba1645
@rosetemba1645 3 жыл бұрын
Tunakuombea baba. Mungu akupe miaka mingine miiiingi
@sitellamatni6878
@sitellamatni6878 3 жыл бұрын
Emen watumainiao bwana nikama mlima wasayuni ambao hautikisiki 🙏🙏🙏🙏
@farmingtonhill4441
@farmingtonhill4441 3 жыл бұрын
Amuweke Yesu kristo mbele
@hejopantumsifusimon21
@hejopantumsifusimon21 2 жыл бұрын
jaman me happy napakumbuka mbokom recho wasingida au juliana nakumbuk nilimwach maeneo y kwaalfonc chin dori kb juu kinamabelinda belind nimepakumbuk jamn
@felisterkokuberwa5783
@felisterkokuberwa5783 3 жыл бұрын
Aisee ubarikiwe baba
@mariselinamateru6032
@mariselinamateru6032 3 жыл бұрын
Hapo siyo Mbokomu Ni Uru Longuo Mwenge.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakati. Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai anayoendelea kukujalia. Ubarikiwe daima🙏🙏
@onesmomassawe6230
@onesmomassawe6230 3 жыл бұрын
Haikambe
@mekumeku2484
@mekumeku2484 2 жыл бұрын
Looh asee Mwenyezi Mungu analo jambo juu ya mtu huyu
@tumainmasawe6874
@tumainmasawe6874 3 жыл бұрын
Aika MBE papa
@wilfredmmbando689
@wilfredmmbando689 Жыл бұрын
Ok
@yohanaikaya6218
@yohanaikaya6218 3 жыл бұрын
Tunakuombea uongezewe miaka mingi zaidi ili na kizazi hiki cha mapadre wajifunze kwako wewe ni tunu kwa kanisa
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Mbona bado kijana kabisa
@joanfrancis9596
@joanfrancis9596 8 ай бұрын
Padre Lui .Zawadi kwetu tuombee.
@user-sf7ni7ht7h
@user-sf7ni7ht7h Жыл бұрын
Tumsifu yesu kristor
@godfreymbuya2659
@godfreymbuya2659 3 жыл бұрын
Huyu ana ndugu yake nae anaitwa Padre Filbert Aikambe shayo kiumri hawajapishana sana mtafute na yeye watupe siri
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 2 жыл бұрын
Aika mbe yule wa mailisita?
@fumbukashangwe3173
@fumbukashangwe3173 3 жыл бұрын
Tunazidi kukuombea Mola akutunze
@happymsaki1720
@happymsaki1720 3 жыл бұрын
Mungu akutunze Father Lui
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 3 жыл бұрын
NAKUTAKIA Maisha marefu FR endelea kutuinjilisha
@ephremmtuya3094
@ephremmtuya3094 3 жыл бұрын
Ni baraka kubwa BAba huyu kwa umri huo anaongea vizuri na ana nguvu za kutembea
@jamesmshanga1098
@jamesmshanga1098 3 жыл бұрын
Padri Babu amepatia komunyo ya kwanza 1990
@juliankamugisha9886
@juliankamugisha9886 3 жыл бұрын
Atangazwe mwenye heri kabla hajafa.
@prospervedasto4366
@prospervedasto4366 2 жыл бұрын
Heri ya kumbukizi la siku ya mazazi yako Baba Lui
@mekumeku2484
@mekumeku2484 2 жыл бұрын
Hapo ni longuo ndugu mtangazaji sio mbokomu
@judithminja3539
@judithminja3539 3 жыл бұрын
Kituo cha mapadre kipo longuo na siyo mbokomu
@breezonlinetv
@breezonlinetv 3 жыл бұрын
Kabisa judi...ilo jina sjui limtokea wapi kaka mtangazaji
@dorosellsdeogratias8114
@dorosellsdeogratias8114 3 жыл бұрын
Hongera padre Mungu azidi kukujalia afya njema.
@godfreymahonge1906
@godfreymahonge1906 3 жыл бұрын
Kwamba zamani mtu akiwa Paroko anakuwa kama Dictator h 😂🤣
@witnessmmari9902
@witnessmmari9902 3 жыл бұрын
Ukimtumikia MUNGUkwauminifu unatunukiwa miaka Mingiduniani
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 3 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mkuu. Watu wa Mungu kama Nuhu waliishi miaka 900. Pd Lui ni kielelezo kimojawapo cha watu waliozawadiwa miaka mingi na heri duniani. Long live baba
@awordfacesenguo6045
@awordfacesenguo6045 3 жыл бұрын
Baba mungu akujaze kila wingi was baraka kama alivyokuja tangu kuzalia hakika alikuita kama alivyomuita yeremia ndo maana upo kama ulivyo.ombi chonde njoo mashati tena tukuone mana nimefurahiwa ulivyosema ndiko ulikoanza utume
@mekumeku2484
@mekumeku2484 2 жыл бұрын
Kirua vunjo-iwa
@evelinetemu
@evelinetemu 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutunza nakukupa afya njema,tutavuna mengi mazuri kwako,baba tunakuombea Mungu ili utakayotuasa yatujenge kimwili na kiroho
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 39 МЛН
ТЫ С ДРУГОМ В ДЕТСТВЕ😂#shorts
01:00
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 4,2 МЛН
Mh. Mustafa Mkulo -  Waziri wa Fedha Mstaafu
5:38
NBAA
Рет қаралды 13 М.
BABA ASKOFU NA KARISMATIKI KATOLIKI JIMBO LA NJOMBE
7:43
Mahubiri Karismatiki Katoliki Njombe Tv
Рет қаралды 8 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 39 МЛН